Тёмный
No video :(

PART 3 : ISSA TAMBUU MARA YA KWANZA KUKUTANA NA DOTTO MAGARI,SIRI YA MAFANIKIO/KUFUNGUA KAMPUNI 

Carrymastory
Подписаться 474 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

BOSS WA DOTTO MAGARI ANAMALIZIA STORIA YAKE TANGU NA KABALA YA KUJULIKANA NA KUANZISHA KAMPUNI YA ISSATAMBUU FURNITER NA TAMBUU MAGARI #ISSATAMBUUPART3 #ISSATAMBUU #DOTTOMAGARI #carrymastorytv #ISSATAMBUUNADOTTOMAGARI

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@abdallahhamisi8706
@abdallahhamisi8706 11 месяцев назад
Respect Sana Bro Nasi Tutapita Njia Zako Inshallah🙏🙏
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 10 месяцев назад
UMEONGEA MANENO MAZURI SANA KWA VIJANA MUNGU AKUBARIKI 🤲🤲🤲🇹🇿🇬🇷✊
@user-zi5vy2jv6y
@user-zi5vy2jv6y 5 месяцев назад
Humble big bro
@idrisakassim3533
@idrisakassim3533 10 месяцев назад
Hii inatufunza ukiwa na pesa peke yake haitoshi bali unatakiw uwe mtu wa watu na kila mtu anafaida yake kweny mafanikio uko
@hamidakigundula8736
@hamidakigundula8736 2 месяца назад
MaashaAllah
@narumbahanje9393
@narumbahanje9393 Год назад
Nafikiri atakua anasoma hizi comment, mwandishi ameonesha kuwa hajui kuhoji lakin angeacha mtu ajieleezee
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 2 дня назад
Ya kwel kbs han swal la boint
@michaelak8082
@michaelak8082 Год назад
Uyu mwandishi ana maswali ya hovyo sana mpaka yanamchosha msimuliaji swali reeefu
@ramadhaniomary-4606
@ramadhaniomary-4606 2 месяца назад
Kuna point nimesikia kuuza mali yako ili kuendeleza biashara inataka moyo sana yaani maamuzi magumu
@alexmagina2026
@alexmagina2026 11 месяцев назад
Carry mastory hawa waandishi anawapataga wapii ujue mi kanichoshaa tokeaa mdaa
@Raish_technology_school
@Raish_technology_school 9 месяцев назад
Hili li host nilisenge,limeharibu interview
@elishazakalia-wj3my
@elishazakalia-wj3my Год назад
Muandishi acha mambo ya kisenge punguza maswali yasiokua na muhimu uliza acha mtu ajieleze unatuzingua
@binaljabirmshihirzanzibar8369
Kwel bro😂😂😂😂😂😂😂
@MichaelStewart-cl3fo
@MichaelStewart-cl3fo Год назад
😂😂😂😂😂😂😂 mhmmm
@therealaitar4149
@therealaitar4149 10 месяцев назад
Rudi ukalime hujui kuhoji Tambuu si mtangazaji kakuzid mbali sana
@kingkendrickk
@kingkendrickk Год назад
Yaani hili Tangazaji ni bichwa maji, muachie jamaa asimulie hafu hayo maswali yako muulize baada ya interview kuisha
@JanethMcharo
@JanethMcharo 7 месяцев назад
Mungu amuachi mjaa wake
@oyay2821
@oyay2821 Год назад
Hio milioni 12 ni TID ndio alisepa na ist mpaka leo hajalipa
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 6 месяцев назад
Nakuelewa sanna.
@neemamsuya829
@neemamsuya829 10 месяцев назад
Mwandishi rudi darasani unazingua umeuliza swali tulia ujibiwe
@SaraSusii-dl2pn
@SaraSusii-dl2pn 11 месяцев назад
Amna uchawi kabisa do
@aylabeachhouse7717
@aylabeachhouse7717 9 месяцев назад
god did it
@user-qc9xt4dp1i
@user-qc9xt4dp1i 8 месяцев назад
mwandish ajui kuhojo ana mapepe
@SIMUTIPS
@SIMUTIPS Год назад
host andaa maswali yako vizur na uliza kwa mpangilio ,sio unaendelea na story alf unauliza swali la nyuma tena unakuwa unamkata muhojiwa
@TamuzaKale
@TamuzaKale 9 месяцев назад
ONLINE TV. Hawezi hata kujifunza kwa wengine.
@andreaonesmo4907
@andreaonesmo4907 5 месяцев назад
Hko Sawa kaka nimekuelewa
@jamesmutale9302
@jamesmutale9302 Год назад
Ushauri mzuri
@user-bl3rq8fj9u
@user-bl3rq8fj9u Год назад
😂😂 mwamba yeye kazoea udaku sana 😂
@MichaelStewart-cl3fo
@MichaelStewart-cl3fo Год назад
Kazoea umbeya
@alexmagina2026
@alexmagina2026 11 месяцев назад
Mwandishi anawenge yani ana interact kila mara
@williammngara-fo4yd
@williammngara-fo4yd Год назад
Muandishi anazingua mwache mtu ajielezee ndy uulize maswali,ukimkatisha mtu hata anayehojiwa unamkata
@SIMBAYETUTV
@SIMBAYETUTV Год назад
huyu mtangazaji msenge kweli ah abowa kinyama
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc Год назад
Mtangazaji hujapevuka bado
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 Год назад
Huyu mtangazaji bado hamjafmukuza hadi leo ushuzi mtupu
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd Год назад
Mbona mnamtukana sana mwandishi hahaha
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 2 дня назад
Haha mpambe sio
@user-ts9fy7pu7j
@user-ts9fy7pu7j Год назад
Acha mtu ajieleze we vipi mtangazaji gani ww
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 месяцев назад
Nilitegemea maswali ya kujifunza muuliza maswali WA ovyo sana
@kelvinkatto4922
@kelvinkatto4922 4 месяца назад
mtangazaji unaboa sana hujui kuhoji
@ngomanagwa2781
@ngomanagwa2781 11 месяцев назад
Mtangazaj aandikiwe maswal na aelekezwe wakat wakuuliza ayo maswal dogo mtangazaj ana mdomo usio na faida ata ivo watangazaj wa bei rahic
@wazirirajabu6360
@wazirirajabu6360 Год назад
Mbona wewe mtangazaji hutuelewi uliza swali muache ajielezee mwenyewe
@mohamedwaziri4351
@mohamedwaziri4351 Год назад
Mwandishi hamna kitu, kanaingilia mazungumzoo
@user-hf4ij1mm1i
@user-hf4ij1mm1i 8 месяцев назад
Hili muandishi wa hbr halijui mbwa ww
@allystill-mwitamagarya6266
@allystill-mwitamagarya6266 Год назад
Mtangazaji mweupeeeeee
@elishazakalia-wj3my
@elishazakalia-wj3my Год назад
Unatuletea vipande nusu nusu shida nn
@issalazaro985
@issalazaro985 Год назад
Siku nyingine mtangazaji ujifunze kuhost au kuhoji watu, unaongea sana
@Hamy1109
@Hamy1109 Год назад
Mwandishi mbovu kabisa 😡
@abiaslaurian9331
@abiaslaurian9331 7 месяцев назад
What a boring interview!
@cmsa1r
@cmsa1r 9 месяцев назад
Kumbe dotto ni chawa tuu 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@ngomanagwa2781
@ngomanagwa2781 11 месяцев назад
Mtangazaj aandikiwe maswal na aelekezwe wakat wakuuliza ayo maswal dogo mtangazaj ana mdomo usio na faida ata ivo watangazaj wa bei rahic
Далее
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн
Паук
01:01
Просмотров 2,8 млн
Triple Protein Sandwich
00:32
Просмотров 4,6 млн
3d printed demon core vs real
00:24
Просмотров 7 млн
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн