Тёмный
No video :(

Swahiba Alivyomuua Shujaa wa Afrika THOMAS SANKARA 

Charles Kombe
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe
Leo nakupeleke nchini Burkina Faso ambapo nakupa story ya Thomas Sankara, mwanamapinduzi na kiongozi wa Taifa hilo aliyekuwa na lengo la kuibadili Afrika na hatimae kuuawa na Rafiki yake kipenzi.
Hii ni story itakayokuonyesha uhalisia wa msemo usemao "KIKULACHO KII NGUONI MWAK" Enjoy!
_______________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@insightsecure2819
@insightsecure2819 19 дней назад
nimejifunza kuwa tamaa ni dhanbi kubwa sana na usimwamini mtu yeyote katika maisha mwamini mungu pekee ndie mwaminifu
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 5 месяцев назад
Asilimia kubwa ya viongozi wa Africa ni mafisadi na wachache ni waaminifu na hao waminifu huwa hawadumu kutokana na mabepari kuwaona kama adui kwao.
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 4 месяца назад
aliwah kuambiwa.kuhusu uovu wa.compaure kwake.na hakuwa.mzuri kwake Akulichukulia kwa uzito alikuwa mzalendo wa.kweli kwa nchi yake na.bara.lote.la Africa Legendary.never die
@user-vw2zc3ps8k
@user-vw2zc3ps8k 5 месяцев назад
Good and great
@user-sw7mz5ld3z
@user-sw7mz5ld3z 5 месяцев назад
He was a true legend
@charleskombe
@charleskombe 5 месяцев назад
Absolutely true!
@user-xf8ug9vu2h
@user-xf8ug9vu2h 5 месяцев назад
Afrika ni bara letu lakini tuko na shinda ya kimawazo kwa maana kila nchi katika afrika kuna matatzo yasio na mwisho wake,kunapo ibuka kiongozi,mwanasiasa ambaye ana fikira kuimbadilisha nchi kuanzia kwa uongozi,elimu,biashara na hata kifedha hujipata kwa lawama kuu hali ambayo husababisha umwagikaji wa ndamu,na ndiyo sababu ya mapinduzi ya serial kupitia kijeshi jambo ambalo limefanya Bara la afrika kuonekana kana kwa ni watu wa kuuana tu,watu wasio na fikira nyingine isipokua kuua,kupora, hali ambayo tume zoea kua viongozi ambao wamekua tu na imani kua wao ndiyo tu wanao haki ya kuongoza,kusoma kua matajiri huku wengine wakizidi kuogerea katika bahari ya umasikini Mungu tujale tupate Sankara wengine.
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 Месяц назад
Tulidanganywa sana kisasi ni kwa Mungu ni uwongo inabidi watu km hawa wawe wanashughulikiwa ioasavyo
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 5 месяцев назад
Kazi nzuri sana na inaelimisha sana, hongera kwa hilo ila siku nyingine fanya utafiti wa kutosha wa matamshi sahihi hasa ya majina ya watu kwani jina Blaise halitamkwi ulivyolitamka katika makala hii, ni jina linalotakiwa kutamkwa kwa Kifaransa na sio ulivyolitamka.
@charleskombe
@charleskombe 5 месяцев назад
Asante sana kwa maoni na mrejesho. Hakika tutafanya hvyo. Barikiwa sana
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 5 месяцев назад
Mtangazaji umekosea kuongea ni mwaka 1983 sio 1993ila upo vizuli kaka kwa kuipenda Afrika tupo pamoja
@user-vy4qh6cx7n
@user-vy4qh6cx7n 5 месяцев назад
Viongozi wa Afrika ukweli sio waaminifu kabisa kwa wananchi wao. pia wanaficha pesa nchi za njee badala ya kuzitumia kujenga nchi zao.Kuiba sio nshu bali matuminzi ya wizi kuwanufaisha wananchi
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 5 месяцев назад
Mshenzi sana uyu compoure Namchukia sana kwa kumuua kiongozi wetu mwenye maono Yani uyu compoure ni sawa na mdudu wa porini Amekosa shukurani Amelelewa na kutunzwa na familia ya Sankara alafu analipa unyama Mpumbavu huyu alaanike Maisha yake yote
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 5 месяцев назад
Na haya haya yalimpata Patrice Lumumba. Mungu awalaze pema peponi❤😢
@user-qv4jb7mt5q
@user-qv4jb7mt5q 2 месяца назад
Adhabu aliyopewa ya kifungo cha maisha ni saizi yake kabisa
@Rkdigtech
@Rkdigtech 4 месяца назад
Good
@mushumbaeric4916
@mushumbaeric4916 5 месяцев назад
Legendary never day
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 5 месяцев назад
Wafaransa wana tabia mbaya sana.mpaka leo wanaingilia masuala ya ndani ya makoloni waliyoyatawala.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 5 месяцев назад
Inabidi viongozi hawa wajitambue. Na sisi tunarudi kulekule
@raymondonyona.2736
@raymondonyona.2736 4 месяца назад
Kwa hakika kikulacho ki nguoni mwako. Sankara alikataa ushauri wa walinzi wake na hata wa Rais Rawlings wa Ghana kumdhibiti rafiki yake Kompare, akakataa. Ukweli sikio la kufa halisikii dawa.
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 5 месяцев назад
Arikuwa kama magufuri
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
👍👊✌️.
@syprianamghoimacharo7155
@syprianamghoimacharo7155 5 месяцев назад
Tuache tamaa cc binadam
@salimkamau1697
@salimkamau1697 5 месяцев назад
Usimwamini mtu kupitia kiasi.usikatae moja kwa moja ukiambiwa wako wa ndani unae mwamini ana kufanyia njama.
@user-dp1jd9sl4n
@user-dp1jd9sl4n 4 месяца назад
Most friends shorten life of people.
@user-ry8ky1tf1n
@user-ry8ky1tf1n 5 месяцев назад
Viogoziwazur hawkish afrika
@Jal210
@Jal210 5 месяцев назад
Wanauliwa
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 5 месяцев назад
Soma Sankara sio Sa nkara
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 5 месяцев назад
Kweli usimuamini mtu yoyote kwenye hii dunia
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 месяцев назад
Kabisaa africa ukiwaacha wakina sankara,nyerere,Mugabe, Lumumba,magufuli na wengineo,waliobaki wote hawana uchungu na nchi Zao wape pesa wazisaliti nchi Zao kwa mikopo waambie misaada.Sankara aliwahi kusema nioneshe nchi iliyoendelea africa kwa mikopo ya benki ya Dunia na taasisi zake na misaada,nipo tatari kuachi madaraka.Sasa rudi tz aibu tupu
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 5 месяцев назад
1993 tena..????? Wakati Noel isidole thomas sankara alifariki1887..
@frowinmgimba8513
@frowinmgimba8513 5 месяцев назад
Huyo kiongozi alievaa suti ya blue ukimzumu kwenye paja la uso ananembo ya pembe tatu ya freemason
@user-pc8ot2ok6v
@user-pc8ot2ok6v 5 месяцев назад
Twahitaji viongozi kama Sankara na usimwamini mtu
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i 5 месяцев назад
CIA walimuuwa sababu alisisitiza socialist na Soviet
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 5 месяцев назад
Na yeye wange muua compore
@frowinmgimba8513
@frowinmgimba8513 5 месяцев назад
MAGUFURI ALIPITA NJIA ZA HUYU KIONGOZI
Далее
Whoa
01:00
Просмотров 22 млн
Historia Iliyotukuka ya Marehemu Thomas Sankara
6:40
Просмотров 175 тыс.