Тёмный

Rais Samia Suluhu Alivyompigia Simu Live Pastor Tony Kapola Akiwa Kwenye Maombi. 

Bella Tv Online
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 85 тыс.
50% 1

#tonykapola #raisisamiasuluhu #leadersclup

Развлечения

Опубликовано:

 

8 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 102   
@AnnaMasanja
@AnnaMasanja 3 месяца назад
hongera sana mchungaji kwa kazi yko inayoonekeana , malipo huwa yanatokea hapa hapa duniani, dhid kubarikiwa kwa kazi yko
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 месяца назад
Mama love sana, yaani mama unajali kila mtu awe hali ya chini wote unawajali kwa namna ya pekee mama nakupenda zaid. kazi iendelee
@user-xe3wd8kr8x
@user-xe3wd8kr8x 3 месяца назад
Wapendwa Mungu awabariki Kwa kufuatilia vipindi vya mchungaji kapola, Wengi tunalalamika kuhusu kingereza mwanzoni na Mimi nilikuwa nalalamika Ila Sasa nimegundua kuwa Ana waumini wa mataifa mbalimbali nilikutana na mzambia mmoja akaniambia Kwa lugha Yao akasema nanukuu, napenda kumsikiliza huyu mchungaji Kwa vile anavyochanganya na kingereza huwa naunganisha ujumbe najikuta naelewa anachofundisha. Kutoka pale nilipata Somo nikaacha kulalamika kuhusu swala la kuchanganya lugha
@magrethsamson9084
@magrethsamson9084 4 месяца назад
Yan Mimi nampenda mama Samia amekua mama Bora Sana kwetu wote watanzania❤Mungu azidi kumsimamia,,Yan ata sjui nielezeje ❤❤❤❤
@user-bu6im1tr9z
@user-bu6im1tr9z 3 месяца назад
kwako siyo wote elewa mimi apana na mkubali Meko!😂
@user-bu6im1tr9z
@user-bu6im1tr9z 3 месяца назад
kwako siyo wote elewa mimi apana na mkubali Meko!😂
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 месяца назад
Huoni aibu?
@musamalaba6401
@musamalaba6401 3 месяца назад
Swala hapa sio namna gani nimefurahi kusikia Mchungaji wangu anapigiwa simu na Rais, swala ni namna gani Mungu amelipokea hili la kupigiwa simu madhabahuni na ukasitisha maombi ukapokea simu, When we are in serious prayer, we are in call with our God who is above men and above all calls.
@user-ft5sf5ns6h
@user-ft5sf5ns6h 3 месяца назад
Hongera sana P.Tonny that's big call you have made. Be strong don't shout down in praying.
@ShukraniMussa
@ShukraniMussa 3 месяца назад
Be blessed man of God
@emmyanold9306
@emmyanold9306 4 месяца назад
Malikia wetu wa nguvu Rais wetu kioenzi woweee nakupenda sana sana
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 4 месяца назад
Amen..Glory be to God
@user-hu3zy4tr8i
@user-hu3zy4tr8i 3 месяца назад
Kweli unaacha kuendelea na maombi unapokea simu Mungu atusaidie
@MexiTanix
@MexiTanix 3 месяца назад
Unahisi anaweza kufanya haya Msikitini? Tumeshamshuhudia akisimamisha hotuba, kupisha Adhana imalize....
@stevenchami26
@stevenchami26 3 месяца назад
Kwann asingepiga baada ya ya Maombi?
@danielkanso
@danielkanso 4 месяца назад
Mtumishi hongera mpaka umebadili lugha
@paulkalenga739
@paulkalenga739 4 месяца назад
Glory to god
@japhethdaudi8359
@japhethdaudi8359 4 месяца назад
Amen jambo zuri saana
@Apostle.ezrajuliussichone
@Apostle.ezrajuliussichone 4 месяца назад
Nimeipenda hii❤
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 3 месяца назад
Amina mungu amlinde mama kilapaitwapo Leo.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Utskula kuku hapo miombee sana na Mungu atakubsriki waumini wote kura kwa Rais Ccm oyeeeee kazi inaendelea mama samia oyeeeee wanawake jeshi kubwa
@user-lq6ty2vy3p
@user-lq6ty2vy3p 3 месяца назад
Mama Mungu ni mwema sana Kwa hili Mungu Yu pamoja nawe Kwa Kila jambo amen
@Glory-cb6to
@Glory-cb6to 3 месяца назад
God bless you 🙏
@manning979
@manning979 4 месяца назад
Nimependa mama anaitikia kwa kiswahili
@petermalema5702
@petermalema5702 3 месяца назад
Hallelujah Sanaaaaaa
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 3 месяца назад
Mbarikiwe sana
@welmangube3224
@welmangube3224 3 месяца назад
Glory to God!
@jasmineluande1694
@jasmineluande1694 4 месяца назад
Yaani mama Mungu akubariki lakini hao wanashangilia siwaelewi . Ombeni achani kubweteka
@peacemwesiga
@peacemwesiga 4 месяца назад
Yesu ni Mwena sana mama mamasamia unahofu ya Mungu nakupenda sana namna gani waumini wanakukubali kwa furaha wanashangilia❤❤❤❤❤❤❤❤Love mama Samia
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 3 месяца назад
Natamani sana kumuona mama Rais wangu wa.Rika langu Samia Suluhu nipate baraka zake.Penda sana mama.
@ewhite2806
@ewhite2806 4 месяца назад
Mheshimiwa Rais nimejisikia furaha sana kwa hili, kura yangu nitakupa 2025 inshallah tuombe uzima.
@ashantimoleta7798
@ashantimoleta7798 4 месяца назад
Amen Amen Amen 🙏 🙏 🙏
@onesmokilaga3784
@onesmokilaga3784 3 месяца назад
Bella tv on fire hakika utakalo litimie
@bellatvonline
@bellatvonline 3 месяца назад
Amen Best Asante Sana
@njiaya6833
@njiaya6833 4 месяца назад
injili inalipa usipozimia moyo KWA KWELI asante mama yetu mhe Rais kwa wema wako
@Kibiriti_Sports
@Kibiriti_Sports 3 месяца назад
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 4 месяца назад
Waoooo
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 месяца назад
Rais anaongea kiswahili mwamba anavimba na kingereza noma sana
@tumaionlinetv8934
@tumaionlinetv8934 3 месяца назад
Anajiinua aisee
@user-fk4st8qj2k
@user-fk4st8qj2k 4 месяца назад
Mchungaji vipi tena ubadilishe lugha?hapo ndipo tunakwama waTanzania,ndiyo maana mama anasimamia kwenye kiswahili hajataka kuongea hiyo lugha lengo na washirika wasikie nini unaongea na mama, pia na mama anasemaje wasikie. Maana siyo washirika wote wanajua kiingereza.Binafsi sijapenda kiukweli.
@MsAggie5
@MsAggie5 4 месяца назад
Huyu pastor huwa anachanganya lunga ila kiingereza ni kingi kuliko Kiswahili, na waumini wake wengi ni vijana wa vyuo. Na kama muumini haelewi kiingereza ya nini kwenda kwake? Makanisa ya Kiswahili asilimia mia yapo kibao
@mshamhemedy8567
@mshamhemedy8567 3 месяца назад
Amina
@user-hw5ud2dc4r
@user-hw5ud2dc4r 3 месяца назад
Anipigie na Mimi basi nimweleze yanayonisibu. Natamani sana cku nipate connection Naya mama wa Taifa letu.
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 4 месяца назад
This is what we use to call....uungwana.
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 месяца назад
Pastor ongea kiswahili 😂
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 4 месяца назад
Yani mpo kwenye maombi katikati ya uwepo simu inaita😢😢😢
@GodfreyMushi-kn3nb
@GodfreyMushi-kn3nb 3 месяца назад
Na watu wanashangilia rais kuliko uwepo
@colkiwale4973
@colkiwale4973 4 месяца назад
🥰😍
@colkiwale4973
@colkiwale4973 4 месяца назад
I ❤ her true and free Spirit...
@gressnamika
@gressnamika 4 месяца назад
Ina maana simu ya pastor ilikuwa on air wakati wa maombi au ilikuwa imeandaliwa?
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 4 месяца назад
Ujanja mwingi mzee
@user-um6vt8qn8d
@user-um6vt8qn8d 3 месяца назад
🔥🔥🔥🔥
@ernestthomas9689
@ernestthomas9689 3 месяца назад
Kapangwa huyu...tunataka kura mzee
@user-xc4or2vp6l
@user-xc4or2vp6l 3 месяца назад
Hiyo ndio divine connection. Connect to collect❤, nimependa utapigiwa, maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
@user-jo9po6xf6i
@user-jo9po6xf6i 4 месяца назад
Jamani ukisikia upendo wa mama kwa watoto wake ndiyo huu, hongera sana mtumishi kwa yote
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 4 месяца назад
Sio shida za watz mama uwezo wake umeishia hapo
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 3 месяца назад
NAKUPENDA MAMA SAMIA
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 месяца назад
Mama Samia mama wa Taifa... Ishi miaka 100, kioo chan wanawake wote Afrika...
@evamhufu7698
@evamhufu7698 3 месяца назад
Mama kaongea kiswahili wewe umekazana na kiingereza
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 3 месяца назад
Sio sauti ya mama
@JoshuaKashongole
@JoshuaKashongole 3 месяца назад
Mama wa maana sana huyu
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 3 месяца назад
Kwani kiswahili kimewakosea Nini enyi Watanzania
@muttaabel2428
@muttaabel2428 3 месяца назад
Huyu pastor nampenda sana ila apunguze kungereza awe anatumia lugha ya kiswahili kwa wingi
@bonabonala5559
@bonabonala5559 3 месяца назад
maisha mbona magumu ajira akuna watu wanatekwa mnaombea kitu gani sadaka?? labda ombeni upungue ugumu wa maisha wachungaji acheni ukibaraka njaa kirakona sasa mnaombea nini uoga wenu nfio zambi zenu watumishi wa pesa
@ImaniAlex
@ImaniAlex 3 месяца назад
Ongera postri
@MushagalusaLeonard-zw8rr
@MushagalusaLeonard-zw8rr 3 месяца назад
Mhhh kwa Nini apokee simu akiwa kwenye maombi una jisi wakristo wengi hawana hekima
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 месяца назад
Kapona umeosha hatari
@sadickmagesa
@sadickmagesa 3 месяца назад
watu wanamuombea mama nyie hamjapendezwa kwa hiyo mlitaka wapange mbinu za kumpindua ndo mfurahi sio!! ole wenu
@SleepyBacon-zx9rm
@SleepyBacon-zx9rm 3 месяца назад
Jamani raisi anaogopwa.anaongea kiswahili wewe umeng'ang'ana unaongea kingereza
@tumainfrancis4852
@tumainfrancis4852 3 месяца назад
Pastor mwenye akili mingi✍️ mafundisho yako yanafka mbali
@innocent91044
@innocent91044 3 месяца назад
Ni kampeni tuu hizi hamna jipya hapa.
@user-yg8yo3ul8h
@user-yg8yo3ul8h 4 месяца назад
Adi Raha Yan mh siku Moja namm anipigie tu simu nahisi nitakujaga kuzimia cm ya mh rais dah nakupenda sana mama naomba siku Moja uniarike ikulu mama nikuone tunifulahi mama nakupenda sana mh rais wangu ila ndoivo elimu ndosina na Kaz kufika huko kazi
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 4 месяца назад
Omba omba nimbaya piga kazi Hata kuchoma mahindi one utatoboa mkono mtupu haulambwi mkuu 😋
@user-yg8yo3ul8h
@user-yg8yo3ul8h 4 месяца назад
Sijaomba anipe Kaz nimeomba kuingia ikulu ila ndoivo Sina elimu Wala biashara kubwa ambayo ingenipa umaarufu hata nikafika ikulu
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 4 месяца назад
@@user-yg8yo3ul8h 🙏🙏🙏
@yohanamagehematictok
@yohanamagehematictok 4 месяца назад
Njia za Mungu hazichunguziki ndugu fanya hicho hicho unachofanya kwa ubora na uaminifu utaketishwa na wakuu siku moja
@user-cb2bz4tl8j
@user-cb2bz4tl8j 3 месяца назад
​@@yohanamagehematictoktrue❤
@brother_majesty
@brother_majesty 4 месяца назад
Makelele jau sasa
@JanethSemboni
@JanethSemboni 3 месяца назад
Tukiingia kanisani tunatakiwa kuzima cm ili tusihamishe mawazo vip kwa pasta ?
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n 3 месяца назад
Shika njia iliyonyoka na wala usikengeuke usiwe na mwingine ila mimi
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 4 месяца назад
Kawaida sana hiyo
@user-ty5ot4cs5m
@user-ty5ot4cs5m 4 месяца назад
Huo ndio upendo wa mama kwa mtoto ubalikiwe sana
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 3 месяца назад
Vijana wa suti nyeusi hawa
@IsayaSamweli-pm4dd
@IsayaSamweli-pm4dd 4 месяца назад
Ninachoona Mimi Kwa macho yangu ya mbali ni kwamba mama anatengeneza mazingira ya ushindi 2025 kupitia kula mtumishi mwenye watu wengi. Siyo jambo baya ni zuri sana sana rais kuthamini ibada za maombi na kuona umuhimu wa kuombewa na kuombea inch. Lakini watumishi mue makini sana, wana siasa wanatumia akili nyingi sana kujipenyeza madhabahuni Kwa ajili ya mambo yao binafsi.
@mwakiboy968
@mwakiboy968 4 месяца назад
Hapa mwamba hujabakisha kitu.
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 4 месяца назад
Ndio
@frankmwinuka3413
@frankmwinuka3413 3 месяца назад
Chochote ambacho mheshimiwa raisi atafanya kitaathiri jinsi wapiga kura wanavyomtazama. Yeye si wa kwanza. Waliomtangulia mara kadhaa waliongea na viongozi wa dini. Kuna viongozi wa dini wamejitokeza kumkashifu raisi na kukitukana chama cha CCM hadharani. Utayasikia askofu anasema CCM ni chama cha majambazi na matusi mengine . Anaongea huku amevaa T sheti ya chama cha upinzani. Sasa inatokea kanisa linaiombea nchi yetu, linamuombea raisi wetu kuna ubaya gani raisi kuwatia moyo kwa kuwapigia simu na kuwapongeza. Kati ya mahitaji makubwa kuliko yote ambayo raisi wetu anahitaji toka kwa waumini ni kuliombea taifa na kumuombea.
@user-pm1jq3fj1w
@user-pm1jq3fj1w 3 месяца назад
Amefanya nini
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 4 месяца назад
Kwani ungea ongea kiswahili ungekosea nini watanzani bhana
@Ivanimniko
@Ivanimniko 3 месяца назад
mamb
@user-mn7zq7cd5t
@user-mn7zq7cd5t 4 месяца назад
Sasa pastor rais kaongea kiswahili wewe unaongea kingereza ndiyo nini sasa
@charletsada8779
@charletsada8779 3 месяца назад
Sorry your name
@bellatvonline
@bellatvonline 3 месяца назад
Bella
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 4 месяца назад
,Sio wote ni mapasta, wengine usalama so mnaposali hapo mnasali kikanjanja, Janja Janja ya kukusanya kura, yaani hii ni namna ya kutafuta kura kirahisi unaambiwa ukishaweza kuuteka ufahamu wa mtu basi kila kitu kwako kitakuwa mteremko, hapo anacheza na Akili za watu na walivyo wapumbavu wala hakuna anayeelewa kinachoendelea, tujifunze kusoma nyakati
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 3 месяца назад
Ameen..kumbe siwazi ninayo waza pekeyangu
@sadickmagesa
@sadickmagesa 3 месяца назад
utalaniwa wew unamjua tonny kapola anachofanya au unalopoka tu
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 3 месяца назад
@@sadickmagesa Bwana Yesu alifanyika laana milele ili watu wote tuwe baraka..Mungu halaani mtu hata sikumoja
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 3 месяца назад
Mnateseka mbona Hata sauti ya Rais wetu hamuijyi Hiyo sayti ya Mama Samia
@user-oe9cr4qg9h
@user-oe9cr4qg9h 4 месяца назад
Watanzania tuache ulimbumeni wa lugha za kigeni,Rais wa nchi anaongeo kiswahili,wewe unaongea lugha ya kigeni Ina maana Gani!!! Hivi ukienda kijijini kwenu wale bibi zako nao unaweza kuongea nao lugha za kigeni??? Tubadilike,kingereza ni lugha kama ki.............tu.
@bellatvonline
@bellatvonline 4 месяца назад
Hii Ni Kweli Kabisa Haiko Sawa
@ForgiveSatrin
@ForgiveSatrin 3 месяца назад
Acha wivu
@Kibiriti_Sports
@Kibiriti_Sports 3 месяца назад
Далее
THE POWER OF YOUR MIND (Nguvu ya Akili yako)
8:37
Просмотров 276 тыс.
JIFUNZE KUWAHESHIMU WAZAZI WAKO
12:50
Просмотров 285 тыс.
#краснодар
0:14
Просмотров 2,5 млн