Тёмный

"Nisisikie mfanyabiashara analalamika" JAFO atumwa kazi maalumu KARIAKOO Rais SAMIA ampa somo 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@aminaomary5567
@aminaomary5567 18 дней назад
Mama ujakosea hilo jembeeeeee Kariakooooooooo❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 16 дней назад
Mitano tena mama. I love mama❤❤
@khatibjuma9455
@khatibjuma9455 10 дней назад
Asante mama endelea kuwapa kazi vijana wafanya kazi
@wizydeko1496
@wizydeko1496 18 дней назад
Safi saana
@user-vp1zu3fb5w
@user-vp1zu3fb5w 18 дней назад
DU! KUMBE MWANAUME NI MWANAUME TU NA MWANAMKE NI MWANAMKE TU 😂
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 16 дней назад
Hata katika vitabu vya mungu imeandikwa
@user-mt3jc6no5w
@user-mt3jc6no5w 12 дней назад
Mama tuko pamoja nawe mi5 tena❤❤❤❤❤❤
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 16 дней назад
Mama kaz ya kuongoza nchi huiwez achia ngaz hii nchi inahtaj watu wenye maamuz magum
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 13 дней назад
Kabisa samia must Go...!!
@user-mt3jc6no5w
@user-mt3jc6no5w 12 дней назад
Samia must remain for more 5yrs
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Час назад
Mama jiuzulu kama biden tunakoenda siko
@GrceLaurentkaboigora
@GrceLaurentkaboigora День назад
Huyu ni mchapa kazi, tunamjua, Sema ni majungu tu
@petersilas4234
@petersilas4234 18 дней назад
Be careful there is a catch there, Kariakoo na wamachinga ni siasa. Maandamano yanadoda kwa kukosa kuungwa mkono na wamachinga na bodaboda, ndio uhai wa vijana wa Hali ya chini.
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Час назад
Kama mmemuona mwigulu chema anasinzia
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Час назад
Huyu bibi😢😢😢😢
@machujamathias7165
@machujamathias7165 18 дней назад
Aise katika siku zote ambazo nimesikiliza speech za Raisi wetu mpendwa mama Samia. Nasadiki kusema mitano tenaa kwa Mama
@NanaMaembe
@NanaMaembe 17 дней назад
HUYU MAMA NI MJANJA SANA AISEE...... KAONA MOTO UMEWASHWA KENYA KUUSU KUKOPA KOPA MADENI YA INCH
@user-so8uh8bt5t
@user-so8uh8bt5t 18 дней назад
Mama kumbe unaweza hongera
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 16 дней назад
Jafo ni kiongozi mzuri kama ataendelea kujisimamia kama Makonda
@OmarMihulu
@OmarMihulu 18 дней назад
Kumbe unajuwa km kunakazi wanawake hawaziwezi
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 16 дней назад
Hahahhahahahha aiseeeee wa tz kazi mama yupo kazin na anajua vitu vingi ssh5 tena
@user-mt3jc6no5w
@user-mt3jc6no5w 12 дней назад
Mama wachina wameisha shindikana apa bongo warudi tu kwao
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 14 дней назад
Kama mwanamke hawezi mbona ww upon kumbe mnajijua kuwa nyinyi ni dhaifu
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 16 дней назад
Hahaha ha kazi ya Uraisi mtoto wa like haimusitahili😂🤣🤣🤣🤣
@NanaMaembe
@NanaMaembe 17 дней назад
HAPO SAMIA NAKUPA HEKO KUBWA SANA KWA KUMCHAGUA JAFO KUWA KWENYE BIASHARA.
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 16 дней назад
Pepeta😂😂
@SanziNzige
@SanziNzige 17 дней назад
Nyinyi mnafanya mchezo tu .haya!
@user-kw3yb2sh3s
@user-kw3yb2sh3s 15 дней назад
Naona mke wa Lisu bado unaleta siasa mpaka huku youtube mende wewe
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 16 дней назад
❤❤❤❤
Далее
Strong cat !! 😱😱
00:19
Просмотров 2,6 млн
Watch Donald Trump's 2024 RNC speech in full
1:36:20
Просмотров 1,2 млн
LIVE: Donald Trump speaks at MAGA rally in Michigan
1:43:56
Donald Trump speaks at the RNC: FULL SPEECH
1:32:24
Просмотров 3,4 млн