Тёмный

PAMBALU AWALIZA WAZEE INSHU YA TASAF, DIWANI KUUZA MAENEO, "MPAKA LINI MTAENDELEA KUTESWA NA CCM?" 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 178 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

#TANZANIA: John Pambalu, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa awaliza wazee akitoa hotuba yake katika Kata ya Mitundu mkoani Singida, adai wazee wanafanyishwa kazi ili wapate pesa za TASAF, aelezea mengi mazito, auliza mpaka lini wataendelea kuteswa na CCM?, awataka waachane na CCM.
Zaidi: • PAMBALU AWALIZA WAZEE ...
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 3 месяца назад
Pamoja sana pambalu
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 месяца назад
Mungu ni mwema siku zote
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 месяца назад
Hongera Pambalu
@prospermalala6636
@prospermalala6636 3 месяца назад
IQ ya MH Pambaru ni kubwa inawatesa Sana CCM, unafundisha elimu iliyopotea hapa nyumbani kwetu Tanganyika, wewe ni mwalimu Bora sana ktk maisha ya watanganyika, waelewe wameanza kuyaelewa unayofundisha Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha, kuifundisha jamiii iliyopo mbele yako ielewe kinachojiri nchini kwetu Tanganyika
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 3 месяца назад
Pamoja kiongoz
@yudanziku6030
@yudanziku6030 3 месяца назад
Waambie hao
@SaidShabani-s4o
@SaidShabani-s4o 3 месяца назад
Jamaa amechoka kwa njaaa halafu nae anataka uongo Sibslaahi
@ProsperMsemwa-g8n
@ProsperMsemwa-g8n Месяц назад
Hio mikowa hio masikini kweli na si uwongo
@ProsperMsemwa-g8n
@ProsperMsemwa-g8n Месяц назад
Umepiga kwenye mshono kweli nyumba za nyasi
@PastorBiluko-wl1ex
@PastorBiluko-wl1ex 3 месяца назад
Nchi imechangamka kwa sababu ya mikutano
@ThomasLucas-rh7wf
@ThomasLucas-rh7wf 3 месяца назад
Nawe mwizi mtarajiwa
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 3 месяца назад
Ndio upumbavu wenu huo
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 месяца назад
Waliologwa wakalogeka utawaona kwa mavazi yao na maneno yao..!!
@ProsperMsemwa-g8n
@ProsperMsemwa-g8n Месяц назад
Chizi pokea dozi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 месяца назад
Fisiyemu acha sindano iwaingie
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 месяца назад
Kila kona kilio
@nongollohsuleyman9734
@nongollohsuleyman9734 3 месяца назад
Kabla kuvuma America uingereza, ujerumani,ufaransa,ubelgiji. Nk hawa ndio walioitengeneza Africa hii tunayo taabika nayo nyinyi ngome yenu ujermani sasa kuna ukombozi kweli? Hebu mtuache na maneno yenu mazuri zamira zenu mbaya hapa tutatafuta makored wetu na kuwapa nchi asante.
@BenardBwakitare
@BenardBwakitare 3 месяца назад
Masisiem ni majizi yaende
@albertvalentino130
@albertvalentino130 3 месяца назад
Kula chuma iko --- Chuma kweli kweli , Kama mwinjilisti.
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 3 месяца назад
Nakukubali pambalu
Далее
ROBLOX TRAND AGAIN. Part 7☠️🗿🙋🏻‍♀️
00:16
ROBLOX TRAND AGAIN. Part 7☠️🗿🙋🏻‍♀️
00:16