Тёмный

RAFIKI AKAWA ADUI BAADA YA KUJUA MUME YUPO UK |MTANDAO UNAVYOSAIDIA KUANZISHA MAHUSIANO 

Official Dating Assistance
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Morio Elizabeth ameeleza Safari ya maisha yake kutoka kuumizwa na mahusiano na wabongo mpaka kuamua kuangalia upande mwingine na kuwaza kuingia kwenye mahusiano na wazungu
Alitumia Online dating lakini aka kutana na mume wake kupitia mtu wao wa karibu.
Anasema unaweza kuingia kwenye mahusiano na mtu yoyote kikubwa ni kupata mtu sahihi tu na kusikiliza sauti ya Mungu akisema na wewe.
Changamoto ya kupata Visa na safari.
Thank you Morio for allowing this to be online
www.oda.international

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 243   
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 3 месяца назад
MashaAllah tabaraka Rahman Niliogopa kukwniya Da Shena HIJAB. NDIO. VAZI LAKO
@joycelaura4611
@joycelaura4611 4 месяца назад
Elimu nzuri katika kufunga Mungu hujibu km unavyohitaji
@lindamutasa5752
@lindamutasa5752 4 месяца назад
Hakika nimekufatilia sana Kila jambo umemtanguliza Mungu na mfungo ubarikiwe sana@eliza
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 месяцев назад
Beautiful woman ❤ Beautiful interview ❤ Kila la kheri huko UK
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Thank you so much 🫶🫶🙏
@skithaskitha3902
@skithaskitha3902 6 месяцев назад
Interview ni nzuri sana sana Eliza ni mtu anapenda sana kuona furaha ya mtu mwingine kuliko ya kwake yeye na ndio sababu ya Mungu humpa zaidi na huo ndio ukweli
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Thank you so much oooh I appreciate it dear
@liannsambu7264
@liannsambu7264 6 месяцев назад
So lovely story and the girl is so charming and fun , but nimeiona NGUVU YA MUNGU KUPITIA STORY YA HUYU DADA ,nimependa her lovely story MUNGU akifungua njia HAKUNA WA KUFUNGA , DHO STORY YA KUFIWA NA WAZAZI WAKE WOTE JAMAN KISA KASEMA ANAONDOKA NAO ,DU HIYO NI HUZUNI
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 6 месяцев назад
Asante dada uko vzr umetufundishakitu
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante sana dear
@marthandenuka7903
@marthandenuka7903 6 месяцев назад
Interview nzuri jamani na hongera kwa kazi nzuri Shena. Naomba ushare hiyo link ya dating online tafadhali.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
www.bantu.dating
@teddymutani856
@teddymutani856 6 месяцев назад
Shea mdg angu nakukubali sana upo vzr unatuelimisha vzt sana mmy Mungu akupe afya njema
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Shukran sana 🙏
@negwamwaipopo6467
@negwamwaipopo6467 23 дня назад
Kumwamini na kumtegemea Mungu kunalipa, hongera sana my dear,
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 6 месяцев назад
Kweli kila kitu ni mpango wa Mungu,uchelewe,uwahi,yote ni Mungu
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi yani
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 6 месяцев назад
Pole sana kwa kuwapoteza Wazazi.May The Almighty God rest their Souls in eternal Peace.
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Amen thank you so much
@KissMtea
@KissMtea 6 месяцев назад
Wow amazing story nimejifunza kitu kikubwa had nimefurah
@flaviacharles1348
@flaviacharles1348 4 месяца назад
Cute Beth! You are so genuine! Keep being great.
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 6 месяцев назад
Kumtegemea Mungu ni salama...Pole kwa kufiwa wazazi, wapumzike kwa amani
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante sana dear Amen wapumzike kwa amani wazazi wangu
@katumabiyan5090
@katumabiyan5090 5 месяцев назад
Aisee Dada!! Unafurahisha sana. Na story inavutia sana. Tumefurahi umetufundisha kumtegemea Mungu
@pendokissatu937
@pendokissatu937 3 месяца назад
Huyu dada Ni Mremboo❤❤❤
@verachikulupi8063
@verachikulupi8063 Месяц назад
Sana rangi yake nzuri sana
@mariambakari8065
@mariambakari8065 5 месяцев назад
Hongera sana ila marafiki sio watu
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 6 месяцев назад
Tuletee Sharifa shaba please, thank you for your good work
@MultiBice
@MultiBice 6 месяцев назад
Shena huyu dada ni very beautiful mashallah ❤
@olympiamtenga8761
@olympiamtenga8761 6 месяцев назад
❤❤❤❤nice one na pole sana Eliza kwa kupoteza wazazi. Wapunzike kwa Amani
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Amen Asante sana 🙏🙏
@jescanicodemus
@jescanicodemus 6 месяцев назад
@@elizabethhonere2931 😂😂 hauna shemej ako jmn uko ukanipa🤣
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 6 месяцев назад
Da Shena Hizo Ushungi Ndio Iwe Identify Yako, Yaan Unapendeza Mno Ukhty
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Shukran 🙏
@SuleimanSharif-t1c
@SuleimanSharif-t1c 16 дней назад
Mimi naomba link ya kupata mchumba mpaka ndoa
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 6 месяцев назад
Hongera Kwa kutu approach na sisi tulio na ndoto za kufika huko
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Thank you so much 🙏🙏
@yep_gt
@yep_gt 6 месяцев назад
Hongera Eliza ni storyteller mzuri sana
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 3 месяца назад
Mungu akutunze dada na ndoa yako
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 3 месяца назад
Iyo ndowa sahihi
@dayana5513story
@dayana5513story 6 месяцев назад
Nimecheka kwenye bags 😅😅,lovely story ❤Asante mrembo ubarikiwe sana 🥰God bless you shena ❤
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂 acha tu bags zilinitoa uweponi. Amen thanks
@atislady3400
@atislady3400 6 месяцев назад
Uyu dada yupo reall and very transparents
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Thank you so much dear 😂🫶
@hanswan1
@hanswan1 6 месяцев назад
Da Shena wewe nusra tayari??? Hijab usiache hata baada ya Ramadhan ikiisha unapendeza mno mashallah 😊
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 5 месяцев назад
SHEN jZAK llah kheir kwa kivazi kizuri
@elizamushi-yv4iz
@elizamushi-yv4iz 6 месяцев назад
Pole Beth na hongera
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante dear
@davidwatson4294
@davidwatson4294 6 месяцев назад
Nice story
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Thank you
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 6 месяцев назад
Woww hongera sana huyo ndo Mungu awape maisha marefu❤❤❤❤
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Amen Kashmiri sana
@reggiebaltazary9274
@reggiebaltazary9274 5 месяцев назад
I realy love this show
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 6 месяцев назад
Dada barikiwa sana
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Amen thank you dear
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 6 месяцев назад
Tunaipenda channel kindakindaki tunalike hata kabla hatujaanza kusikiliza.😅😅
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
😁😁thanks jirani
@lucymtui8680
@lucymtui8680 6 месяцев назад
Hongera sanaa , dada Elizabeth umepambana..upo vizurii wa nyumban, chukua maua yakoo
@JokhaKhamis-z8e
@JokhaKhamis-z8e 6 месяцев назад
Nimekupenda sn unavyoelezea uhalisia wako ..na unavyiingea kiswahili sio kutuchanganyia kingereza
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
😂😂😂 asante sana 🫶🫶🙏
@Mazoea
@Mazoea 6 месяцев назад
Uyo Rafiki yake ndio alikua adui yake tangu zamani na ndiye aliyekua anazuia yeye kutopata mwanaume wa kumuoa.na ndio maana alivyopata mwanaume wa kumuoa uyo rafiki akuweza kuvumilia..adui zetu ni wale wa karibu yetu .ndugu marafiki
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Kweli kabisa ila Mungu amponye tu hiyo roho
@francisbonda9300
@francisbonda9300 6 месяцев назад
Hongera sana kumbe nilichelewa hahahaha
@nasibujuwe3038
@nasibujuwe3038 6 месяцев назад
Hi Sheen you looking good on that Ijabu mashahalla napenda kipindi chako mimi nipo Toronto naangalia kipindi chako kwa mmda sasa nipo hapa kwa 32 sasa hapa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Shukran sana, 🙏 Karibu kwa kipindi tupate kujifunza mengi +4367764790884
@ednaJF1028
@ednaJF1028 6 месяцев назад
​@@OfficialDatingAssistance Shane mimi Nina private question
@SalomeKhalfani-cm9xy
@SalomeKhalfani-cm9xy 6 месяцев назад
Jamani mtusaidie nasiee tunae taka kutoka tz
@jescanicodemus
@jescanicodemus 6 месяцев назад
@@SalomeKhalfani-cm9xy😂😂😂 kwa kwel
@RachelMligwa
@RachelMligwa 6 месяцев назад
Hiyo ndoa ndo Mungu anaitaka mnakutana ki. Mwili siku ya ndoa
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Amen thank you 🙏
@josephifanda5626
@josephifanda5626 Месяц назад
Kweli dada zetu kuolewa kwenu ni mtihani, duh
@Joyceisaka
@Joyceisaka 6 месяцев назад
Jamani hamna kazi huko da eliza tuje hata dada wa kazi mwee
@JuvinariesNyandoto
@JuvinariesNyandoto 6 месяцев назад
Dada vipi mbona sijaona mahojiano ya wanaummeau vijana wa kiume ili nasi tujaribu
@hedwigjohn6276
@hedwigjohn6276 6 месяцев назад
Jamani adi raha yan
@flaviacharles1348
@flaviacharles1348 4 месяца назад
Great interview
@AaBb-kp7io
@AaBb-kp7io 6 месяцев назад
❤❤❤❤ shukran sana kwa l dear zenu
@zayumar2955
@zayumar2955 6 месяцев назад
Sheena mualike na da sherry yule mpemba😅😅😅 jmn tujue historia yake
@user-ok4kh8pd2r
@user-ok4kh8pd2r 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂yule story yake itakuwa ya siku nzima😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Tuombe Mungu tumpate 🙏
@zayumar2955
@zayumar2955 6 месяцев назад
@@user-ok4kh8pd2r ni full kucheka tu make yule 🤣🤣🤣🙌🙌
@zayumar2955
@zayumar2955 6 месяцев назад
@@OfficialDatingAssistance InshaAllah hawez kataa yule mtu wawatu MashaAllah mcheshi mwenyewe ivyo tutaenjoy Sana 🥰❤️
@talentshow2024
@talentshow2024 6 месяцев назад
Mbona USO you look like😊
@ashumohd2192
@ashumohd2192 6 месяцев назад
Hii interview nmejkuta nafurahia saaana 😂😂😂❤❤❤...Msimuliaji nda wote yupo na tabassam ❤❤❤
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 6 месяцев назад
And she's very cute
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante dear yani napenda kufurahi jamani dah 😂😂🙏🙏🙏🫶
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
@@sophiakassim6784ohhooo thank you dear 🫶🫶🫶🥰🥰🥰🙏
@happybryce1269
@happybryce1269 6 месяцев назад
Nimependa unavoelezea dear. yua byutful darling❤
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 4 месяца назад
Sheena blog yako namimi naipenda, inafundisha wengi na maswali yako kwa wateja wako ni mazuri sana. Je, tunapotaka kujiunga nawe tutumie njia gani. Kuwashauri tu mabint na wavulana wataka wazungu.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shukran Tuwasiliane WhatsApp +4367764790884
@timothykaiza327
@timothykaiza327 3 месяца назад
Hakuna bahat mtu anapata Kama kupata mwenzi wa jamii yake ugaibuni kuliko wazungu.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 6 месяцев назад
Balikiwa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Na kwako pia 🙏
@AngelCarlos-ec8rv
@AngelCarlos-ec8rv 6 месяцев назад
Waooh Wifi jaman tutenz kumwitu sumbawanga
@Namtumbo
@Namtumbo 6 месяцев назад
Sante kalesa,zamanda
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Oooh kumbe Nina mawifi wakutosha humu asanteni sana🥰😝🙏🫶
@estasiashiringa1038
@estasiashiringa1038 6 месяцев назад
I like her😊 Pure ♥️
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Thank you dear
@Lizzyktd
@Lizzyktd 6 месяцев назад
Mungu awatunze 🎉🎉🎉🎉
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Amen dear
@mariamahmad8261
@mariamahmad8261 6 месяцев назад
Leo nimelauka jaameni huwanakosa sana hizi liv
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Im happy to hear dear
@zaitunomar54
@zaitunomar54 6 месяцев назад
Nikweli jamani Hawa wenzetu wapi masikini piya
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 6 месяцев назад
Jamani nampenda Shena bureee,AF huyu dada Mzury jomoni💋❤️
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Thank you so much 🙏
@uzuri_alex
@uzuri_alex 6 месяцев назад
Aaahhh Morio..jina la mama yangu...majina yetu wachaga
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 месяцев назад
Nami bibi yangu ni morio.
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Yes dear basi mie mama yako mdogo 😂😂😂
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
@@yukundapeter8200wow nitakuwa bibi yako mdogo sasa 😅😅
@OnlyRuky
@OnlyRuky 6 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣 Process ya viza kanikumbusha mbali yupo sahihi 💯 na hekaheka ya safari wacha tuuu but me nilipambana na kupitia Amsterdam Airport 😂
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 thanks dear acha tu
@kosherasengasu5093
@kosherasengasu5093 6 месяцев назад
Nimependa interview yako.Hongera mwana Kilimanjaro mwenzangu.
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante sana ndugu yangu🫶🫶
@happybryce1269
@happybryce1269 6 месяцев назад
​@@elizabethhonere2931I love elizabeth. we can be friends pls your number
@LudovikLudovika
@LudovikLudovika 6 месяцев назад
Fingers sanaaa mpendwa naomba Mungu aendelee kukuongoza
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Amen Amen 🙏
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 6 месяцев назад
Nice interview da shena na da Elizabeth 🤗🥰❤️
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Thank you so much
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 4 месяца назад
I decided to subscribe ❤😊
@salmanoorhashim5450
@salmanoorhashim5450 4 месяца назад
Story zinafundisha
@jumashindano4758
@jumashindano4758 6 месяцев назад
Vipi kujiunga bantu dating website?
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
www.bantu.dating
@sharifaabdallah7006
@sharifaabdallah7006 6 месяцев назад
Da sheena mzur mashallah ❤
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Mungu amtunze Shena wetu ni mrembo haswa tena mwenye akili, utu na upendo mkubwa 🥰🥰
@groliarafaeli7232
@groliarafaeli7232 2 месяца назад
Mimi mwenyewe nataka mwanaume mzungu nifanyeje dada sitaki ngozi yangu
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 6 месяцев назад
Shena napenda sana Kazi yako tunapata elimu sema nakosa muda jmn
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Pole dear na ahsnate
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 6 месяцев назад
Pole sana.ila Mungu alijua ndo maana alisubiri wamekukabidhi kwa mume wako ambaye atakuwa kwenye nafsi yao.
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante sana ni kweli kabisa. Waliniozesha wakiwa so happy na amani kabisa . Mungu awapumzishe mahali pema Amen 🙏 for
@tabithadaudi5960
@tabithadaudi5960 6 месяцев назад
Dada Shena ngoja nimalize kuandika historia yangu ntakutafuta😀😀😀😀
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Karibu dear 🥰🙏
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 6 месяцев назад
Hongera sana shena👍🏼👏🏽interview nzuri sana.
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 6 месяцев назад
Nimecheka sana ule msemo kuwa utasubili sana mzungu hatongozi barabarani😂😂
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Kabisa 😅😅😅 utatembea na kutembea wanakupita kama hawajaona mtu Kama hewa 😂😂😂🙌🙌
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 6 месяцев назад
Hakuna rafiki .Bora uchelewe upate kilicho bora
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Kabisa😢😢
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
Makubwa Ndo kazi hivyo kupata visa za ulaya🙌 Kazi ipo Tunashukuru kwa hizi information
@vickylupemba6055
@vickylupemba6055 6 месяцев назад
Hi interview yako nimeipenda, Mchagga Mbona Kiswahili safi hivi😂 niko UK pia mrembo wetu. Pole kwa yote🙏🏾
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Ooh Asante sana dear. Uko Uk sehemu gani Nina ndugu hapa kumbe 🙏🙏🙏
@vickylupemba6055
@vickylupemba6055 6 месяцев назад
@@elizabethhonere2931 Kweli kabisa Naishi Crewe, Cheshire. Nimepokea Dar, kwetu Mwanza👏🏽
@pendojuma8075
@pendojuma8075 6 месяцев назад
Mualike lulu kamanga wa Germany jmn da Shena nakuomba
@upendogreutert199
@upendogreutert199 6 месяцев назад
Huyu Mchaga Original kabisaaaa , mbon tsafo Morio 😂😅
@evelynlyimo1557
@evelynlyimo1557 6 месяцев назад
😂😂 nasicha mae...ngamkundaee,.. amejielezea vizurii sana..ushauri ashanipanua akili,,if a man is genuine atakutumia barua even in his absence. Mpatane mbele,, instead of giving false promises..hatimizi Hadi.
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Shisha mae😂😂
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
@@evelynlyimo1557Asante sana ndao malimo 😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
😂😂
@Marym-iw2wr
@Marym-iw2wr 5 месяцев назад
Shena mtafute habshuu life style na dida juma
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 6 месяцев назад
Tunafurahia kipindi chako kizur
@olivianiwagila3109
@olivianiwagila3109 2 месяца назад
@hassankhamis344
@hassankhamis344 6 месяцев назад
Hiyo ndiyo kenya airline
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Acha ni helaheka ila sasa ndio inabidi
@zaitunomar54
@zaitunomar54 6 месяцев назад
Daa ila stori yako nzuri dada
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante sana kipenzi 🫶🫶🙏
@HayronSalmin
@HayronSalmin 6 месяцев назад
Mtihani inaitwa ILTS
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 6 месяцев назад
IELTS
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
@@blessedaggie9159 upo sahihi
@josephmkami
@josephmkami 6 месяцев назад
Kiukweli huyu dada ni mke na huyo kijana na mume. Kitendo cha kupokeana airport mara ya kwanza na hawakulala pamoja.. Shenanigans asipowangilia ndoa yenu itakuwa njema. Wadada wanaokusikiliza kuna kitu wamejifunza. Hasa uvumilivu na subira
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante sana kaka. Mungu anatutetea tuko na furaha katika maisha ya ndoa yetu changamoto ni ndogondogo za kawaida
@HayronSalmin
@HayronSalmin 6 месяцев назад
Shida yangu ni kupata hizo site
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Karibu nitakua na darasa Jmosi hii
@Ndokole
@Ndokole 6 месяцев назад
👏👏
@SalomeKhalfani-cm9xy
@SalomeKhalfani-cm9xy 6 месяцев назад
Jaman stori tamu baaa
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Asante sana dear
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 месяцев назад
Primer care
@abdullahmhina2207
@abdullahmhina2207 6 месяцев назад
Elizabeth nakufahamu marehemu baba yako alifariki nikiwa nae muhimbili yan alikuwa mzee wangu sn
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
Ila nachopenda interview nyingi wadada wengi waliomba Mungu sio kirahisirahisi Mwingine alipiga magoti chooni kushukuru Mungu hotelini baada ya kumpokea mzungu wake😂
@BeatriceBadady-pn4mb
@BeatriceBadady-pn4mb 6 месяцев назад
Hajazala ao tunapenda kujuwa
@ChizaSaidi
@ChizaSaidi 6 месяцев назад
Shena ni mkimyaa mashallah mtulivuu
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 6 месяцев назад
Mwanaume alipata mke bola yupo vzr sana
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 6 месяцев назад
Alipewa entry visa
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Yeah
@zaitunomar54
@zaitunomar54 6 месяцев назад
Iko VIP hiyo webu jamani nasisi tips waume tueleldxe
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
www.bantu.dating
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Mtapata kazana kumsumbua Shena hata ukikwama atakusaidia uingie
@Joyceisaka
@Joyceisaka 6 месяцев назад
Na mm nisie jua kingereza nampatajee jaman ha ha msaada
@IgnatiusSanya
@IgnatiusSanya 6 месяцев назад
Mchaga kwel
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Ndio wa Rombo
@kapeljjkapeljj5407
@kapeljjkapeljj5407 6 месяцев назад
Wooow kumbe liz wewe niwifi yangu 😂😂❤
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 6 месяцев назад
Hahaha😂😂😂 yeah my wii
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
Ila huyu dada anachekesha😂😂
Далее
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59
"Mawazo" Sehemu Ya 59 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
30:32
WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU
1:02:41