Тёмный

SIKU 10 ZA MAANGAMIZI:WAKAZI NA COUNTRY BOY KWENYE DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI 

WAZO TV
Подписаться 146 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Siku ya 8 kati ya zile siku 10 za maangamizi ndani ya planetbongo na vinakutana vichwa viwili vya hip hop bongo..wakazi na country boy

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 126   
@pembesellah6106
@pembesellah6106 4 года назад
Dah country nomaaa
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 6 лет назад
Word up ma nigga WAKAZI workethic, #lala mchana Kesha usiku
@frankmrema2289
@frankmrema2289 5 лет назад
Oyaaaaaaaa ahaaaaa yule boy cantry wiz gadafiiiiiiiiiiii
@andersonsteven9154
@andersonsteven9154 6 лет назад
Ni kama unadem mzur af unapiga nyeto big up xna country wizy umefunka hatareeee
@lukoyoyojr293
@lukoyoyojr293 2 года назад
Wakazi made it very clear big up to the guy ....let him get another chance next time.
@acleysteven6951
@acleysteven6951 6 лет назад
Aysee HIDARY SCODA plzzz arudishwe apoo... Before New Year
@chidybwax8080
@chidybwax8080 6 лет назад
Ushabiki WA bongo wakishamba Sana hatucmami ukweli utopia really kabisa wote niwakali
@nyumbumctz2669
@nyumbumctz2669 6 лет назад
Safi @Wakazi
@zackchriss10
@zackchriss10 6 лет назад
Ebhnaa nomaa xna country swaga A wakazi kayumba
@spiritmusic3879
@spiritmusic3879 6 лет назад
Nomaa!wakazi na country wamekamua mbaya freeflow na freestlye za kbabe sky level.. af nashangaa haters wanaponda nmegundua hata ushabik una level kutokana na upeo, kuna mashabik underground humu upeo mdogo kwa kujaji vitu!
@cheaffundikila9727
@cheaffundikila9727 6 лет назад
Sijawahi kumuelewa Wakazi lakini humu amefanya kitu cha tofauti Sana nampa 🎤5....
@stevensamwel7543
@stevensamwel7543 6 лет назад
gadafi wa mtaa ni noma sana
@muhidinkibwana636
@muhidinkibwana636 6 лет назад
WAKAZI umezingua asee....kimeo sana leo
@officiallyimo6772
@officiallyimo6772 5 лет назад
Kajitaidi
@josephmwangomo9404
@josephmwangomo9404 6 лет назад
hyu country boy katishaaaaaa
@sofyhamis8692
@sofyhamis8692 6 лет назад
country katishaaaaaa mnooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@selehassan9724
@selehassan9724 6 лет назад
wakazi bhana umezingua mzee baba
@yefterngabo2138
@yefterngabo2138 5 лет назад
Wakaz respect sanaa
@nelsonrevocatus1875
@nelsonrevocatus1875 6 лет назад
wakazi u killin em
@kajaradotto9042
@kajaradotto9042 6 лет назад
wakaz kazingua bra bra nyingi km freestyle ni shida c bora arap mistar yake OG
@jamesmoto_tz9679
@jamesmoto_tz9679 6 лет назад
wakazi amezingua sana asee oi dulla mtafte Dogo dee wa mwanza mwanza ahusike hapo mzee
@brizyescoba9006
@brizyescoba9006 6 лет назад
Boy country wizy killed it, and shout out to wakaz for a dope freestyle
@salimsalum7796
@salimsalum7796 6 лет назад
Wakzi toka kkmmyo
@kelvinkened8668
@kelvinkened8668 6 лет назад
hamja zingua machaliii wakazi umeua country km kawaida ako unakiwashaga kina wakaaa
@shaggyjuma1577
@shaggyjuma1577 6 лет назад
Wakaaaaaaaaaazzzz na countryyyyyyyy n full swaggaaaa
@abdulrahmanilikavala7317
@abdulrahmanilikavala7317 6 лет назад
Tutafurahi BOSHOO akiangamiza wanaokuja hapo hawajaangamiza zaidi ya Boshoo.
@EarningsEdge101
@EarningsEdge101 6 лет назад
Iii ni kali sanaa, tuwekee na ya boshooo mzee
@luki2738
@luki2738 6 лет назад
country boi noma
@georgieskeneth7202
@georgieskeneth7202 6 лет назад
you all haters mnaodis what swagger bovu did..MCEE'S Wakiimba verse zao mnataka freestyle .wakazi ka freestyle i see dem haters dropping hating comments...BIG UP SWAGGER BOVU you did it well as well as country whizzy
@rajabseif2301
@rajabseif2301 6 лет назад
georgies keneth kaangalie freestyle ya haidaly uje u compare na hiyo
@osmogangs6051
@osmogangs6051 6 лет назад
Hapa sasa Summer ndiye anayezingua..Hz beats niaje zinapigwa low kinoma...
@felicianbwinyende4884
@felicianbwinyende4884 5 лет назад
Wakaz hamna kitu uyo
@mnyakitz2007
@mnyakitz2007 6 лет назад
Kwenye ngoma ya SONGA inaitwa #worning! anasema "utaweza kurap bongo ikiwa ulishindwa kurap Chicago..." wakaz sio mburudishaji
@mrquality1080
@mrquality1080 6 лет назад
Wakazi umezingua imba mistali yako.freestyle UNAZINGUAAA
@elishaworkout6116
@elishaworkout6116 5 лет назад
ajeee slimsal apo asee
@asjoh5390
@asjoh5390 6 лет назад
Swaga Bovu all day🔥🔥🔥
@ramatraveller9709
@ramatraveller9709 6 лет назад
Country boy yo the best bro 🙌
@frankjokonea5653
@frankjokonea5653 6 лет назад
wakazi kweli umefreestly big up
@mickskillstechnology7511
@mickskillstechnology7511 6 лет назад
Summer anazingua biti za kiboya,,na wakazi alikuwa anamdiss Godzilla kuchana kingereza na yy kaenda kule kule na hana lolote
@yusufadam4953
@yusufadam4953 6 лет назад
plez let true mc on ze battle i mean p the mc vs nikki mbishi
@kulindwamakila
@kulindwamakila 6 лет назад
Kaka tuwekee Boshoo na wakiafrika #Siku10zaMaangamizi aisee RU-vid itakuwa poa sana mzee
@kulindwamakila
@kulindwamakila 6 лет назад
ARK TV TZ Nimeona sema walichelewa kuweka.
@djunction4127
@djunction4127 6 лет назад
wakaz umeuwa
@milimomashini9432
@milimomashini9432 6 лет назад
Wakaz badooo hana swaga
@lazarolazaro5535
@lazarolazaro5535 6 лет назад
😀😀😀 Country boy
@bonnysure1082
@bonnysure1082 6 лет назад
Afuh Dulah...mazingua Veepe Masera wana floo kinohma hata kushangilia budah mnazinguwa mjue... Tunawakubali 1) WakaWakazi 2) Country
@mwikaabas2763
@mwikaabas2763 6 лет назад
Wakazi mbio nyingi bro flow zinakosa pozi otherwise u good
@nurdinahmed422
@nurdinahmed422 6 лет назад
Wakazi anazingua
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 6 лет назад
beat zipo chin sana ni kweli tunaitaji kusikia verses lakin beat angalau isikike ili tuone uwezo wa kunata nayo
@sehemunzuri
@sehemunzuri 6 лет назад
Moto uooo
@rajabseif2301
@rajabseif2301 6 лет назад
Wakazi unaboa freestyle huwez we endelea kurap kingereza kiswahili unazngua
@tumainzacharia917
@tumainzacharia917 6 лет назад
tuleteen Nikki mbishi Zohan na Zilla black zizi
@aloycemrosso4777
@aloycemrosso4777 6 лет назад
Boshooo kafunika wot wakax umezingua kinom
@streetboy8950
@streetboy8950 4 года назад
ndio maana kingZallah alikuliza wakazi uwezo bado mwanangu ukifreestyle ueleweki
@abbymwangomile392
@abbymwangomile392 Год назад
Wote hakuna ki2
@promramson80
@promramson80 6 лет назад
Country ameua kuliko wakazi
@nickherman4
@nickherman4 6 лет назад
Hatari tupu lkn Mleteni Nikki Mbishi na Stereo
@bakarikambutu4885
@bakarikambutu4885 6 лет назад
kwel bosho noma kila MTU anamtaka
@hammytherapper5502
@hammytherapper5502 6 лет назад
wakaz umwzingua kaka
@movieskalinaseries6232
@movieskalinaseries6232 6 лет назад
country boi kakimbiza
@wankyroshna5544
@wankyroshna5544 6 лет назад
Wiz kama katisha ivi
@angelgaudance7942
@angelgaudance7942 6 лет назад
this hw we do kwa #planetbongo ni fireee
@hbmweusisalasala2772
@hbmweusisalasala2772 6 лет назад
county boy umetisha sana
@mbwanabakary4668
@mbwanabakary4668 6 лет назад
Stereo vs Nikki mbishi
@dericelliud529
@dericelliud529 6 лет назад
wakazi Yupovzur kwenye frctyle Ilaa badae anapoteza mwelekeo kabsa haelewek anachozungumzia..hyo c hphap coz hphap n maana c kuropoka nooh.
@mrjackchananashon4
@mrjackchananashon4 6 лет назад
Naomba mtrex arundishwe ndo mkal wa kumi za maangamizi
@mrjackchananashon4
@mrjackchananashon4 6 лет назад
Jackchana
@issamakamba5569
@issamakamba5569 6 лет назад
Wizy anaswaga hatar
@mdachiog5211
@mdachiog5211 6 лет назад
Country unajua kufree Ninja noma mastyree mengi
@movieskalinaseries6232
@movieskalinaseries6232 6 лет назад
wakazi hana uwezo ndez tuu
@eliamgata3958
@eliamgata3958 6 лет назад
Swagga bovu
@tafawasaid4740
@tafawasaid4740 6 лет назад
wakazi ametisha tuuu baaaab
@nickherman4
@nickherman4 6 лет назад
Wakazi leo kafanya chini ya Kiwango
@mdachiog5211
@mdachiog5211 6 лет назад
Wakazi hamna kitu una free bila styreee haaaahaaa
@haruniamri8171
@haruniamri8171 5 лет назад
Wakaz rinda heshima yako
@dadychaps7527
@dadychaps7527 6 лет назад
1.Hydary scoda 2.Climax Bibo 3.Boshoo Ninja 4.Mex Cortez 5.Wakazi 6.One Incredible
@mirajifikirini6305
@mirajifikirini6305 6 лет назад
Streeo ahusike kabla mwaka hujaita
@movahussein1532
@movahussein1532 6 лет назад
Hilo nn halina swaga bora zizii yan zilla
@ibraahmapexah5418
@ibraahmapexah5418 6 лет назад
dulla Fanya kuwaleta dizasta vinna Vs dubro Jesus au Algebra Tng Vs mad kachaa
@barakaluladya9056
@barakaluladya9056 6 лет назад
Stereo wapi
@salimsalum7796
@salimsalum7796 6 лет назад
Unarap kiingereza wakati sie wabongo? wacha hiyo michongo
@milimomashini9432
@milimomashini9432 6 лет назад
Tunataka siku kablaaaa hazijaishaaa mtuleteee stereeo...dulla fanya mambo
@Cyper255
@Cyper255 6 лет назад
milimo mashini, Samahani Stereo yupo WCB hatuwezi kumpa airplay kwenye radio yetu.
@mailerajabu8744
@mailerajabu8744 6 лет назад
gaaadafiiii
@kajaradotto9042
@kajaradotto9042 6 лет назад
bado sijamuona aliefika level za boshoo
@ramatraveller9709
@ramatraveller9709 6 лет назад
Wakazi mzinguaji tu
@Edward_Simon6
@Edward_Simon6 Год назад
Sijaelewa wakazi anaimba Nini kiukweli ndio mara ya kwanza namuona huyu jamaa anafnya pumba @wakazi
@ismailseiphuy8554
@ismailseiphuy8554 6 лет назад
wakazi unaye pumz lkn mistar yk aielewekii
@mbwanabakary4668
@mbwanabakary4668 6 лет назад
stereo vs Nikki mbish
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 6 лет назад
Wakaz hamna kitu
@saidmohammed4815
@saidmohammed4815 6 лет назад
Kwahiyo day 6 ya boshoo hamuiweki....
@mathayomatondo4024
@mathayomatondo4024 6 лет назад
Said Mohammed ishawekwea dear
@nwntz
@nwntz 6 лет назад
KILA LINE UTASIKIA wakazi swaga bovu, FUCK FREESTYLE
@faroukmdigo9237
@faroukmdigo9237 6 лет назад
boshoo vs wakiafrika ishawekwa ktk ukurasa wa east africa radio.
@hammytherapper5502
@hammytherapper5502 6 лет назад
jamni bosho ndo nyoko wahiz kaz tanga city wasaaaa
@jumamisinzo9234
@jumamisinzo9234 6 лет назад
#NchamaDebect again please kwenye siku 10 za maangamizi😀😁😀😁😂#j4pc
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 лет назад
Kiukweli, haikuwa hot. Afu mkiwa mnafyetua video angalieni sana kuna wengine hawakupaswa kuonekana kama huyu boya aliyevaa miwani & portable yellow hand bag hakuwa na faida hapa yeye naselfie za kisenge tu! Wa Mbwinde huyu raia.
@enockibrahim3510
@enockibrahim3510 6 лет назад
ussikhamis ussi 🙄😂😂😂😂😂
@emmanuelmpangile2377
@emmanuelmpangile2377 6 лет назад
Watu wana diss wakaz kaharibu wakat in reality jamaa ndo kafreestyle...
@kidengatv4466
@kidengatv4466 6 лет назад
Wakazi fala tu hata usimamishwe na mm hutoboi
@movahussein1532
@movahussein1532 6 лет назад
Kam unapenda zilla gonga like
@omarysuleiman2179
@omarysuleiman2179 6 лет назад
Country ni nyokooo
@martinmpusso8703
@martinmpusso8703 6 лет назад
Wakazi tafuta kazi nyingine ya kufanya.....mc mwepec
@barcarynzory1994
@barcarynzory1994 6 лет назад
Country weezy killed it.....
@kinarazemaster7321
@kinarazemaster7321 6 лет назад
Ya Boshoo ndi0 aj3¿
@kinarazemaster7321
@kinarazemaster7321 6 лет назад
+ARK TV TZ pouwaaaaa
@izzy7643
@izzy7643 6 лет назад
wakazi akale ugali hakuna kaz hapo
@danielwerema23
@danielwerema23 6 лет назад
wakazi nooooooooma
@athumaniabdi8073
@athumaniabdi8073 6 лет назад
oi ka mkubwa dullah, mbona boshoo hamuweki?
@kimarobrighton3269
@kimarobrighton3269 6 лет назад
Athumani Abdi boshoo kashawekwa mzee, kaumiza balaa .ni next level
@enockisrael2307
@enockisrael2307 6 лет назад
Mleteni dizasta vina
Далее
PLANETBONGO-DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA COUNTRY BOY
10:40
SIKU 10 ZA MAANGAMIZI : CADO KITENGO NA YEDEDEE
12:27
Просмотров 110 тыс.
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 87 тыс.
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
Country Wizzy Feat. Jay Moe - Way Back (Visualizer)
3:38
PLANETBONGO-DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA MONI CENTROZONE
12:34
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA G NAKO
10:51
Просмотров 141 тыс.
А я с первого раза прошла (2024)
01:00