Haki itendeke ili Wajasiriamali wenye vigezo wapate vizimba kwa uhalali ili tuinue uchumi wa familia na Taifa kwa ujumla. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿
Jamani kajengeni soko Oake NIT MABIBO3. FIKENI JAMANI NI AIBU NI AIBU KUBWA SANA. WANACHUO KUTOKA.NJE YA NCHI WANATEGEMEA SANA.KUPATA HUDUMA ZA SOKO HILO.