Тёмный
No video :(

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

🔴#Live: MWAKINYO ALIVYOMKALISHA MGHANA kwa 'TKO' - AMPIGA NGUMI MOJA ya UZITO - ASHINDWA KUENDELEA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 месяца назад
Shabiki WA mwakinyo number one 1 namkubali sanaaaa
@MamaYasir-qn2ji
@MamaYasir-qn2ji 2 месяца назад
Vizuri Mwakinyo nakupa support 😊😊😊❤
@mgosimanyara5650
@mgosimanyara5650 2 месяца назад
Hongera bloo
@user-oq7dz5xi4d
@user-oq7dz5xi4d 2 месяца назад
Endeleeni ivyoivyo nafigisu zenu kumshusha ndugu yangu Mwakinyo ila uyo ndio namba one
@selekizungu5348
@selekizungu5348 2 месяца назад
Hii ilikuwa lini😊
@KanyunyuTz
@KanyunyuTz 2 месяца назад
Mwakinyoooo😮😮😮
@AbiolaMohammed-qf7lr
@AbiolaMohammed-qf7lr 2 месяца назад
Macho yako yanaona kama mimi💥💥💥
@user-nv9jn7xc4f
@user-nv9jn7xc4f 2 месяца назад
Safi sana kk iwe mvua iwe jua tuko na ww kk
@IMRANITV1
@IMRANITV1 2 месяца назад
Mtangazaji hajui hata kutangaza unashindwa kumtaja aliepigana nae au kapigana na dada yako upuuzi kweli
@noahkamendu9081
@noahkamendu9081 2 месяца назад
Champez on time
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 2 месяца назад
Mwakinyo wewe ni bondia No 1.nchi hii.japokuwa wanajitahidi kutaka kukushusha,kwa kuandaa mapambano uchwara.promota wa mchongo.majukwaa kama sehemu hizi.siyo hadhi yako wewe..endelee kukifua.ila siyo mbaya kupigana hapa kwa kujiweka fit pua.maana ni muda hujapata mapambano.
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 2 месяца назад
Niulizie hivi huyo polomot aliyekuwa anapigiwa cm apokei amejitoka tayalii kuongelea uma, au bado lafunga cm mpk Sasa, ametia aibu sana inchi yetu, tunamuomba tu Rais wa Tanzania amwage takukulu kutika hii fani ya michezo ya ngumi ,Kuna vitu vimejificha vingi waangaliwe kwa kina hii michezo kunasintofahamu nyingi, kunamanyonya damu
@nyangeally7461
@nyangeally7461 2 месяца назад
Mmakonde anahitajika huko
@frankbai2473
@frankbai2473 2 месяца назад
Hongera mwakinyo,ila hizi figisu za kwenye ngumi inatakiwa zitafutiwe ufumbuzi
@dicksonsheja251
@dicksonsheja251 2 месяца назад
Camera za Global asee mumetuweza
@SharifRashid-ov9sy
@SharifRashid-ov9sy 2 месяца назад
Hiv mnatufanya hatuna akili mpaka wanatangaza leo hii eti mav hizo pigo za kishamba
@philipomapundaa6801
@philipomapundaa6801 2 месяца назад
Sasa walipigana lini tena
@iddmubaraka9440
@iddmubaraka9440 2 месяца назад
Hawa mabondio anaoletewa mwakinyo ni wa mchongo hamna bondia hapo mapambano kama haya ndio ujisifie wewe ni bondia no 1 hivi huyu mwakinyo angepewa bondia Yule aliecheza na matumla Junior mwakinyo asingefika hata raundi 3 hamna kitu hapo
@user-wq2fh5rx4s
@user-wq2fh5rx4s 2 месяца назад
Tumulete Yule msouthi amuue
@gudimbwana8088
@gudimbwana8088 2 месяца назад
Kwahiyo AZAM wakajitoa wasioneshe hili jamani very local afu sijaona hata viongozi wa kitaifa jamani kesho tusijesokia pambano halitambuliki maana kila siku MWAKINYO analia na mapromota mkumbuke anakilisha Watanzania
@BlackNinjer
@BlackNinjer 2 месяца назад
MCHONGO HUO
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 2 месяца назад
Hakuna saa mbili ya alfajir na wewe dada kujishaua
@georgemwakamele4281
@georgemwakamele4281 2 месяца назад
Bondia nyanya kabisa huyu
@andrewcharles4537
@andrewcharles4537 2 месяца назад
Mitambo yenyewe mibayaaa mnaonesha pambano kubwa kwa vijimitambo kila mda vinazimazima tu
@omarymwenda1146
@omarymwenda1146 2 месяца назад
Mambo ya aibu sn, Tangazo la kihuni huni
@wizdannymoshi3132
@wizdannymoshi3132 2 месяца назад
Mbona kama pampano la mchongo
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 2 месяца назад
Pambano hili kama kikao cha wachawi waliambizana wachache tu
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 2 месяца назад
Bongo bana tunatia aibu
@ErinestBoniface
@ErinestBoniface 2 месяца назад
Pambano mchongo yaani upuuzi tyu
@proyengatouch3703
@proyengatouch3703 2 месяца назад
Mchongo huoo
@AthumanAlly-cu6tt
@AthumanAlly-cu6tt 2 месяца назад
Mhuuuu
@SIEMONHAMISSIEMON
@SIEMONHAMISSIEMON 2 месяца назад
Unatumia bange nini kama unavuta bange unaweza kusema pambano ni lamchongo...
@barakamwantolwa4336
@barakamwantolwa4336 2 месяца назад
Teh teh teh Mwakinyo mwakinyo .....Hilo pambano umelipwa bilion ngapi? Maana la kiduku unaogopa
@user-sh6ch6ex1h
@user-sh6ch6ex1h 2 месяца назад
Mchongo huo
Далее
Ajdarlar...😅 QVZ 2024
00:39
Просмотров 817 тыс.
MTATA MTATUZI | JOHNSON KIWIA VS KENNEDY AYOO
22:35
Просмотров 3,4 тыс.
Ajdarlar...😅 QVZ 2024
00:39
Просмотров 817 тыс.