Тёмный
No video :(

OSTAZ AOMBA ULINZI KWA WAZIRI MKUU BAADA YA KUWANYEA TRA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 201 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@fadhilinzano5840
@fadhilinzano5840 Год назад
Spirit ya Magufuli naiyona ndani ya waziri mkuu Ana uchungu na nchi na huu ndio mwenendo wa magufuli alikuwa anaongea na mtu wa chini na waziri mkuu ndio anachofanya mungu ibariki Tanzania waziri wetu kasimu majaliwa awe raising wetu
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Год назад
Nikweli kabisa wazili mkuu alifaa awe RAISI wetu sema basi nampenda buree ana ijua shida ya wa tu wahali ya chini jamaani watu wana ungua na maisha nyie acheni tuu.
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Год назад
Hongra mh waziri mkuu mola akuongonze kwa kuwatetea wa Tanzania
@hashimgovea4070
@hashimgovea4070 Год назад
Ewe mwenyezi mungu mjalie afraid njema kipenzi cha watanzania mh,Waziri mkuu wetu huyu ndio kimbilio wa wanyonge
@rabiahamadi5866
@rabiahamadi5866 Год назад
Mzee usingetaja sehemu unayokaa lakini big up baba angu
@cutelady7410
@cutelady7410 Год назад
Hapo ndo alipokosea
@maisarahnassoro814
@maisarahnassoro814 Год назад
Tena mheshimiwa huyu ana upendo na huruma na akisimamia jambo analisimamia kweli inn shaa Allaah ipo siku utakua Rais inn shaa Allaah Allaah akupe afya njema umri mrefu wenye furaha na Allaah akupe mwisho mwema husnulkhaatima hii coment inn shaa Allaah nitakuja kuisoma tena kipindi hicho ushakua rais
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 Год назад
Waziri mkuu umefanya vizuri sana kuchukuwa machungu kwa kila mmoja na watu wamefunguka kero zao zote kwa uhuru nashukuru Asante sana
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Kikubwa utekelezaji mkuu na SI kusikiliza tu.
@rahamamohd3075
@rahamamohd3075 Год назад
Baba Mungu akulinde
@renatusmahombwe3093
@renatusmahombwe3093 Год назад
Ni kweli China inalinda wananchi wake katika suala la biashara duniani kote
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz Год назад
Maajabu mdada ashangilia mpaka kuvua nguo zote kisa yanga wamefunga magori 2
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Год назад
Waziri mkuu anaupendo na huruma sana
@rojatv167
@rojatv167 Год назад
Niwajibu wake
@leonardnelson5307
@leonardnelson5307 Год назад
Wachane ostadh 😢😢😢#biashara zetu ndio maisha yetu👏👏👏👏
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it Год назад
Huyu ndio waziri mkuu
@FRESHSLEEMAHMED
@FRESHSLEEMAHMED Год назад
Kweli kabisa shehee wangu
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 Год назад
Wafanyakazi wa Serikali hawaliziki namishahara wanashindana kujenga majumba yakifahari kwa dhuruma kuibia serikali nawanchi kiujumla
@ezekiasanga9320
@ezekiasanga9320 Год назад
Mungu akubariki sana mkuu waziri
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z Год назад
Muheshimiwa sisi watu wachini tumenunua hisa kwenye makampuni simu kwa ushawishi wa serekali mimi nimenunu his 5500 kwa kampuni ya vodacom kwathamani ya karibu milioni tano toka mwaka 2017 ila kila mwaka wanatangaza asara wanafanya biashara kwa fedha zetu sisi hatupati kitu hiyo nisawa?, muheshimiwa waziri mkuu au mnamkono wenu hapo?, maana tumenunua hisa kwenye mabenki ya serekali.
@ismailysaidy884
@ismailysaidy884 Год назад
dah wee jamaa gombea urais mimi ntakupigia kampen buree
@ahmedmukolwe43
@ahmedmukolwe43 Год назад
Uncle Magu we miss you for sure
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Год назад
Waziri mkuu ni mtu sahihi sana kwenye hili Taifa ila mabosi wake wanamwangusha.
@niahpike8593
@niahpike8593 Год назад
Ccm wakija leta ujinga wakazika alichopanga Mungu juu ya Uyu mh Waziri mkuu haki watapata laana mbaya sana
@habibarashdi2250
@habibarashdi2250 Год назад
Watu wamefunguka Sana maskini km jpm alivyokua anafanya
@maswamills3161
@maswamills3161 11 месяцев назад
Waziri Mkuu MUNGU akuingize IKULU baba
@musagodfrey5729
@musagodfrey5729 Год назад
Nikimkumbuka yule kijana aliyenikadiria mapato TRA nikashindwa kulipa mpka nikafunga biashara nikaja kutana nae kanisani da! Roho iliniuma na mpka sasa nikimkumbuka Roho inauma.
@esthergasper4815
@esthergasper4815 Год назад
Daaah aisee
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Год назад
Mubunge alievalia suti blue da,kapendeza❤
@mihambomahona8129
@mihambomahona8129 Год назад
Aje awe Rais wetu badae huyu mwamba
@nuryally7015
@nuryally7015 Год назад
Namkubali sana waziri mkuu hakuna kama wewe
@erickmahona5357
@erickmahona5357 Год назад
Rip magufuli
@rashidsalim7078
@rashidsalim7078 Год назад
Kaka ❤❤❤
@goodluckmlaki5595
@goodluckmlaki5595 Год назад
Yaan inasikitisha Sana kuona jinsi watu wananyanyasika na utakuta nikakijana kamepata kazi TRA KANAWANYANYASA WATZ WENZAKE
@mariasmith4301
@mariasmith4301 Год назад
Safii Sana Waziri mkuu
@user-hu7li2sn8x
@user-hu7li2sn8x 11 месяцев назад
Namkubar waziri wetu 2:24
@ELPHAZJAVANAMONAMON
@ELPHAZJAVANAMONAMON 2 месяца назад
Hawa mashekh ndo walikuwa wapingaji wakuuu wa magufuli walimchukukia Sanaa, ila amekubli hakuna wakati mgumu kwao kamavawamu hiii ya samia ,ama kwel magufuli ni alale pema pepon
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Год назад
Umefunguka kwa uchungu mnooo
@JustineMwarabu
@JustineMwarabu Год назад
Kweli kabisa ulicho kisema shee umeongea poity tupu
@rashvokotz1205
@rashvokotz1205 10 месяцев назад
🙏🤝kwel sana anacho sema mzee
@rashidyally8715
@rashidyally8715 Год назад
Kweli kawanyea 😄😄😄😄😄
@rehema971
@rehema971 Год назад
Hali ni mbaya sana Kwa ajili majiji ni waizi huwa wanapewa rushwA watu wasikate leseni mapato yanapotea sana na waokata leseni. Wanashidwa kuliba mapato Kwa sababu wanauza beii ya chini
@athumannyiddy1886
@athumannyiddy1886 Месяц назад
Waziri angefaa kua raisi wangalau tungeinjoi
@luisojr3480
@luisojr3480 Год назад
Daaaa watu kama hawa wajengewe masanamu😂
@Eliaskihagatv
@Eliaskihagatv Год назад
Hongera sana ostaz
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Год назад
Sawa sawa sheikh wangu
@leonardnelson5307
@leonardnelson5307 Год назад
MUNGU atakulinda
@emmanuelbaldwin4822
@emmanuelbaldwin4822 Год назад
Vichee
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 Год назад
Najuwa wazarendo watakuunga mkonooo mkuu ila
@AndersonMakala-vm6im
@AndersonMakala-vm6im Год назад
Ostazi
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Год назад
Safi sanaaaa sheheeeeee❤❤❤❤
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Год назад
nihasira mpaka nimekosea kuandika ni mawaziri wakuvaa nemboo yataifa wanajiita wazalendo
@athumanramadhan7006
@athumanramadhan7006 Год назад
pp0
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Год назад
Daa inasikitisha
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Год назад
Tunashukuru sn mze wangu
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 Год назад
RIP JPM🙏😢🇹🇿
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 Год назад
Dah TRA wezi kabisa badala ya kuifaidishs serikali ela wanaweka mifukoni mwao
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Год назад
Wamekua wiziii sanaa hao jamaaa wananunua magari tuuu herazetuuu niwezi ndioo 😢😢😢
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
Walikuwa wanasema wakati wa JPM ndo ulikuwa mgumu ,ila huu hapana wakati huu ni zaidi ya jehanamu ,maisha magumu uuuu dhuruma zimezidi wanadharau kama hawatakufa lakini wanajidanganya MUNGU hatowaacha salama ,atashughulika nao
@hassansaul7098
@hassansaul7098 Год назад
Mzee katema cheche😂
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
Kweli ,foreigners sioni haja yao kufanya biashara za wazawa wakawekeze kwenye miradi mikubwa huko na walipe kodi zote maana hata sisi hatupewi nafasi ya kumiliki hizo kampuni
@officialdana5114
@officialdana5114 Год назад
Hii inchi wakabiziwe wafanya biashara tyu
@AliyussufMakame-js5dp
@AliyussufMakame-js5dp Год назад
Bora waziri mkuu mupite kwa wananchi kwani wale tulio wachagua wanalala na kuchati tu kwenye bunge
@user-lf3vd1xx2p
@user-lf3vd1xx2p 11 месяцев назад
Watu lazima wafunguke
@AmedeKaishe
@AmedeKaishe 2 месяца назад
Ozaa
@marthaanton6967
@marthaanton6967 Год назад
Mungu awabariki sn
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 Год назад
Achani kuwabeba waharifu mtu akikosa mfukuze muweke mwingine kuliko kumhamisha ni kosa la jinai
@leylasaid9641
@leylasaid9641 11 месяцев назад
VIONGOZI WOTE WANGEKUA WANASIKILIZA MATATIZO YA WANACHI TUNGEKUA MBALI LKN MPK WAZIRI MKUU.SHIDA TUPU.
@wisealiy
@wisealiy Год назад
@Mbengo Tv Kajifunze lugha ya Kiswahili ili uweze kuzungumza na kuwasilisha taarifa vizuri. "kengere"
@mbengotv
@mbengotv Год назад
SAWA
@JemsiMbilinyi-if5ho
@JemsiMbilinyi-if5ho Год назад
Zambia Raha sn sukar buku jelo bongo buuku jelo
@chinganasoMungo-vv9cz
@chinganasoMungo-vv9cz Год назад
Beka favour =
@etoyi2664
@etoyi2664 Год назад
Tanzania tumeshama tumehenda Kenya hatulipi Kodi Kama machinga
@Dymitri-Babushka.
@Dymitri-Babushka. Год назад
TRA ,kumamae zenu
@gerkombo6512
@gerkombo6512 Год назад
Ustaz aneamua kuunguza utambi
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Год назад
inaonekama wafanya biashara kariakoo wengi usalama na ccm ndomana hamna mamuzi mkifunga maduka wiki 2 watatuliza wenyewe hao mnalalamika mnaleta siasa jampen za ccm hizi ni njama tu miaka 50 mnalalamika
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Год назад
Hmnakitu hpo alikuwA jpm tu Hakuw namzaha kbs
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 Год назад
Weka kauli mzuri mbona walio pita hukusema ma pasta wamepita kavaa kanzu
@annadaudi3114
@annadaudi3114 Год назад
Hii nchi tunaishi Kama watumwa ndani ya nchi yetu loooh Hawa mbinguni hawaendi
@masaimollel2525
@masaimollel2525 Год назад
Waziri wa fedha atimuliwe hivi huyu mama anasikia watanzania wanavyoumia lkn? Waziri mkuu nakukubali lkn km waziri wa fedha ataendelea kuwepo madarakani basi ata wrwe ni walewale tuu, mtikisiko woote huu bado mumukumbatie tuu, atatuibia mpk tukome labda km na nyie mna asilimia zenu huko kweny hiyo dhuruma wanayofanya wazir wa fedha na vijana wake
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Год назад
TRA wanahitaji usimamizi angalau hata MWKT wa ccm mkoa ahakikishe wanatumia sheria za biashara kwa manufaa ya wafanyabiashara, na walaji ili waache kuzipindisha ama kuzigeuza fimbo kwa wananchi kisa hakuna mtu wa kuwafuatilia,wanakua wannyama waroho wasio na utu wala uaminifu katika nafasi zao!
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Год назад
Katba mpya ndo suruu ya hao hao kwn wameanza leo ??
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 Год назад
Ndio maana watu wanaugua magonjwa mengi wakishastahafu kwa sababu ya dhuruma Wanatenda dhuruma nyingi wakati wakiwa kazini na kutumia vibaya madaraka yao😢
@maisarahnassoro814
@maisarahnassoro814 Год назад
Ni kweli watu wanadhulumiwa hawana cha kufanya wanamhukumia kwa Mungu ndio maana yanawakuta madhila
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 Год назад
@@maisarahnassoro814 yaani baadhi wajui kama dhuruma mbaya dhuruma ina felisi Dhuruma inaleta maradhi dhuruma ina felisi Dhuruma inaondoa kheri Ukidhurumu unajidhurumu mwinyiwe MUNGU apabariki penye dhuruma Wengijua ubaya wa dhuruma wengiiogopa Ata shilingi moja
@semenimpanda-lr7om
@semenimpanda-lr7om Год назад
Ongea baba
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 Год назад
Huyu anaemsifia waziri wafedha huyu nikibaraka waserekari
@saalaf8325
@saalaf8325 Год назад
Naam mze watufikilie
@ahmadseaman3487
@ahmadseaman3487 Год назад
sure
@TitusBett-rl6gu
@TitusBett-rl6gu Год назад
Wow 🎉
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Mmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 Год назад
Hao unaowashukuru ndio wezi wenyewe
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Год назад
Katoa fumbo na mbali gharama.
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Год назад
Mbalagha na sio mbali gharama.
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Год назад
Mtasema lkn hao ccm n wafanyakazi wao
@Issaissa-dg7yn
@Issaissa-dg7yn Год назад
Issa
@BabuJuma-ze6to
@BabuJuma-ze6to Год назад
Shukrani nawe
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Год назад
Mchina analipa kodi laki mbili tu? Kwa pato lipi? Kodi I naenda a na pato. Huyu mchina na huyu kaka ni Sawa na mchina msambazaji kweli?
@richardjmadebe727
@richardjmadebe727 Год назад
Police kweli wezi unajua sababu hawalipwi sitahiki zao Askari anahamishwa zaidi ya vituo vitano halipwi pango halipwi sare maji umeme anapeleka mhalifu mkoa Hadi mkoa zote ni garama zake anatumia mshahara wake unategemea Nini? Ataishi vp? Lazima tafute kipato Cha ziada
@fredrickkagusa3915
@fredrickkagusa3915 Год назад
sawa bora uache kazi kuliko kuwa kazini kazi ambayo haina manufaa kwa mhusika ni dhambi kuchukuwa pesa ambayo ipo kinyume na utaratibu yesu aliulizwa na askari na sisi je tufanye nini akawaambia rizikeni na mishahara yenu hivyo kama kazi ni kikwazo ni bora uache pia yesu alisema yuaheri mtu akaingia Mbinguni akiwa anachongo kuliko kuingia kamili ilihari jicho limekukosesha
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Год назад
@@fredrickkagusa3915 umetish sana kwanukuuu hzo
@masaimollel2525
@masaimollel2525 Год назад
@@fredrickkagusa3915 ongera sana ujumbe mzuri
@masaimollel2525
@masaimollel2525 Год назад
Hacha kazi kwaiyo nawewe si ugome ili serikali ifanye Kuja kuongea nanyi km hivyo kuliko kuwaumiza watu ambao hawana hatia
@mwakondoyakub2444
@mwakondoyakub2444 Год назад
Kweli tupu
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Mmmhhhhh
@user-gn7zw8of4h
@user-gn7zw8of4h 7 месяцев назад
Muzzekachiwajembe semaamekakosawongoziwakumirikihekaa iriajuweanavoyirimavizuri&😂
@aishatest4451
@aishatest4451 Год назад
❤❤❤
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Год назад
Rais
@hidayapaulo6752
@hidayapaulo6752 Год назад
Acha iendelee kunyesha tuone panapo vuja🤐
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw Год назад
Vizuli
@rashidsalim7078
@rashidsalim7078 Год назад
Wewe ndio kidume
@user-jj2ws1fr1x
@user-jj2ws1fr1x Год назад
Hakuna mtu anaekwenda mbinguni
@rahamamohd3075
@rahamamohd3075 Год назад
Wa kwanza leo like zangu
@JapharSaid-yj3sh
@JapharSaid-yj3sh Год назад
Xxxxxxxxxx
Далее
small vs big heart 💖 #tiktok
00:13
Просмотров 5 млн
small vs big heart 💖 #tiktok
00:13
Просмотров 5 млн