Тёмный

"Siwezi kumsamehe Khadija Kopa hata Nikifa": Kaptaini Temba 

TimesFMTZ
Подписаться 531 тыс.
Просмотров 111 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Развлечения

Опубликовано:

 

17 май 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 198   
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 6 лет назад
waaa mwanamke jeuri ni nyimbo nzuri kumbe katunga mtt wa watu...walah c vyema
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 4 года назад
Sana
@salmadashlaquimanelaquiman4427
We dida sababu sio pesa yako mma khadija lipa pesa wajifedheesha
@sultanmganzira4388
@sultanmganzira4388 6 лет назад
Temba upo vizuri sana
@ajuayekilendirewxaqefo2525
@ajuayekilendirewxaqefo2525 6 лет назад
mtangazaji anabusara
@hajistshariast6335
@hajistshariast6335 6 лет назад
Dida Unaweza Mshahara Wako ukausamehee Miezi Mitatu
@fatumatunu2208
@fatumatunu2208 6 лет назад
Pole kka.dhulma.dhulmathi.umall kiama
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 5 лет назад
pole Temba inauma sana mtu kutokulipa hela yako .mimi ni mwathilika wa kutokulipwa haki zang hata mtu akikopa huwa harudishi hela yangu yaani imepelekea huwa ckopeshi mtu hela yangu.hata nikimfanyia mtu kazi kulipwa ni shida huwa nabaki na kushangaa tu na kulia kumwomba Mungu aniepushe na balaa hili
@mwaijaramadhani6662
@mwaijaramadhani6662 6 лет назад
Nimekupenda ni muwazi
@nufailmohamed4408
@nufailmohamed4408 6 лет назад
Mwaija Ramadhani jaman mpeni pesa zake nakupenda temba wewe ni muwaz nakupenda sana temba kama auna mke nitafute niko tayar kuwa naww my no +96871834535 nimechoka kuvumilia❤❤❤❤ nimetoa la moyoni
@MaryA-yf4cq
@MaryA-yf4cq 6 лет назад
Huyu kijana Temba ana maneno mazuri yenye busara. Na ni mvumilivu sana. Mungu akuzidishie akili yako Captain Temba uzidi kua na mvumilivu. Ahadi ni deni na haki ya mtu hailiki. Mpeni pesa zake.
@maryamali9229
@maryamali9229 4 года назад
Bi khadija lipa deni sio vizuri
@salmaabed8579
@salmaabed8579 6 лет назад
uko sawa temba
@khadijahomankweliyamjahaya7421
Hahahahaha wallaah mm khadija mlipe huyu kijana ........ maneno makali sana mungu atakuhukumu mlipe
@mzizirashid709
@mzizirashid709 6 лет назад
Pole kaka mungu akusimamie
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 лет назад
Da pole Kaka bongo bahati mbaya kweli unatunga wimbo bure bure dah
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 6 лет назад
🙆🏾Subhanallah
@user-ik3ey9cs9e
@user-ik3ey9cs9e 6 лет назад
Nakukubali broo. Umesema kweli. Mungu hulipa kwa njia yake.wee msamehe.
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Год назад
kwani ww ni mungu
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 6 лет назад
Waooo temba unajuwa kusema sana ungekuwa loya mashalah akunjuwe mpaka amlipe
@subirachuttar6490
@subirachuttar6490 6 лет назад
Ila Temba uko vizuri ktk kujibu maswali aisee!!!
@merinamichael8014
@merinamichael8014 5 лет назад
Mama lipa deni
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 4 года назад
Khadija kumbuuka mungu nihatari dada haki yamtu nisumu dada
@aldanaudana2633
@aldanaudana2633 6 лет назад
Mtangaaji uko sawa wedada Alla akuzidishie
@zubedasaid5962
@zubedasaid5962 6 лет назад
Uhalisia wa kuitwa KOPA ni tabia yake ya kukopakopa, i know her very well wakati tupo umoja wa vijanza Zanzibar kabla hajawa muimbaji wa tarab..
@lilyisma2292
@lilyisma2292 6 лет назад
Duh hataree dhuluma si nzur jaman
@Ishengoma1
@Ishengoma1 6 лет назад
Jamaa ana maneno jamani. Mswahili wa wapi huyu kha! Kiswahili kitamu sana.
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
k chezea watu wataarabu mwa maneno hatari
@aminamuhamad897
@aminamuhamad897 6 лет назад
khadija kopa ujue ahera hakuna pesa kuna bakora kwenda mbele
@malackmgalla2838
@malackmgalla2838 6 лет назад
Amina Muhamad
@alkindy1651
@alkindy1651 6 лет назад
Swadaktah
@antoineakimanayase5996
@antoineakimanayase5996 6 лет назад
Amina Muhamad kwani anadai shilingi ngapi huyo Kaka? Nipe namba yake nimpe hiyo laki 2 na nusu? Mie bi Kopa nampenda sana kwa nyimbo zake
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
Amina Muhamad 😁😁😁asisahau na marungu
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
Antoine Akimanayase utamlipia mpaka lini mbona niwengi wanao mdai mama dhulumati haogopi kamfanya mungu mjomba wake
@wlkmwlkm2912
@wlkmwlkm2912 6 лет назад
Mungu anasemehe basi naww samehe 2
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 6 лет назад
Umeongea ukweli Kaptain Temba dawa ya deni nikulipa, Maneno yako ya gusa kweli Duuh mpaka kiama bila msamaha.Atalipa ln shaa Allah.
@mashmashmkeyenge9210
@mashmashmkeyenge9210 6 лет назад
Big up Temba
@anifamapunda2640
@anifamapunda2640 6 лет назад
mashmash mkeyenge ooh
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 лет назад
khadija kopa unadhambi kwa ili sio vizuri snaa pole kka
@zahramunir8596
@zahramunir8596 6 лет назад
True...umechoka kudai sawa ulivofanya.! hiyo haki yako lzm akulipe..
@rehemadeli8896
@rehemadeli8896 4 года назад
Alipwe Huyo mkk ety hkadija
@aldanaudana2633
@aldanaudana2633 6 лет назад
Mna imani na sio mafisadi mashallah
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Dah! Bi khadijakopa lipa mamy
@shaabanmusa5127
@shaabanmusa5127 6 лет назад
Saumu Hassan Tuchange tumlipie 😀😁😁😂
@Basagamp4
@Basagamp4 6 лет назад
Pole Kaptein
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 6 лет назад
Akulipe hela zako kabisa
@justusn.timothy3587
@justusn.timothy3587 6 лет назад
Kopa anafanya "season" movie. Na hii ni aina ya kutengeza ajira kwa blogers.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 6 лет назад
Jamani nina taarifa. Huo ndio mwanzo wa fedheha na majuto kwa Bi Hadija. MZEE YUSUF alitoka huko mapemaaaaa na kastirika. Bi Hadija hebu mrudie ALLAH, muziki ni HARAAM
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 6 лет назад
Mmmh bibie mlipe kijana pesa yake amekataa hato kusameh mbele ya mungu utaangamia
@faridahangedo5554
@faridahangedo5554 5 лет назад
Hataarrr
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 6 лет назад
Kweli akulipe pesa zako anazo pesa
@salumanadsalumanad5900
@salumanadsalumanad5900 5 лет назад
adija ripa deni sio vizuri
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo Месяц назад
Doh,maisha Yana mambo mengi sana jamani
@jonaselias7729
@jonaselias7729 6 лет назад
hee....
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 года назад
Dah didaaa aisee hapa ulizeekaa jaman wasafiiii wanaela dah
@bridgitakinyi3597
@bridgitakinyi3597 5 лет назад
Siamini huyu kijana mdogo nyimbo nne alitunga ya kwanza hakulipwa ya pili hadi ya nne,,,muache kuhukumu Khadija ni Mungu pekee ana haki ya kuhukumu ,,,,waletwe wote waekwe waseme wote
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hii
@rukyakimolo2947
@rukyakimolo2947 6 лет назад
e mungu msaidie hadija alipe deni lake
@gracerosi6179
@gracerosi6179 6 лет назад
Staa nzima iv huakwann matajir hua wanapenda kuzurumu maskini kijana anafanya kz halipwi atatoboa vp? Wabaya watu
@reginakibona9052
@reginakibona9052 6 лет назад
TEMBA nikopeda tuu maneo yakoo jamani
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 6 лет назад
If God can forgive us why can we forgive one another....?????
@asuntaasunta4204
@asuntaasunta4204 6 лет назад
lipa we mama
@jacquethomasgal7227
@jacquethomasgal7227 6 лет назад
Dawa ya deni kulipa jamani kijana anajituma kwa bidii haki yke apewe pliiz na sio tafadhali lipa deni mlitaka awe shoga ndio mumsimange kaamua kujituma kihalali mlipeni
@antoineakimanayase5996
@antoineakimanayase5996 6 лет назад
Jacquethomas Gal naam
@gracerosi6179
@gracerosi6179 6 лет назад
Jacquethomas Gal alipwe jaman
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 лет назад
Dah khadija kopa ulichokifanya si kitendo cha kistaarabu wewe ni mama yetu lipa deni jamani tunajua maisha magumu
@sadiaabeid7552
@sadiaabeid7552 6 лет назад
hadija nimtu mzima lakini akiwa hana busara hawezi kuhishimiwa kumbe wato wazima wanadaiwa naujeuri pia
@malaikasamweli7464
@malaikasamweli7464 5 лет назад
Kaka pole mway
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 6 лет назад
Mhhh heheee
@sofiaahmed8880
@sofiaahmed8880 6 лет назад
iwapo mungu humsamehe mja wake.jee wewe kaka? msamehe na mungu atakulipa kwa njia nyingine,Haina haja kumuadhiri kwenye social media,mungu ndie hakimu wa haki.
@swamadujumanne795
@swamadujumanne795 5 лет назад
kwani Huyo kijana anaezungumza hawezi kumsameeh khadija kopa yeye anamkosea mungu mangpi
@khadijaqatar9080
@khadijaqatar9080 5 лет назад
Khadija kopa tunakuhshim saan mama lkn kw huy kijan haujamtendea haki wallah, hadi ni deni na daw yake ni kulipa hapa dunian na kesh akhera na mahesebu tu ya matendo. Lipa deni mum sio poa unajidhalilisha sana
@fredmankaingu4172
@fredmankaingu4172 6 лет назад
Mtangazaji mzungu apiga kiswahili ile mbaya......hahaha bongo bahati mbaya
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
Fredman Kaingu kumbe mzungu nilidhani mkorogo 😁😁
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
MAMA zuchu lipa pesa ya kijana huyo:sio vizuri kama ni kweli lipa wewe ni mtu mzima na kama una pesa chukua pesa kwa zuchu mpe kijana.
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 6 лет назад
Temba akulipe
@julietkambenga4299
@julietkambenga4299 5 лет назад
dar mdai kakosea sana
@shanymrope2122
@shanymrope2122 6 лет назад
dida punguza crem khaaaa!
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 лет назад
Dar hii ndio shida ya kufanya kazi na mtu amekuzidi umri saana
@stevenmhosole2635
@stevenmhosole2635 5 лет назад
jamaha muhungwana sana
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 6 лет назад
una haki ya kudai kws kweli
@mwambarockmwambarock739
@mwambarockmwambarock739 5 лет назад
duu ipokaz hapa
@mwanjinzala9030
@mwanjinzala9030 6 лет назад
watunxi muwe na mikataba na mnaowatungia nyimbo sio wao wanaimba kutunga hawajui fyuuuuu bi khadija lipa tu na mwexi mtukufu
@rahmstifaallahndiemwenyeku6765
Msamehe tu
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 лет назад
rahms tifa Allah ndie mwenyekuja salum loh aishi vipi?
@mariachombo9276
@mariachombo9276 6 лет назад
Duu hadja kopa aibu
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 года назад
Anayoo ila han tabia nzury tu mtumzim sio vizuri
@joycemakori3835
@joycemakori3835 6 лет назад
wakulipe tu kwakweli hakuna kitu cha bure
@munaliza2788
@munaliza2788 6 лет назад
joyce makori u
@salmajuma4015
@salmajuma4015 5 лет назад
Bure kafaaa
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 5 лет назад
Kabla sijamaliza kukusikiza nimekupenda dina umepatika watangazaji vigugumizi vimewashika.ukweli usemwe japo unauma.nimempenda bure uyu kijana
@fatmaalrashdi1577
@fatmaalrashdi1577 6 лет назад
Lipa dada hadja Deni sio nzuri Yani aibu Sana mama mtu mkubwa Judaica mpakamtandaoni jaman
@aldanaudana2633
@aldanaudana2633 6 лет назад
Leo kwabikhadija kesho kwako hata km halijatokea baina yenu lkn huwenda yakatokea kwamtu mwengine juu yko muhimu akulipe lkn sio kusema kwamba umeambiwa akikupa usipokee
@lasttwelve8026
@lasttwelve8026 5 лет назад
Khadija kopa aibu
@rehemadeli8896
@rehemadeli8896 4 года назад
Pole kaka huo so ubindmu
@rosemarykaroli9572
@rosemarykaroli9572 6 лет назад
Pore sana temba ila mungu yupo pamoja nawe na hiyo Hera haitomfikisha kokote we achana nae na msamehee tu ataona aibu endapo ukifanikiwa ila big p sana unafanya Kaz nzur
@mwanamutemi
@mwanamutemi 6 лет назад
HADIJA KOPA ACHANGIWE NA MASHABIKI WAKE KULIPA DENI HILO, HILO NI DENI LA DHIMA SHINGONI, MASHABIKI WAKE WAMCHANGIE.
@arabmwinyi8646
@arabmwinyi8646 6 лет назад
Mfanyakazi analipwa jewewe akulipe tu ila
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
FATHILA MFATHILI MBUZI BINADAMU WANA MAUTHI, MKUKI KWA NGURUWE MTAM KWA BINADAMU MCHUNGU.
@oddaissa4055
@oddaissa4055 4 года назад
IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO.
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 6 лет назад
naalipe aache utaper
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 6 лет назад
Mtihani huo kwakweli
@gracerosi6179
@gracerosi6179 6 лет назад
Wenda nakufunga alifunga nn nawakat unakula vya zuruma ushumgi nkubwa
@saidmnenuka9939
@saidmnenuka9939 3 года назад
Bihadija mlipe huyo temba izo pesa!! kauli utazikuta kiama tafadhali usizalau.
@zuusaidibushiri5556
@zuusaidibushiri5556 6 лет назад
Mi nacheka eti pesa za upatu
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 6 лет назад
Mung wang kumbe uyu mama yuko ivyo jamani
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 6 лет назад
Au anakuhitaji nini jamani!!!
@annewanjiku52
@annewanjiku52 5 лет назад
upewe haki yako
@khamisabdallah8014
@khamisabdallah8014 5 лет назад
Uyo hana adabu tangia lini mchaga na tarabu tena atuwachie hasa mm sipend umtie abu mzee wetu uyo hana nyimbo bwana
@nsonmxi9298
@nsonmxi9298 6 лет назад
Heri usamehe upate mazuri kwa mola ukisema humsamehi ujue una dhambi pia ww
@annievibes8794
@annievibes8794 6 лет назад
lahaula wala quwata dunia hii
@asuntaasunta4204
@asuntaasunta4204 6 лет назад
hekima unayo kwasababu umemvumiliya sana akulipe
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 6 лет назад
Daaa! Siri imetoka nje ndiyo basi tena hapo.siri ya ukata aijuaye mtungi!.kama ni kweli basi bi koppa kajiharibia umaarufu wake. Mchezo machafu huo na aibu kibao.
@iddchasany1227
@iddchasany1227 6 лет назад
Ummy
@gracerosi6179
@gracerosi6179 6 лет назад
Catherine Mogensen et nauzima wake wote
@doreenmalesi6039
@doreenmalesi6039 6 лет назад
Dawa ya deni ni kulipa
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 4 года назад
Usinipe pesa kama tunacheza upato😄😄😄😄😄
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 лет назад
😂😂😂dida kacheka sitaki ela ya upatu
@halimahamis5866
@halimahamis5866 6 лет назад
joomon mama lipa huyo anahangaika kama ww!
@aldanaudana2633
@aldanaudana2633 6 лет назад
Nakuaminieni watangazaji
@aishahaytham4124
@aishahaytham4124 6 лет назад
Jmn pole sn temba,bi hadija ebu lipa ilo den jmn tena umepunguziwa mama mbona unataka kujdhalilisha
@rahmamteri5592
@rahmamteri5592 6 лет назад
Nikweli huyu jamaa mstarabu bi khadija alipe
@upendorobert7298
@upendorobert7298 6 лет назад
dida huo mkorogo duuh, huwa unajitizamaga kwenye kioo. duuh
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
Upendo Robert 😁😁😁😁 unenivunja mbavu zangu
@samahstyles6776
@samahstyles6776 5 лет назад
Upendo Robert looo 😂😂😂😂
@oyay2821
@oyay2821 6 лет назад
Kumbe ndio maana hapati mume
@fofomohammed6253
@fofomohammed6253 6 лет назад
Ommy Azzy 😂😂😂
@mariamhaidarijamali806
@mariamhaidarijamali806 6 лет назад
Ommy Azzy mmh iyo kali 😂😂😂😂
@khamisabdallah8014
@khamisabdallah8014 5 лет назад
Ommy Azzy ww hadija kopa hana shida ya mume ww mpe bbiyako mume
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 5 лет назад
Yamehusiana vipi na deni?daah watu wazushi sana 😂😂😂😂
@shakiramwenye1683
@shakiramwenye1683 5 лет назад
Wasanii tushawazoea vituko haviishii
Далее
Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1
29:21
ДВЕ МЕДИЦИНЫ В ОДНОЙ СТРАНЕ
43:03
Каха и суп
00:39
Просмотров 1,2 млн
What turned out better to repeat? #tiktok
00:16
Просмотров 2,4 млн
HII NDIO SABABU YA MRISHO MPOTO KUTEMBEA  BILA VIATU...
14:05
UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI
36:13
Mtie Kamba Mumeo Remix - Khadija Kopa🖤
17:00
Просмотров 282 тыс.
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
Просмотров 588 тыс.
Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 2
20:24