Тёмный

MWIJAKU amkutanisha Mama na mtoto wake waliopotezana zaidi ya miaka 20 

Bongo Touch
Подписаться 737 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

#mwijaku #bongotouch

Опубликовано:

 

14 июн 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 года назад
Congratulations sana cloud FM, cloud tv dat a great God bless u🙏
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 Год назад
Shangazi nakuita mara 3 shangaaa shangaaa shangaaa
@anithasimbeye3256
@anithasimbeye3256 2 года назад
Mpaka nimrlia mana namimi yamenikuta sijawahi kumwona mama angu mpaka nikaja nikaambiwa amekufa nasina uhakika kama kweli alikufa jamani maishs haya
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 года назад
Pole sana Anitha Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi, maana hakuna kiumbe kisichojua uchungu wa Mama
@allyabdallahally9637
@allyabdallahally9637 2 года назад
Pole
@hilalclinton9849
@hilalclinton9849 2 года назад
Pole mwaya
@aminasalim8708
@aminasalim8708 2 года назад
Wallah nimejikuta nalia san mm jmn😭😭😭😭😭daah pole anualy akuna kam mom ata akakukoseaje bado atabaki kua mzazi wako tu...nawapongeza san watangazaji kwa kumtetea uyo mam maan shangaz anaonekan ana machungu na maneno ya uongo ili tu kuzd kumtia sumu mtot amchukie mamake😭😭😭🙏
@MiMi-pj2mz
@MiMi-pj2mz 2 года назад
Yani hapo sumu zisha pita zamani na ina onesha shangazi na mama anuwar wana mabifu yao ila shangazi anaona atumie njia kulisha mtoto sumu kwa uwongo ili amkomowe mama anuwar kiufupi huyu ahangazi kunajambo hapa ana lificha ila sio mtu mzuri kabisa
@aminasalim8708
@aminasalim8708 2 года назад
@@MiMi-pj2mz sahih nakuunga mkono 🙏
@joleal7941
@joleal7941 2 года назад
@@MiMi-pj2mz umeongea point kbx
@peterpetro8602
@peterpetro8602 Месяц назад
Sizani kama umeelewa ulichokiandika
@sashasharif8673
@sashasharif8673 2 года назад
Natamani kujua ilikuwàje?
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Год назад
mm nipo na shangazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@allyabdallahally9637
@allyabdallahally9637 2 года назад
Mama ni mama hata ukipewa mwingine haiji damu nzito kuliko, tumbo lililobeba limebeba
@Maryam-ij9nr
@Maryam-ij9nr 2 года назад
jamani mimi huku nalia sana jaman tusamehene mungu mkubwa
@allyzegele1373
@allyzegele1373 2 года назад
Khumbula ekhaya, hiyo inaitwa
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 2 года назад
Kwakweli namimi nimeliya
@annakinyami2998
@annakinyami2998 2 года назад
Shangazi acha uchuro huyo umemlea kama hata kama umepitia magumu ma
@bonnysure8706
@bonnysure8706 2 года назад
Huyu Mwamba alikuaga wapi
Далее
binti anayeshiriki ngono na joka///jemimah miyu
4:51
Просмотров 3,5 тыс.