Тёмный

Pst.Tony Kapola Anatupiga? Gari ya Milioni 400, Suruali ya Milioni 3, Utapeli au Baraka? 

African Tales By Justin
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 4,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@joykapaya1970
@joykapaya1970 2 месяца назад
Kijana uko vizuri sana - well arranged speech,,,congrats.
@evelinemlay5572
@evelinemlay5572 2 месяца назад
Divine wisdom! More grace on you young man 👏👏👏
@EmmanuelYohana-if5bq
@EmmanuelYohana-if5bq Месяц назад
Jamani kiukwel mchungaji Tony na mwelewa ila naomba nitoe ushauli tu asiwe anatumia sanaaaaaaa rugha ya kigeni kiswahili kidogo kiingeleza kingiiiiii mmmh...uku kwetu wasomi wachache..
@Neema-wy4mh
@Neema-wy4mh Месяц назад
Jamanii anaee uamini naamini asie amini . Anyamaze Hakuna alie lazimishwa. Kusikiliza hajui kwamba dhania ni zambii kumdhania mtu ni dhambi chakufanya njia nirahis sana ingia magotini muuulize mungu je ni mtumishi wake. Mbona mungu najibu NA mungu anaongeaa. Rahi si tu hivo..
@nemox_bronz7094
@nemox_bronz7094 2 месяца назад
Blessings umezungumza ukweli
@MobsFundisimu
@MobsFundisimu 2 месяца назад
Kaka unaonge vizuri sana
@Rosyshaz3937
@Rosyshaz3937 2 месяца назад
Kama Yesu mwenyewe alisemwa je mm,ww ,Pst Tony ni nani tusisemwe
@veeJesus
@veeJesus Месяц назад
Apo sasa
@TukaeMchata
@TukaeMchata Месяц назад
Msichokijua ni kwamba Ana miladi yake mingi sana, Na alikuwa nayo kabla ya Huduma
@KareenSojo-ue1db
@KareenSojo-ue1db 2 дня назад
unatafutaa hela kwa jina la mchungaji 😂😂😂😂hela ngumu sana hizi sas unaweza kujikutaa unapataa laana kwasababu ndogo kama hiii ajaja kukulazimishaa kwenu umuamini lakin kwann umuongelee kama amekulaa sadakaa zako broo
@GwakisaMwaisanga-th7uz
@GwakisaMwaisanga-th7uz Месяц назад
Lazima atumie sadaka za watu maana hawezi kutumia sadaka za mbwa ikiwa anafundisha watu .
@laurentrueta9625
@laurentrueta9625 2 месяца назад
FANYA UR RESEARCH JAMAA AMEANZA TANGU SUA
@juniorSamwali
@juniorSamwali 6 месяцев назад
Umeanza kuongea ujinga sasa na wewe,hujui shetani yupo kazini.Hongea vitu vya maana,95% wanamtumikia shetani
@JastiniSanga-ti1mb
@JastiniSanga-ti1mb 3 месяца назад
mind your own stuffs sis tunasimama na PT hadi mwisho kama vipi na wewe nunua uongelewe mtandaoni kama huwezi kula nenda kalale nyumbani kwenu
@NovatusSweetbert
@NovatusSweetbert 2 месяца назад
Wakristo huwa tunatekwa na shetani namna hii,tukiinuliwa tunaanza jiinua na kuona ni kwa akili zetu kuju yote ayo
@EmmanuelYohana-if5bq
@EmmanuelYohana-if5bq Месяц назад
Jamani kiukwel mchungaji Tony na mwelewa ila naomba nitoe ushauli tu asiwe anatumia sanaaaaaaa rugha ya kigeni kiswahili kidogo kiingeleza kingiiiiii mmmh...uku kwetu wasomi wachache..
Далее
LIVE: Tony Kapola Akifungua Shajara Yake na Babbie Kabae
1:03:40
LIVE: XXL SOMO LINAENDELEA NA PASTOR TONY
1:45:01
Просмотров 2,8 тыс.