Тёмный
No video :(

Sungusungu 

UTV Tanzania
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 70
50% 1

Jeshi la Polisi limeombwa na familia ya Bangala inayoishi Mburahati, Dar es Salaam kuwakamata wahusika wa kifo cha kijana wao Leonard mwenye miaka 31 aliyedaiwa kuuawa na askari wa Polisi Jamii maarufu (Sungusungu) usiku wa kuamkia Julai 10,2024 kwa madai ya wizi.
Marehemu anadaiwa kufuatwa nyumbani kwao na Sungusungu hao majira ya saa 9 usiku na kumsihi atoke nje kwaajili ya mazungumzo lakini hali ikawa tofauti kutokana na kile kinachodaiwa kufungwa kamba na kuanza kupigwa hadi umauti ulipomfika huku wahusika wakiwa bado hawajakamatwa.
‪@official_jennifersumi‬

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
what will you choose? #tiktok
00:14
Просмотров 7 млн
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Просмотров 284 тыс.