Тёмный
No video :(

MWENDOKASI IMEFELI? JIONEE RIPOTI YA UCHUNGUZI | KASRI LA KIKEKE 

Crown Media
Подписаться 125 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 213   
@nasirahassan9373
@nasirahassan9373 Месяц назад
Kikeke umekuja kufanya mapinduz ya WANAHABARI yani kama naangalia BBC the way waandishi wa habari wanavo present! hii kama sio tanzania kabisa kongole kwako KIKEKE
@dr_donye
@dr_donye Месяц назад
Kikeke wa moto sana na team yake 🔥🔥🔧 crown inaleta habari za moto mashaallah watu wanapekua kila angle ❤❤❤💜👑🏠
@HASASON
@HASASON Месяц назад
Journalism inagain respect kupitia crown media, ni ukweli media nyingi Tanzania zinaongozwa na failures watu wenye akili ndogo sana, crown imeleta revolution unafatilia story mpaka unaridhika
@Mr-GMB
@Mr-GMB Месяц назад
Labda huko mbeleni nao wasibanwe kama media nyingine zilivyobanwa na kugeuka😅
@talibthetruth8709
@talibthetruth8709 Месяц назад
Yani crown ni habar kma nje vile❤
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Месяц назад
Ahsante sana Crown👑 nyie ni radio ya uma👏🏽👏🏽👏🏽🫱🏽‍🫲🏾
@talibthetruth8709
@talibthetruth8709 Месяц назад
Yani kwa hakika siku hizi tunapata taarifa nzuri
@stateofart1089
@stateofart1089 Месяц назад
Hii redio ni ya moto, wengi wanajipendekeza kwenye serikali ila hii ni kiboko. Kikeke amewasha moto
@starjay3052
@starjay3052 Месяц назад
dah kweli amini damu yangu kikeke kama bbc amini alafu kikeke. dunia anajua anachokifanya
@dicksontimotheo7617
@dicksontimotheo7617 Месяц назад
kweli asee zile rsdio nyingine kila wanaongelea mapenzi tu ndoa mahusiano asee tunashkuru sana ila tuombe mungu wasinunuliwe tu
@shabanimpalazo2695
@shabanimpalazo2695 Месяц назад
Safi sana nakuona kama Kikeke namba 2 upo vizuri sana ndugu yangu
@MarthaBura-or8fe
@MarthaBura-or8fe Месяц назад
Hongera kikeke na na time Yako maana kocha ni kikeke
@Ndenza
@Ndenza Месяц назад
Media nyingine wanatumiaga camera za itel croun imekuja na iphone 20 kabla haijatoka kabisa namaanisha hii sio level za Dunia hi angavu sana❤❤❤❤
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 Месяц назад
BBC ya Tanzania 🇹🇿 crown media
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Месяц назад
BBC ni uchafu ,Usifananishe na CROWN baba lao😊
@fredducaunt
@fredducaunt Месяц назад
​@@Thekidp3702😂😂 BBC ya Tanzania dogo
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Месяц назад
@@fredducaunt Bbc uchafu
@Relis_talkswisdom.
@Relis_talkswisdom. Месяц назад
Mzee muchunguzi anaongea kitaalamu sana ,anahitaji interview ndefu.
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 Месяц назад
Good work kikeke hakuna sifa ni transparency
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Месяц назад
Habari imenyooka sana hii safi sana
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 Месяц назад
Hongera Crown TV Habari Yako imejaa uchambuzi wa pande zote. " Watoa huduma na wanaohudumiwa,,".
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz Месяц назад
Hiii Media ina criativity saana. Congractulation kwenu🎉
@user-sy4wf5ll4o
@user-sy4wf5ll4o Месяц назад
Dah aisee hii tv itafka mbali sana
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist Месяц назад
HII CHANEL IPO POSA SANA MWANDISHI UMEUPIGA MWINGI KEEP UP U DESERVE SUBSCRIPTION
@rajabubonero6396
@rajabubonero6396 Месяц назад
Hongereni sana.. kipindi kimekaa vizuri
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Месяц назад
HONGERENI SANA CROWN MEDIA KWA HABARI YENYE UWAZI, PICHA ANGAVU NA SAUTI NZURI 👏👏👏👏
@isayakitaponda8337
@isayakitaponda8337 Месяц назад
Positive news.
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 Месяц назад
BBC ya bongo...hongera Salim Kikeke kwa kuleta mapinduzi ktk sekta ya habari
@cartalunya
@cartalunya Месяц назад
hamna ayo asiejua ayo wote ni 🔥🔥🔥🔥
@AbdullahMwela
@AbdullahMwela Месяц назад
Camera za crown 📸
@PeterGunze
@PeterGunze Месяц назад
Dr. Mchunguzi ni safi sana forward thinking
@user-sy4wf5ll4o
@user-sy4wf5ll4o Месяц назад
Kiukweli mwendi kas zinatesa sana
@alexmavindi2104
@alexmavindi2104 Месяц назад
BBC ndani ya CROWN MEDIA, Congratulations 😁👏👏
@DazzWazenji-uy6cr
@DazzWazenji-uy6cr Месяц назад
Crown media noma❤❤
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
Crown hatuna baya
@FahareJuma
@FahareJuma Месяц назад
Mbondiya salimu kikeke so de mozambeq Napenda sana crown media😅😊😊😅😮
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Месяц назад
Imepowa crown 👑 hapa ninyumban
@HemedDaudi
@HemedDaudi Месяц назад
Aisee crown mumegusa kwenyewe mwendokasi ni majanga sana yaani shida tupu binafsi sipandagi magari hayo saiv
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz Месяц назад
Kikeke on 🔥
@salimhamad3878
@salimhamad3878 Месяц назад
Nilikuwa nasubir kwa hamu Media itakayo fanya cover ya issue ya mwendo kasi maana vyombo vya Habari vilikaa kimya kutokureport kitu muhimu kama hiki
@ANDREWAMANI-se4bp
@ANDREWAMANI-se4bp Месяц назад
Nakuunga mkono mzee sisi watumiaji tunaelewa ugumu WA huu usafir
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад
SI wanakataza watu wasitowe taarifa utakamatwa mtakosa ya mitandao
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад
Mawaziri wapande mwendokasi wakati Wana waogopa raia kwasababu ni waongo Kwa ahadi
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад
Mwishowe MTA muita DPW msidanganye watu dawa nikutobowa nzege nakufunga reli
@ascendtogreatness24
@ascendtogreatness24 Месяц назад
Taarifa inatolewa kisasa hadi raha
@DambweRama
@DambweRama Месяц назад
CROWN HAPA NI NYUMBANI 👑👑🎉🎉
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Месяц назад
Ase safi sana hadi namuona anaepiga pesa zake kwa kesh money mko vizuri kufatilia tabu anazo pitia mtanzania
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 Месяц назад
Aiseeeeee mwandishi wa habari. Kongole sanaaa nimeenjoy kuitazama hiii habari yako. INAVUTIA, INAELEWEKA VIZURI KABISAAA NA haichoshi kusikiliza haina makele mengi yaan iko kwa viwango vya kimataifa hongera sana crown media
@KhuzaniSady
@KhuzaniSady Месяц назад
Noma sana
@WendoJuma
@WendoJuma Месяц назад
Kule kwengine utaskia Lokole kanyamba pamoja na mashalove😂
@user-qo5it1uc9m
@user-qo5it1uc9m Месяц назад
Hahahahahaha
@idrisaibrahim9537
@idrisaibrahim9537 Месяц назад
hii ndio media ya wana nchi apa ni nyumbani
@barakaPaulo-ei8zp
@barakaPaulo-ei8zp Месяц назад
Kubaliiii sanaaa Crown 👑tv and Fm
@user-sy4wf5ll4o
@user-sy4wf5ll4o Месяц назад
Ila hiz kampuni zngekua kama tatu ingekua sawa mno
@eliasakhamisi7947
@eliasakhamisi7947 Месяц назад
Hizi ndizo habari acha misifa ya kipuuzi
@ANDREWAMANI-se4bp
@ANDREWAMANI-se4bp Месяц назад
Hapo mmetisha sana asante kwa kutufikia. Solution ni hiyo Magari yaongezwe na mfumo wanmalipo ubadilishwe kutatua taizo la mtu unafika kituoni unaambiwa chenji hamna
@daudimangire4976
@daudimangire4976 Месяц назад
Mfano angalieni kimara mwisho to kibaha foleni hakuna hivo barabara kuu zisiwe na mwendo kasi
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 Месяц назад
Safi sanaa kikeke hy ndokazi ya kutatua changamoto ndotunayo itaka
@user-ht5ez5gf7w
@user-ht5ez5gf7w Месяц назад
yote kwa yote grown mmetisha kaz nzuri
@ALiBAba-zz2td
@ALiBAba-zz2td Месяц назад
impressive
@NoelChambo
@NoelChambo Месяц назад
Mzee wa kihaya kaongea kitaalam
@swaggerizedninjagoseprocom8523
@swaggerizedninjagoseprocom8523 Месяц назад
Mwendokasi haijakizi kabisaaaaa
@BRIGHTMORNINGMINISTRIES-xf1pr
@BRIGHTMORNINGMINISTRIES-xf1pr Месяц назад
I appreciate this station
@Laiterz007
@Laiterz007 Месяц назад
❤❤
@sadile1057
@sadile1057 Месяц назад
Safi
@DavidYamungu-rl5os
@DavidYamungu-rl5os Месяц назад
Wa Pili Naomba Like zangu za Crown Hapa Ni Nyumban ❤
@christianmatosha4283
@christianmatosha4283 Месяц назад
Unaomba like we mtoto wa kike? Acheni ushamba wanongo😅
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist Месяц назад
CHUKUA LIKE NA COMMENT
@mosesmdindile332
@mosesmdindile332 Месяц назад
Big up crown media
@BabuAli-zv8gn
@BabuAli-zv8gn Месяц назад
Mama ni msikivu atalifanyia kazi hilo InshaAllah
@jumannemfaume
@jumannemfaume Месяц назад
Safiiii crown media
@Chida
@Chida Месяц назад
Uhondo huu ni kutoka Crown Media tu
@MpendaNgalagale
@MpendaNgalagale Месяц назад
@JoelMafulahya
@JoelMafulahya Месяц назад
👑 salute
@MarthaBura-or8fe
@MarthaBura-or8fe Месяц назад
Mwendo Kasi sije nyingi daladala zisirudi zitaongeza foleni
@omarylugusha
@omarylugusha Месяц назад
Habari bora kuwahi kutokea Tanzania
@GIDEONEMMANUEL-hb3ok
@GIDEONEMMANUEL-hb3ok Месяц назад
🎉🎉
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 Месяц назад
Daaaaah safi saaaana
@Joecharles-vu7lo
@Joecharles-vu7lo Месяц назад
Tuweke na train kama inawezekana watu wanazidi kuongzeka .
@eliaspius4949
@eliaspius4949 Месяц назад
Temidayo kazi nzuri sana kaka
@user-qo5it1uc9m
@user-qo5it1uc9m Месяц назад
Crown media safi sana, king kiba
@DeusMasunga-lq1jo
@DeusMasunga-lq1jo Месяц назад
Huy ndo therealtemedayoo❤❤#Crownhapani nyumbani
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 Месяц назад
Na hichi ndio tunahitaji kiendelee
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Месяц назад
Media zingine zinasifisifia wakat mambi hayaendi sjawahi sikia taarifa hii kwenye media yeyote
@mathayobmasunzu278
@mathayobmasunzu278 Месяц назад
Safi sana
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r Месяц назад
Huyo sijui ni mama au Shangai ni hovyo tu
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r Месяц назад
Crown taifa
@dottombilinyi5979
@dottombilinyi5979 Месяц назад
yap
@denismugisha2
@denismugisha2 Месяц назад
Kama kawaida wanahabari igeni sasa kwa Kikeke ruksa kwasababu huwa hamjiongezi uongo mwingi na uchawa sasa hapa mkiiga ni vizuri.
@salamSalehhhhh
@salamSalehhhhh Месяц назад
Rais wa jamuhur ya muungano wa tz fanya kitu mama angu tunateseka sisi wenye maisha ya chini nunua Ata magari ya umeme
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
Ni mradi wa Kwanza kufeli kutokana na kuwa na wateja wengi, dah! Hii inapatikana Tanzania tu
@user-ki9wu6no3d
@user-ki9wu6no3d Месяц назад
Yaan hapo huu ni utakatishaj wa mradi kutok Kwa vigogo Wenye Daladal zao hapo mjini,Unadhan serikali haioni na Uhitaji wa mabasi WANAON Sana Sema mwend Kasi inauliwa na haohao wa serikal
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
@@user-ki9wu6no3d hiyo ndio TZ,,,dah!
@Brama_A37
@Brama_A37 Месяц назад
Temidayo on Fire💥💥🙌
@deejeydaev
@deejeydaev Месяц назад
Mtu wa graphics ni mkali
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 Месяц назад
Mwendo kasi inahitaji mwekezaji aweke gari za kutosha Dart wamefeli
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 Месяц назад
Mradi ukisimamiwa na watumishi wa umma shughuli imeisha. Utasikia changamoto na mchakato kila kukicha.
@user-vx5gt5yp2n
@user-vx5gt5yp2n Месяц назад
Mfano wasafi kila habari unakuta wanaongelea familia ya diamond au diamond mwenyewe
@KIVUMBITV
@KIVUMBITV Месяц назад
Safi sana kikeke
@Yayouselim
@Yayouselim Месяц назад
Kweli jamani mabasi 80 si aibu hiii
@Laughter_man
@Laughter_man Месяц назад
Wa kwanza mimi leo🎉🎉😂😂😂
@princekagame8203
@princekagame8203 Месяц назад
Yaaan vitu vingine vinachekesha sana nipeni mimi kazi ya kusimamia nionyeshe mfan hiki kinachoendelea ni upuuzi
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
🤔
@user-qi2dt9nm1k
@user-qi2dt9nm1k Месяц назад
Ako kadada kawanza nimekapenda kwel
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 Месяц назад
Chombo cha habari inabidi kiwe hivi kongole sana
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 Месяц назад
Wekeni miundombinu ya train za majini kuondoa ttz mabas pekee hayawez kuondoa ttz
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 Месяц назад
Mwendo Kasi: Tatizo ubunifu katika uendeshaji wa huduma hii ya Mwendo Kasi. Mh. Kindamba lazima kuwe aina TATU ya mabasi. 1. Haraka Services - Mabasi mengi madogo aina Coasters DalaDala 2. Mabasi makubwa ya kawaida 65 seats 3. Mabasi makubwa Kumba Kumba ambayo yatapewa nafasi kubwa kutumia miundombinu mipya. Katika makundi matatu haya kila moja liwe na utawala wake Zonal administration wenye mipango ya utawala wa fedha, ubunifu na uendeshaji. Zonal zipewe nafasi ya kushindana ili marupurupu yao yategemee TIJA. Juu ya Zonal hizo tatu kuwe na Muangalizi Mkuu kwa Cheo cha Mkurugezi Mkuu. Bila ushindani wa ndani Mwendo Kasi Haitafanikiwa.
@Ba63828
@Ba63828 Месяц назад
Imefeli siku nyingi sana kama serikali haipo
@DeodatusiLyaruuu
@DeodatusiLyaruuu Месяц назад
Crown mnafanya kitu kizuri Sana video Ina quarry nzuri sound nzur ongera
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Месяц назад
Toka makambako Town hapa
@SultanTz255
@SultanTz255 Месяц назад
Salim kikeke toka arudi tanzania amekuwa yupo kimya kwa muda mrefu lakini si kwa sababu tu kwamba alikuwa hana kazi ya kufanya bali alikuwa akiwafua vijana kwa ajili ya kuandaa media yake vizuri ndiyo maana leo tukisikiliza crown media ni kama vile unasikiliza bbc au ni kama unatazama b b c kwanza ukisikiliza quality ya sauti ambazo vijana wanazungumza au wanapokuwa wakielezea ni kama vile uko bbc kabisa unaona kwa hiyo sasa amekuja na mapinduzi makubwa sana na tunampongeza sana salim kikeke azidi kupambana tunaamini kwamba hii itakuwa ni media kubwa sana ambayo itakuwa na mapinduzi tanzania hakuna media ambayo ina quality ya sauti au inawatangazaji ambao wanaelezea vizuri ukaelewa yaani hata sehemu ambayo imerekodiwa ina kelele inakuwa iko katika utulivu na sauti unaiskia mtangazaji akielezea au sauti ya mtu ambaye akihojiwa vizuri hongera sana salim keke
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 Месяц назад
Safi sana mtupe vitu vya kueleweka sasa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Месяц назад
Emirate duh Waarab kwenye mwendokasi
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Месяц назад
Ongera ndugu mwandishi hii kampuni inawaibia watanzania na kuwapa hasara kwa kuwachelewesha kszini
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 Месяц назад
Magari machache sana
@Drepsama
@Drepsama Месяц назад
Mm nahisi kikeke ana hisa hapo crown
Далее