Тёмный

NANA DOLLS - Asimulia alivyokutana na Boy Friend wake, Kukataliwa na Baba yake Mzazi! Part 1 

LilOmmyTV
Подписаться 545 тыс.
Просмотров 52 тыс.
50% 1

Hii ni stori nzuri ya kweli ya maisha, Kukataliwa na Baba yake, Kujitaidi kufanya jitiada za kukutana na baba yake na bado ikashindikana kulelewa, Kuingia mtaani, chuo na kukutana na Boy Friend aliyebadilisha maisha yake!
Tazama interview ya Mrembo Nana Dolls, aelezea safari ya kuja Dar Es Salaam Stand ya Ubungo kuonana na Baba yake wakiwa hawajuani na wala hawana mawasiliano kwa simu!
Nana Dolls aelezea pia Kuweka hela wakati yupo chuo ambazo baadae aliweza kufanya biashara, kununua viwanja na kuanza kujenja!
Maisha anayoishi, na Maneno ya Mtandaoni anavyodeal nayo!
Subscribe channel hii #LilOmmyTV kuangalia full interview ya #NanaDolls #podcast
Let's Coonect
/ lilommy
/ lilommy
/ lilommyfanpage

Развлечения

Опубликовано:

 

24 июл 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@haroldphilemon2910
@haroldphilemon2910 Год назад
WAaoooh Peperusha Nangwa yetu manyara moja
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 Год назад
Mimi nimeanza ku mufahamu kupitiya utu ya king kiba, kumbe nini wewe ndiye uliyekuwa kwenye wimbo wa aslay natamba🤫 subiri ni watch tena uwo wimbo 🏃‍♀️ thanks king kiba 🇨🇩🇨🇩
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Год назад
Swahili Yako imenyooka
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Год назад
Swahili Yako imenyooka
@stacyakinyi7242
@stacyakinyi7242 2 года назад
She's so humble ❤️❤️
@Axvagjkqoqnsh
@Axvagjkqoqnsh 4 месяца назад
Pis moja kali mpka sio poa❤
@jacklineurassa6006
@jacklineurassa6006 Год назад
Nakupenda naunanifuraisha kumbe unaakili timamu wewe ni mrembo sana
@mussaalilah6866
@mussaalilah6866 Год назад
Nakukubal sn lilly omy unan inspire san kizazi
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 2 года назад
And all staff like that
@dianamuhumba
@dianamuhumba 2 года назад
Very luck girl.Hongera NANA🫶🫰
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
Yes she's very luck and beautiful too
@ayubuamsonjr9437
@ayubuamsonjr9437 Год назад
Haahahaaq bongo byeee munafanya kitu decompressiooo😂😝
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 2 года назад
Go go go girl
@irenekasa7113
@irenekasa7113 Год назад
Eti mdogo ulianza la kwanza na mwaka mmoja au
@nassorsalum3846
@nassorsalum3846 Год назад
luck girl🌹
@dammymustapha5813
@dammymustapha5813 2 года назад
Adorable
@carenmsafiri8498
@carenmsafiri8498 2 года назад
amepitiq kitu gani mbona mnamchezea munguuu nyinyi
@winjohn223
@winjohn223 Год назад
@Mimy_keys
@Mimy_keys 2 года назад
Nakupenda Nanah ❤️🤗 Ila sipendi izo Like na So nyingi nyingi kwenye Interview zako 🙄😜🧐
@umelamedia
@umelamedia Год назад
Yoohhhh
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Mambo na mm nataka kuhojiwa km mnafanya kwa mtu mwenye tatizo lilomkuta
@popiya2368
@popiya2368 2 года назад
Sasa mbona hukumsaidia huyo mkaka wakati alikuwa na shida!😂 ukamuacha asoteee mbaya na kumuacha
@vankillerboy4211
@vankillerboy4211 2 года назад
Good uyo mdada mkali
@caromumbua7910
@caromumbua7910 Год назад
Nice natamani sana uniletee uko tazani Regina Niko kenya
@elisamiguelsumuni8205
@elisamiguelsumuni8205 Год назад
Nana dolls
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 2 года назад
Lil Ommy mbona magezeti upandika upside down! Au ndo style yenyewe🤔
@aishaamiry296
@aishaamiry296 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂jamani nanah kwani hizo like vipi ?heeee adi kero Tena mi nakupendaga sema like sasa ndio ttz 😂😂😂
@shelinswai3926
@shelinswai3926 2 года назад
Part iko wapi sasa
@mmn7480
@mmn7480 2 года назад
Lilommy unakela iyo oyee mh yee mhh mmm inakela bwana usifanye ivo😏😏😏
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
Oooh yeeeh 😂😂😂
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
@@ashurajengela3926 inauzi🙌😂😂😂
@gracejosephy2242
@gracejosephy2242 Год назад
Kwani kayumba siyo shule acha dharau
@cherylcheryl7694
@cherylcheryl7694 Год назад
Huwa hamchoshi mnanipa kiwewecha kuendelea kutizama
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV Год назад
Thanks
@evewt1719
@evewt1719 2 года назад
Kaka. Soundtrack huweki show kavu sana bila soundtrack
@feynation3739
@feynation3739 2 года назад
Kiingereza kingi what a drama queen 🙄 lakin still ndio sasa 😂 si uongee kiswahili tu... na sijaita mtu hapa aje aniletee makasiriko
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
Na wewe je mbona umechanganya kiingereza na Kiswahili? Acha chuki binafsi!
@mvugwamanajeem5109
@mvugwamanajeem5109 2 года назад
😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😂😅😂😅😅😙
@mvugwamanajeem5109
@mvugwamanajeem5109 2 года назад
😅😂😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅
@ruthkasumba7739
@ruthkasumba7739 Год назад
Anajitetea kifupi kaja rafu rafu🥵
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Intervew naomba na mm mnifanyie
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV Год назад
Haya unapatikana wapi?
@betricekipokola167
@betricekipokola167 Год назад
Anachosha kuskiliza vingereza vingi mpaka anaboa
@outsideclass9799
@outsideclass9799 Год назад
Eeeeeeeih jmny mbona anaongea kawaida tu.
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 2 года назад
Mbulu uyu au
@note_as_being_me2337
@note_as_being_me2337 2 года назад
Haha jamn nmetap apo kwenye translate to english nmcheka,
@sherrymeddy6398
@sherrymeddy6398 2 года назад
😂🤣🤣🤣🤣
@innocentkalinga79
@innocentkalinga79 2 года назад
@@note_as_being_me2337 😂😂😂
@rightright1107
@rightright1107 Год назад
@@note_as_being_me2337 😂😂😂😂😂
@michaelkambili9694
@michaelkambili9694 Год назад
@@note_as_being_me2337 🤣🤣🤣Haloooo
Далее
Would you go on a Blind Date in Italy?
0:51
Просмотров 18 млн
Уловки Такси: не ведись!
0:43
Просмотров 285 тыс.
Episode 1 . KNOW YOU PODCACT
20:06
Просмотров 1,2 тыс.
MAYA Part 2 RWANDAN MOVIE
28:09
Просмотров 232 тыс.