Тёмный

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 2 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 166 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Mi na rafiki yangu huyu tumepishana zaidi ya miaka kumi na nne, wakati anazaliwa mimi nilikua nagombana na makondakta kupata nafasi kwenye chai maharagwe ya kutoka Buguruni kuelekea Posta. Ila kupishana kwetu kwa umri naamini ndo kunaufanya ushoga wetu uwe special zaidi, maana yeye akiwa ananikhadithia kinachokiki kwenye umri wake, nami nakua namuelezea challenges za unapozidi kukua na naamini hii inatufanya tuwe bora zaidi. Na ki ukweli mara nyingi yeye amekua shujaa wangu, maana kuna mengine mazito kwake yanakua mepesi tu na hunisaidia kuona mambo kwa picha tofauti. Kwa hilo namshukuru sana. Wakati mwengine wanasema umri sio kipimo cha busara, rafiki yangu huyu kupitia mengi, kwahiyo moyo wake wa ‘chuma’ unatusaidia wengi kwenye kuweza kupambana na dhurba mbali mbali.
Hapa sina haja hata ya kukuambia alipitia mitihani kiasi gani maana dunia nzima inajua, ila naweza tu kukuambia kwamba hakuna binti mwenye moyo wa utayari na ambae hana uwoga pale anapokua anasimamia lake kama Elizabeth Michael Kimemeta. Kwanza akiweka nia kwenye jambo lake lazima liwe... Atafunga, atakesha asali, ataweka akili na mawazo yake yote humo mpaka Mwenyezi Mungu amtimizie, nishashuhudia hilo sio mara moja wala mbili na naweza nikasema binafsi ameni inspire sana kwenye suala zima la funga na sala. Nani kamfundisha hayo? Kwa umri wake aliokua nao wakati matatizo mazito yalipomfika pengine usingedhani angekua binti wa dizaini hiyo. Miaka minne au mitano ambayo Alikutwa na yale matatizo ya kesi na mpaka akatumikia kifungo ni miaka ambayo ilimfaya akue sana. Ki imani na kiakili.
Kwenye kipindi hiki hakua bado tayari kuzungumzia usiku ule ulobadilisha maisha yake ila kaniahidi akiwa tayari basi atafiria kutushirikisha kwenye hayo maongezi ila inawezekana pia hiyo siku isifike, nna hisia hiyo ni kurasa ya kwenye kitabu ambayo amechagua kuiruka kwa sasa au pengine milele, na maamuzi hayo mimi na wenzangu tuliyaheshimu.
Sote tunakumbuka wakati anakua, kila kukicha yuko kwenye gazeti ila kwa sasa huyo si yule, amekua ki mwili, ki akili na hata ki sanaa pia. Mambo yake si ‘hadharani’ tena kama ilivyokua miaka ya nyuma. Sasa amekua influencer ambaye kampuni kubwa kadhaa zinamuamini yeye kuwatangazia biashara yao. Amekua Mama kwa mdogo wake Eric ambaye naye tumemuona akikua kwenye macho yetu. Mama kwa watoto wawili ambao amewakuta wakiwa wanaishi na mchumba wake nyumba moja.
Kwenye haya maongezi yetu tuligusia hilo la hao watoto, na watoto wengine, kazi, yeye kama binti ambae amekua akikutana na mawe mengi. Muonekano wake. Familia kwa upande wa Mama na Baba na mambo mengine kadhaa. Niko hapa kukutakia uangaliaji mwema wa kipindi hiki na yangu matumaini utavutiwa na jambo ambalo litakufanya ubadili maisha yako kwa uzuri zaidi. Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Развлечения

Опубликовано:

 

23 май 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 248   
@elizalwakatare8070
@elizalwakatare8070 4 года назад
Shikana akiri kubwa una nipa nguvu sana za kupambana na kua na Imani .mungu akurinde girl 😘
@esterdanford5563
@esterdanford5563 4 года назад
Sikujua Lulu is intelligent and wise like this....nimeanza kumpenda bure leo😀😀😀...nilikua namchukulia kawaida tu..Dogo atafika mbali sana#GodBlessHerMore
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Yaan nimempenda sana ana akili sana😍😍
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 4 года назад
Salama npenda kipnd chako kwasababu hakun no answer 😏cwapend wale no comment wanakera mtu unaharbu bando kwa ajil ya kuwapa sapot halfu wao no answer 😏no comment,,kipnd chako ni cha uwaz yaan nlpokuwa naanglia kun maswal nlidhan lulu atakataa kujibu lkn alijibu vizur na cyo yey tu wengi wkij wapo vizur wafunguka vizur tu🙌🙌❤️
@cieremim7357
@cieremim7357 4 года назад
Elizabeth Michael lulu is very bright, very intelligent 👌💕
@grandmaempiresecret
@grandmaempiresecret 4 года назад
Kama unampenda Lulu kama Mimi ,karibu na subscribe Channel yangu 🙏 📢
@daughterofgod9185
@daughterofgod9185 4 года назад
Jamani hamna interview nimeenjoy kama hii soo really soo lovely soo happy natamani mwendele 😍
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 4 года назад
🙊🙅🙅🙅
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 4 года назад
Powerful, mmekutana makonki wote, muuliza maswali Konki na Mjibu maswali Konki. I love you both.
@ashnaom2270
@ashnaom2270 4 года назад
Asanten kwa kuja. Lulu Ana ongea duh ila amenifuraisha. MUNGU AZID KUKUTIA NGUVU. umenona!!
@maryflorenceinvestment7532
@maryflorenceinvestment7532 4 года назад
Cheating is ur choice km umesikia gonga like hapa?
@khadijaali3688
@khadijaali3688 4 года назад
It's truth haki amesema poit hapa
@newbeginnings9019
@newbeginnings9019 4 года назад
The only part I liked about this interview was when she suggested let's not be selfish to only think for ourselves rushing to have babies but rather make preparations about the baby you're going to bring to the world. What environment have you prepared for the new born now and even when you won't be around...? i think that was sensible thing to say.
@princemujuni9803
@princemujuni9803 4 года назад
Sema kati marafiki zako Salama Shikana kashikana na msosi wa Jesca kinoma noma, mtoto ana appetite huyu.
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 4 года назад
😀😀😀umeomba kukaribishwa umeamua kumsema mwenzio
@princemujuni9803
@princemujuni9803 4 года назад
@@annedavienyamhanga4738 Hahahahahaha msosi wa samaki samaki dada angu udenda watoka mie. Sema she dont joke with a food.
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 4 года назад
@@princemujuni9803 yeye anajijua n anasemaga waziwaz😀😀😀ko mvumilie hivohv,,,ndo uende samaki samaki sasa n ww ukajisamak samak
@princemujuni9803
@princemujuni9803 4 года назад
@@annedavienyamhanga4738 nimeckia chakula hapo 65,000 yan nimecheka mwenyewe tu
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
prince mujuni hahaha
@marryjackson1442
@marryjackson1442 4 года назад
This interview change my life complete ♥️🥀ilyu salama keep it up you such inspiration i swear 🌈🧚‍♀️
@raypray3449
@raypray3449 4 года назад
Smart sana lulu.. salama napenda maswali yako kipindi chako very educative much love sisters...
@dellah2673
@dellah2673 4 года назад
Hizi interview mtu anahitaji kupewa maswali kabla ya kufika kujiandaa 😂😂🤣🙆‍♀️all in all this is one of the best after Gigy’s interview
@yahyamohamed3507
@yahyamohamed3507 4 года назад
I always pray for the best kwa Lulu maana aliyopitia ni makubwa mno kwa umri wake. Safari yake ni mafundisho tosha kwetu sisi juu ya kumtegemea Mungu katika kila jambo. Hakika nilitokwa na machozi siku ya hukumu yake. Mungu azidi kumfanyia wepesi kwa kila analopitia. And my dada Salama, you are the best 👌
@myseramatamu7409
@myseramatamu7409 4 года назад
Wow cant wait for this hop kutakuwa na maswali yale tunayoyatarajia
@lucymwanri6479
@lucymwanri6479 4 года назад
Very powerful!!!i love everything..full of wisdom. Kip up the gud work!
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 4 года назад
All the ladies Salama has interviewed Lulu na Jokate wako sawa very mature. People as used to bashing Lulu n still see her as a young kid but guys asha grow whtvr hppnd was in the pass n she moved on n she's doing fine more thn some of this so called celebs
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 4 года назад
Shout out to another brilliant interview 💪 hakika huyu dada ni lulu she is bright and internally very matured!!! Baada ya giggy huyu anatufaa tena for another episode 🙏
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 3 года назад
Pendaaa sanaaa lulu very smart girl...nikutakie long life na mafanikio ya kheri Inn sha Allah.😍
@prhairsalon314
@prhairsalon314 4 года назад
She is so beautiful and bright. Love you so much.
@alaikemode4596
@alaikemode4596 4 года назад
Nimejifunza vitu vingi leo kupitia wewe God bless you abundantly 🙏
@simp1eone
@simp1eone 3 года назад
This absolutely fantastic you put subtitles. Finally. This will make you get higher views around Africa and around the world. Thank you. Continue subtitling all your videos. Please don't forget to subtitle part 1 of lulu's interview
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Hezi zile ulikua unafanana na speaker 🔈 😂😂😂😂😂😂 jmn hii interview 🔥🔥🔥😘😘😘😘😘😘😘😘
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Change Mindset kabisaaa......amemtania vyakutosha mimi nilikua nafa na kicheko tu 😂
@josephnchungila4017
@josephnchungila4017 4 года назад
Amekuwa sana, Mimi huwa naamini ukifanikiwa hata maovu yanapungua hasa mafanikio ya kweli siyo ya njia za mkato , Lulu amekomaa na kitu amevutia ana maono hongera lulu Mungu akubariki ufike mbali zaidi nimejifunza vitu vingi sana kwako ....
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Joseph Nchungila Amina
@michaelmatthias6108
@michaelmatthias6108 4 года назад
Good as ever Never Knew she’s this Smart
@moonpatienceongara5607
@moonpatienceongara5607 4 года назад
I really enjoyed this, Salama Wewe ni interviewer mzuri umejua kuuliza maswali ambayo yako vichwani mwetu. Shikana, you have through so much endelea kung'ang'ana na Yesu ataendelea kukuvusha kwenye mengi
@brownbryson9293
@brownbryson9293 4 года назад
Huyu dem mkali kwanzia mind asew. She’s very young afu anathink big. She’s beautiful kinyama asew
@joanharold9055
@joanharold9055 4 года назад
Nimeenjoy interview nzuri, nimejifunza so really, soo lovely..... 😘😘
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 года назад
MI nimependa chemistry yenu tu
@alhajbau9987
@alhajbau9987 4 года назад
Hongera sana dada salama unajua kuulza maswali
@lenageorge2254
@lenageorge2254 4 года назад
Very good interview..big up Shikana na Salama
@alimakame3529
@alimakame3529 4 года назад
Aaah Salama! We need her again pleeeeaaaase😣😣
@monicahwangui4756
@monicahwangui4756 4 года назад
I really love this girl very inteligent
@benbola3283
@benbola3283 4 года назад
J'aime cette fille. Lulu
@vulfridakessy7148
@vulfridakessy7148 4 года назад
Nakupenda sana Dada Salama sijawahi China interview zako..na lulu u are so young but intellectual.. Keep moving u are such my role model...
@Iamcameronboyce
@Iamcameronboyce 2 года назад
These interviews are addictive 😢
@ajaxjunior4151
@ajaxjunior4151 3 года назад
It's an excellent interview salama na shikana Mimi nimejifunza kitu kikubwa sana because nothing comes easy
@TheTemba1
@TheTemba1 4 года назад
Very talented girl, natamani kuona wakina Lulu 500 kama wewe
@gracestephano886
@gracestephano886 3 года назад
I love dis interview enjoyed enough Lulu karelax Kama yupo home Raha sanaaaa
@adelynkemmyichaka8170
@adelynkemmyichaka8170 4 года назад
Salama you are very creative 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻
@naasamson4905
@naasamson4905 4 года назад
Na Salama ana maswali ya mambele kama Oprah
@simondickson859
@simondickson859 4 года назад
"Baba yangu; mikaeli".....😁😁😁😁
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Hongereni Sana, interview tamuuu, Shikana Hongera.
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 4 года назад
Lovely Shikana...nice name Very intelligent 😘
@hendricswitbert6980
@hendricswitbert6980 4 года назад
Nice interview yaan km mko maskan mnapiga stor vileee mmejiachia vya kutoshaaa
@medyamon
@medyamon 4 года назад
Was A great interview that made shikana talk out alot of things to her fans.... she could be so private but this was so much enough for us to know!!! Inanifanya nmeelewa zaidi hichi kipindi kiukweli.. there's majic ndani ya daftari na karamu Salama😂😂!!! She's not Tuff but she just don't say things in public kama sio conveying a message to the society (script-acting)!!! I don't know her but just a fan 💙 All in all this was A great interview Salama!
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Kwenye mateso ndo kwenye mafanikio 👍🏽
@irenemina2059
@irenemina2059 4 года назад
Exactly👌
@shangwemagilani5669
@shangwemagilani5669 4 года назад
She is very intelligent I swear
@mariamkitiku8129
@mariamkitiku8129 4 года назад
Awesome show lulu ni mwanamke mzur na anaendelea may God help her katika maisha yake😘
@roselinenjau6417
@roselinenjau6417 4 года назад
Gud salama na Lulu! Nimejifunza kitu love you my friends!!
@jumadoctor7479
@jumadoctor7479 4 года назад
Sawa eliza
@nazifanuru5306
@nazifanuru5306 4 года назад
kama unampenda lulu gonga like
@husseinsiradji8541
@husseinsiradji8541 4 года назад
Almost kila anae hojiwa kweny kipindi iki cha #salamana Wengi inakua hawakua na mahusinano mazuri na baba zako katika ukuwaji wao I think we as men kuna kitu cha kujifunza ili kua Baba bora kwa familia zetu.
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Hussein Siradji Hakika mama ni wakuheshimu sana
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 года назад
Lakini lulu uwe mankini Sana mwanaume akikupenda sana na kukupa kila kitu na kama hagongani kila Leo, muangalie kwa jicho la saba
@emilykai7866
@emilykai7866 4 года назад
Mahusiano mkikaa sana miaka 6 bado tu hajakuoa.hata kama hufikirii kuzaa karibuni basi si uolewe .ndio upange uzazi. Hapo alipo hajui anazaa au ni nitasa.afadhali azae ajue kuwa ni tasa au la.atumie dawa mwisho wa siku dawa zimehari kizazi
@prisilahadolf2145
@prisilahadolf2145 4 года назад
I love the way they talk like they a not in interview, i love u guys keep it up
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 года назад
lovely interview salama na luluuuu😘😘😘😘
@loisesophie8446
@loisesophie8446 4 года назад
Awesome and beautiful souls 🥰
@sirajidadi6570
@sirajidadi6570 4 года назад
Duh salama bhana...eti umeshawahi kutoa mimba?swali ambalo hata muulizwaji hakuamini.
@sassboy9360
@sassboy9360 4 года назад
Watoto wakulea ni watoto ila mara nyingi wanaweza kubdlika especially ikiwa umeachana na baba yao na ww sio mama mzazi basi jua unaweza ukabaki historia tu kwenye maisha yao na usiwe mmoja wa familia yao kwa akili yangu fupi ningekushauri ufunge ndoa ili upate watoto wako hapo ndo utakuwa huwezi kutenguka kwenye familia pia unasema ww mlokole but why unaishi na mtu kinyumba wakati hamjahalalisha iyo si zinaa hapo ni sawa na kwamba umechagua mazambi yakufanya yaani unajihalalishia ili mambo yko yaende na unajipa moyo upo sahihi
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 4 года назад
Well said
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Sass Boy mungu atusaidie ila ni haramu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 года назад
Kama yule wa lady Jay Dee na gardner.
@rechocolin493
@rechocolin493 4 года назад
U r brain enough sure vile lulu unanfundxh meng xn 💕
@omaiim4014
@omaiim4014 4 года назад
Dada salama napenda unavocheka
@blessedtillah
@blessedtillah 4 года назад
Salama Najifunza vitu vingi sana kutoka kwako you inspire me alot
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
Salama na Shikana.... Warembo wangu haooo. 💞💞
@kwangupaul7855
@kwangupaul7855 4 года назад
I love lulu you can answer well and good.
@anniemmacy6909
@anniemmacy6909 3 года назад
I love this channel now❤️
@ashafatuma3167
@ashafatuma3167 4 года назад
Kwa hiyo walianza kutongozana akiwa kwenye mausiano!! Jibu ni kwamba ulimtoa kwa mtu akuna swali
@mariamkapesa9154
@mariamkapesa9154 4 года назад
Salama Hongera sana...yani lulu anajibu maswali vizuri..
@anitakamene5073
@anitakamene5073 4 года назад
Waiting salama
@joanharold9055
@joanharold9055 4 года назад
I like the way unavojibu...very matured😘😘
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 4 года назад
Two smart heads😘
@najma3268
@najma3268 4 года назад
Kwenye maumivu ndo kwenye mafanikio, tunawapenda kwakweli
@prisscakalasa4996
@prisscakalasa4996 4 года назад
Kabisaaaa
@elizabethelizabethngajiro8755
@elizabethelizabethngajiro8755 4 года назад
Yani Elizabeth wew upo God mahan huna yare ya kuongea kiswailih Kisha kizungu Hongera
@chany9950
@chany9950 4 года назад
Lulu nakupenda saaana jmn😍😍😘😘😘
@ruhjanangulukuta1356
@ruhjanangulukuta1356 4 года назад
Nimependa kila kitu alichongea anaonyesha jinsi gani kweli amekuwa
@oyay2821
@oyay2821 4 года назад
Nice interview
@ElimikaTz
@ElimikaTz 4 года назад
always loved this lady!! so smart..
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 года назад
Pete bila ndoa dada hapo usijidanganye you deserves better than that but choice is yours. Watoto wakulea ni baraka and it feels good lakini ukiongezea hapo na wakuzaa mwenyewe baraka kama zote. Your young and very smart tho, with beautiful soul.
@claraemmanuel1911
@claraemmanuel1911 4 года назад
Nawapendaga mko vzr mtu Na shoga yake..👌
@Salimfulla
@Salimfulla 4 года назад
japokuwa lulu kacheka ila hilo swali ni sensitive sana... kutoa mimba?
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 4 года назад
Exactly
@maryflorenceinvestment7532
@maryflorenceinvestment7532 4 года назад
Kwny mateso kunamafanikio ,madini sana lulu
@amgang4079
@amgang4079 4 года назад
Mrudishe darasa anamengi sana ajasema aseeee
@leonidawilliam5525
@leonidawilliam5525 2 года назад
Nakupendaga bure pacha wangu Mungu akubariki sana🙏
@hardatgiven6357
@hardatgiven6357 4 года назад
Good interview like always
@happyluena3214
@happyluena3214 4 года назад
Nimesubiria sana hii interview
@merynjau5614
@merynjau5614 4 года назад
Jmn km mm nilikuwa kila saa naangalia jmn lulu huyu nampenda sana na nimejifunza mengi
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 4 года назад
Nafulahi kuwona tabasamlako🥰💞💞👌😘
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Mashallah, madini mengi hapa.
@misukamikwini5809
@misukamikwini5809 4 года назад
Exclusive interview!
@omanimujsa9756
@omanimujsa9756 4 года назад
Sjutiiag kabisa kufungua vidio ya inayomuhusu huyu kiumbe lulu upo kwadam yangu tu sajui kwann
@salehalbasam41
@salehalbasam41 3 года назад
@@omanimujsa9756 napenda interview ya lulu yn uwa anajielewa
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 года назад
Kabisa kuombea kitu ambacho kitaleta majibu magumu
@sheen2756
@sheen2756 4 года назад
Gal...you are smart
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 года назад
Lulu acha uongo ulishawahi kutoa mimba tena zaidi ya moja, ushaidi upo kabisa
@mikejescaafricaamini3017
@mikejescaafricaamini3017 4 года назад
I truly agree with Lulu that cheating is a choice whether you've a reason to do it or not. At the end of the day cheating is what you choose. Lulu una akili mtoto wangu
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 3 года назад
Alili kubwa sana. Salama tuletee tena huyu Lulu na kweli ni Lulu.
@jonathanmalisa9272
@jonathanmalisa9272 4 года назад
Shikana ndo nani ase.. Mbona mi namuona Lulu Michael
@niyisyegekitta6160
@niyisyegekitta6160 4 года назад
The song in the background at last is just 😍😍
@MarcoChali
@MarcoChali 4 года назад
✊🏾
@jamesnatai7430
@jamesnatai7430 4 года назад
inaitwa yeah zaid ngoma kali na somo kutoka kwa marco chali.
@nancyfrancis5251
@nancyfrancis5251 4 года назад
kaongea vizuri sana about wokovu
@allymatilda7519
@allymatilda7519 4 года назад
Nimenjoy kipindi sanaa
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 4 года назад
enzi hizo unafanana na sipiki😀😀😀
@veeJesus
@veeJesus 4 года назад
Yaan this interview nilitegemea makubwa lakin looool lulu anakula tu na kujitetea nawapenda
@noilattrewly3950
@noilattrewly3950 4 года назад
I think wasingeweka chakula mana mtu unakua hau focus. Chakula kiwekwe after interview.
@najmahabass8183
@najmahabass8183 3 года назад
Hakiezi kuekwa baada ya interview kwasababu wanaadvitise hio biashara ya chakula pia
@shukranimwambene6311
@shukranimwambene6311 4 года назад
I love lulu. She is tarented and still very brainy.. #lovululu
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 года назад
Shikana mroho shavu ka lote🤣🤣🤣usinenepe sana utazid ufupi
Далее
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
28:34
Просмотров 199 тыс.
Salama Na Romy Jons Ep 14 | PLUG Part 1
26:08
Просмотров 122 тыс.
Mkasi - S01E12 with Wema Sepetu
26:55
Просмотров 718 тыс.
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
Просмотров 328 тыс.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 2
24:38
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55