Тёмный

"NILIMSINGIZIA AMENIBAKA, Akahukumiwa MIAKA 60 JELA" MWANAFUNZI Akiri, aomba ASAMEHEWE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 89 тыс.
50% 1

"NILIMSINGIZIA AMENIBAKA, Akahukumiwa MIAKA 60 JELA" MWANAFUNZI Akiri, aomba ASAMEHEWE
Msichana Miriamu Sanga Kutoka Siha Mkoani Kilimanjaro Amejitokeza hadharani na kumuomba Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Amsamehe Kijana Tumaini Mfinanga ambae ni Mfungwa aliyepo Gerezani baada ya kufungwa miaka thelasini kwa kosa la kumpa mbimba Miriamu alipokuwa mwanafunzi.Leo Miriamu anasema kuwa ushahidi alioutoa haukuwa wa ukweli uliosababisha Kijana Tumaini kukutwa na hatia na Kufungwa jela.
Miriamu Alikuwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kilingi
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 397   
@robbynyamriba251
@robbynyamriba251 3 года назад
Kweli leo ndo nmeamini kuwa sio kila aliyeko jela ana hatia wengine kweli wanasingiziwa,mahakimu wanatakiwa kuwa makini sana,pengine hukumu izingatie majibu ya DNA baada ya mtoto kuzaliwa,ni heri ukumu isitolewe hadi mtoto azaliwe ipimwe DNA ndo ukweli upatikane
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 3 года назад
Chukua supu unywe ndakuja kukulipia umeongea strong points
@farhatomar7495
@farhatomar7495 3 года назад
Umeongea point Kabisaaaa 💯💯💯💯👌
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 года назад
@@denisimaliyaweni9183 kwenye supu mwambie aongeze na chapati mbili nakuja kulipa💪
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 3 года назад
Hili wazazi mnalisababisha wenyewe
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 3 года назад
Haswa uyo mzazi wa mtoto wa kike
@petrokambo779
@petrokambo779 3 года назад
Dhambi hizi kweli Mungu amsaidie atoke kijana wawatu
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 года назад
Huyu dada wanatakiwa wamlipe hugo kaka pesa nying sana mshenz kweli
@lespicekiguge2602
@lespicekiguge2602 3 года назад
Kwel inauma sasa, hapa ndipo tunadhibitisha kuwa wanadamu wanaweza kutufanyia ubaya ila Mungu huwa anajibu na anajua ukweli wa maisha yetu
@zainabshirima7187
@zainabshirima7187 3 года назад
Lakini kweli katubu dhambi.... Hongera
@jumaramadhani1486
@jumaramadhani1486 3 года назад
Huyo baba kuna uwezekano alikua na tatizo nafamília ya Tumaini
@leokamil6284
@leokamil6284 3 года назад
Wazazi huangalia pale pa kuegamia
@upendourio2847
@upendourio2847 3 года назад
Sasa jamani walimfunga kijana na walikua wanafunzi wote,, ifike mahali mwanafunz akipewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wafungwe wote
@julianacostantine6682
@julianacostantine6682 3 года назад
😂😂😂sawa kabisa upendo urio,wafungwe wote maana huu ni ujinga kabisa
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 3 года назад
kweli kabisa
@imaculatadominic7005
@imaculatadominic7005 3 года назад
heri amkumbukaye mnyonge ataokolewa siku ya tabu Bwana atamlinda nakumuhifadhi daima Mungu atasikia saut yako baba
@miirajmohamed6352
@miirajmohamed6352 3 года назад
Ndyo umesema nn sasa maneno yako yanahusiana vp na mada husika
@imaculatadominic7005
@imaculatadominic7005 3 года назад
@@miirajmohamed6352 HUWEZI KUNIELEWA COZ YOUR INTERTION IS NOT MY CONCERN
@liberiarenatusi7862
@liberiarenatusi7862 3 года назад
Hii Dunia hii....Hongera dada kwa kupigania haki hata kama itakugharimu.Kuna jambo kubwa lakujifunza hapa
@ntabyoetienne2508
@ntabyoetienne2508 3 года назад
Hiyi history ni mama Diamond kwa kweli,ila kwa nini wanawake waki tanzania wanauwa wanaume sana ivi tanzania mutizame kwa makini wababa wanasumbuliwa sana
@saryhguusfv1025
@saryhguusfv1025 3 года назад
Caro kemunto Hii imenitoa machozi, lnauma sana, familia mungu awetie nguvu
@tunkuh661
@tunkuh661 3 года назад
Mimi ni mama jamani nimeumiaaa saaanaa km mzazi poleni sana familia ya Tumaini Mungu awapee faraja juu ya hili pia awape njia mmalize hili kwa amani...Tumaini naamini Mungu amekukumbuka mwanangu 🙏 Mzazi Msaidie mtoto kukata rufaa huo ndio utaratibu unavyotaka.
@rosemerynjau7367
@rosemerynjau7367 3 года назад
Daaaaa nimelia Sana'a kumskiliza huyu babaaa watumaini mungu amsaidieee daaa dunia hiiii mh
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Kwakweli inauma kutoka 2018 umefungwa kwa kosa lenye si la ukweli inaumiza sana ni vizuri kabla hawajafunga mtu uchunguzi ufanywe vizuri binti umefanya vizuri kujifunguwa coz pia mungu atakufunguwa jamani mungu aingilie kati .
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 3 года назад
pole sana mzee.MUNGU Nikujibu maombi Yale wamama waliomba yeye achelewi. huniwakati wake kujibu.
@piresombati3651
@piresombati3651 3 года назад
Inauma sanaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@fatumaoseya9668
@fatumaoseya9668 3 года назад
Mwenyezi mungu ni mshindi na mwenye hekma.haki inachelewa tu natukumbuke Kuna maisha baada ya kifo.... Ipo wapi huruma..... Tatizo lipo kwa viongozi wetu pale wanapo tunga sheri wanakua na mihemko binafsi Nn faida ya D.N.A Nn maana ya upelelezi wakina Ee mw.mungu tenda maajabu yako Ila si amri yangu ila kwa mapenzi yako
@zithalazaro6288
@zithalazaro6288 3 года назад
Tumaini lako liwe kwa Mwenyenzi Mungu na Mungu atamgusa Raisi
@sifasanga7866
@sifasanga7866 3 года назад
Hakimu hakua na Saikolojia kabisa, Mtoto mdogo kujua ukweli wake ni rahisi sana
@toptopress4909
@toptopress4909 2 года назад
Hawa mahakimu utafikiri hawajasoma
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 3 года назад
Sasaiv Ayo tv.. nndo mnaleta habari zinazofaaa🤙🤙 Ebu teteeni haki za walio zurumiwa
@mapenzisorotanizimbazimba8742
@mapenzisorotanizimbazimba8742 3 года назад
Inauma sana
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 3 года назад
Pole sana
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 года назад
Pole sana mzee, mwamini mungu atasaidia,
@maxwellking9399
@maxwellking9399 3 года назад
Familia ya Emmanuel inahitaji ipate Mwanasheria kwanza Ushauri wa process ambazo mwanasheria anaweza kuzifuata kama ifuatavyo: 1.Mwanasheria anaweza ku file a motion to re-open the case na mara Judge akishapitisha (OK) ombi la kufungua shauri upya, process ya pili ni Mwanasheria ana file shauri la kuomba kesi isikilizwe tena (Re hearing the case) - Na kwa cimcustances za ushahidi ulimtia hatiani mtuhumiwa zimebadilika yaani kuwa shahidi mkuu (binti aliyedai kubakwa) amebadili ushahidi wake wa awali basi mahakama itamwachia huru kijana Emmanuel anayetumikia kifungo gerezani 2. Iwapo kesi itakuwa ilifikia tayari ngazi ya apeal court kama mabyo nimesikia hapo- basi Mwanasheria anaweza kufungua shauri kuomba mahakama ifanye mrejesho wa kesi (file a motion for review of the case) - Na hii ni short cut zaidi- na cimcustance ikiwa imebadilika kwani shahidi na mlalamikaji katika kesi amebadili ushahidi wake- hivyo mahakama haina jinsi bali kumwachia huru kijana Emmnuel 3. Ni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa busara ya kawaida tu na mamlaka aliyo nayo Kikatiba kumpa msamaha Emmanuel (husan kutokana na uzito wa ushahid mpya unavyoelemea kwenye mzani wa Ukweli. Hii nayo ni process ambayo ni nj short cut zaidi ya kumwachia huru mfungwa Emmanuel (expediate process to realease the convict) Tatizo kubwa ni Urasimu uliojaa kwenye mifumo ya kimahakama pamoja na ofisi ya Mwanasheria mkuu ambao ndio wenye kesi- Lakini kwa ushahidi ambao upo kutoka kwa msichana huyo huyo ambaye alikuwa mbakwaji- ni dhahiri kuwa serikali haina kesi tena ya kung;ang;ania kijana Emaanuel kuendelea kuwa gerezani. My two cents contribution to the family of victim (Emmanuel) Thanks.
@sifunifrank1068
@sifunifrank1068 3 года назад
Alioko magereza ni tumaini Emanueli ndio kampa mimba bint samaani kwakukuelesha
@yukundapeter2170
@yukundapeter2170 3 года назад
Pole sn baba jamani, nimelia,kuna lingine lilidanganya,lilivozaa likazaa mtoto cop & baba mwingine.
@hasanmussa3602
@hasanmussa3602 3 года назад
Daar pole sana baba na mama mungu ni mwema
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 года назад
Huyo baba mungu atamuona kwa kumbambikizia kesi mtt wawatu
@jacklinekanunu4667
@jacklinekanunu4667 3 года назад
Imenigusa sana hii story,,, hasa kwa sisi wenye watoto wa kiume Mungu atuepushie.
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 3 года назад
Hizi kesi za mimba ziwe hukumu zao ziwe zinatoka baada ya mtoto kuzaliwa na kuchukuliwa DNA ya mtoto na baba alafu ukweli ukijulikana ndo hukumu itoke,miaka 30 cyo mchezo jmn
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
Na Ingekuwa Kesi Ya Mauwaji Kesha Nyongwa Huo Kwa Ushahidi Wa Kusikia Na Sio Wa Vipimo.
@hora8707
@hora8707 3 года назад
dah Mungu amsaidie Tumaini atoke jamani,kama una mtoto wa kiume lazima uchanganyikiwe ukisikiliza hii story
@eddahmwasiposya1146
@eddahmwasiposya1146 3 года назад
Umeonaee 😭😭
@0ttiliwiliam317
@0ttiliwiliam317 3 года назад
wewe dada Achatu imeniliza san yani mungu Asaidie tu watoto wetu
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 года назад
Sanaaa yaan mm mwenyewe hapa nimesikiliza ilaaa daaahhh
@isackmtitu2351
@isackmtitu2351 3 года назад
Naamini atatoka mungu ni mwema
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Kwa kweli inauma sana Mungu atamsaidia atatoka
@nasrihussen4067
@nasrihussen4067 3 года назад
Daaah kweli hukumu ya haki iko kwa Allah tu maana hii dunia kuna wengi wako sehemu mbya kizuruma
@nduwimanaemanuelina5167
@nduwimanaemanuelina5167 3 года назад
Endelea kuvumilia kaka yangu mungu yupo ataksaidia
@badrumbarouk3377
@badrumbarouk3377 3 года назад
Jaman mm kma mm naiyomba serikal ibadilishe sheria kuusu mwanaume kutembea na mwana mke hususan ambae hakubakwa kama nisheria bas wahukumiwe sawa kama alivo panga mungu wetu sote amesema mzinifu mwanamke na mzinifu mwanaume wote wapigwe fimbo 100 bila kuwashika huruma kat ya wawili hao ila lakusikitisha serikal imembana mwanaume peke yake kwa kwel sihak kabisa na ndomaana halijafanikiwa hili na wanafunz wanaendelea kutiwa mimba maana mungu anajuwa zaid nafsi zetu na ata kiakil mwanamke ndo anae sababisha uzinifu hasa kutokana na mavazi yao ijapo kua wanasema anaeanza kumshawish mwinziwe ni mwanaume ila haijalish kwa sababu nae pia mwanamke anaakili wa c mwenda wazimu anajua zur na baya kwaiyo bas kiroho safi tunaiyomba serikal itende hak pande zote mbil kama alivo sema mungu sheria ifate mkondo wake mwanamke 30 mwanaume 30 hak sawa kwa wote na serikal kama ikifanya hak kwa wote watafanikiwa kwa %100 mwanamke nimuoga na nimsikivu pia pind akiona na yy anapigwa miaka 30 ata akishawishiwa vp hatoweza kufanya ataogopa tu ila kutokana mwanamke hana hatia kwa ili ndo ukakuta haliondok Leo akitiwa mimba uyu kesho uyu sababu hahofii anajua atakama nikipata mbmba mm cna atia akatae kwa nn na raha anapata tunakuomben serikal muwe makin kwa hili
@mwana4599
@mwana4599 Год назад
Kwa kweli sijui ni Jamie aliye sign hii hukumu. Miaka 30 ni kifungo chanmaisha
@kenicemkaka2824
@kenicemkaka2824 3 года назад
Maxhozi yananitoka pasipo kuruhusu nilie, najickia uchungu mkali sana watu wakojela kwakusingiziwa. dah mungu wetu atusaidia.
@aminaally4163
@aminaally4163 3 года назад
MUNGU amsaidie Tumaini atoke.kweli dada huwezi kuishi KWA Amani kwakweli
@hossainom7632
@hossainom7632 3 года назад
Pole. Sana. Babaangu. Yaan. Nmelia. Sana. Nakumbuka. Namm. Kakaangu. Alihukumiwa. Kwenda. Jela. Bila. Kosa. Inauma. Sna. Baba. Mungu. Amjalie.tumaini.atoke
@zainabamran6716
@zainabamran6716 3 года назад
Pole sana baba wa Tumaini,mwenyezi mungu atafanya
@bahatisenkana2039
@bahatisenkana2039 3 года назад
😔 ndomaana mm hawa mbwa wa kusoma nakojoleaga tu humo humo maana unaweza kufungwa hata hujafanya
@adhabashirima2908
@adhabashirima2908 3 года назад
Duh.....
@ramsodavidson6011
@ramsodavidson6011 3 года назад
😀😀😀😀😀😀
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 3 года назад
mungu amsaidie atoke
@sadockmhinza699
@sadockmhinza699 3 года назад
Very touching story
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Год назад
Hii inaumiza sana kwa mzazi yeyote, cjui mama yake huko alipo anajisikiaje, namshauri pia aende kwenye maombi, Mungu afanye njia kijana atoke, na nafatilia kisheria, tunao wanasheria, tunaye mbunge, mkuu wa Wilaya, Mkoa nk.. Jamani viongozi wetu wa kiserikali na hata ki imani tunawaomba atusaidie ktk hili...wamama tunaumiaaaa😥tumbo la uzazi linauma jamani
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 3 года назад
So sad
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 Год назад
Nani amerudi tena hapa baada ya tumahini mfinanga kutoka jela hebu gonga like hapa twende sawa
@kamalissabig8938
@kamalissabig8938 3 года назад
Mungu awashushie gharika wote mulio husika
@skyboytz6636
@skyboytz6636 3 года назад
Asee Dada mungu akubariki sana kwa kuamua kusema ukweli naamini utasamehewa na tumaini naamini atakuwa huru tu ila inauma sana yani
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 3 года назад
Miongoni mwa sheria kandamizi kwa wanaume ni hii ya kumfunga mwanaume tu wakati utamu walipata wote.
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 года назад
😁😁😁😁
@alexsalum7824
@alexsalum7824 3 года назад
Ubaya wa sheria ss haina bahati mbaya!,Umeshamtia kovu mwenzie MUNGU anakuona!.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 года назад
Dada wacha Mungu wa kweli wanaju hiki unachokifanya. Toba yako inakubalika kwa Mwenyezi Mungu
@danielniyonzima567
@danielniyonzima567 3 года назад
Mungu wa Abrahamu Isaac na Yakobo akubaliki mama kwa kuamua kusema ukweli, kwa kuokoa maisha ya kijana huyo.
@rashidramadhan4129
@rashidramadhan4129 3 года назад
Duuuh cjui hata niandike nini ila kila alioko jela kwa kusingiziwa basi Mungu wetu yupo na hajatutupa mkono 😭😭😭
@leokamil6284
@leokamil6284 3 года назад
Aliimba Professor Harun sio wote waliopo jela wanahatia wengi ni makosa ya kusingiziwa
@zhmzzz9061
@zhmzzz9061 3 года назад
SubhanaAllah, mtihani mkubwa huu
@rosemary3816
@rosemary3816 3 года назад
😭😭😭😭Hii imenitoa machozi mungu turumia sisi ambao Atuna uwezo 😢😢😢😢
@simbahamis5064
@simbahamis5064 3 года назад
Tunatakiwa kumtanguliza Mungu mbele kweli wanaokwenda jela sio wote wana makosa wanaenda kwa kusingiziwa Namuomba Rais wetu Wa wanyonge Asiache kuyatembelea magereza na kuwaskiliza wanyonge na kupitisha timu yake ya Uchunguzi kwa kila Magereza
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 3 года назад
Imani inanguvu Sana kuliko chochote kwa mwadam
@josephlazaro771
@josephlazaro771 Год назад
Polesa tumaini munguatakutangulia
@clemencianyaboga8946
@clemencianyaboga8946 3 года назад
Mzee mungu atakupigania kwa hayo magumu. Mungu nimwaminifu atakutendea mtoto wako atafunguliwa
@allysaid5503
@allysaid5503 3 года назад
DA jamani mung amsaidie atoke jaman
@aminaally4163
@aminaally4163 3 года назад
Pole Sana baba MUNGU atakusaidia
@liniasilumbwe361
@liniasilumbwe361 3 года назад
Mungu naomba ingilia kati huyo tumaini atoke gelezani
@deusnzelan8413
@deusnzelan8413 3 года назад
Dada ukweli Mungu amekusamehe lkn bila kutubu ungeishi vibaya sana
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 3 года назад
Jaman
@richardmbilut.a2786
@richardmbilut.a2786 3 года назад
Sanaa manz
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 3 года назад
Angeomba apate pesa za kukata rufaa,tumchangie hata elf1000 kwa wenye moyo ndo njia pekeee ya kupata msaaada wa haraka ...tumsaidie kwa haraka atasikilizwa na ndugu wa karibu wamsaidiye kucha maaana km mi arusi mbn michango inatoka tu?wazo langu tu...lkn tumpe nsaada wa hali na mali
@alphoncemakigo7343
@alphoncemakigo7343 3 года назад
Ni kweli. Hata Mimi nitachanga atafutwe wakili rufaa ianze. Bint inabidi afungwe tu.
@eliasharun3273
@eliasharun3273 3 года назад
Ni makosa makubwa sana kuwafunga wanaume pasipo kupima DNA wanapotuhumiwa.Mambo haya ndiyo yalivyo,nilikuwa sijui.
@ibrahimwerejuma4816
@ibrahimwerejuma4816 3 года назад
Makosa makubwa sana lakini HaKI lazima itendeke huyu aliye fungwa bure lazima apate HaKI.
@gracenavilo7946
@gracenavilo7946 3 года назад
Wee binti ulaniwe ulimtaja asiye mhusika ukaacha mhusika?looh
@amazingvideo4761
@amazingvideo4761 Год назад
Siku hizi wanapima DNA
@browrinah9357
@browrinah9357 3 года назад
Poleni sana jamani
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 года назад
Pumbavu sana mnaambiwa mtulie hamsikii kazi kusingizia watoto wa wenzenu wallah mungu nisamehe mtoto mdogo wanaume zaid ya mmoja mitihani kweli
@lexssudrkimbungakimbunga640
@lexssudrkimbungakimbunga640 3 года назад
Awa wanawake wabaya sana
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 года назад
HUU UPUUZI KWEL UNAMFUNGA MTU MIAKA 60 BILA USHAHIDI WA KITABIBU,,,HAWA MAHAKIMU HAWANA DINI ,,NA NI WASHEZY SANA.....
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 года назад
Kbsaa
@restutarweyemamu2344
@restutarweyemamu2344 3 года назад
Alafu mahakimu wanajifanya hawajui kuwa watu wanaishi kwa chuki binafsi. Swala la mimba mbona ni rahisi wangesubili mtoto azaliwe apimwe DNA ila wao wanakurupuka kutoa hukumu.
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 года назад
@@restutarweyemamu2344 utakuta aliongwa vihela kidogo tu basi na wanajua kabisa ukweli ila wanatukandamiza sisi wanaume halafu mtabaki wanawake wenyewe muoane tuone hao watoto kama watakuja....ss mbegu zetu ndio 80% zinaweka mtoto
@restutarweyemamu2344
@restutarweyemamu2344 3 года назад
@@ambokileasheengai1140 🤣🤣🤣
@otiliakapinga3801
@otiliakapinga3801 3 года назад
Jaman jaman sisi wanawake mungu anatuona
@dionisiabaynit2735
@dionisiabaynit2735 3 года назад
Kwakeeli!!
@dionisiabaynit2735
@dionisiabaynit2735 3 года назад
Kwakweli!!
@jestinakanji8168
@jestinakanji8168 3 года назад
Haki ya mungu.nimelia Kama mtoto.eeee mungu mfanyie wepesi huyu kijana atoke gerezan
@allynamwanja8969
@allynamwanja8969 3 года назад
ni sehemu tu ya maisha tumain amepitia kwa kua yy mwanaume asichoke aendelee kupambana
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 года назад
Ww mshenzi sana umepeleka maumbilie yako kwa mtu mwengine umsingimzie mwenzio mungu atakupa unachostaili
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 года назад
Unajuwa sie wanaume ndio tunaumia mwanamke ukishakuwa na mimba ww mwanaume unafungwa mwanamke anaolewa na mwanaume mwingine wabunge wanaume wapo nao wanashadadia jambo hili ,inatakiwa wote wafungwe
@Nzinyangwa
@Nzinyangwa 3 года назад
Daah jamaa wamtoe asee waandishi wa habar n platform kubwa sana tafadhal simamien hl jamaa atoke bhana
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 года назад
Inapaswa huyo Tumaini Frank akate rufaa kwa kuanza na kufungua kesi ya mapitio ya kesi iliyohukumiwa na huyu Dada ndo anatakiwa atoe ushahidi kumtetea Tumain Frank mfinanga
@ipajam9
@ipajam9 3 года назад
Moyo umeniuma sana , yaani mmm! Yaani jamani tumuogope Mungu, huyu binti na baba yake wamuombe Mungu msamaha. Mmm! Inauma sana.
@fatumamoshi7329
@fatumamoshi7329 3 года назад
Na akitoka aende yeye jela
@jamilasaid1764
@jamilasaid1764 3 года назад
Jamani kijana wawatu wamemukatisha masomo Inauma sana
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
@@fatumamoshi7329 Hiyo Mtawatisha Wengine Wasiseme Ukweli.
@florencegregory8932
@florencegregory8932 3 года назад
Ww na bb yko mnatakiwa kwenda jela n kumlipa fidia hyo kijana kwa kumpotezwa muda wake n kumsingizia
@joramkimario2666
@joramkimario2666 3 года назад
Kama ni kumfidia hawataweza hzo gharama.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
Makosa Ya Mahakimu Waliomfunga Sio Baba Wala Binti Wamemfungaje Kwa Ushahidi Wa Kusikia Na Si Wa Vipimo????
@evalineamady6810
@evalineamady6810 Год назад
Huyo msichana no mjinga Sana amfanye mwenzake sense jela
@mwamininyabenda5950
@mwamininyabenda5950 3 года назад
Inaonekana dada huyo ametembeya nawote sasa sura ya mtoto inamuumbuwa anaona aseme wakafunge hakoka dada
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 3 года назад
Hyo ni kweli
@lightjames9151
@lightjames9151 3 года назад
Dunia sio mbaya,watu ndio wabaya
@mussamaulidi3918
@mussamaulidi3918 3 года назад
Waende Kupima DNA Ya mtoto na Tumaini aliye fungwa jela ili tumaini aachiwe
@saranasser542
@saranasser542 3 года назад
Mungu wangu jamani
@liniasilumbwe361
@liniasilumbwe361 3 года назад
Imeniuma sana mungu awatetee jamani
@abelishirima8189
@abelishirima8189 3 года назад
Mm nakushaur tu uyo kijana akitoka bora muoane tu
@boniboniii7119
@boniboniii7119 3 года назад
Mambo ya nyange na daimondi hayo
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kweli kbsa
@mozahpretty1030
@mozahpretty1030 3 года назад
Haaaaaaaa 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂
@faithdaniel5652
@faithdaniel5652 3 года назад
😂😂😂😂
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 года назад
SAuti kama mchaga mwenzangu😌😌😌
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 года назад
Yaan hii hbr imenisikitisha jamani ukiangalia na ss tuna watt hiii familiar itakua ina ugomvi wa chini chini kila kitu huwezi kukijua
@adeltuskweyamba1196
@adeltuskweyamba1196 3 года назад
Nilifatilia story ya mtoto wa miaka 14 mmarakani mweusi George Stinney aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kutuhumiwa kuwaua mabinti wawili wa kizungu 1944 na badae ilikuja kubainika alisingiziwa wakati tiyari ashanyongwa😭😭 kweli binadamu tuna roho ngum haya mambo yanaumiza sana ni kuomba mungu yasikukute!
@joramkimario2666
@joramkimario2666 3 года назад
Wanaumeee!!!hata mim niliwahi kusingiziwa nilichovya asal kumbe hapana nikiwa darasa la 3 nikapigwa fimbo sana.
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 года назад
Arishaolewa mungu nimwema
@marryg4235
@marryg4235 3 года назад
Yaan mtt wa mwenzenu mmemuharibia ndoto zake,kwa uhun wa mtoto wenu, inauma Sana, kwakweli mm ningeazima popo bawa shughuli mngeiona, inauma kwa kweli.
@elizabethsjoberg5734
@elizabethsjoberg5734 3 года назад
DNA jamani mvulana anaozea jela bila kosa 😭😭😭😭😭🙏
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Haki nashangaa wangesebirii azae wapime
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 3 года назад
*Globo mko juu naimani mh Tingatinga ataiyona na inshallah kijana atatoka tu mwez wapili hauishi*
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 3 года назад
Jamani binaadamu hatuna huruma
@minazsaid2470
@minazsaid2470 3 года назад
Hii habari imeniuma sana
@siliakilojasi4188
@siliakilojasi4188 3 года назад
Wanawake wanazingu.kweri yani.....
@videozaaj1069
@videozaaj1069 3 года назад
Ndo maana kina lokole walikimbia kuwa wanaume...coz wanaume tumeumbwa mateeeeesoooooo matesoooooo kuhangaikaaaaaaa
@johnmodester1568
@johnmodester1568 3 года назад
Mungu anakuona Dada sasa kwann usimtaje muhusika
@evansondimu3742
@evansondimu3742 3 года назад
Amemtaja
@williamuphilipo7447
@williamuphilipo7447 3 года назад
Ushauri wangu ni huu, Mahakama zisisiwe zinatoa hukumu haraka kwa kesi kama hizi kwa kusikiliza ushahidi wa maelezo tu, badala yake shahidi za kisayansi zitumike kama vile kipimo cha DNA ili wapatikane wahusika halisi. Vinginevyo wengi wasio na hatia watakwenda jela kutokana na chuki binafsi za watu.
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 3 года назад
Naafiki DNA iwe ndo muarobaini na wote wanaoongopa baada ya kupata majibu tofauti wafungwe badala yao .umefika wakati wa Tanzania kubadirika
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 года назад
Mtoto wawatu anaozea tu jela psipo ukweli yani kasingiziwa jamani mi nimeumia sana kama mzazi nina watoto wakiume na kike ninajaribu kuvaa kiatu cha wazazi wa Frank 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️😢😢😢😢😢😢
Далее
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 7 млн