Тёмный
No video :(

RC CHALAMILA akemea wanaowatete WADADA WANAOJIUZA, atoa mfano wa mtoto aliyelawitiwa 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@Maryc2G
@Maryc2G Месяц назад
Wanaweza kufanya kazi yoyote zaidi ya hiyo. Nakubaliana nawe mkuu wa mkoa Muheshimiwa CHALAMILA.👏🏽👏🏽
@suleim505
@suleim505 Месяц назад
ASANTE SANA MH RC : kazi mzurisanaa👍👍
@user-rc6lk2if1k
@user-rc6lk2if1k Месяц назад
Kazi zipo Tele Kwan kuna lazima gan ya kujiuza milli kazi zipo ht za kuosha vyomba nankufuwa majumban kupata risk za halali na kujiwekeea heshima zao
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Месяц назад
Maneno kuntu mkuu❤❤
@user-hj4sy9fy4g
@user-hj4sy9fy4g Месяц назад
Tafuta sababu nini! Tusiongee maneno mengi ilikupumbaza watu. Maneno mengi,vitendo sifuri!
@user-oz4gz8kq9e
@user-oz4gz8kq9e Месяц назад
Tena mikoa yote iande ilo zoezi la kukamata makahaba wote na wapelekwe mahakamani wasipewe zamana waende magereza mpaka mwisho wa kesi wahukumiwe vifungo Kwa njia hiyo makahaba wataisha.
@user-qz5xv5if2u
@user-qz5xv5if2u Месяц назад
Kwan mheshimiwa Kuma sizao nyege zinasumbua sana wanaume wenyewe hawana nguvu kwann mtu asijiuze akapunguza nyege
@kutailass6671
@kutailass6671 Месяц назад
Kama mnaona wanawasaidia kwann mnalawit na watoto wakiume? Mmelaaniwa kabisa ninyi😢
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Месяц назад
Wanaotetea madadapoa hawajitambui.Wavivu wa kufikiri.Inawezekana nao washiriki au wanufaika.Wabadilike.
@MarioNdanzi-kp9hp
@MarioNdanzi-kp9hp Месяц назад
Mheshimiwa mkuu WA mkoa ,vipi kuhusu mashoga mbona hamsemi ,,,,🇷🇺
@jamessimkonda-ox8cb
@jamessimkonda-ox8cb Месяц назад
Kamata wote mataila
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje Месяц назад
Haujui sheria wewe nyamaza itakukost
@Kulwakaunda-fr1xt
@Kulwakaunda-fr1xt Месяц назад
Dah
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n Месяц назад
Awa machangu wazaaa watoto wa haramu kisha wanawaacha wazagae mitaaani.mwisho wa siku wanakuwa panya road
@AminaLibisa
@AminaLibisa Месяц назад
Sema baba nimetukanwa juzi tu lile sakata la ubungo Kuna watu wa ovyo sana kutetea ujinga
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c Месяц назад
Sikia we chalamila msijidai watendaji sana huku mnavunja sheria hv huyo mkuu wako wa wilaya ya ubongo amekosa kero hapo wilayani kwake ok hao wadada wamefanya kosa gani na mbona mnajivuta kuwapeleka mahakamani yan msijidai mnafanya kaz huku mnavunja sheria acheni ujinga
@annamussa185
@annamussa185 Месяц назад
Hao Wanatetea ni wahaya na wazaramo😅
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z Месяц назад
Utukome wazaramo😂 hatuna asili hiyo
@user-bz3kk5te4m
@user-bz3kk5te4m Месяц назад
Mafisadi nao vipi
@user-sr4ig4sl8y
@user-sr4ig4sl8y Месяц назад
Serikal Ione namna ya utoaji wa ajira kwa vijana ili hayo mengine yapungue,Sio wanapenda Ila hawana Cha kufanya.
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 Месяц назад
Serkali ione kuroa ajira kwa namna gani?mwanamke unashindwa kupika mandazi,chapati,kuuza matunda na mboga mboga.hata kuuza chai tu.nayo hiyo inahitaji serkali! Jamani tujitahidi kujishughurisha. Kaanga karanga uza maisha yaendelee.
@edsonisrael8996
@edsonisrael8996 Месяц назад
Na ushoga hamuukemei au nanyie ni walewalee
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Месяц назад
Ipo sku mtoto wako atajiuza mwili wake, km kweli hyo biashara ipo
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 Месяц назад
Wewe ndg niambie kama huna dhambi yoyote je Mr chala hujafanya dhambi? Hao wamama wapeni semina ushauri mitaji waweze kutunza watoto wao kwa ajili ya kizazi kijacho cha watanzania.
@georgemahenge
@georgemahenge Месяц назад
Hii midada powa.ipo kira sehemu. nawashangaa wanao watuhumu.utafikiri wanauza madawa ya kurevya.hata hawa viongozi wetu wakienda nchi za watu wanawachukuwa hawahawa.tatizo ni.ushamba tu!
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Месяц назад
Jiandae kisaikolojia mwanao nae anaenda kuwa dada poa
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Месяц назад
Ww hukuwepo ulijuaje?
@VashtyBurge
@VashtyBurge Месяц назад
Wateja wako wapi? Msipowakanata biashara itaendelea. Wavizieni nao wakamatwe
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 Месяц назад
Wewe mpendwa usisikilize hao wajinga kwa faida yao wenyewe kujua we ni miongoni mwao viongozi waliojipambanua kamata wote tia ndani utalipwa na Mungu
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 Месяц назад
Usiwasikilize. hao wajinga ww kamata wote weka ndani kwa faida yao wenyewe tujjua wewe ni baadhi ya viongo waliojipambanua fanya kwa faida ya watanzania Mungu atakulipa
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 Месяц назад
Sasa wateja wao mnakua watamalizia shida zao wapi?
@suleim505
@suleim505 Месяц назад
Vitabu vyote vya dini vinaeleza namna ya kuishi kwmifumo ya ndoa na siyo biashara za kuuza mwili.
@user-pd7bw6bd7c
@user-pd7bw6bd7c Месяц назад
Wekiingozi chalamila fanya kazi wazalilishe tu adi waache tabia hii usijali comment atausizisome watu wenyewe wameishia la nne wapewe ajila gani
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Месяц назад
Tunachoshangaa ni nguvu mmnayoitumia kuwadhalilisha hao masada poa hata hvo nguvu hyo mngeitumia kudhibiti wizi wa madini
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 Месяц назад
Dah
Далее
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
Qora Gelik
00:26
Просмотров 460 тыс.
Qora Gelik
00:26
Просмотров 460 тыс.