Тёмный

Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Mwaka 2018 ndo nilimfahamu Oscar baada ya kukutana nae kwenye kituo changu cha kazi ya kutangaza mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika jijini Johannesburg nchini Afrika ya Kusini. Alikua mmoja ya watu ambao walinikaribisha vizuri sana kwenye team na kwa wakati huo yeye ndo alikua anaishikilia rekodi ya kuwa ndo mtangazaji mdogo zaidi kwenye team ya watangazaji nami nikaja kama Binti PEKEE ambaye ambaye alikua anatangaza mpira wa miguu kwa lugha ya Kiswahili. Combination yetu ilikua nzuri sana na kwa kipindi hiko ambacho kilikua cha mwezi mmoja tulielewana na ku bond vizuri sana.
Oscar anapenda raha, anapenda kucheka na kuishi vizuri, anapenda ukweli na kubwa zaidi ni Rafiki mzuri sana. Pengine la zaidi ambalo nna uhakika Mama yake mzazi kule Kaliuwa anajuvunia sana ni la usomi, ni mwanafunzi mzuri ambaye anapenda kujiendeleza, sasa anamalizia Masters yake kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Alishawahi kuwa Mwalimu kipindi cha nyumba kwenye maisha yake na kwa mawazo yangu ya haraka hii ndo ambayo inamfanya awe ni mmoja kati ya wachambuzi makini kabisa ambao nchi hii inayo, nguvu yake ni kuhakikisha pale kwenye ukweli unasemwa hata kama itakua kwa njia ya mas’hara, ila atausema!
Aliamua kuwa Baba na hili ni kwa mujibu wake baada ya kunikatalia katakata kwamba mtoto wake wa kwanza alikua ni wa ‘bahati mbaya’ kama ambavyo baadhi ya wazazi husema, Oscar anasem alikua anajua nini anafanya na Mama wa mtoto yule so kusema alikuja kwa bahati mbaya ni kama kumkosea mtoto yule ambaye alikuja kipindi ambacho Oscar alikua bado hajajiweka vizuri kwenye maisha yake na zaidi kwenye masuala ya kazi, na pia ananikumbusha jinsi alivyokua anajiona anajua saana na kama vile watu waliokua wanampa nafasi kipindi kile kama vile walikua hawanuelewi kabisa.
Anaamini kwenye kujifunza kila kukicha ili kupanua wigo wa uerevu na kwake yeye Elimu ndo ufunguo wa maisha toka siku ya kwanza.
Kama Baba wa watoto wawili ambao kwa kiasi kikubwa amekua hapo kwaajili ya vijana wake, Oscar anaamini kwenye kuwa pale kwaajili yao, kuwapa kile ambacho yeye hakukipata kutoka kwa Mzee wake wakati anakua, kuwa pale kwaajili ya watu wa familia yake na zaidi Mama yake ambaye kwa mujibu wa Oscar Mama ndo nguzo yake. Binafsi nayajua mengi ambayo amayafanya Kijijini kwao Kaliuwa kwaajili ya familia yake na hata ambao hawamhusu.
Humu mimi na Rafiki YANGU tulijadili mambo mbalimbali ya ki maisha na familia, kazi na muskabali wa biashara ya mpira kwenye NCHI yetu na dunia kwa ujumla, pia tuliongelea umuhimu wa familia na kupata mtoto ukiwa na umri mdogo, suala la ajira na hustle wakati tunakua nalo hatukulicha nyuma. Yangu matumainj nawe uta enjoy pia.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@evodiuscostantini3138
@evodiuscostantini3138 2 месяца назад
Story nzuri, nimejifunza mengi kwangu ambaye bado nipo kwenye safari ya elimu
@nyamarasapeter4302
@nyamarasapeter4302 Год назад
Watoto ni hamasa tosha katika maendeleo binafsi ya mtu. #Fact
@eliasgoseph1075
@eliasgoseph1075 Год назад
Miongoni mwa kipindi bora sana, kwa both part 1 and 2...hongera salama
@Drive1day
@Drive1day 4 месяца назад
elimu kaiongelea vizuri sana
@binamubinamu1151
@binamubinamu1151 Год назад
Sio Siri yaan father nakuelewa sana ujuwe Allah akujazee na azidy kukuonyesha khery usaidie na wenzio
@Rosepeter001
@Rosepeter001 Год назад
The best interview ever❤️❤️❤️ Acha nikope bando nisikilize yotee😁😂
@abdallahshomari793
@abdallahshomari793 Год назад
huyu mzee kaongea facts tu yan nmejifunza mengi sana BIG UP MZEE WA KALIUA
@mariammbaruk8034
@mariammbaruk8034 Год назад
Mwamba wa kaliua namkubali xanaaa😘😘
@Truly_Afrikan
@Truly_Afrikan Год назад
I believe this is my best interview ever
@ireneamanimusician9635
@ireneamanimusician9635 Год назад
Salama tuletee Pastor Tony Kapola next time
@CoachHafidh
@CoachHafidh Год назад
Jamaa anajibu na kubreak-down majibu kikubwa sana
@seyyactor1418
@seyyactor1418 Год назад
Show kaliiii likes zenu jmn ❤
@husseinwemmar6217
@husseinwemmar6217 Год назад
A bit confused Why is it 20 hours ago and the interview responses seem to be like 3 months ago was it recorded before the 2021/22 VPL season ended?
@aminiismail3371
@aminiismail3371 Год назад
Salama hii uliirikodi muda mrefu sana lakini sijui kwanini umeitoa leo. Umeboa mtu wangu
@shabaniselemani5207
@shabaniselemani5207 Год назад
Kwel asee hapa katupiga
@frankmakata6385
@frankmakata6385 Год назад
Mbona mzee wa kaliua hajagonga menu hapa mezani kwetu!!!
@ahmedjaffari9375
@ahmedjaffari9375 Год назад
Interview imefanyika asubuhi, so amepewa chai na keki kama unavyoona hapo mezani.
@damiankimaro9665
@damiankimaro9665 Год назад
Salama na what an interview
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Год назад
Hongera kaka
@edibilybussoro1700
@edibilybussoro1700 Год назад
Nimehufunza sana hapo kwenye kuset standards kwa watotoo
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Год назад
Kiukweli Oscar kaongea ukweli sana kwenye media hadi ukibalike sio kazi rahisi hasa kwa watu walitangulia
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Год назад
Hii interview ni ya funga mwaka
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 Год назад
Oscar your geneaus
@danielmgalla558
@danielmgalla558 Год назад
Hi ndo inaitwa factsheet
@aminiismail3371
@aminiismail3371 Год назад
Kwanini hujamuekea Oscar chakula wala juice? Hatukuelewi ujue
@Boaz22
@Boaz22 Год назад
Hujaona hio cake hapo mezani??
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 Год назад
Oscar Yuko makini sana
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt Год назад
Hili neno you understand balaaa
@joesimba
@joesimba Год назад
Salama degenerate
Далее
Outsmarted 😂
00:20
Просмотров 2 млн