Yupo vizuri Sana Messi wa Ngumi ila aongeze Tizi Zaid mfano round ya 5 pumzi zilikatika kbs ina maana mpinzani Wake angeweza kumchapa hata KO km angekuwa imara Zaid
-Mtango ni bondia mzuri, Ushauri: -Aongeze juhudi kwenye mazoezi Kwenye hili pambano gas ilikata mapema tofauti na baadhi ya mapambano yake yaliyopita.