Тёмный
No video :(

RC CHAMILA AKASIRIKA, WAFANYABIASHARA WA SIMU 2000 WAMKERA “NITAWAVURUGA, NITAONDOKA NA NINYI” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@IsmailKidongo
@IsmailKidongo 27 дней назад
Watanzania wasenge sana wanatishwa Kama watoto
@valenakomba9218
@valenakomba9218 26 дней назад
Wewe ni mpumbavu Sanaa. Vijana Watanzania hakuna mnachokijuwa zaidi ya matusi na kuvuta bangi.
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Месяц назад
Chalamila safi sana angekua anagombezwa mtumishi wa umma mngeshangilia sana sasa kwenu mnatia huruma
@charlesrimiru9301
@charlesrimiru9301 Месяц назад
Kenya my country, si mtupee huyu siku moja tu ? anaongelesha nani hivyo ? mshahara anapewa ni kodi yenu.
@isackmosha4283
@isackmosha4283 Месяц назад
Punguza ukali wa maneno mkuu. Omba hekima kwa Mwenyezi Mungu
@timothykaiza327
@timothykaiza327 Месяц назад
Naona unaongeanao kama wanao, kwel ma TZ nimasenge na yametuliiia 😂😂😂
@JackKanyigo
@JackKanyigo 22 дня назад
🤣🤣🤣🤣 WTz ni kama myumbu Simba mmoja anatawanya nyumbu 100000
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Месяц назад
Chalamila unadharau weee kijana daaah,
@AndrewBakari
@AndrewBakari Месяц назад
Eti eneo la serikali serikali ilinunua wapi ilo eneo mwenye ardhi ulimwengu mzma ni MUNGU pekee serikali mnatumia elimu yenu na vyeo vyenu vibaya mara ya mwisho nakumbuka interview ya shujaa wetu magufuri alimuita alie kua makamu wake ikulu pamoja na waziri wa Tami semi akiwasisitiza kuhusu wa machinga na kipindi hicho MTU mwenye wazfa wa uongozi region commissioner makonda mwamba alikua hapa Dar ila sasa😢😢😢😢
@user-od8tg1yt3g
@user-od8tg1yt3g Месяц назад
tanzania wananchi wake ni maiti
@user13375
@user13375 Месяц назад
Mtanikumbuka RIP magufuli
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 26 дней назад
Huyo ni kichaaaa
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Месяц назад
Hapa kiongozi hatuna 😢
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Месяц назад
Ndiyo maana kaletwa Dar ili akutane na wenzake wanaelewana wanatuchanganya
@JackKanyigo
@JackKanyigo 22 дня назад
Hata Wananchi ni viraza
@msafirimhagama6445
@msafirimhagama6445 Месяц назад
Hata sisi hatukuogopi bhana
@johnsenzighe4086
@johnsenzighe4086 19 дней назад
Mungu amenionesha utawala wako unakaribia kufika mwisho.
@BetySanga
@BetySanga 26 дней назад
Wewe chalamila wakawaida sana hata elimu uliyonayo kunawatu wamekuzidi hao unao wafokea hao kafoke malangali kwenu
@SafaryValentiney
@SafaryValentiney Месяц назад
Tumeipenda wenyewe
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Месяц назад
Maneno makali mno sjawahi ona daah 😢
@user-yl5ol4ke9n
@user-yl5ol4ke9n Месяц назад
APA pana shida ningekua na weza samia ninge mwambie APA afanye uteuzi upya
@japhetaverin-ou9rp
@japhetaverin-ou9rp Месяц назад
Etii nimeacha kaz zangu kaz yako si ndio hiyo ,😔tumia busara hiko cheo kisikupe jeuri
@AwazAwaz-n7h
@AwazAwaz-n7h 21 день назад
Wew ni mbwa
@Rwambo-wn7sh
@Rwambo-wn7sh 16 дней назад
Mbwa kabisa uyu chalamila
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 Месяц назад
Hajui kujicontrol nilimuona kariakoo .... Kiingereza cha nn sasa hapo makonda atakumbukwa
@naldclever
@naldclever Месяц назад
Daah nmekosa cha kucoment..... Ivi hii Nchi ni ya Watanzania au niya viongozi ambao watanzania tumewapa hayo mamlaka ??
@noahemanuel7015
@noahemanuel7015 Месяц назад
Wanaume wa Dar Kama kawaida yao😂😂😂
@dancerboy2686
@dancerboy2686 Месяц назад
😂😂
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 Месяц назад
Kiufupi huwezi kushindana au kupigana na serikali ukashinda. Njia pekee ya kupigana na serikali ni kwenye uchaguzi na kupiga kura basi.
@Hasnspop
@Hasnspop Месяц назад
😂😂😂😂
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Месяц назад
Umepiga kura mara ngp
@user-to6cg8uf3f
@user-to6cg8uf3f Месяц назад
Kura ambazo wanaiba wapendavyo?
@LumolaSteven
@LumolaSteven Месяц назад
Fuatilia vizuri historia zipo Serikali nyingi sana Duniani ziliondolewa na wananchi kwa njia ya maandamano na migomo. CHA-LAMI-LA aache kiburi hakuna Kiongozi aliyewahi kuwa na kiburi hapa Duniani na akawa na mwisho mwema.
@NgunoSangano
@NgunoSangano 20 дней назад
Jamen muogope mungu hiyo ni dhamana tu ulaniwe
@Eliasmarwaturuka
@Eliasmarwaturuka Месяц назад
Hakuna kiongozi hapa umbwa mbona ushonga umeshidwa kukemea,,walikuwepo zaidi yako umbwa ww
@user-jd5mn9sm9n
@user-jd5mn9sm9n Месяц назад
Ndyo utishie watu wamejisahau sana ongea na watu wa kuelewe
@user-hb8er6dq2q
@user-hb8er6dq2q 23 дня назад
Matanzania ni manoyaaaaa sanaaaaa
@ShafiiTanzilu
@ShafiiTanzilu Месяц назад
Yaana Hadi uruma jaman nawaonea huru duh wafa yabiashara jaman
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Месяц назад
Ungekua Kenya wewe ungekua kazi hauna kwa kuwadharau wananchi😂😂😂
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr Месяц назад
Kenya hakuna hakuna Askari eti
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 20 дней назад
Ongea kwa nidhamu nzuri kiongozi hao ni binadamu. Acha udicteta wa madaraka.
@rashidsaid6015
@rashidsaid6015 Месяц назад
Mkuu wa mkoa unalindwa na aliekuteua tu vinginevyo hatukutaki na hutufai mungu skia kilio chetu
@user-nk9jt7qo1j
@user-nk9jt7qo1j 22 дня назад
Mama kama ww nirais wwtu kweli huyu hafai kabisa weka kulee 😮😮 kiongozi hafai hana busara hana kauli nzuri kwaraia hata kwawakubwa waliomzidi. Hafaii kabisa kiongozi namna hiii hana sifa zakuwa kiongozi huyu
@frankkidenya
@frankkidenya Месяц назад
Boss pekee anayeweza kuwafokea wajili wake ni mwalimu TU nyii wengine aaah
@LumolaSteven
@LumolaSteven Месяц назад
Nimeipenda hii
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 Месяц назад
Sauti ya kimamlaka!!
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 12 дней назад
Ni kweli hapo pana soko na wafanyabiashara walitolewa ubungo mataa wakaletwa hapo . Walianza hapo hapakuwa na watu mpaka pamechangamka. Chalamila na hao wafanyabiashara ni wako pia
@dancerboy2686
@dancerboy2686 Месяц назад
kavuluge matako yko, unalipwa mxhahara kwa kodi za hao unaowafokea kama watoto
@hakeemwamahoro5144
@hakeemwamahoro5144 20 дней назад
Tanzania ni nchi ya viongozi si nchi ya wananchi kiongozi kama uyu Chalamila afai kuwa kio gozi vitisho hekima,busara hana mama Samia uyu afai mtoe uyu anachafua chama cha CCM
@valenakomba9218
@valenakomba9218 26 дней назад
WAKOMESHE HAO .
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 12 дней назад
Lakini maeneo yote si ya serikali? Lakini kuna namna yakuongea na wafanyabiashara kwa sababu na wao ni sehemu ya serikali
@johnsenzighe4086
@johnsenzighe4086 19 дней назад
Kumbuka cheo ni dhamana
@bakarimwanjano730
@bakarimwanjano730 Месяц назад
Heshima ndio kitu muhimu sana
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 26 дней назад
Binafsi ningekuwa nipo na ofisi hapo ningejiondoa mapema si kwaukali huu..
@VeronicaEstar
@VeronicaEstar Месяц назад
Hao siyo watoto wako wanahak na nchi yao ach ubabe wakijinga
@massaweibrahim4346
@massaweibrahim4346 Месяц назад
We close tuu usitutishe
@antonjohn134
@antonjohn134 Месяц назад
Apa kiongozi Amna ubabe sio kuongoza na siku zako chache apo dar
@michaelnehemia4932
@michaelnehemia4932 Месяц назад
Mkuu umechemsha hizi no Mali zetu via hiko cheo unkua mwananchi wakawaida Sana tu
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 14 дней назад
Pumbavu sana hawa watu unajua kuna watu wanawake nyumban na watoto ila wakifikaga mjini wanakua kama mazuzu hv
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Месяц назад
eti ameacha ubabe....!
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud Месяц назад
Huo sio utawala Bora viongozinwa CCM acheni umungu watu
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 Месяц назад
Hivi wa Tanganika aliyeturoga ni nani ni Wazanzibari, wazanzibara au kamwene 😮 nyambafu zetu CCM oyyeee nyambafu zetu tihamie Zanzibar labda titatosha 😂😂 😂😂😂
@valenakomba9218
@valenakomba9218 26 дней назад
HATUTAKI UDIKITETA TANZANIA.
@bakarimwanjano730
@bakarimwanjano730 Месяц назад
Migomo sio solution ya tatizo
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 29 дней назад
Tundu lisu akisema kuna viongozi wa hovyo amuelewi pigeni chini ma CCM yote. Magufuli mwenyewe alisema changua Magufuli, kafa majambazi yapo kazini kazi kuiba.awajali wananchi wala nini.
@user-fk8yp7ow7n
@user-fk8yp7ow7n 22 дня назад
Acheni ubabe kwa wananchi tanzania ni ya wote na wewe kiongozi paspo wananchi utamuongoza nani acheni ubabe!
@user-nk9jt7qo1j
@user-nk9jt7qo1j 22 дня назад
Huyu anahitaji apimwe suti maaaana hana sifaa yauongozi. Kwaraiya tu nihivi huko kwake mkewe hampigi kweli huyu sifa sana mama ww niraisi wetu tuondoleee huyu mtuu hana utu hata kudogo hawa ndio wanaokuchafua ww
@leonardbarber9778
@leonardbarber9778 Месяц назад
Matusi sio mazur kwa MTU mzima na familia zao
@chembejohn9605
@chembejohn9605 Месяц назад
KWANZA amenivuragah kisaikolojia....😂😂😂.wabongo bAdo ..
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 Месяц назад
Wanyonga hoyee 😂 wanyongwe ziiiii 😂😂 twendeni Zanzibar 😂😂
@Sheba4651
@Sheba4651 Месяц назад
Mshije huku, kushajaa
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Месяц назад
Ndio Mana mnalogwaga ao niwatu wazima wanafamilia zao waskilize wape utalatibu mzuli waishi
@toshindugwa1085
@toshindugwa1085 27 дней назад
Acha ubabe wa kulitumia jeshi la polisi kwa vitisho, kuna kuchoka kwa lolote kutoweka kwa amani kuna chanzo.na uenda chanzo zinaweza zikawa kauli za viongozi kama hawa wanaolewa madaraka
@chacha-255
@chacha-255 Месяц назад
🍁🍁
@user-rz1bj1yj3z
@user-rz1bj1yj3z Месяц назад
Uyu siku zake zinahesabika
@msafirimhagama6445
@msafirimhagama6445 Месяц назад
Hata sisi hatuna woga acha kututisha ipo siku mtakimbia spidi kama majirani
@pendorichard2986
@pendorichard2986 Месяц назад
Hawa ndio viongozi wa tanzania , imagine we chalamila hujua wananchi ndio mabos wako? Yaani huna hekima wapa busara kabisa katika kuongea kwako , kifupi huna sifa za kiongozi kabisa , unatoaje lugha mbaya kwa wafanyabiashara tena wanaokupa ulaji
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 23 дня назад
Uongozi ni Kipaji ila kwa huyu Chalamila kauli zake sio za kiungwana kabisa
@ValentiniAvelini
@ValentiniAvelini 2 дня назад
Magufuli siyo kwamba alimuonea kumtoa kwenye uongozi ana akili ya uongozi
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 23 дня назад
Huyu so kiogoz wakuogoza watu jamaniiiiii duuuh mkuu wamkoaa unaogea iv kwel
@Nasibuhelemani
@Nasibuhelemani 22 дня назад
Kapime uongozi waachie wengine
@janethferous
@janethferous Месяц назад
Uyu siku tumzibue wananchi adi aone maruelue ngurue wew
@tumvisiagekonga2142
@tumvisiagekonga2142 Месяц назад
Daah poleni wafanyabiashara, kwa changamoto
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 12 дней назад
Ila hapo si soko. Na kuna watu au ni wapi hapo?
@KhamisBoss
@KhamisBoss Месяц назад
Safi san mkuu WA mkoa Kwa ujinga tulipnao ngoja tuburuzwe ili tuwe na akili
@gasperswai6963
@gasperswai6963 Месяц назад
Mhe mkuu wa mkoa kuwa makini saana unaongea na wananchi, huo unaongea nayo ndio wapiga kura usijisahau unapongea na wananchi, kenya walivumilia hivyohivyo tumia diplomasia kuongea na wananchi lugha mbaya ambayo siyo ya kiongozi
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Месяц назад
Nashindwa kukoment, ila dah
@user-hb8er6dq2q
@user-hb8er6dq2q 23 дня назад
Ww Fara tu uongozi ni temporary job tuuuuu ushamba mwingi nchi hii cio ya mamako ww
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Месяц назад
Umeacha kazi zako tulizokupa na tunakulipa mpuuzi ww! Wewe zuzu kweli kama watu wakidai haki zao unadhani ni uhaini mjinga wewe. Wewe kiongozi labda wa familia yako zuzu wewe. Dar unakaa kuharibu tu hamna lolote. Eti uwe na eneo lako ujenge frame; huyu zuzu anajisikia kweli? Alafu serekali ni nani mpuuzi ww?
@sirmungureombeni4218
@sirmungureombeni4218 Месяц назад
Matumizi mabaya ya mamlaka
@yohanamugini3882
@yohanamugini3882 26 дней назад
😂😂huyu jamaa jau
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Месяц назад
Kura zenu ndio jibu lenu
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf Месяц назад
Huna hekima
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 21 день назад
Chalamila huna sifa ya kuwa kiongoz unaongea kama mlevi wewe ni jipu naomba bi mkubwa akuone
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa Месяц назад
Watanzani bwana yani kama dog kaona chatu wote kmya 😅
@williamsunday-yg2bz
@williamsunday-yg2bz Месяц назад
Ni suala la elimu kwa wananchi! Ardhi yote ni mali ya serikali, wewe mwananchi ni mpangaji tu! Huwezi kumgomea mwenye mali yake.
@alexsimon5576
@alexsimon5576 18 дней назад
Mtu hawezi kuanza hivyo akaongea vya mbolea
@Ba63828
@Ba63828 Месяц назад
Inakuwaje karakana kuwa ktkt ya taasisi za serikali? Kuna TCRA, Law School, Hali ya Hewa n.k. Kwanini isitafutwe eneo Kibaha yenye maeneo ya wazi mengi? Hio karaķana ya DART itasababisha traffic jam no doubt.
@DaudLucas-qj3mp
@DaudLucas-qj3mp Месяц назад
Matunda ya amani.
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 Месяц назад
Amaniii yetu tuilindeee jamanii
@fanuelkatoto8913
@fanuelkatoto8913 Месяц назад
Hakyamungu viongozi tunao
@robertedward1992
@robertedward1992 Месяц назад
Kumbuka hiyo kauri au hiyo pumzi kunasiku itakata
@shaabanabdulrahman9458
@shaabanabdulrahman9458 Месяц назад
Watafutieni wafanya biashara wadogo njia kabla ya kuwanyang'anya , acheni ubabe wa madaraka wakati utafika na nyie mtakuwa mtaani .😊
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 Месяц назад
Rc chalamila acha kutukana watu, kuna wengine wanakuzidi umri, k8ongozi unatumiaje maneno machafu ya kibabe, kiongozi unayeongoza watu hupaswi kuongea maneno ya pumba kwa kutisha watu
@richarddavidmk
@richarddavidmk Месяц назад
Unatumia mda mwingi kuongea mambo yako
@AbuubakarKibela
@AbuubakarKibela Месяц назад
Acha ujinga wako huo hao ni wnanch walioichagua iyo serekali ilioyopo madakaran kwa kuwa wew unatmbelea v8 au vipi
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 Месяц назад
Huyu hafai kuwa mkuu wa mkowa wa Daressalaam Hana busara hata kidogo ,dharau Lugha isiyofaa nini hiki ?Maneno ya matusi Upumbavu ndiyo nini? MAMA SAMIA HAWA VIONGOZI ....something is wrong !uongozi huu wa kudharau watu na matusi I Don't like it hii nini? Au ndio uongozi mpya ?huwezi kutukana watu na kuwa na dharau kiadi hiki!
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 26 дней назад
Ccm mutajuta wajinga kuvamia mabalabala masoko magufuli ametwisha kitanzi machinga ni kitu Gani awepo mfanyabiashara tu mutagawa taifa Kwa kufuga ujinga funga unaongea nao nini Wana hati ya stendi
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Месяц назад
Nchi si yako wala si yenu peke yenu tanzania ni yetu watanzania woote
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Месяц назад
Haaaaa
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Месяц назад
Wanapita maji kwa kutupa jiwe au kupima kwa mti na wameona maji Yana kasi kubwa wametulia kama nyauu😂😂😂
@RahmaAlly-rk4xs
@RahmaAlly-rk4xs Месяц назад
Mimi sio Mtanzania anzia leo....
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed Месяц назад
Mkuu wa Mkoa Upo vizuri pia Fuatilieni Simu Kwa nini walishawishi Nchi Kuingia ktk Migomo ?? Mimi ni Raia Kwa nini Haraka Sana Migomo ilisambaa Nchini ? Mkuu Lazima uwe Mkali maana Nchi ikichafuka Mimi sina pa kuendea😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@kingxule6562
@kingxule6562 Месяц назад
tayar tumechachua tuko wa moto😂😂
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje Месяц назад
Sasa mbona una fika kuwa na hekima Kuna wazee hapo nchi yetu sote kama umetumwa ila mwakan tuta kutana na tulio Wacha gua ww si ume teuliwa sawa
Далее
Bosbranden in Griekenland onder controle
1:57
Просмотров 10 тыс.