Тёмный

Shukrani, Khalid wa Ghazza 

Gumzo la Ghassani
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 408
50% 1

Hata kwenye maumivu, machozi na yako damu, ewe Khalid wa Ghazza!
Pale adui muovu, azidipo kudhulumu, roho kuziangamiza
Wewe unapata nguvu, waweza kutabasamu, moto ungakuunguza
Kwa wako uvumilivu, nasi umetupa hamu, tujifunze kujikaza
Dunia umeifunza:
Shari huwa yapuuzwa
Na kheri yaendelezwa
Mola anapotukuzwa
Shukrani shukrani, ewe Khalid wa Ghazza!
Background: ALAM by Saad Al-Hussainy

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3   
@SuadAlbarwani
@SuadAlbarwani Месяц назад
😢Mwenye Enzi Mungu Mkubwa
@khamisomar8840
@khamisomar8840 9 месяцев назад
Reem is the soul of my soul ❤
@nailamohd7693
@nailamohd7693 9 месяцев назад
❤❤❤❤
Далее
Muad - Prophet Muhammad (Vocals Only)
3:39
Просмотров 95 тыс.
Cute
00:16
Просмотров 6 млн
Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo
21:57