Тёмный

Historia ya PAUL KAGAME Mkimbizi Nchini Uganda Hadi Kuwa Rais wa RWANDA 

Charles Kombe
Подписаться 185 тыс.
Просмотров 138 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #charleskombe
Leo katika makala haya namuangazia Paul Kagame, hasa katika maisha yake akiwa nchini Uganda kama mkimbizi, kuingia katika jeshi la Museveni la NRA hadi kuwa Kamanda wa Usalama wa Jeshi hilo na baadae kuwa Rais wa Rwanda.
Music from Royalty Free Music from Tunetank.com
Track: Nature Time-Lapse by Anton Kramar
You can hit the link to subscribe to unlimited music👇🏼
tunetank.com/t...
________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 194   
@sibomanaemmanuel1831
@sibomanaemmanuel1831 6 месяцев назад
Respect To Baba WA Taifa 👑 🇷🇼❤️ Paul Kagame 👑 He is my hero and Africa 🌍💥
@joaquimnchumali8949
@joaquimnchumali8949 Месяц назад
Ninashukuru sana kwa kusikia vizuri hii history mzuri ya Rais mpendwa wa Ruanda. Nimependa sana kusikia Rais Paul aliwai kuwa mwanajeshi wa Uganda akiwa mkimbizi. Ni history mzuri sana. Ninakushuru sana we muandishi ambaye umetuletea hii history.
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 7 месяцев назад
Tuko pamoja asantee kwa kuendelea kutujuza mmb mbalimbali , kuna vingi sana tunajifunza kupitia machapisho yako 🎉❤ Mungu azidi kukubariki
@charleskombe
@charleskombe 7 месяцев назад
Shukran sana Abal. Usiache kusubscribe pamoja na kushare na wengine ❤
@Izamarere
@Izamarere 7 месяцев назад
Hakuna kitu dogo,waongo wanapotosha jami ,acheni propaganda za kishenzi,but can't blame you or the owner kwasababu Africa tumeingiliwa tena nw Colonia ER, presidents ambawo wanafanya vizuli kwamanafua yamanaichi wanauwawa au propaganda kama hizi wakishidwa wafikia kimtindo hopefully mmenisoma,so fellow Africans tuangalie president kamafanya nni Kwa taifa, Africa,not stupid things mmesema you don't know what you talking about we Rwandans tunampenda H E Paul kagame ,natuko tayali kusambaza upendo duniani kote but remember kusambaza upendo it's must uwe umejipanga vilivyo kijeshi,utabushya abwita ubumera sha ndibaza ko inkuru runaka imaze gutaha iwanyu,kutumara ntimwabishobora ,94mwihuje naso shitani mugirango mwamara abatutsi wapi Izamarere INKOTANYI cyane nimana ziti wapi,ubu hashize 30 yrs !!ntacyo wumva!nako twarabimenye mwumva mugejeje 55 yrs old.
@HamisCharles-d1r
@HamisCharles-d1r 4 месяца назад
1990 ilikuwa RPA siyo rpf
@MwlBinagi
@MwlBinagi 5 месяцев назад
Asante historia nzuri kuhusu maisha ya kagame kumbe ni miongoni mwa watu waliopitia maisha magumu lakini sasa hivi anakula bata. Ama kweli maisha ni mapambano.
@prorwega
@prorwega 6 месяцев назад
Asante kwa kutujuza historia ya Raisi Kagame. Cha kujifunza hapo ni kwamba Kagame alikuwa amekwisha ona hali ya ukimbizi ilivyokuwa mbaya kwa miaka 30 aliyoishi ukimbizini Uganda na alipokuja kuwa kiongozi hakutaka hali iliyo mtokea imtokee mnyarwnda mwingine hivyo Kagame amekuwa tiba kwa wore. Kuishi kwake US nano kulichangia awe mstaarabu maana America Ina utamaduni wa haki kwa kila mtu. Hivyo nayo ilimsaidia.Kwakweli kulipa kisasi siyo nzuri kwani endapo Kagame angeamua kulipa kisasi, naye hasingeishi. Mungu amrehemu rafiki wa Kagame Fredy
@장-e8b
@장-e8b 7 месяцев назад
Duuuuuuuu Huyu mwamba Paul Kagame Anastahili kuwa Raisi wa nchi hiyooo. Binafsi na penda Sana uongozi wake.
@KamaraKaruganda-rn7on
@KamaraKaruganda-rn7on 6 месяцев назад
The greatest leader of our time not forgetting the late JOHN POMBE MAGUFULI
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Absolutely True!
@bakarhamadbakar-ue1rh
@bakarhamadbakar-ue1rh 7 месяцев назад
Shukran kaka
@195941233
@195941233 6 месяцев назад
Ni Mungu alimuandaa katika nafasi hiyo ya Uongozi wa Nchi ya Rwanda
@SaidDongi
@SaidDongi 5 месяцев назад
Kagame ni kiongozi imala asiyependa wananchi wake waonewe pia ni Rais asiyependa ubaguzi wa aina yoyote, Long live Kagame.
@RutikangaJohn-ym6fh
@RutikangaJohn-ym6fh 4 месяца назад
Thx bro pamoja sana
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl 7 месяцев назад
This is indeed interesting and excellent history.
@charleskombe
@charleskombe 7 месяцев назад
Thanks for your positive feedback! If you enjoyed the content, consider subscribing to stay updated on more fascinating history. Don't forget to share with friends who might find it interesting too. Your support means a lot❤
@MabalaMasanja
@MabalaMasanja 3 месяца назад
Hongera sana
@JohnDeus-v3e
@JohnDeus-v3e 6 месяцев назад
Mwamba wa Africa 🌍 Poul Kagame ❤
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 6 месяцев назад
Kagame son of Nyerere,,baba wa taifa la rwanda,, love you
@YefthaKornelio
@YefthaKornelio 6 месяцев назад
Mungu atufte machozI ya baba zetu
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 7 месяцев назад
He is simply a master. Period.
@peterkolam8193
@peterkolam8193 6 месяцев назад
Uthubutu, ufalme haukamatwi na wadhaifu yaani wanyonge. Tunaoshinda kanisani kuomba na kusali kufanikiwa bila kazi,, tujitathimini. An iron horse-kagame: wazazi shida huleta maarifa, msilete watoto kama mayai, wanakuja kuwa waoigaji,, Longlive Kagame
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Long live Kagame! Nashkuru sana kwa kufuatilia na maoni yako. Tafadhali usiache kusubscribe pamoja na kushare video hii
@AbdulwahabMakame
@AbdulwahabMakame 7 месяцев назад
He,mungu amjaalie kagame awe muislamu,kaituliza Rwanda.
@charlesassey5642
@charlesassey5642 7 месяцев назад
Aingie kwenye dini ya magaidi
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 6 месяцев назад
lesassey5642 ulitaka aingie kwenye dini ya kishetani kama yako
@MwambisaMwambisa
@MwambisaMwambisa 6 месяцев назад
😢ni mpango wa mungu
@RutikangaJohn-ym6fh
@RutikangaJohn-ym6fh 4 месяца назад
Asante broo kagame ni mwamba ariye retwa na mungu
@pastorysent6586
@pastorysent6586 5 месяцев назад
Duh,mh kagame uishi miaka mingi ❤
@ThomasHamisi-qm7wy
@ThomasHamisi-qm7wy 6 месяцев назад
Nashukuru kunijuza hayo unayo yaongea kumuhusu PAULO KAGAME.Nachotaka kusema kilicho na mwanzo lazima kiwe na mwisho. Akumbuke wakina MOBUTU, MOBUTU naye ana historia ndefu kama hizo za PAULO KAGAME. Lakini historia ya imeanza saulika ;anayebakia na historia ya MOBUTU ni mkewe na watoto pia na wajukuu wake.Maisha ya PAULO KAGAME hayako tena mbali kutoweka. Andika tarehe za leo. Alafu utayarudilia hivi karibuni akiwa mostwari.Asante kwa taarifa. Tupo tunasubiri mda wa BWANA kwake.
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 6 месяцев назад
Sasa hivi tuko wengi hamuwezi kutufanya chochote kumbuka anajua mengi mliyotufanyia kwa hiyo usitegemee rwanda kutawaliwa na muhutu tena mpaka yesu arudi
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 6 месяцев назад
​@@silvesterrichardhelenya1319 Kaka maneno yako ya kibaguzi,,,na hata kagame hayapendi hayo
@karangwainnocent1469
@karangwainnocent1469 6 месяцев назад
Ubaguzi nimubaya jameni unasema viba Sana kusema mutusi ama muhutu niubaguzi
@lombealice
@lombealice 6 месяцев назад
Tulikuwa hatujuwi kabisa kumbe mutusi n'a muhutu ni wa moja?
@zaituniabdi7140
@zaituniabdi7140 7 месяцев назад
long life paul
@ibrahimroble3837
@ibrahimroble3837 6 месяцев назад
Yaani kuna watu historia inawabeba vizuri
@surusuru1994
@surusuru1994 6 месяцев назад
Kwmaisha aloishi kangame acheni tu hiyo ichi iyogozwe kifalume❤
@zaituniabdi7140
@zaituniabdi7140 7 месяцев назад
strong man mr paul
@patrickgitau9912
@patrickgitau9912 6 месяцев назад
👏🏼👏🏼 Asante Sana kwa hio historia 👍
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Asante snaa ww kwa kufuatilia pia
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali 3 дня назад
God is good
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali 3 дня назад
Congratulations my dad
@gakurendirangu5851
@gakurendirangu5851 6 месяцев назад
Kagame is a living African hero
@willisonTheonest
@willisonTheonest 6 месяцев назад
Never giver up
@frenkmakoba510
@frenkmakoba510 7 месяцев назад
Long life afande kagame
@denisbeatus4727
@denisbeatus4727 7 месяцев назад
Safi sanaa
@charleskombe
@charleskombe 7 месяцев назад
Ahsante sana kwa kufuatilia. Usiache kusubscribe na kushare ili tuendelee kuwa pamoja.
@ngezahayobannysaad6201
@ngezahayobannysaad6201 7 месяцев назад
Paul Kagame ✊ 🇷🇼 ✊
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 4 месяца назад
Mungu ni mwaminifu sana
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 5 месяцев назад
Mashallah 🎉🎉😊
@tnsinzimodeste1674
@tnsinzimodeste1674 7 месяцев назад
❤❤❤❤
@francismuturi7716
@francismuturi7716 6 месяцев назад
A great piece
@michaelbante699
@michaelbante699 6 месяцев назад
Leo nimejifunza kitu tumwache kagame aongoze Rwanda ameitoa mbali. Ni shujaa wa Taifa.
@ShemaIan-d9o
@ShemaIan-d9o 5 месяцев назад
Sifa kwako bwana Charles, kwa mchango wako ktk historian 🙏👍👍
@domi_inland
@domi_inland 7 месяцев назад
Elimu muhimu sana
@BoniphaceMbunda
@BoniphaceMbunda 4 месяца назад
Dunia
@paulsayianka1902
@paulsayianka1902 6 месяцев назад
It's sky
@sabbathpaul725
@sabbathpaul725 Месяц назад
kagame waaaah
@chobhalikogisukilo3280
@chobhalikogisukilo3280 6 месяцев назад
Hofu yangu ni kwamba ajitahidi kuandaa mrithi wake. Kama mfuatiliaji wa historia ya nchi za Maziwa Makuu, sidhani kama Rwanda kumetulia na Wahutu wanaridhika na utawala wa Kagame. Anafanya vizuri katika kazi na kufanya kazi katika uhasama wa JAMII ndiyo inaitesa Burundi. Hizi nchi ni Bora kufanya "reconciliation of the national" kama South Africa. Waliokosea wote kukiri makosa yao na kusameheana. Walioko ukimbizini kurudi huko huko nyumbani ili kuijenga nchi yao. Madhara ya Dola la Hima ni tatizo kwenye makundi haya ya Wabantu na non Bantu. Mkoa wa Kigoma, ungekuwa ni nchi nao ungekuwa kwenye tatizo kama la hizo nchi. Kimsingi ni walewale.
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali 3 дня назад
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@paulthomasngesopaulthomasn1375
@paulthomasngesopaulthomasn1375 6 месяцев назад
Umeiereza vizuri sana,
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Asante sana
@DenisAlex1
@DenisAlex1 5 месяцев назад
Shujaa wa wananchi wote nchini na mleta maendeleo,kipenzi kwa vijana na wazee pia,Mungu Mbariki P.Kagame pia wananchi wake,Afrika yote hata dunia nzima
@EliaRobati
@EliaRobati 4 месяца назад
Uongozi nihistoria
@izabayojoseph4612
@izabayojoseph4612 3 месяца назад
Kagame urashoboye sana
@taremwageorge8167
@taremwageorge8167 6 месяцев назад
Asante Kwa history hiyo
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Asante sana kwa kufuatilia
@abroadconnectededucationlt5435
@abroadconnectededucationlt5435 6 месяцев назад
Genius
@LameckJacksoni
@LameckJacksoni 7 месяцев назад
Kimsingi kagame anayo haki ya kupongezwa kwakuwa hakuwa na dhamili ya kulipa kisasi bali kusaidia watu waishi kwa amani yaani wahutu na watusi
@charleskombe
@charleskombe 7 месяцев назад
Kabisa. Asante sana kwa maoni. Hakikisha una subscribe ili tuendelee kuwa pampja
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 7 месяцев назад
Uko sahihi ndugu yangu. Nampenda sana huyu Mwamba
@JoshuaMsaka-f5e
@JoshuaMsaka-f5e 6 месяцев назад
Kagame ameleta maendeleo makubwa ya NCHI ya Rwanda. Atawale hadi mwisho wa MAISHA yake
@AniziaKamanzi
@AniziaKamanzi 6 месяцев назад
Kagame acha aiongoze Rwanda maana ameweka usawa katika maisha ya Rwanda
@isayacharles2850
@isayacharles2850 Месяц назад
Sisi tanzania, kagame ni kijana wetu wenyewe, tumemfundisha Ushushu na ndio uliomsaidia kiasi kikubwa katika ushindi wake, nachompendea zaidi ana ubaguzi raia wa makabila yote kwake ni sawa, na ameijenga rwanda vizuri,pia alipoyafungia makanisa ya uongo kafanyakazi ya mungu🙏. Na sasa na mashairi ili azidi kuweka historia mzuri ilio tukuka, basi ahache utapeli na kuiba madini kwa nchi jirani na akomeshe mauaji ya watu wasio na hatia katika nchi hiyo☠️❌
@jaredkirui2952
@jaredkirui2952 6 месяцев назад
Watutsi wameumia sana...lakini historia ipo upande wao.
@Omarnkeshimana
@Omarnkeshimana 6 месяцев назад
Kwakweli Kagame ni Shuja
@CarlosLuis-r5h
@CarlosLuis-r5h 7 месяцев назад
Mwamba kagame
@ClaudiaCassian
@ClaudiaCassian 7 дней назад
Kumbe kagame uwezo wake wote elimu yake ya mwisho nisecondar sijasikia chuo wale high school. Kweli nishujaa sana alipambana palefu sana kiufp msimuchukie muache amalize hasila zake. lakn naionea huruma sana ruanda kwan kagame sik akifa hata amuandae nan kamwe hatoweza kuirefresh ruanda hapo kaz ipo sabab kagame anawaongoza watu wengi wasompenda na chanzo cha yote ni utawala mbaya wakutokea kwa wakoloni baada yakupendelewa kubila moja kuachiwa madalaka badala wayatumie vizuri bas wakataka kwenye inchi waishi wenyewe it so pain tuziombee hizo inchi jaman wasameheana maana heee kuna anae cheka leo kesho atalia
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 5 месяцев назад
Mwamba kabisa Poul kagame... Namkubari sana huyu jamaa ni chuma haswa
@salumhaji3207
@salumhaji3207 5 месяцев назад
Mara nyingi vichwa vyenye mitazamo ya mbali sambamba na misimamo mikali vikiingia madarakani mithili ya kotapini ya baiskeli hudumu kwa miongo kadhaa ila mwisho wao hutengenezewa mazingira ya kuondoka kwa udhalili. Uzuri watu hawa huacha historia za kishujaa za mifano ya kuigwa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 месяцев назад
👍👊✌️。
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 месяцев назад
Hayo ni mafunzo tosha unapokuwa mkimbizi au nwanasiasa wa sina yoyote na Chama chochote usikate tamaa iko siku utafanikiwa tu ndoto zako
@josephmuriithi1031
@josephmuriithi1031 6 месяцев назад
Kagame ni chuma kweli kweli
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Kabisaaa! Asante kwa kuafuatilia...usiache kusubscribe na kushare pia
@MaggieMum-k9e
@MaggieMum-k9e 6 месяцев назад
Upendeleo gani.bali Belgium wali chochea mauaji sababub watutsi mfalme Matara Rudahigwa alikata ukoloni .1959
@amosnyandwi8990
@amosnyandwi8990 5 месяцев назад
Kweli Kagame ni shujaa alipitia mengi. Kizuri ni patriotic leader Acha aliongoze na klitawala Taifa ya Rwanda hadi maisha yake... ni Khaddafi wa2
@emileniyomugabo4164
@emileniyomugabo4164 7 месяцев назад
Mengi sana kumhusu. Kuja nchini Rwanda upate taarifa nyingine nyingi, kwani kuna mengi ya kujulisha watu wasije wakadanganywa!
@charleskombe
@charleskombe 7 месяцев назад
Kweli kabisa. Hakika panapo majaliwa nitakuja. Asante sana kwa kufuatilia.
@mwanakendra
@mwanakendra 7 месяцев назад
Mwamba sana Kagame
@BoscoNiyonkuru-ou6tr
@BoscoNiyonkuru-ou6tr 7 месяцев назад
Wahutu hawakufanya revolution ni wa belge walitaka kutowa watusi alafu wakareta ayo macafuko kusudi watowe ufalme ndani kwa Rwanda
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik 6 месяцев назад
Punguzq uongo hauwezi badili historia kuna belge aliye choma au kuunguza au kuuwa watusi zaidi ya wahutu?
@ndayishimiyedjafar8693
@ndayishimiyedjafar8693 Месяц назад
Asante
@KangomaBioseptics
@KangomaBioseptics 6 месяцев назад
Nihistoria ambayo inatufanya tuwe wavumilivu na kukazabut
@AganzeJanvier
@AganzeJanvier 7 месяцев назад
Zaïre ilifanya wema kwa Rwanda Léo inageuka lahana kwa wa Congo 🇨🇩 wote kangame ni mtu mubaya sana n'a serekali yote ya Uganda kwa taïfa letu la Congo kwa sasa😢
@cyubahiroclement191
@cyubahiroclement191 7 месяцев назад
Aca cuki binafsi wewe
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 7 месяцев назад
Pumbavu sana mbaya wenu ni viongozi wenu wanatumia njia ya kuwatoa M 23 kuomba kura mukiwaweka kazini akili ya kuwaondoa inapotea Leo eti kagame na mseven😂😂Kwan madin ni miogo kusema mtu anachimba kwa panga kweli ndg zangu wakongo mnatia haibu inchi ndogo kuliko zote Afrika eti inawaibia nyie inchi ya pili Afrika na ya 14 dunian🥹🥹na kama mnaibiwa kweli jitafakali mnakwama wapi??🤔🤔
@BahatiMariam-l2h
@BahatiMariam-l2h 7 месяцев назад
22:19
@zahakiosward1575
@zahakiosward1575 6 месяцев назад
Sasa alifanya kazi vipi kwenye jeshi la Uganda akiwa mkimbizi ??
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Tazama hadi mwisho maswali yote utapata majibu
@ChristopheNiyibizi-d6w
@ChristopheNiyibizi-d6w Месяц назад
Kambi zote zikawa zaire na Tanzania
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 6 месяцев назад
Nikijifikilia kagame anavon,gan,gana na urais huo aliupata Kwa kuwa laia sana hawezi kuwachia kisenge senge tu
@meditatewithme1684
@meditatewithme1684 7 месяцев назад
🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼❤️
@patrickchapwe8778
@patrickchapwe8778 4 месяца назад
Kagame ashukuru uganda, Tanzanie, na Congo
@Moise-op7pb
@Moise-op7pb 6 месяцев назад
Kagame amejitolea nawenze wenye tunateseka congo kwasababu yawahutu gutoka Rwanda warituretea vita
@MsodokiSokoine-k2x
@MsodokiSokoine-k2x 7 месяцев назад
Kagame acha akamate nchi ya rwanda kaitesekea miaka mingi
@ErickAmbakisye
@ErickAmbakisye 7 месяцев назад
Hapan yy hataish milele ajenge fikra sahihi kwa watu sahihi ili wawe viongoz bor badae si fml yake tuu ilisi matarak
@MisachiMunyankole
@MisachiMunyankole 5 месяцев назад
Shujaa aliepambania nchi yake namwenye bahat toka kwa mungu maana lafik yake walie kuwa na mawazo ya kupambania.nchi yao alikufa bila yakuja yakua ndugu zake wamefanikiwa kuliona taifa Lao ndo maana nimesema mwenye bahat yake toka kwa mungu
@geoffreylangat6119
@geoffreylangat6119 6 месяцев назад
Great history
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Thank you!
@frankdaud311
@frankdaud311 6 месяцев назад
Pamoja na hayo yote kagame aliyo yafanya nchini Rwanda kutoka mstuni adi kua raisi kamili Wa taifa la Rwanda pia anatakiwa kuruhusu democracy ndani ya taifa lake dhidi ya wapinzani wake lakini pia achieved madaraka kwa kiongozi mwengine maake Rwanda Siyeye tu peke yake anaestaili kuwa kiongozi awa achie na wengine watawale.
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik 6 месяцев назад
Hajaiweka sawa nchi yetu ipasavyo akiendelea madarakani wewe kinakuuma nini? Mbona sisi tunaona hatujafikia malengo yetu ipasavyo muda ukifika atatoka musilazimishe wala kuongilia visivyo wahusu
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 6 месяцев назад
​​@@Mutako-ig1ik Hatuishi milele,,, kufa kupo! Unadhani akifa Leo taifa la Rwanda ataliachaje ? Ni wakati wa kuachia nchi na kuwatengeneza akina Kagame wapya Wanaweza kurudi kwenye machafuko upya!
@isackjohn1201
@isackjohn1201 6 месяцев назад
​@@Mutako-ig1ikHuo niukweri kbsa
@danielsamwel9012
@danielsamwel9012 6 месяцев назад
😂😂😂africa bana hatujawahi kuwa matured mentally hivi kweli unadhani ni rahisi hivyo kwamba nchi unaigawa kama brazia tu kwa watu unaoona hawajakomaa acheni bana
@emmanuelbilikundi1589
@emmanuelbilikundi1589 Месяц назад
History inaonyesha jinsi Nyerere alivyo kuwa na Double standard....tangu lini wakimbizi wakashiriki siasa ....Hata Eugen Maganga alipolalamika kuwa vita ya Uganda ilikuwa haina msingi bali ni mbinu za kuwasaidia hawa jamaa kuiteka Uganda na baadaye Rwanda....
@SAIDJUMA-i5l
@SAIDJUMA-i5l 7 месяцев назад
Ila kagame anazingua. Atakuaje raisi kwa miaka 24. Awachie na wenzake😂
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 7 месяцев назад
Wakati anaipigania nchi yake... hao unaosema awaachie na wenzake waongoze walikuwa wapi kipindi hicho
@ClaudiaCassian
@ClaudiaCassian 7 дней назад
Alaf akishaacha amwachie nan ambae anaijua history ya Rwanda vzr
@paulthomasngesopaulthomasn1375
@paulthomasngesopaulthomasn1375 6 месяцев назад
Hiyo ndiyo historia ya kweri umeongea ukweri kabisa
@charleskombe
@charleskombe 6 месяцев назад
Nakushukuru sana ndugu yang. Ahsante kwa kufuatilia. Usiache kusubscribe pamoja na kushare na wengine
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali 3 дня назад
All the way happened don't have up
@carteq
@carteq 7 месяцев назад
Nakumbuka paul kagane aliwahi kuishi Arusha na kuna siku moja pikipiki yake km aina ya BSA miaka hiyo nadhani walikuwa ndio wanaunda kundi la kule Moshi, Tanzania 🇹🇿
@charleskombe
@charleskombe 7 месяцев назад
Shukran sana kwa maoni yako na kwakufuatilia. Usiche kusubscribe pamoja na kushare na wengine. Barikiwa sana!
@RwetunikaMathayo
@RwetunikaMathayo 7 месяцев назад
We ni Bora kutokana na simlizi hii
@JoshuaEdwardMaleko
@JoshuaEdwardMaleko 5 месяцев назад
Nna swali bro ... ni chuo gan kagame alifundisha mafunzo yakishushushu hapa Tanzania
@charleskombe
@charleskombe 5 месяцев назад
Aliwa mafunzo kwenye chuo cha Kijeshi Monduli (Tanzania Military Academy) kabla ya kurejea Uganda na hatimae kuanzisha vita vya ukombozi wa taifa lake
@GodfreySanga-fp3yi
@GodfreySanga-fp3yi 5 месяцев назад
Alijifunza sio kufundisha
@JosephGakome
@JosephGakome 7 месяцев назад
Kweri kwa mapito hayo anastahiri kupata maadaraka hayo,nawengine tunaopambana tusikate tamaa
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 7 месяцев назад
madaraka sio shida tatizo ni matumizi ya madaraka haya ni sawa ? je alipata madaraka Kwa mjibu wa raia ao madaraka Kwa mjibu za watu fluni ? je hizo madaraka alipewa Kwajili ya kutumikia watu Kwajili ya faida Yao ? lazima kujiuliza hiyo
@wallacerugangila2723
@wallacerugangila2723 6 месяцев назад
Umesahau kuhusisha Linder Chalker waziri wa zamani mambo ya nje wa Uingereza ambaye yeye na washirika wenzake ndio walifadhili na kugharamia vita vya kumuondoa utawala wa Rwanda na mpaka Leo wanaendelea kumlinda Kagame kiuchumi na kisiasa kwa kila jambo baya kwake
@AbednegoOsoro97
@AbednegoOsoro97 5 месяцев назад
Kagame ni shujaa
@EmmelineJumanne
@EmmelineJumanne 6 месяцев назад
Hatali san kaka
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 7 месяцев назад
Wahutu wote wenye nguvu Alisha waua
@ndamukundaemile
@ndamukundaemile 2 месяца назад
Siyo mawuwaji yakimbali , hapana ni Genocide, bariwuwa watu zaidi ya million.
@HalimaKassiani
@HalimaKassiani 5 месяцев назад
Nimejifunza kujiamini ninaweza
@evaristessau8070
@evaristessau8070 5 месяцев назад
Nimejifunza kupambania ndoto mpaka itimie.
Далее
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 4,5 млн
MFAHAMU Rais GADDAFI_Ananias Edgar &  Denis Mpagaze
27:25
KUMBUKIZI YA MIAKA 24 YA MWL J K NYERERE NA SENSA
19:53
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56