Thanks my sstr vick my name is Marcelino Mtenga from iringa -kilolo to Bomalangombe village ,heshima kwako da vick na Fanani wote pamoja na sisi Hadhiraaaa Mwenyez Mung awazidishie ubunif zaid na zaid
Yaani kama kuelimisha munajitahidi sana kuelimisha jamii mana watu wengi pia wanaachana na mke wa ndoa kwasababu TU ya mwanamke ambae ata kwao hawakujui so Kwa hii move mwanamke kacheza vizuri sana hongera yake kwakwel
Ila jamani Kelvin na vickoria mnapendeza sana mkiwa mke na mume hongereni sana kwa kazi nzuri sana Mimi kikubwatu nawaombea mungu awape nguvu na afya njema mzidi kutuletea muvi nzuri zaidi
Waooo viky ile tu karibu mume wangu 😂😂😂😂😂 mume mwenyewe Kelvin daah nikakumbua penzi dada wa kazi 😂😂😂😂 mnafaana Sana kuigiza mume na mke 😂😂😂 😂 nawapenda❤❤❤❤