Тёмный

"Pale KARIAKOO kuna Siasa, nimetuma timu kwa siri" Rais SAMIA Atoboa siri nzito. 

Gilly Bonny Tv
Подписаться 495 тыс.
Просмотров 87
50% 1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema hayo leo tarehe 5 Julai 2024 kwenye hafla ya kuwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni.
Selemani Jafo ulikuwa Ofisi ya Makamu wa Rais na umefanya vizuri, lakini nimeamua nikutoe nikupeleke biashara sababu biashara pirika ni nyingi mno na kuanzia sasa pale ofisini mwenzio (Ashatu Kijaji) alipokuwa akikaa sitaki ukae, lakini namuelewa kwanini Waziri alikuwa haendi huko, kwa kazi ninayotaka kukupa kwa mtoto wa kike kushinda Kariakoo sio rahisi hiyo kazi nataka uifanye wewe," - Rais Samia.

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
LIVE: RAIS SAMIA AKIPOKEA TAARIFA YA HAKI JINAI
1:41:20
Просмотров 2,2 тыс.