Тёмный

RAIS SAMIA atoa neno hili kwa KABUDI NA LUKUVI baada ya UAPISHO wa viongozi wateule IKULU 

Mwanahabari Digital
Подписаться 737 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@StanleyKadu-pr3mt
@StanleyKadu-pr3mt 2 месяца назад
Hongera Sana mama kwa uteuzi wa viongozi wote,lakini nkupongeze kwa kurudisha kabudi kua waziri wa katiba na Sheria,naamini kazi itakua nzuri.
@khomeinially3165
@khomeinially3165 2 месяца назад
Mashaa Allah mama ytu apo kwa profesa kabudi apo sawa kbs umeona mbali sn allah atimize ndoto zko inshaallaah
@GavanaLetikaMathayo
@GavanaLetikaMathayo 2 месяца назад
Apo sawa mama
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 месяца назад
Mmmh
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 2 месяца назад
Hongeraa! Mama kwa uteuzi natumai hta ss ipo cku utatukumbuka
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 2 месяца назад
Mama piga kazi umetuaminisha na sisi tumekuamini
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 месяца назад
🙏👍
@Worldunite
@Worldunite 2 месяца назад
Ila waziri ummy jmn,huyu dada yuko vizuri aisee
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 месяца назад
Ukiona mama kabadilisha au kampumzisha mtu basi fahamu kuwa Kuna sababu
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 2 месяца назад
Ndiyo mama kimoja
@neemaneykisanga
@neemaneykisanga 2 месяца назад
Yule aliye tule tea umeme wa 27000 yupo kweli maana alikua bora sana hasa kwa sisi watu wa hali ya chini
@VictorKahangwa
@VictorKahangwa 2 месяца назад
Kumbe Kabudi na Lukuvi kawapa neno peke yao? Mwandishi nenda kasome halafu ukirudi jiongeze pia
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 2 месяца назад
Kiapo kimoja tu
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 2 месяца назад
Sasahivi lazima turudishe majembe,ili tuvuke sarama,la sivyo jahazi linazama
@jtheophil5499
@jtheophil5499 2 месяца назад
Gender haija balance.wanawake wanazidi kutupwa mbali.Anyway langu jicho.
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 2 месяца назад
Mhe
@Teddy-z4i
@Teddy-z4i 2 месяца назад
Amna lolote apa kafanya nn teuzi kila kukicha mijizi unayaacha tu unakimbilia dagaa unayaacha mapapa ovyooooo t
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 месяца назад
Tengua tengua at the same time inaondoa ufanisi pia inazima nyota za baadhi ya viongozi bila shaka rais anaogopa viongozi wanapong'ara
Далее
WEW STEVE HUYO NI DADAYAKO UNAFANYA NINI
13:15
Просмотров 605 тыс.
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 444 тыс.
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 158 тыс.
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 444 тыс.