Тёмный

ISHA MASHAUZI NA PENZI LAKE AFUNGUKA KUSHINDWA NDOA MBILI, AITAKA YA TATU AMPA SHAVU KHADIJA KOPA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@MwanamisoAbdallah
@MwanamisoAbdallah 4 месяца назад
Nakupenda bure kakangu unajua sana kuongea duh Insha allah mungu awaongoze❤❤❤❤❤
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 месяца назад
Nyie mmesha jitafuta vijana bado ila washikeni basi vizuri na madhaifu yao myasitiri❤❤❤
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr 4 месяца назад
Mi nlichooona jamaaa n handsome na comedian
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 4 месяца назад
Babu adeti na msichana hamuwahoji ila mama akideti na kijana gumzo maneno mengi acheni wa mama wafurahishwe kinawaumaaaaa
@Mojabo-qi7sv
@Mojabo-qi7sv 4 месяца назад
Wapo sawa achen I maneno waja kama mapepe ata jua yy jaman
@deochami6421
@deochami6421 3 месяца назад
Isha mashauzi nakupenda bure unaongea vizuri sana mmependeza sana MUNGU awajalie ktk ndoa yenu.
@JamilhaSelemani
@JamilhaSelemani 4 месяца назад
Isha mungu akutangulie katika penzi lako
@XundhurGure
@XundhurGure 3 месяца назад
❤😂🎉🎉tanga Moja.hongera mwaimu
@salmawage7259
@salmawage7259 3 месяца назад
Mungu awabariki mufunge ndoa
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 4 месяца назад
Jamaa hb afu very charming😂😂😂😂
@crelincharles9358
@crelincharles9358 4 месяца назад
Mwanaume mcharuko sana , isha rudi nyuma ujiulize tena
@farahali6041
@farahali6041 4 месяца назад
😂😂
@tatukitolelo6873
@tatukitolelo6873 3 месяца назад
😂
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 4 месяца назад
Isha mm nakupenda sanaaa
@BettyNzegenuka-yr5xq
@BettyNzegenuka-yr5xq 3 месяца назад
Me naipenda hii couple Mungu awajalie mfunge ndoa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 месяца назад
Halafu kwa kumuangalia huyo kijana sio mdogo ni mkubwa kuliko Aisha tizamen kwa makini mtangundua.❤❤❤
@CHRISTINAMAGASI
@CHRISTINAMAGASI 4 месяца назад
Na ww hahahaha , 😂😂😂
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 месяца назад
Bwana sio mbaya safi sana mjanja fulani hivi:Ila Aisha awe na akili nyingi za kuishi naye huyu. Mchaga tena achunge sana .Nawapenda sana na couple yenu❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍🎉😅
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 2 месяца назад
Wavlana wa umri mmoja au akikuzidi kdg ni shida wanawake tucjidanganye. Hawa wenzetu hawachoki na hayo mambo. Ukiamua kuingia ingia 2 na ukubali lolote litalotokea!
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 4 месяца назад
Nice couple 🎉
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 3 месяца назад
🤩😘Jaman Kupendwa Raha🎉❤💞💖💗
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 месяца назад
Isha nakupenda sana ila huyo mwanaume ana kiherehere sana halafu anapenda camera😂😂😂
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 4 месяца назад
Hata mimi ningekua na kihereere why not kupenda mi namuelewa sana shemegi yetu kwa yule hajapendwa na akajua kua anapendwa ndo hawezi elewa
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v 2 месяца назад
Nakupenda ishaaa❤❤❤❤
@deochami6421
@deochami6421 4 месяца назад
Point umri ni namba tuu kikubwa kupendana na kuheshimiana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 месяца назад
Ni kweli Aisha maneno yako❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@sizamazongera5610
@sizamazongera5610 4 месяца назад
Kwa asiemjua Isha atasema Ni mtu mzima Hana utuziima
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo 4 месяца назад
Ni kwel ila hana utoto pia
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 4 месяца назад
Kweli 👌
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 месяца назад
Kwa tumbo tu mashallah
@HusnahMaulid-wi8dl
@HusnahMaulid-wi8dl 4 месяца назад
Kijan anatumia nafasi yake kwa mkini sana shobo nyingi😅
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 месяца назад
Dah kashemela hakajatulia kana hekaheka🤣🤣🤣
@SaudahSau
@SaudahSau 4 месяца назад
😂
@tatukitolelo6873
@tatukitolelo6873 3 месяца назад
😂😂
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 3 месяца назад
😂😂Ila Hunmu ndan Duh😂
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 4 месяца назад
Hakuna mapenzi apo mwisho wa siku ni kutoana machozi tu.uyu kijana kaja kwa kulelewa anaonekana baadae uyu mama atakuja kulia na kutoa machozi ya damu.
@FekiHappy
@FekiHappy 2 месяца назад
Hajamtaja mwenzie ht kdg
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 Месяц назад
Afu jmni dada isha sio mkubwa kumuita jimama jamani na yawezekna wakawa sawa au uyo kaka akawamkubwa isha limwili tu but ni mdada badooo
@neemaarusha9044
@neemaarusha9044 4 месяца назад
Mbona hana shida jamaniii, ni mwanaume poa tu kikubwa wameridhiana wao imatosha
@JescaMuyabi-ix8ly
@JescaMuyabi-ix8ly 4 месяца назад
Nimekupenda bure
@karimjuma4019
@karimjuma4019 4 месяца назад
Dada nilimtafta huyu ila nilikosa njia za kumpata mdogo wangu mtunze huyo dada
@MohamedMkota
@MohamedMkota 4 месяца назад
Na we py ulimtafutaa!
@karimjuma4019
@karimjuma4019 4 месяца назад
@@MohamedMkota sana
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 4 месяца назад
Nc
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 4 месяца назад
Kwaza nicheke Mijimama ya dar inaongoza kudate na vijanaa😂😂😂😂jamaa kachngamka hatari.esha,isha na shilole😂😂😂😂😂mmenishnda tabia
@AsteriaMontgomery
@AsteriaMontgomery Месяц назад
Maneno haya sasahv kayameza mwenyewe. Eti hata msamaha hataki isha jmn msamehe bc ili mambo yaendelee
@stanastana3199
@stanastana3199 4 месяца назад
Jamaa anakojoa pasafi sana
@XundhurGure
@XundhurGure 3 месяца назад
@esterMahenge
@esterMahenge 4 месяца назад
😂😂😂😂kk kachangamka hatarii
@jadetoto
@jadetoto Месяц назад
Jamani eti wamegombana kama.diva na mganga wake
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 4 месяца назад
Kwahiyo ramadhani mumefinga mukiwa kwenye dhina
@ndibumibuya
@ndibumibuya 4 месяца назад
Yaani kivulana kina mapepe hicho
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 месяца назад
Saana 😅😅😅
@SharifaOmary-ui8vs
@SharifaOmary-ui8vs 4 месяца назад
Kinatetea ugali wake😅😅
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 4 месяца назад
Kama namuona Ben 10 NA tumbo la mama😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
Kama mimba yake je si tumbo la bia😂😂😂
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 месяца назад
Kiben 10 kinaskiliza tu hela ilivyotafutwa kwa tabu 😂
@AbcD-bn1nz
@AbcD-bn1nz 4 месяца назад
😂😂
@jamyabdul4321
@jamyabdul4321 4 месяца назад
😂😂😂😂😂..
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 месяца назад
Yaan acha tu yetu macho na masikio🤣🤣🤣
@TeremaMicrofinance
@TeremaMicrofinance 4 месяца назад
uyo ndio Isha utafukuzwa kama kuku jitambue bwege weweee
@ameenaameena422
@ameenaameena422 4 месяца назад
Aibu vitoto toto tu
@liuu282
@liuu282 4 месяца назад
Super women
@JescaMuyabi-ix8ly
@JescaMuyabi-ix8ly 4 месяца назад
Nimewapenda bure
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 месяца назад
Cjui kuwa na huyu mvulana cjui ni Kiki cjui ni kweli?😂
@teedullah5708
@teedullah5708 4 месяца назад
Kwanza daa isha ajipange huyu kijana cku akitaka mafao yke hutamueza huyu c mpole km romy😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 месяца назад
Hahaha haka kajuaji Rommy mpole
@Magdalene-er2ur
@Magdalene-er2ur 4 месяца назад
Hata mnafanana
@vibetz9991
@vibetz9991 3 месяца назад
Uchaw upo
@CalmGlassRose-oy3qv
@CalmGlassRose-oy3qv 4 месяца назад
Kaulizwa kingine yeye anajbu kuhusu utoaji cjui huruma yan kuzunguka kwingiii ilimrad tu camera iendelee kummurika nyoko huyo anafurahia tu sembe la kufikiliwa
@fatinamsuya1305
@fatinamsuya1305 4 месяца назад
😂😂😂😂😂sio happy birthday ni anniversary
@neemaarusha9044
@neemaarusha9044 4 месяца назад
Nichekekaaa
@MariamHamisi-oe1bx
@MariamHamisi-oe1bx 3 месяца назад
Shemeji kalewa hayupo sawa
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 4 месяца назад
Penzi jipya mmependeza
@XundhurGure
@XundhurGure 3 месяца назад
Mwalim hungera
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne 4 месяца назад
Upumbavuuuu huooo.kwa hio sisi vijana tujifunze nn auu na ss tuwe na majimama
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
Mujifunze kuzini na mama zenu wadogo😢😢😢
@emmadora7848
@emmadora7848 4 месяца назад
Uchaguzi ni wako
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 месяца назад
Teh teh eti Birthday 😅😅😅😅
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto 4 месяца назад
Isha pambana na mazoezi Ili ulihibiti tumbo Hilo ni kubwa
@AnjelaNgowi
@AnjelaNgowi 4 месяца назад
Jamani shemeji. Birthday tena?😂😂😂😂😂
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 4 месяца назад
Penzi jipyaaaaaaaa
@CHRISTINAMAGASI
@CHRISTINAMAGASI 4 месяца назад
Kbenten kipo makini 🤣
@stamilihalifa2763
@stamilihalifa2763 4 месяца назад
Kaka usimalize maneno kunawengine walisema ivo na mwisho wasiku wameachwa
@AsteriaMontgomery
@AsteriaMontgomery Месяц назад
Yametimia
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 месяца назад
Dah tabu kweli kweli
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 4 месяца назад
Haka kabenten kanapenda kamera acha ,kwani ndotuseme ajui baby yake ana ndevu au ndo kujizimisha sata
@itsytee
@itsytee 4 месяца назад
😂
@hadijastevenhart5676
@hadijastevenhart5676 4 месяца назад
😅😅😅😅😅😅
@perepetuasenga3875
@perepetuasenga3875 4 месяца назад
Kibeteni sura haieleweki😂😂
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 месяца назад
😂😂😂😂
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 4 месяца назад
Halaf kesho mkija kuachana mnatupia vyupi na boxer nje mimi kama mjumbe nasemaje sitaki ritokee hili
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 4 месяца назад
Hiki kivulana kimefata pesa tyu
@AishaMasali-lw8pc
@AishaMasali-lw8pc 4 месяца назад
Shemeji yuko viixuri😂😂😂😂
@ZainabuHussen-h7d
@ZainabuHussen-h7d 4 месяца назад
Bado kitoto icho
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 месяца назад
Isha hilo tumbo kama msechu
@MohamedMkota
@MohamedMkota 4 месяца назад
Shemeji punguza kiherehere
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 месяца назад
Kumbe kaolew
@حليمهالبلوشي-ز5ث
@حليمهالبلوشي-ز5ث 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
@victaboy7273
@victaboy7273 4 месяца назад
Mwaka 1 wa restaurant 😂😂, hivi KFC, pizza hart, na wengine mbona sijawah kuona wanafanya sherehe
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 4 месяца назад
Hawajaamua,kila mmoja na mipango yake ktk utafutaji
Далее
BALAA LA KHADIJA KOPA NI HATARI:ANYANYUA UKUMBI MZIMA
16:29
ISHA MASHAUZI kuachana na Muziki wa Taarab mazima?
14:52
Nataka mume, sipendi dhambi - Khadija Kopa
8:14
Просмотров 90 тыс.