Big Up Nandy. But Umeisha Mshukuru sana Marehemu Ruge inatosha sasa. I don't think ni Bizuri kumtajataja Mtu ambae hayupo at the same time uko na Mahusiano na Billnass. Please give Heshima kwa Fiancee wako na Stop Mentioning Ruge's Name kila mara. inatoshaaa. Inakuwa kama Unamdharau Billnass. That's my Advise to you. Apart from that Many Congratulations on your Achievements and to what you're doing👏
Very True. Mwenzie atajisikia vibaya. She should Stop Mentioning Ruge, Ruge while she Jumped to another Relationship kabla Ruge hajamaliza hata Miezi 6 Kaburini. She should TALK about BILLNASS Period. Ampe Heshima Fiancee wake.
Umependeza sana Nandy. Ukiwa na furaha ya moyo na nafsi unapendeza. Mimi nakuombea uendelee mbele zaidi. Ma drama queen tupa kule...! Sehemu yoyote kwenye mafanikio kuna vita..!! Mwamini MUNGU utashinda.
Unavyo kumbuka mkufunzi wako, Mungu azidi kukuza kipaji chako na KESHO uwakumbuke family ya Marehamu Ruge Mutahabah yazidi kutoka Moyoni yasiwe ya mdomoni. Piga kazi uliyofunzwa . Nakupenda sana tena sana ginsi unavyo mkumbuka RUGE kwa kuwa MKOMBOZI na MKUFUNZI wako Mungu azidi kukulinda na kuzidi kuikumbuka hiyo familia .