Тёмный
No video :(

VITASA: TKO ya Salim Mtango yamchakalisha Adam Ngange - 29/09/2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 34 тыс.
50% 1

TKO nyingine usiku huu imetoka kwa Salim Mtango 'Messi wa Ngumi', kwenda kwa Adam Ngange.

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@johnngongi4810
@johnngongi4810 11 месяцев назад
SALİM MTANGO🙌🏼🙌🏼🙌🏼🔥🔥👊🏽👊🏽
@MsodokiTheson
@MsodokiTheson 4 месяца назад
Tangaaaaaaa mikonooo juu
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 5 месяцев назад
Huyu bwana mdogo Mtango akipata aina Fulani ya KOCHA atafika mbali sana..!..ana kipaji kikubwa mno..!
@allydebarber5650
@allydebarber5650 11 месяцев назад
What a beautiful fight 🔥🔥
@Mtituboy
@Mtituboy 11 месяцев назад
Huyo Salim mpeni mechi nyingi ana kipaji kikubwa sana
@maalimseifk-gumuadui123
@maalimseifk-gumuadui123 11 месяцев назад
😂😂😂😂Huyu mtoto Mtango ni nyoko mamamae 🔥🔥🔥
@magrethyamawasa-qj7ik
@magrethyamawasa-qj7ik 11 месяцев назад
Huyo ni fundi.. anatumia akili nyingi, kuna huyo, Ibrah Class na Juma Choki hawa nilikutajia ni mafundi sana
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 10 месяцев назад
Mmmmh huyu dogo HATAREEEEEE❤❤❤❤
@NiraSaire
@NiraSaire 11 месяцев назад
Salim Mtango... Weka mbali na watoto
@waduni2326
@waduni2326 11 месяцев назад
Nakubali Sana salim
@bwaji_deo
@bwaji_deo 11 месяцев назад
Adam Ngange Anajua Lakini Kalewa Sifa Za MASHABIKI Chanika Wavuta Siiiii😅
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 10 месяцев назад
Aahahaha hata kama anajua lakin sio wa kucheza na Salim mtango sio level yke,Salim sisi tunamjua ni bondia wa dizaini gani...,Salim level yke ni Fadhili majiha na Nasibu ramadhani hao ndio wanaweza kuleta upinzani but sio kwa Adam ngange
@paulmwangoka
@paulmwangoka 11 месяцев назад
usiku wa masumbwi mtango kaonyesha kazi nzuli sana wengine hao Maneno mengi kazi mbovu
@GnakoGnako-ee6jr
@GnakoGnako-ee6jr 6 месяцев назад
sku zote mm nasemaga atakama wengine wananipinga Salim ankipji kikubwa kuliko mwakinyo
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 10 месяцев назад
huyu jamaaa kweli ana kipaji kikubwa mno
@SadamSaleh-ki8uf
@SadamSaleh-ki8uf 11 месяцев назад
Jamaa yuko vzur sana
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo 11 месяцев назад
Huyu jamaaa ni motooo
@mirajibendera8795
@mirajibendera8795 11 месяцев назад
Tanga kunahistoria ya ngumi
@amirikopwe4864
@amirikopwe4864 11 месяцев назад
👍🏽
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 11 месяцев назад
Mtango namuelewa sannah, dancer mzuri sannah... Nataman apigane na mfaumemfaume itakuwa bonge moja la show
@samsonyonas-fr9gq
@samsonyonas-fr9gq 11 месяцев назад
Mmmh
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 5 месяцев назад
Naam umenena vyema, na huyu Mtango inabidi apate KOCHA wa kumjaza MATEKNIKI atafika mbali sana, maana ana Kila kitu
@bwaji_deo
@bwaji_deo 11 месяцев назад
Adam 😢
@abdallahally842
@abdallahally842 11 месяцев назад
Leo nimeanza kumfatilia messi salim mtango yaani mwakinyo ulitaka kumbania dogo huyu tungemjuane huyu atakuja kua star watanga kweli mwakinyo anaroho mbaya badala kuacha nduguyake ajulikane kwa kiwango alitaka kumbania ili yy atawale fala kweli mwakinyo kajishusha kwanza hajapigana mda pili kawa bitozi hamna kitu kina salimu messi wanachukua kiatu chake 😊
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 11 месяцев назад
Messii umetisha kaka umemuandikia historia maana anasema hajapigwa KO bongo
@NiraSaire
@NiraSaire 11 месяцев назад
Sio tu Ko, hajawahi kupigwa bongo
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 11 месяцев назад
@@NiraSaire kapigwa mara kibao nenda kaangalie box rec
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 11 месяцев назад
Nimecheka jinsi adamu alivyo muangalia Salim wakati wa kutangazwa mshindi hahahahaaaaa, kwann upigane wakati unajua mtu umuwezi ulingoni si unatafuta kufa hahahahaaaa bora mwamuzi amemaliza mchezo maana kilitaka kufuata ni hatari zaid.
@foibeabel5960
@foibeabel5960 11 месяцев назад
Azam bado sanaaa
@ayoubomary9336
@ayoubomary9336 8 месяцев назад
Tanga Jr messi mtango
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 11 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
@nuhumohammed5307
@nuhumohammed5307 11 месяцев назад
Huyu ndio tanga one
Далее
Woman = best friend🤣
00:31
Просмотров 3,2 млн
Bilasizmi?
00:12
Просмотров 280 тыс.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Просмотров 45 млн
Mkasi - SO7E06 With Masoud
28:46
Просмотров 49 тыс.
Woman = best friend🤣
00:31
Просмотров 3,2 млн