Тёмный

RAIS SAMIA AKASIRISHWA NA HAYA MITANDAONI AFUNGUKA 'HAUWEZI KUMTUSI KIONGOZI, TUSIFIKE HUKO' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 4,3 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@IbrahimKabeniani
@IbrahimKabeniani 3 дня назад
Ndo maaana Kuna shetani na mungu uwezi kulazimisha kupendwa lazima ukubali kuchukiwa Mimi binafsi sikupendi
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 3 дня назад
Mimi mwenyewe sikupend hay ili iweje tafuta hela acheni uchaw ndugu
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 3 дня назад
Kabisa…😂
@hanifa9153
@hanifa9153 3 дня назад
Hasbunallah wanneema l wakeel mbona umchkie mwenzako sababu ya dunia kwani utaishi milele apa chini ya jua!??
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 дня назад
Mwenyezi Mungu akupe subra na uvumilivu maana binadam walitukana hadi Manabii, Mungu ibarik Tanzania, Mwenyezi mpe afya njema Rais wetu na Viongozi wetu wote
@jamessnowden447
@jamessnowden447 3 дня назад
Kumbe matusi anasikia ila shida za wananchi hasikiii
@claudiajames2003
@claudiajames2003 3 дня назад
Yaniiiii😢😢😢
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 дня назад
Kwani Bakharesa alipewa hela na serikali? tuache uvivu na lawama, miundo mbinu mshawekewa nini tena?? biashara kama unaijua hata uanze na kuku wawili dume na jike ukiwa na subra watafika 10,000 tuache mteremko, itafikia hadi utashindwa kumridhisha mwenza utasingizia Serekali
@mahendekamodestus767
@mahendekamodestus767 3 дня назад
Kweli kabisa va msingi asikii
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 3 дня назад
Wewe lalamika mpk ufe hlf kw Mola kalalamike kuhusu samia
@Mjuaji2029
@Mjuaji2029 3 дня назад
Shukuru upo TZ, Ingekua Kenya ungefyata tu.​@@ndukulusudikucho_
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 дня назад
Kweli kabisa watu hawana adabu hata kidogo mm nikiona mtu akimsema kiongozi vibaya hua naumia sana sana
@shalemu
@shalemu 3 дня назад
Allah akubarik raisi wetu akulinde mama yetu
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 3 дня назад
Mimi binafsi wewe Mama sikupendi nakuchukia vibaya mno, wanaokusifia wakusifie tu. Unachokifanya ni Kwa faida ya wachache ila wengi tunaumia
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 3 дня назад
Udini ndio unawatesa nyie mnaemchukia Rais Samia
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 3 дня назад
@@abuumuhammad7133 Hata kama ukisema hivyo sawa tu, ndio simpendi Sasa utanirazimisha, unajua shida wanazopitia wafanyabiashara na watu wa hari ya chini wewe, huduma zilizopo kwenye maofisi ya serikali, huduma za afya, wajasiliamali wanavyoteseka. Kaa ujifikirie na kama uwa hautembei Bora ukafunga mdomo wako. Kenge wewee Mbavuuuuuuu!!!!!!
@afmabeat9567
@afmabeat9567 3 дня назад
Kumbe akikasirishwa ndo anakuwa hivi?!
@user-qc9jf6rn7u
@user-qc9jf6rn7u 3 дня назад
Umenena mema mama na kiongozi wetu kipenzi. Mungu akulinde, ili uzidi kutuongoza katika misingi ya amani na upendo. Mitano tena mama. Nakupenda na nakutakia afya njema kwa ajili ya watanzania wote.
@user-yt9zf6xd8n
@user-yt9zf6xd8n 3 дня назад
Kweli mama ramli inachonganisha san
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 3 дня назад
Raisi ni binadamu akizingua anaambiwa ukweli. .kama ùtaki achia ngazi
@Mjuaji2029
@Mjuaji2029 3 дня назад
Ety kama unaijua dini huwezi fanya hayo, anasahau kua TZ haina dini na haiendeshwi kidini....
@DaluChiwinga
@DaluChiwinga 3 дня назад
Mama tunaomba mkaa usikataze utatua njaa wananchi wako wa Ali ya chini tunaomba utuonee uluma wanao
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
Samia umesema vyema, hatuwezi kutusi viongozi wetu. ila sikia vilio vya watu wako..sikilizaaa...vijana wengi hawana ajira, miundo mbinu hiko ktk quality inayostahiki, kodi ni kubwa na pesa haionekani..ona jirani yako anavoenda rekebisha nyumbani kwake: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-rK5wfyT0g-w.html
@user-uy3uk2ul5b
@user-uy3uk2ul5b 3 дня назад
Mama samia oyeee, ila nahuliza je naani mlinzi wa raisi apo nyuma sijawai ona kokote tangu maraisi wanyuma waliopita ???
@stuntkizzy
@stuntkizzy 3 дня назад
Mlinzi ni huyo alovaa nguo za kijeshi
Далее
Макс Пэйн - ТРЕШ ОБЗОР на фильм
47:02
POLI зовет Газана
00:12
Просмотров 794 тыс.
Макс Пэйн - ТРЕШ ОБЗОР на фильм
47:02