Тёмный

RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia" 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 725 тыс.
50% 1

#RC Hapi#RCIringa
RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia"
JESHI la Polisi mkoa wa Iringa limelalamikiwa na baadhi ya wananchi kwa vitendo vya unyanyasaji dhidi yao ambavyo vimedaiwa ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Wananchi hao wamemweleza Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, wakati wa ziara yake ya Manispaa ya Iringa aliyotembelea mitaa mbalimbali akizungumza nia wananchi hao.
Aidha baada ya Mkuu huyo wa Mkoa kusikiliza malalamiko hayo ya wananchi juu ya Jeshi hilo la Polisi amelazimika kutoa maelekezo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Iringa Yohana Mjengi.
bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.ru-vid.com FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Suazi1 / uwazi1 WEBSITE:
globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Опубликовано:

 

26 сен 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@dastansimpanzye5558
@dastansimpanzye5558 4 года назад
Daaaaa! safi sana Ally Happy viongozi kama hawa ni wachache sana. kama unamkubali huyu kiongozi gonga like
@patriciamkupasi8838
@patriciamkupasi8838 3 года назад
Ally Happy hongeraaaa
@mbutaleetz225
@mbutaleetz225 Месяц назад
Safi sana dkt hana hakiri
@mbutaleetz225
@mbutaleetz225 Месяц назад
Safi dkt hana akiri
@malynarda2682
@malynarda2682 5 лет назад
Kama unamkubali rc ally gonga like I am the first
@deokimaro7177
@deokimaro7177 4 года назад
Piga chini mheshimiwa naona kama unataka kuingiwa huruma afai kabisaaaa
@davidevarist6371
@davidevarist6371 4 года назад
Jamaa kang'ang'ania mheshimiwa. Inatakiwa atubu amekosea sana wanairinga ,Ally oyeeeee
@ExavelMapunda
@ExavelMapunda 2 месяца назад
@abdallahhamad4499
@abdallahhamad4499 4 года назад
Kama umesikia kigugumizi - gonga haraka like 💗 💗
@rahmasalum2130
@rahmasalum2130 4 года назад
Hahahahhahahahahaa
@nickisonikyando2431
@nickisonikyando2431 3 года назад
😂😂😂😂😂
@faustaamasy2482
@faustaamasy2482 3 года назад
😂😂
@user-uw4pu9nm1u
@user-uw4pu9nm1u Месяц назад
😅🤣👍👍
@jumambwana7074
@jumambwana7074 4 года назад
Kama mnamkubali Rc Ally from Iringa , Rc mwanri from Tabora gonga like
@azizahabdalla2338
@azizahabdalla2338 5 лет назад
Wallah najivunia kweli kutoka Zanzibar na kuja kusoma Iringa baba unajitahidi na mungu akusimamie kwa kila hatua inshaallah👏👏👏
@robertadolf7831
@robertadolf7831 5 лет назад
Aziza Ali Abdalla mambo
@zezezeze8408
@zezezeze8408 5 лет назад
ALHAMDULILLAH nataman zanzibar watokee watu km hao .....wallah tutafadika na mola atatujazia neema
@saloujohn3639
@saloujohn3639 5 лет назад
wananchi hatuipendi nchi yetu kwa ajili ya mijinga kama hiyo upo sawa mkuu wa mkoa,,asante sana,,.sijui nikushukuru vipi ila tu mungu akubariki kwa kutetea mama zetu,dada zetu,watoto zetu wanakufa mkuuu
@danielmgomo717
@danielmgomo717 5 дней назад
Karibu hospitali zote nchini zinatoza hela kwa watoto chini ya miaka 5 ,wazee na wajawazito.Huyu mganga mkuu ni kamba imekatikia pabaya.Hakuna cha bure katika hospitali zote nchini.
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 5 лет назад
Wau very true Mheshimiwa Ally Hapi.. Good bless you... Iringa mko na bahati Sana Mungu amewaonekania
@dr.erickjmazyala8905
@dr.erickjmazyala8905 5 лет назад
Wow, hali ni tete kweli, RC chapa kazi, mkiyaweka hayo waziwazi hata wengine tuliojisahau huku mikoa mingine lazima tuanze kujitathmini kwa maamuzi tunayochukua! Mungu azidi iongoza serikali hii ya awamu ya tano, Mungu azidi ibariki Tz!
@silisamachite3428
@silisamachite3428 5 лет назад
nakuomba njoo kwetu baba
@estermpagama9664
@estermpagama9664 4 года назад
Dr. Erick J Mazyala uje moro
@atukuzwerobert5270
@atukuzwerobert5270 2 года назад
Kweli
@yafangunda4524
@yafangunda4524 5 лет назад
Jamani magufili alimtoa wapi huyu Ali Happ??
@atukuzwerobert5270
@atukuzwerobert5270 2 года назад
Acha tu natamani awe rais
@muzammilrajab5107
@muzammilrajab5107 5 лет назад
safi sanna kaka pambana alagwa tuko nyuma yako Allah ndie mlinzi wako
@sarahlydia2635
@sarahlydia2635 4 года назад
Ameen
@mussaalphonce9322
@mussaalphonce9322 5 лет назад
Big up to Mr All happy ct kuchapa kazi from busega simiyu
@bensonbaraza2145
@bensonbaraza2145 5 лет назад
Nmefrahi Sana mkuu wa mkoa jinsi unavyochapa KAZI endelea hivyo hivyo, kutoka kenya
@bjzee1981
@bjzee1981 5 лет назад
Huyu itakua alisoma aliko somea uncle Magu 😂
@e.j.starelia5672
@e.j.starelia5672 4 года назад
Na ni kweli
@abubakarngaiywa1165
@abubakarngaiywa1165 4 года назад
Ally mungu akulinde
@agnesmashauzi4445
@agnesmashauzi4445 4 года назад
Tunakupenda..sana..Aly
@juliaslengai3323
@juliaslengai3323 4 года назад
Kweli uyu jamaa ni kiboko khaaa
@juliaslengai3323
@juliaslengai3323 4 года назад
Kweli wananchi wakikataa wamekutaa tu
@furahalunyungu936
@furahalunyungu936 5 лет назад
Nakupenda bure MKuu wa mkoa!!!!!!
@hermanhermannkwatile3355
@hermanhermannkwatile3355 Год назад
Mbn huku kwetu hajawah kutoka bahati ya hiv
@gesyogongi5659
@gesyogongi5659 5 лет назад
Kudis to RC, in Iri ga Tanzania,.I wish Kenyan RCs' could learn from this leadership. You are the man RC, Hapi. Be Blessed for standing up for the week and poor specifically the children and the women wanao nyanyaswa ulimwenguni. Hasante kwa kumshulikia huyo mama aliye nyanyaswa kishamba kwa sababu eti alikuwa adopted. Sante kwa ku aangiza haki yake apewe. Pongezi sanasana Ubarikiwe
@karolishayo9338
@karolishayo9338 5 лет назад
Kama unaangalia hadi sahi2019 gonga like
@godfreylonyoto9888
@godfreylonyoto9888 4 года назад
Tz is the best place to be good work
@zakayomtundiloporesanajoha7958
@zakayomtundiloporesanajoha7958 4 года назад
Ilinga mna bahati mbona kigoma hatupati viongozi kama hao Kuna mkuu wa mkoa tabora ni jembe kama unawakubari gonga like
@malikamanara4076
@malikamanara4076 5 лет назад
Kweli uongozi unawenyewee .alhamdulillahi hapa kazi tu
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 5 лет назад
I aonekane Iringa pana shida. Inawakilisha sehemu nyingi nchini yakichunguzwa yataibuka mengi na makubwa. Iringa hoyee, mkuu wa mkoa Mh. Hapi ,hoyeeee big up. Wengine mikoani wanakataa bima za afya.
@Ntambwe4040
@Ntambwe4040 4 года назад
☆☆☆ Hata Burundi tunahitaji wa kuu wa mikoa kama hawa☆☆☆ Tanzania oyeeee nyi ni mifano yakuigwa. Love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@majaaliwajuma5512
@majaaliwajuma5512 4 года назад
RC Ally happy nakukubali ndani ya moyo wangu wewe nikijana mdogo kiumriiiiii Ila kazi unayoifanya nikubwa Ile mbaya ,hongeraaaa mungu akulinde
@youngtada2118
@youngtada2118 5 лет назад
RC u are the best all over the world 🌎 keep doing that 😛😇
@florianmwaibabile5308
@florianmwaibabile5308 5 лет назад
Thank you brother Hapiii saruti nyingi kwako
@rosebundala965
@rosebundala965 5 лет назад
Nimekupenda sana, Rais Magu akuhamishie Morogoro hospital Mheshimiwa.
@aminasaleh6134
@aminasaleh6134 4 года назад
duh huy mkuu wa mkoa nimempenda sana angekuw mume wang maan yupo sirias kabisa anatenda hak
@sarahlydia2635
@sarahlydia2635 4 года назад
Same here
@kingoman7895
@kingoman7895 5 лет назад
Muheshimiwa kumbe mkali ww hahah..safi sana
@recholukasi1817
@recholukasi1817 5 лет назад
Safi kabisa...
@stephenameeenlowoko323
@stephenameeenlowoko323 5 лет назад
King Oman wakome!
@user-uw4pu9nm1u
@user-uw4pu9nm1u Месяц назад
Kumeanza kuchangamka 🤣🤣
@hamisirama7386
@hamisirama7386 5 лет назад
Duhu!! Huyu ALLY api Natamani aje kua Mkuu wa mkoa wa Tanga
@angelpella437
@angelpella437 5 лет назад
Hamisi umeona eeeeeee
@rayaqme6935
@rayaqme6935 5 лет назад
Kweli kabisa mm mwenyewe nataman
@pendotitu7754
@pendotitu7754 5 лет назад
Hamisi Rama 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aje hospital ya bombo maana wanatukera sana unakuta unamgonjwa ila hautakiwi kulala nae mgonjwa apambane na hali yake
@dandeenndandeen3047
@dandeenndandeen3047 5 лет назад
Kwel yaan me nlikuw nawaz hivy hivy,, na akija wote hawana kaz
@tz5454
@tz5454 5 лет назад
Tuachie mkuu wa mkoa wetu😕
@kenyalatelyupdatestv9770
@kenyalatelyupdatestv9770 5 лет назад
Tanzania mpya Jameni, natamani sana hao viongozi mko nao wengekuwa wa huku kwetu Kenya walai, tukuwe na Kenya Mpya, Hongera Hapi, Hongera JPM.
@muddah7559
@muddah7559 2 года назад
Haiezi! Mkenya na shilling, nomaaaaaaa
@minjaminjaukovizurdogo5187
@minjaminjaukovizurdogo5187 5 лет назад
Asante sana muheshimiwa happy. Hapa kaz tuu
@luomusicchannelfromtanzani5650
Nani amemuona mama aliefunga kilemba chekundu nyuma ya RMO. alivyo shilawadu.....😂😂😂😂😂😂
@leonardpetro1463
@leonardpetro1463 5 лет назад
Hahaha mwanangu unafuatilia kinoma
@zuusaidibushiri5556
@zuusaidibushiri5556 5 лет назад
Minene.mungu anakuona 😀😀😀😀😀
@asteriayohana3746
@asteriayohana3746 5 лет назад
Hah hah
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 лет назад
MINENE News Chanel Tv 😂😂😂😂
@chazzkessy2371
@chazzkessy2371 5 лет назад
Hahahaaha shilawadu kweli
@datiabdallah6012
@datiabdallah6012 4 года назад
Kama umekisikia kigugumizi Cha ghafla gonga like
@estakapufi2582
@estakapufi2582 5 лет назад
Kaka yangu piga kazi Mungu azidi kukulinda unajuwa kutetea wanyonge
@jamilakizya7792
@jamilakizya7792 3 года назад
Mkuu wa mkoa anafanya kazi vizuri sana mungu akusimamiye na akupe umri mrefu na akulinde na mahasidi unafanya kazi nzuri sana mheshimiwa
@user-we3or9ol4o
@user-we3or9ol4o 5 месяцев назад
HAPO SINA CHA KUKUPA 👍💯, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
@franckruzibiza1909
@franckruzibiza1909 4 года назад
I am from Rwanda ,so proud of sir!
@ibnabou1886
@ibnabou1886 5 лет назад
Hakuna kona sema matumbo tumeweka mbele sheria nyuma bas, kona za nini? RMO kaongea ukwel ahsant mzee wang.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 2 года назад
Huyo ndiye Ali Hapi kiongozi anayejiamini na kutendea haki wadhifa aliopewa,inatakiwa RC uwe mtatuaji matatizo kama hivi na sio kubweteka ili mradi unapata mshahara wako na kusahau kwamba wanaokulipa wanateseka na hawapati haki zao inavyosihili. Hata kwa Mwenyezi Mungu ujue huna dhawabu yoyote na unailisha familia yako sumu.
@e.j.starelia5672
@e.j.starelia5672 4 года назад
Natamani mkuu Wa mkoa Wa Manyara aige kutoka kwa mheshimiwa Hapi,,, Hapi is the best leader,,, uongozi wa Magu uko Imara sana,,,,,nadhubutu kusema Rc hapi yuko kama Magufuli,,, huku simanjiro kuna vijidaktari vinatakiwa kutumbuliwa mana wamefanya hospitali za serikali kama nyumba zao,,,,mkuu wa mkoa Wa Iringa God bless you!!!! Then mkuu Wa mkoa Wa Manyara tembelea wilaya ya Simanjiro kata ya oljoro no5 kijiji cha oiborkishu kuna madudu ya kufa mtu tena bora ya huyu doctor Wa kutoka Iringa yana nafuu,,, huyu Wa huku anajifanya Mungu kwa wananchi na kusahau kwamba yupo kazn
@saidasimba9979
@saidasimba9979 5 лет назад
Ata mm nimelipishwa elfu 50,000/= hapo gvmt juzi nilimpeleka bibi yangu na bado kalazwa pale ad sasa
@mamafatuma138
@mamafatuma138 5 лет назад
Jamani naomba viongozi wa Kenya ebu jifuzeni kitu nimependa sana
@geresonochieng7098
@geresonochieng7098 4 года назад
Umeona hata mimi nimeipenda tunaomba uhuru wetu afanye hivi wanao muharibiya raisi wetu hapa kenya
@allybaraza2923
@allybaraza2923 4 года назад
Hata kwetu wapo mheshimiwa
@jeremymakokha4797
@jeremymakokha4797 4 года назад
Napenda vile Tanzania inaongozwa.....Najihurumia mm mkenya
@sanjafarmmachinerystractor4205
@sanjafarmmachinerystractor4205 4 года назад
Court mashinani
@sanjafarmmachinerystractor4205
@sanjafarmmachinerystractor4205 4 года назад
Good wapi wa kenya
@frankwilliam438
@frankwilliam438 2 года назад
Safi baba kaz unaindeleza ipasavyo 😂😂mungu akulinde na akupe maisha marefu 🙏🙏🙏
@saloujohn3639
@saloujohn3639 5 лет назад
I love this...We need ppl like RC HAPI,MAKONDA NA MKUBWA WAO MAGUFULI..we beg u please change our country ,.this is soo good..ppl are eating our money for no reasons
@emmanuellubadisha3170
@emmanuellubadisha3170 5 лет назад
Naelewa Kwmba Kuna viongozi na watawala big up mh. piga kazi ww ni kiongzi nandomana wasikiza kero Za wananchi wako
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 лет назад
😂😂😂😂😂😉😉😉 noma anatumbuwa majipu kama magufuli
@Pappyoffical
@Pappyoffical 5 лет назад
Wanatuuniza sana awa binafsi respect zangu zote serikari awamu ya tano tunaomba mzdi kukaa kalibu nawananchn
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 лет назад
Yani RAIS MAGUFULI VIONGOZI. KAMA. HAWA INGEKUWA HAKUNA MALALAMIKO KWA. WANANCHI YANI HUYU MKUU WA MKOWA NOMAA ANAWAJIBIKA IPASAVO
@patricejacob2285
@patricejacob2285 5 лет назад
Mkuu wa mkoa mungu akutangulie
@patricejacob2285
@patricejacob2285 5 лет назад
Ningemwomba mheshimiwa rais uje hapa manyara maana ni zaidi hapo
@janethjustin5256
@janethjustin5256 5 лет назад
Marijani Mohamed kabisaaaa
@johirhossian9257
@johirhossian9257 4 года назад
Shikamoo baba
@nancykaseko
@nancykaseko 5 лет назад
Asante ..Rc ..May God protect him in Jesus name..I pray 🙏Amen
@williamkipondamali1936
@williamkipondamali1936 5 лет назад
Huyo ndio Rais wa Mkoa bwanaaa safi sana Ally Hapi
@mahingilasambichuma1369
@mahingilasambichuma1369 5 лет назад
Uko Sawa Mh RC kwa kwani umefanya Utaratibu ili mamlaka husika zichukue hatua. Huo ndio Uongozi dhabiti 👏👏👏
@angelavayinga914
@angelavayinga914 5 лет назад
Iringa hoyeeeeee mimi ni mnyalu asilia na wanyalu wenzangu gongeni like hapo basi..
@Mariam-ez4qw
@Mariam-ez4qw 5 лет назад
Angela Vayinga oyeeeeeee
@lukindomagembe3374
@lukindomagembe3374 5 лет назад
Chaz paschal
@lukindomagembe3374
@lukindomagembe3374 5 лет назад
saf sana
@sundaymakungu2500
@sundaymakungu2500 5 лет назад
Wanasiasa watatupeleka pabaya
@issamwansasu8323
@issamwansasu8323 5 лет назад
Xf
@frankmitande8764
@frankmitande8764 5 лет назад
You are the best indeed big up Mh.
@ramadhanathuman5119
@ramadhanathuman5119 5 лет назад
Shikamoo mkuu wa mkoa iringa magufuli hajakosea kukuweka ww
@munirdatisha684
@munirdatisha684 4 года назад
Nakukubali sana kaka nafatilia sana habari zako fanya kazi kaka wananchi wapate haki zako kaka rc
@marianuswilla4814
@marianuswilla4814 5 лет назад
Uongozi uliotukuka. Ahsante Ally, mkuu wa mkoa Iringa. Marvelous leadership
@samueljr9105
@samueljr9105 5 лет назад
RMO hazitaki hizo microphone na dactari anazichukua haraka maana anajua kibao kiko kwake😂😂😂😂😂😂😂😂l LOVE you mkuu wa mkoa
@kidawaabubakari8142
@kidawaabubakari8142 5 лет назад
Safi sana mueshimiwa Ally happy wamezoea mpenafasi yakufagia huyo
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
😆😆😆hao sukuma ndani wote mbunge mtalajiwa hongera sana kaka Happy nani mwngine yupo hapa 2020
@edwindaniel7306
@edwindaniel7306 2 года назад
Ally hapi hongera sana kwa utendaji wa kazi nzuri hakika mwenyezi mungu atakulipa hakika ww ni mzalendo mtetezi wa wanyonge
@miriammande8325
@miriammande8325 5 лет назад
nampenda uyu mkuu wa mkoa jaman ninampenda sana mfikishieni salam zangu mnao mfaham
@rasulymwalukuta1004
@rasulymwalukuta1004 5 лет назад
Nampa salam tunaswali nae sana iringa
@carinamatt1031
@carinamatt1031 2 года назад
Sio peke yako mimi mwenyewe namuelewa sana
@doramarcel1013
@doramarcel1013 5 лет назад
Kila nikaangalie video za RC Ally Hapi huwa nasemaga shinyanga inahitaji kiongoz kama huyu
@michaelfaustin1777
@michaelfaustin1777 5 лет назад
Halafu kuna watu wasio na akili wanasema eti wanadhalilishwa wakati wanapora haki za watu
@mwanduchuma6189
@mwanduchuma6189 5 лет назад
Dora Marcel tunakuomba uje shinyanga huku ni shida
@begumchunnyrazafinjatovo9378
@begumchunnyrazafinjatovo9378 5 лет назад
Shinyanga kuna matatizo mengi mno, tunahitaji mkuu wa mkoa kama huyu.
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 5 лет назад
Dora Marcel Kenya pia
@happybruno1764
@happybruno1764 4 года назад
Duuuuuu upanga hukata bila huluma kama wew usivyo na huluma na watoto
@callgodbaraka9904
@callgodbaraka9904 4 года назад
Uwiiii nimekupenda sana waziri mungu akutie nguvu na kukulinda
@user-lf3lf5sw5h
@user-lf3lf5sw5h 3 месяца назад
Daaaa nimekukubali kaka watetee wanyonge kama ss ningependa ufike arusha ❤
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 5 лет назад
Hospital nyingi zinafanya hivyo Amana Tumbi
@hafsamichael246
@hafsamichael246 4 года назад
Akamwagezege hafai atamalizia hasira Kwa watoto
@frankjonas1094
@frankjonas1094 5 лет назад
Good,, Mambo mengine Ili yaende anatakiwa apatikane kiongozi Mwenye maamuzi magumu sanaa!!.....
@issaramadhani9714
@issaramadhani9714 5 лет назад
Sahihi kaka,Uongozi ni jambo kubwa sana na dhamana kubwa sana kwa ajili ya kuihudumia jamii ipate haki zake.
@maulidyyahaya9881
@maulidyyahaya9881 5 лет назад
dar uyu jamaa noma sana allah amjaze nguvu aweze kuwapigania wanyonge
@saumuabdi5954
@saumuabdi5954 5 лет назад
Mungu wangu Kama magufuli kabisa Safi Sana mtetezi wawanyonge napenda Sana nnchi yangu muheshimiwa hapa kazi tu
@georgeabala1559
@georgeabala1559 4 года назад
Tungekuwa na viongozi kama hawa Kenya.. Tanzania mnayo baraka. Uozo uliopo kenya ni ndoto mbaya ya ajabu
@suzanmgaya4323
@suzanmgaya4323 5 лет назад
Mungu akubariki ally hepi uishi maisha marefu
@omarimsangi3136
@omarimsangi3136 5 лет назад
Ally upo vizur Sana yaan hayo madudu walizoea ..piga kaz nakukubali Sana unatetea wanyonge ambao walikosa pa kuyaongelea
@daughterofgod9185
@daughterofgod9185 5 лет назад
Asante sana Mh. 🙏🏽
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 года назад
Hospitali nyingi nchini wanadai hizo hela wafuatiliwe wote
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 2 года назад
Mtetez wa wa nyonge mungu azidi kuku pa hekima nabusara akupe mwisho mwema kazi nzuri
@reemangoko2550
@reemangoko2550 4 года назад
Hongera baba aliy happy Mimi ni mzaliwa wa iringa ni kweli wanalipishwa hera kwa watoto wadogo hapo
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 5 лет назад
Tatzo la huyu dokta hata kuomba msamaha hajui😞 anazid kuongea tu yale yale na nd yanayopingwa na Mh; Hapi😄😄😄
@ramsokhamis9262
@ramsokhamis9262 5 лет назад
Yaaan uyuu cijui mkingaaaa mbishi kinoumaa alafuu mgumu kuombaa Msamahaaa ili yaishee next Tim warekebisheee.. 🤔🤔
@theresiakaruhanga9502
@theresiakaruhanga9502 5 лет назад
Ramso Khamis aombe msamaha ili iweje. who is Ally hapi by the way??
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 4 года назад
@@ramsokhamis9262 dharau na kutomua wajibu wake.he deserves it
@mdasad2148
@mdasad2148 4 года назад
Tumbua hao mkuu wa mkoa
@ridhwansaad5017
@ridhwansaad5017 4 года назад
Umeona ee
@rajabungereza8755
@rajabungereza8755 5 лет назад
Wakuu wa mikoa wangekua kama mkuu wa mkoa Iringa Tanzania tungekuwa mbali xana
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 года назад
Wakuu wa mikoa mingine nafikiri wako likizo wanatakiwa wamwige mkuu wa mkoa iringa happy
@samuelimori5711
@samuelimori5711 3 года назад
Hiyo nchi yetu iliko kuwa. Mungu ahusike kuisaidia nchi.
@williamsinkolongo4525
@williamsinkolongo4525 Год назад
Mukuu wamukowa wailinga mungu akuongoze katika utendaji wakazi zaselekali nimefatilia Sana mikutano Yako unafata Shelia 💕💕🙏🙏🙏
@salvatorypaul6119
@salvatorypaul6119 5 лет назад
Yes!! We need people like this!! Speak up RC
@peterrobert1799
@peterrobert1799 5 лет назад
Hapi in kiongoz mzur sana nampenda anasimamia haki
@kusinimediatz6747
@kusinimediatz6747 4 года назад
''Mh, mkuu wa mkoa kama nilivyokuambia lengo letu lilikuwa ni kuboresha huduma'' ha ha ha ha ha ha hongera sana RC Region commissioner Mh ALI HAPI tunapenda viongozi kama wewe unayechukua mahamuzi papo kwa papo Allah akuongeze vyema katika uongozi wako mungu ibarika Tanzania mungu tubariki watanzania
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 Месяц назад
Ahsante sana mkuu wa mkowa kwa kazi nzuri
@justinemaganga4139
@justinemaganga4139 5 лет назад
Huyu ni kiongozi nimemkubali kama unaungana na mm gonga like hapa
@martinighandai2098
@martinighandai2098 5 лет назад
uko vizur sana mkuu wa mkoa wa iringa hakika unafaa.
@michaelbochela5099
@michaelbochela5099 5 лет назад
Safi sana mkuu wa mkoa
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 5 лет назад
Kwaushauri wangu mm ningependa kusema kua.watoto na wazee.sio wote bure msifate umri kuna wazee na watoto wanahela matajiri sana.hamtawatoza hela kisa wazee au watoto? angalieni hali ya mtu sio wazee japo wanazo au watoto japo wanazo
@saidmamadou8155
@saidmamadou8155 5 лет назад
Tanzania hatupendani, hivi sivyo wananchi wanavyofanya kazi, hii ni aina ya unyanyasaji, watu wote wanafanya makosa, nadhani ikitumika hivyo kwa kila kiongoi, basi mpaka mkuu wa nchi atakuwa hatoki, acha yeye wa mkoa, kwa mfano, alitowa amri diwani akamatwe bila ya kisomewa shitaka, katumia kifungu gani.
@hildadaudi6109
@hildadaudi6109 5 лет назад
Hi ni consultation fee I guess,which is higher in referral hospitals..consultation fee hospitali ya taifa Ni 25000/= referral hospitals Ni 10000/= na ndio maana ikaitwa hospitali ya rufaa. And hii Sera ya watoto bure...what the heck ...can someone please tell me sehemu inayotekelezeka. Newborns wenyewe wakiumwa wanalipa. And by the way huyo doctor anafanya kazi Sana Tena Sana ...muda mwingi analala hospitali. Ana fundisha madaktari wa undergraduate and postgraduate hizo surgery na hakuna major surgery inafanywa na residents without chief surgeon..anaatend emergency operations which some take hours and hours yet he plays administrative roles. Mi nahisi wengi hawafahamu ..Ni kwamba tu madaktari hatuna Maneno mengi.
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 лет назад
Jamani, yaani ni mzito kuelewa huyo jamaa, anaambiwa anakiuka sera anang’ang’ania anaongeza mapato, ni mgumu sana maskini, haelewi na haombi radhi
@jennyjonas1359
@jennyjonas1359 5 лет назад
hata Dodoma hivyo hivyo inauma sana
@zuberimkakatu8098
@zuberimkakatu8098 5 лет назад
Safi sana rc happy kaza mwendo
@mpenzizayumba1863
@mpenzizayumba1863 5 лет назад
Kulipia ni haki yetu msiwachafue madaktari na wauguzi inapobidi lazima kulipa msiwadhalilishe mnawapa stress.
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 лет назад
Mpenzi Zayumba taifa limekubaliana KUTOWALIPISHA watoto chini ya miaka 5, wazee zaidi ya miaka 60 na wajawazito, yeye anawalipisha, hilo ni kosa
@mpenzizayumba1863
@mpenzizayumba1863 5 лет назад
Shida ni hiyo kuwa wazee na watoto hawalipi hilo sawa ni kosa.
@norbethngailo6604
@norbethngailo6604 4 года назад
Aliomuona mama langi mbili I like
@nickisonikyando2431
@nickisonikyando2431 3 года назад
😆😆😆😆
@alexoyombera6763
@alexoyombera6763 5 лет назад
My friend your a good leader and those people they shoul be in prison.
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 лет назад
Muende na mbeya jamaniiiii,heshima na utu lazima ujengweee,wameshikwa pabayaaaaa
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 лет назад
Brother kachachamaa kweli kwelii
@dicksonsamwel3507
@dicksonsamwel3507 5 лет назад
Shangilieni tuu, baada ya kikao wagonjwa ni nyie na huyo daktari, sijui mtamwita awatibu huyo mkuu wa mkoa? Si jambo jema kumdharirisha mtumishi hadharani hivi. Angeweza kuwaita baadae kuzungumza nao katika kikao.
@nelbertedward6737
@nelbertedward6737 5 лет назад
Na wewe ni muhujumu wa uchumi nini
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 Месяц назад
Muheshimiwa mkuu wa mkowa hongera sana mungu akubarik❤❤
@dainesigebo7019
@dainesigebo7019 5 лет назад
jamani naomba mje mwanza tunashida sana hosptali ya butimba
@hb.johnson8105
@hb.johnson8105 5 лет назад
Ahahaha bonge la jembe dokta Pengo lake kubwa tunaosoma namba iringa mh kavuruga
@tinasodom5177
@tinasodom5177 5 лет назад
Safi sana nakupenda sana iwe fundisho kwa wote
@bukavutv8794
@bukavutv8794 5 лет назад
IVI NJO INGETAKIWA NA CONGO IKUWE IVI. KUWA NA FIEKA BA MWIZI KAMA AWA.
@nickisonikyando2431
@nickisonikyando2431 3 года назад
😂😂😂😂😂
@mzenji
@mzenji 5 лет назад
Bora madaktari na manesi wote wajiuzulu tu. Waende kuwa wakulima. Huu ni udhalilishaji tu. Angeweza kwenda hospitalini kwa appointment akakaa na kuelewa ilikuwaje mpaka tukafika hapa. Huu ni ujinga wa hali ya juu! Ally Hapi hakuwahi kufanya kazi ya utekelezaji na maarifa hata siku moja maishani mwake. Hawezi kuelewa chngamoto ya kuendesha mpango wa afya wa mkoa wenye watu million moja. Hivi watu serikalini mnafikiri mkisema tu kitu bure siku ya pili inakuwa bure? "Au watoto wasome!" siku ya pili watakuwa mashuleni wote? Sera inahitaji mkakati uliopangwa, unaohusisha wadau wote husika. Sio kiongozi kuvaa miwani yake ya jua kama starring wa mchezo wa kihindi, na kupiga makelele uwanjani. Kuna watu wanasomea Utungaji wa Sera za Jamii (public policy), fani inayowahusisha wadau wote husika katika tatizo linalokabiliwa. Sio mjinga moja asiyejua lolote tu, lakini kwa kuwa kapachikwa cheo cha mkuu wa mkoa ndio ghafla anajiona mjuzi. Kwa ukweli nyie mnaoshangiria mjue hivi sivyo taifa linavyojengwa, huyu bwana anatafuta sifa zaidi kuliko maendeleo. Na kesho ukutwa mtarudi hapo hapo na tatizo hilo hilo.
@joelosano8570
@joelosano8570 4 года назад
watching from Kenya. nafwatilia kwa kina mienendo ya Rc Ally Gomba. kwa ukweli mwenyezi Mungu amewapa viongozi...
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 5 лет назад
Asanteee Rc mkoa waIringa hawa ndio viongozi tunaowataka RC shikiria KBS
@hassankitulotvsproduct8627
@hassankitulotvsproduct8627 5 лет назад
Sikuhizi selekari imekuwa kama kambale kila mtu baba
@hassankitulotvsproduct8627
@hassankitulotvsproduct8627 5 лет назад
Hawa ni watumishi ni vizuri hekima ikatumika
@severinifulgensi2686
@severinifulgensi2686 5 лет назад
RC MUNGU AKUPE FURAHA MAISHA YAKO YOTE
@bellutbellut3049
@bellutbellut3049 2 года назад
Mkuuu wa mkoa Ally Happy Nakukubali sana .Mama mpe Uwaziri .huyu ni mchapa kazi hodari
@osianaakimu9332
@osianaakimu9332 5 лет назад
Hiyo video imenikera sana na hao wananchi hawajitambui kabisa, siasa kila mahali; poleni madaktari wangu Mungu aendelee kuwapa ujasiri.
@vivianrichard9096
@vivianrichard9096 5 лет назад
Speed hii Makonda haiwez Anaweza kuhudhuria birthday party na kuchagua ma Tz-sweetheart
@juliuskyando7146
@juliuskyando7146 5 лет назад
Huyoo tumbuwa wasomi wengi mitaani wenye taaruma Kama yake
@juliuskyando7146
@juliuskyando7146 5 лет назад
Ningekuwa mie ningezimia nisibu maswali maana Hadi shida
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 5 лет назад
Chunga kinywa chako
@veronicasospeter8636
@veronicasospeter8636 5 лет назад
Yaan nyie cwawez
@furahaabdallah7882
@furahaabdallah7882 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@happygw6930
@happygw6930 5 лет назад
Well done mkuu wa mkoa yaani watanyooka tu
@lucyjoseph5199
@lucyjoseph5199 5 лет назад
hongera cna kaka rc kwa kazi nzuri
@dismaswafula3818
@dismaswafula3818 4 года назад
Mimi natoka Kenya, huu ndio uongozi utakao tulinda kutokana wafisadi, HONGERA sana TANZANIA.
@moshillinde6835
@moshillinde6835 5 лет назад
Hapo ndugu yangu mkuu wa mkoa unahaki zote, niko pamoja nawe, tuwakilishe vyema vijana wenzio.
@hildadaudi6109
@hildadaudi6109 5 лет назад
Hi ni consultation fee I guess,which is higher in referral hospitals..consultation fee hospitali ya taifa Ni 25000/= referral hospitals Ni 10000/= na ndio maana ikaitwa hospitali ya rufaa. And hii Sera ya watoto bure...what the heck ...can someone please tell me sehemu inayotekelezeka. Newborns wenyewe wakiumwa wanalipa. And by the way huyo doctor anafanya kazi Sana Tena Sana ...muda mwingi analala hospitali. Ana fundisha madaktari wa undergraduate and postgraduate hizo surgery na hakuna major surgery inafanywa na residents without chief surgeon..anaatend emergency operations which some take hours and hours yet he plays administrative roles. Mi nahisi wengi hawafahamu ..Ni kwamba tu madaktari hawana Maneno mengi😡
@allymustapha2033
@allymustapha2033 5 лет назад
good kiongozi
@marysulle4312
@marysulle4312 5 лет назад
Mkuu we ni wa mfano nimekupenda bure
@aburetalreginaelias2919
@aburetalreginaelias2919 5 лет назад
Diwani naomba uje kuongoza Arusha hata mwaka moja, nakukubali sanaaa,
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 лет назад
Safi sana Mkuu wa Mkoa Mpya wa Iringa walizoea sana wafanya kazi nyoosha baba!
@user-ft4tq4ug4c
@user-ft4tq4ug4c 2 месяца назад
Ally happy mara walikunyia firikisi sana lackini mwwenyenzi mungu Alikunusuru na lyo shari Ally hppy piga kazi kwa wananchi wa iringa
Далее
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 10 млн
His reaction 😳 (via @kaitlyn.b0506/TT) #shorts
00:10
Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA
53:22