Ni Mahojiano na Mwimbaji wa Taarabu Isha Mashauzi ambaye ameshare na sisi Maisha yake kuanzia alivyosomea unesi kisha akauza Ubwabwa Kariakoo, Kuachika ndoa ya kwanza na Mengine.
Nakupenda xana ixha mashauzi I love ur voice melody ur jobs ur music ur vocals and every ting udo Mungu akupe umri miaka buku I love ma sister nakupenda xana tena sana loveu xooo much more
Dadangu kweli hio rangi itoe ulikua mzuri sana wakati ukiwa na rangi yako ulio zaliwa nayo ulikua mtamu sana ila sahii uko kama nguchiro,watubwaga bwana
@@maadamray9282 angali video ya ile nyimbo yake hayanifiki ni mweusi kabisa na sasa hivi ni mweupe mungu ni wa ajabu sana wooote wanojichubua kuna sehem hazitakati mpaka anakufa ili akaulizwe vizuri kuhusu rangi ya mwanzo
Nikweli wala hamjakosea pata pesa tujue rangi yako zaman alikua mweusiii mshambaaa sasaivi kawa mzungu anatamba alafu anatudangany bora aseme ukweli as ndio mashabiki zake tunampenda
ACHA KUJICHOSHA NA MAFAMILIA YASIYOKUWA YAKO WEWE UTAJICHOSHA BUUURE KWA SABABU HAKUNAGA SHUKURANI, HAO WATOTO WANABABA ZAO WANATAKIWA WAHUDUMIWE NA MABABA ZAO, UTAJITUTUMUA WEE MWISHO WA SIKU WAKIKUA NA WAKAFANIKIWA WATAWAJALI MABABA ZAO WEWE MPAKA UKUMBUKWE NI LEO SHOUGA🤔