Тёмный

ISHA MASHAUZI - ''NILIKUWA SINA URAFIKI na MAMA, WATU WANASEMA NAVUTA BANGI'' | MPAKA HOME 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

ISHA MASHAUZI - ''NILIKUWA SINA URAFIKI na MAMA, WATU WANASEMA NAVUTA BANGI'' | MPAKA HOME
MPAKA HOME ya Global TV imefika nyumbani kwa mwanamuziki mkongwe wa Taarab Bongo, Isha Mashauzi ambaye amefunguka mengi ikiwemo sababu za kuvunjika kwa ndoa zake mbili...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

31 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@suzanneamwai5700
@suzanneamwai5700 2 месяца назад
Napenda sana watanzania ni wakarimu sana isha kila interview ana maneno ya hekima sana nampenda sana isha
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 Год назад
Mashallah wajina nimependa sana mavazi ya mtoto wako ya kiheshima sana anajihifadhi ongera mwaya marezi bora
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Год назад
Isha ni mzuri ni kweli haringi mkarimu sana nakumbuka wakati nikiwa dar nikienda mango garden hana maringo
@alsam4881
@alsam4881 Год назад
Huo mziki kwa nyuma unakera sana badala ya tusikie interview vizuri, lakini tunasikia kelele ya mziki tu.
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 Год назад
Yani kirasiku ni makelele za muziki yani anakera sana
@alsam4881
@alsam4881 Год назад
@@juliennenzeyimana3274 Hawana elimu ya uandishi wa habari vizuri na Ndiyo maana wanafanya vitu bila hata ya kufikiri kama ni sawa au la?
@christinanyangi534
@christinanyangi534 Год назад
uyu dada uwa anamoyo mzuri mno🥰🥰
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
Hongera sana dada yangu mpenzi😍😍Allah akuzidishie 😍😍
@aminaomary5567
@aminaomary5567 28 дней назад
Mtangazaji mziki huo unaboa sana🎉🎉🎉❤❤❤❤
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Marshals dada nyumba nzuri feniture nzuri nawewe mzuri sauti nzuri
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Nimependa life yako lssa mashauz
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Kwakweli hongera Dada yanguhatashilole mwanae kafanya vizurihongereni sana
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 Год назад
Mashaallah Aysha mashauzi penda sana
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Sawa kabisa endelea kuwahivyohivyo Dada yangu
@raniaazizi1303
@raniaazizi1303 6 месяцев назад
Hicho kibukta cha maua unakipenda sana ww, interview siwezi kuwatch mziki uko juu sipendi kelele
@enterenter7798
@enterenter7798 Год назад
Mashaa Allah hongera mtoto analelewa vzr naako na stara
@scollantandu2350
@scollantandu2350 9 месяцев назад
Asante sana mama, ustaa hauzi kukuzika 💪❤️
@husnasalim9614
@husnasalim9614 Год назад
Maishallah wajina allah akuzidishie
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Ni vizuri kutokuwa na Freund salam salam inatosha misifa unaenda harusi anaekuchangia unamchanganya Avoid to have Freund nivuri sana
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 Год назад
Maa Shaa Allah ❤️
@salummohamed1495
@salummohamed1495 Год назад
Nakubar isha from Mozambique 🇲🇿
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Gabi miaka 15 kwenye ndoa hongera sana Gabi du
@aminaomary5567
@aminaomary5567 28 дней назад
Safi sana isha❤❤❤👍👍👍🙏🙏
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Mambo ya gold dada wyangu jipende maisha mafupi
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Год назад
Hongera Isha
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Aisee nimeejoy kweli
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Hongera Dada 😍😍🔥
@zainabmusa2006
@zainabmusa2006 Год назад
MASHA ALLAH🙏
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Год назад
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Upo vizuri
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Dada lsha Uko very normal kumbe ulianza na mzee Yusuf
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Mashallah sister nakupenda malez yako baby
@vincej9275
@vincej9275 Год назад
Interview nzuri lakini background music punguza kidogo.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
Ameen🤗🤗🤗🤗 daar mkubwa 🤗🤗
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Safi dada
@hamedahameed148
@hamedahameed148 Год назад
Ila nikweli uongo unauma kuliko ukweli
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Год назад
Kabinti.kazurii smart
@zuhurakaho1553
@zuhurakaho1553 Год назад
Igogo moja jamani
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
Ukiwa unamuoji mtu punguza hi sautiyamziki
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 Год назад
🎉🎉🎉
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Kweli kabisa Dada yangu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Sorry lnshalah mashauzi
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
🙌🙌🙌🙌👌👌👌❤️❤️waau
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Da
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 Год назад
Dada asili yako mweusi km mwanao huo mkorogo tunakukumbuka ulivoanza kuimba
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Mtoto wa Aisha ni mpole sana na ana jistili Tena nimuogo hata kamera anaogopa da! Kwanza sio mtoto wa mitandao, ila mtoto wa kajala uwii! Kakubuhu muda mno
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Una stress lala tuu ndugu yangu
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
vidole kama ndizi za kuchoma
@gulfomanbb2119
@gulfomanbb2119 Год назад
Mie yle sijamnyima mtt kashindwa kulea
@leilabuisha9976
@leilabuisha9976 Год назад
Hizo kelele zimezidi ata zinakera.
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Una Baby facedada yangu
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Kwakweli Dada yangu nimekufahia unachoongea nikweli
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Kwakweli kujiamini Ni muhimu
@enterenter7798
@enterenter7798 Год назад
Minakupenda isha huna kisran jmn mda wote unatabasam
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Kwakweli
@himoda7647
@himoda7647 Год назад
Gaby umeenda Asubh San Duuh piga chai
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Год назад
Hahaha
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Gabby pia napenda lnterview zako uliza ujinga ujinga kila kitu cha huakika
@edinachami4318
@edinachami4318 Год назад
Hongera kumbe Hadi wasanii wanatumiaga majagi ya Plastiki navikarai vya alfu moja
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
Sikasema apo yeye anaishi maisha yoyoteyale aishi kisanii
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Год назад
Sasa atumie chombo cha sh ngap mwee nimecheka
@thandiweonkhwazi8164
@thandiweonkhwazi8164 Год назад
Punguzeni sauti ya mziki. Interview ina kelele
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Ulishaanza kuona supi dadayangu😀😄
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Год назад
Sjakuelew nielekeze vizur umesem nimuulzaje?
@emmyonyekachi8197
@emmyonyekachi8197 Год назад
Kipindi kizuri ila hujui kutangaza
@user-ot5vi1tj9s
@user-ot5vi1tj9s 5 месяцев назад
...
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 Год назад
Ukimbi km duka la mapambo
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
Ndani kuchafu mashauzi yote mfyuuuu
@seifumilowe7482
@seifumilowe7482 Год назад
Makasiliko
@nasrafadhili7408
@nasrafadhili7408 Год назад
Njo udeki mwy naupange vzr
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Год назад
Asubuh jaman watu ndio wametoka kuamka wako na pilikapilika
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Год назад
Mhmh makasiriko
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
@@estermahenge5972 ndio we unaonaje
@mm2mikuplayz675
@mm2mikuplayz675 Год назад
Toka siku gani muislam akaombea chakula hivo.
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Год назад
Ndio utujuze mnaombeaje maana wengine hatujui tunaona sawa
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Kwakweli
Далее
😍😂❤️ #shorts
00:12
Просмотров 716 тыс.
ISHA MASHAUZI kuachana na Muziki wa Taarab mazima?
14:52
KISA CHA ISHA MASHAUZI KUPIGWA / BIFU NA KHADIJA KOPA
22:32