Wow❤sasa hii movie ndo inabamba.. walai mumefika penye mm huwa napapenda🤣🤣halafu siku hizi mnajitahiji kutuletea kila aina ya movie ..mungu awabariki kazi ya mikono yenu..Na awape kila aina ya ujuzi na marifa
Kelvin unanitesaa mimii 😢 Kwanini unatugandishaa ingewezekanaa ungafanya kama series zingine kila sikuu unatowa kitu kwasababu nakupenda sana napenda kazi zako❤
Muwe mtafuta sura nzuri za kuchezesha jini lenyewe bayaaa hivutii, jini natakiwa mwenye shepu nzuri sura inavutia, airati hapo sawa lakini jini lingine ondoeni sura haivuti