Тёмный

Nimeishi Miaka 23 USA - Tina Lasway (President of DICOTA). Zijue faida za kuwa mwana DICOTA 

EBM SWAHILI
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 9 месяцев назад
Link ya DICOTA FURSA BOARD ni whatsapp.com/channel/0029VaJI4Bt5Ejy5UgZ9yN0e
@silekesileke6744
@silekesileke6744 9 месяцев назад
Hongera sana EBM unafanya mambo makubwa sana nakufatilia
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 9 месяцев назад
Brother, kazi nzuri huna roho mbaya as compared to others, you are very humble and gracious. May God bless you.
@gloriapendo4302
@gloriapendo4302 7 месяцев назад
Bro you spitting pure truth, hi ni jambo EALA yapaswa ku discuss, yani kuwe na standardisation of pricess.
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 9 месяцев назад
Vizuri sana EBM hongera
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 9 месяцев назад
Mr EBM viombo viako viko sawa kapisa mnaongea na huyu Dada kama mko pamoja yani shwari endelea na Huo moyo wa kutuelimisha utulete wageni wengi mungu akupe maisha marefu sana❤❤❤❤
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 8 месяцев назад
Vyombo sio Viombo, kabisa sio kapisa
@gracengole2773
@gracengole2773 8 месяцев назад
I bless you EBM. You have a good heart.
@Chief370
@Chief370 8 месяцев назад
Inspiration video ! Big up !
@benjaminnnko5398
@benjaminnnko5398 2 месяца назад
Very powerful!
@goodlucklasway8995
@goodlucklasway8995 9 месяцев назад
Hongera kaka,namuona Dada Tina Lasway
@KayKay.12674
@KayKay.12674 9 месяцев назад
EBM good job bro
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 9 месяцев назад
Nice conversation, what the requirement to become Taicota member? I’m Tanzania born I live in USA New England.
@Mazoea
@Mazoea 9 месяцев назад
Jamani watanzania tuishio Marekani tujuane
@Winstonfying
@Winstonfying 9 месяцев назад
Ideas za organization hizi ni njema sana, tatizo they end up side themselves with politics and government for personal interests 😢
@kaupigwe
@kaupigwe 9 месяцев назад
Mix jamani. Missing that.
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 месяцев назад
All the best Sir
@aashirumargaretchege6527
@aashirumargaretchege6527 9 месяцев назад
Nice 👍
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 9 месяцев назад
EBM ameongea kweli kuhusu utalii wa Tanzania, umekuwa hovyo kabisa kwa kuhudumia watu kwa kuangalia rangi. Bure kabisa
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 месяцев назад
Wallahi Mheshimiwa undelee kubarikiwa ndugu yetu hauna roho mbaya kweli ndugu yetu
@_benytz1573
@_benytz1573 9 месяцев назад
Channel ya Fursa board haionekani WhatsApp tafathali tunaomba msaada katika hili
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 9 месяцев назад
Link ya DICOTA FURSA BOARD ni whatsapp.com/channel/0029VaJI4Bt5Ejy5UgZ9yN0e
@_benytz1573
@_benytz1573 9 месяцев назад
@@EBMSWAHILI ahsante sana
@bballdunks869
@bballdunks869 9 месяцев назад
nimetafuta hyo channel sijaipata, tusaidie link kama inawezekana kaka. Ahsante
@raymond_255
@raymond_255 9 месяцев назад
Hi, please find the pinned comment in this video - it has the link to Fursa board.
@bballdunks869
@bballdunks869 9 месяцев назад
@@raymond_255 Ahsante
@nelsonmrutu371
@nelsonmrutu371 9 месяцев назад
Nimefurahi kuwasikiliza na nimejifunza mambo mengi mazuri , ukimsikiliza Tina Lasway uchoki kumsikiliza .
@ShaniAbdala
@ShaniAbdala 9 месяцев назад
Kingine nimejiunga na app yako lkn changamoto imekuja ktk kulipia kutokana na mazingira niliyo nayo hivo km kunanjia nyingine ya kuwez kulipia hasa kwa tanzania nasihuku niko ungenifahamisha tafadhali nasijajua unalipia kila unapotak kuingia kuchat au iliuweze kuwa mwana chama utaniwia radhi km kunapahali akutakuwa saw Shukran mung akulipe kwa niayako
@michaelkomwiswa7048
@michaelkomwiswa7048 9 месяцев назад
Niiiicceee
@kaupigwe
@kaupigwe 9 месяцев назад
Itakuwa wapi convection? Do we know?
@raymond_255
@raymond_255 9 месяцев назад
Habari, My name is Raymond, and I’m part of the DICOTA team. The convention is still in the works - but, so far, the plan is to have it within the last week of September (this year), and it will most likely be held in Austin, Texas. More in-depth details will come out in the next few months as planning advances. Hope to see you there, if you decide to attend. Karibu sana!
@kaupigwe
@kaupigwe 9 месяцев назад
@@raymond_255 Thank you Raymond for response and for the good work you guys do with Dicota.
@gwaluganosaiba629
@gwaluganosaiba629 8 месяцев назад
Unakutana na teacher full time Yuko na koti jeusi nakiboko karibu Japan.
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 8 месяцев назад
Hivi hii DICOTA Ipo Hai au ni jina tu limebakia! Haisikiki wala kufanya yale muhimu kama awali! Furahisha mtandao.
@dn.n4983
@dn.n4983 9 месяцев назад
Umemichekesha kweli tusiwe kamati roho mbaya
@jeremiahjabiry3295
@jeremiahjabiry3295 9 месяцев назад
Channel haionekani whatsapp
@raymond_255
@raymond_255 9 месяцев назад
Habari Jeremiah, Please find the pinned comment in this video for the direct link to Fursa board group.
@beingnicoleamor7611
@beingnicoleamor7611 8 месяцев назад
👏
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 8 месяцев назад
Serikali hairuhusu watu kuwa assertive. Inatufanya tuwe watii . Ndiyo, hapana. Basi. Kudadisi inakupa shida na tunakuwa waoga.
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 9 месяцев назад
Class mate wangu wa bunge primary school.
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 месяцев назад
Wallahi roho yako saaafi kaaabisaaa wakati tunakutania Hotel Delta nimefurahi saaana
@gwaluganosaiba629
@gwaluganosaiba629 8 месяцев назад
Hapa japani kula mayai viza tumbo unaenda kujamba pembeni after unarudi kazini
@ShaniAbdala
@ShaniAbdala 9 месяцев назад
Kaka mkubwa nakupenda kwaajili allha naakuongoze ktk kila atua inshaallah kila mlicho kizungumz kipo sahihi kbc lkn hapo kweny swala zima la passport mmegusa sehem ndipo maan ndio kiini chasafar zot zannje ya nchi lkn pia ndio sehem ngumu kwa nnchi yetu maswali nimeng yakukuban kuliko vigezo vya msing kwahali hiyo imesababisha wasichan wengi kuwa na passport zisizo na umri wao sahihi ili wapate kirahisi kunavingi san juu ya passport nilazima wakubali kubadiri mifumo yao watu wawe huru kupat haki hiyo
@itsyourmuse
@itsyourmuse 9 месяцев назад
Channel ya fursa board haionekani
@raymond_255
@raymond_255 9 месяцев назад
Hi, tafadhali angalia the pinned comment in this chat, you’ll find the Fursa board link. Happy to help if you need further assistance.
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 9 месяцев назад
😂😂😂, mtu tz yuko tayari kufa na shida kuliko kutoka , sababu ya negative
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 месяцев назад
Wakati nakuja kunisaidia ku app
@silekesileke6744
@silekesileke6744 9 месяцев назад
cannel ya fursa dicota hainonekani whatsap naomba msaada namna ya kufanya
@raymond_255
@raymond_255 9 месяцев назад
Habari, Angalia kwenye pinned comment in this video, utakuta link to Fursa board directly.
Далее
Китайка и Пчелке Холодно😂😆
00:21
Makala maalum - Watangazaji waliovuma katika enzi zao
16:32