Тёмный

VITASA MWANZA | Twaha Kiduku apigwa na Asemahle Wellem - 29/07/2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 376 тыс.
50% 1

Tazama pambano lote kati ya Bondia Mtanzania, Twaha Kiduku dhidi ya Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini.
Wellem amemshinda Twaha Kiduku kwa pointi kwenye pambano la raundi 12.

Спорт

Опубликовано:

 

28 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 590   
@maxsolutionstz
@maxsolutionstz 11 месяцев назад
Huyu m south kapigana mapambano 6 kashinda 3 zote 3 ni ko na hajapoteza mchezo hata 1 inamaana 3 ali suluhu huyo jamaa kidogo anaweza cheza na Mwakinyo gonga like Team Mwakinyo
@dominicrobert266
@dominicrobert266 11 месяцев назад
Matatu kashinda kwa points, matatu ko.
@rashidgogo5558
@rashidgogo5558 11 месяцев назад
Huyo akutane na Ibrahim class mechi itakuwa tamu sana
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 11 месяцев назад
Kabisa na mwakinyo ajipange
@abrahammtimatuku9367
@abrahammtimatuku9367 11 месяцев назад
Uyo bad mtoto 2 kwa mwakinyo
@planbmauwezo4853
@planbmauwezo4853 11 месяцев назад
good
@qutubimohamedi864
@qutubimohamedi864 11 месяцев назад
Hapa ndio naamini mwakinyo ndiyo champez wa Tanzania na Afrika, gonga like hapa kama unamkubali mwakinyo the champez
@husseindumwala3431
@husseindumwala3431 11 месяцев назад
ka pumzi yake kisoda sasa kwa champeee si ndio atakaa mapemaa wamuachee bana ..mwakinyo as stil champion
@oscarunju7068
@oscarunju7068 11 месяцев назад
Champion gan haingii kwenye ring nyie, huyo n muimba mashairi tu
@PriscarMwakarindile
@PriscarMwakarindile 11 месяцев назад
​@@oscarunju7068wivu tu
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 месяцев назад
Ni. Bora kiduku. Apigwe. Tu
@rajabukimweri5893
@rajabukimweri5893 11 месяцев назад
Mkijua Ngumi vizuri na michezo kwa ujumla mtarudi kufuta comment zenu uchwara , Twaha ali deserve kupigwa hatukatai but still ni champion na hv ndio kuta mjenga azidi kupambana
@user-lh1zc4sy2n
@user-lh1zc4sy2n 11 месяцев назад
Twaha yupo vizuli kapambana hongela Kaka sema mchezo ndo ulivo unamatokeo matatu usikate Tama endelea kujiimalisha❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RobertmkundaMkunda-ne4dx
@RobertmkundaMkunda-ne4dx 11 месяцев назад
Na awe na misimamo twaha cio wanalia na chapizi
@sabihiyahaya7966
@sabihiyahaya7966 11 месяцев назад
Huyu Twaha kwa Mwakinyo bado sana! Haya bondia wenu pendwa kakalishwa
@alexanderfausitin3194
@alexanderfausitin3194 11 месяцев назад
Mwakinyo ni super ,,Twaa jifunze kwa mwakinyo !!
@gman3245
@gman3245 3 месяца назад
Outstanding performance to Wellem just love his boxing skills and courage! no doubt he's next African mayweather. 😅😅
@rajabukimweri5893
@rajabukimweri5893 11 месяцев назад
Twaha ame deserve kupigwa kwenye hili pambano ila rai yangu kwake azidi kupambana na kumuomba Allah coz bondia hajui ngumi mpaka astafu ndo anajua , Twaha wa zamani sio wa sasa hata wakina Pacman na Maidana wali anza hv ila now days wapo fiti na record zao # Allah first pambana broo
@bakarisaid2023
@bakarisaid2023 11 месяцев назад
Halafu ooooh namtaka mwakinyo viazi mtakuja kufa ulingoni
@feisalomar-hr3hq
@feisalomar-hr3hq 7 месяцев назад
Twaha syo bondia mzur sana hajui kushambilia anakubali kufuata mchezo wa mpzani wake
@AbdallahChingua-fg5ml
@AbdallahChingua-fg5ml 11 месяцев назад
mamba moja ni seleman kidunda ndyo bondia number 1in tanzanian
@user-ru8kc6wf1g
@user-ru8kc6wf1g 11 месяцев назад
Hakuna bondia tanzania zaidi ya mwakinyo waliobaki waigizajitu
@salamamohamed9519
@salamamohamed9519 11 месяцев назад
Mbona hata yeye anapigwa tu
@ibrahimsalim7247
@ibrahimsalim7247 11 месяцев назад
@@salamamohamed9519 Yeye kupigwa no labda auze pambano😂😂
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 11 месяцев назад
Kubeba machuma sijui kuvuta magari hayo ni manguvu tu hayana mana , mazoezi ni kupiga punch , kukwepa , kuwa mwepesi pamoja na pumzi .
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 11 месяцев назад
Bado mwakinyo ni best tz
@kobakimanga6580
@kobakimanga6580 11 месяцев назад
Uzito wa mwakinyo sio wadula watanzania tujielewe bondia anaepiga na mwakinyo kiduku apigani nae na anaepigana na kiduku mwakinyo awezi kuweni waelewa kwaiyo kila mtu mfananishe na lenk anaecheza nae
@kobakimanga6580
@kobakimanga6580 11 месяцев назад
Kwasababu uzito wa kiduku ni namba moja kwa tanzania unaelewa apo
@nassoadamu
@nassoadamu 11 месяцев назад
Kiduku hamna bondia ndugu zangu ✊👊
@patrickmkunda3666
@patrickmkunda3666 11 месяцев назад
Kwa kweli Twaha ni boxe mzuri atqfika mbali. Ajitahidi zaidi na asikate tamaa. Pia tunapita nchi heshima.
@philipphanuel9558
@philipphanuel9558 11 месяцев назад
Jamaa anakumbatia
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 месяцев назад
@@philipphanuel9558 Kukumbatia ni moja ya mibinu katika masumbwi
@wilsonsanze388
@wilsonsanze388 11 месяцев назад
Cio kila mchezo mtu anaweza kushinda everyday ,kuna kupoteza ,Twaha kiduku tunakukubali ucikate tamaa..🎉
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 11 месяцев назад
Tz ushinde tu ukishindwa Unalaumiwa hadi ujute jaman Kwenye kupambana kuna matokeo matatu msisahau kunakushinda kushindwa na Kudroo acheni zalau jaman kushindwa kwa Kiduku ndyo kujifunza kwake
@petermsangi2701
@petermsangi2701 11 месяцев назад
Huyu bondia ni bora mno ,speed nying na technics ,twaha endelea kujifunza
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 11 месяцев назад
Mwakinyo njoo uwafundishe ngumi watoto Hawa anaekubali ngumi ipo Tanga like hapa#
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 11 месяцев назад
Tatizo bondia wa tanzania wanafanyamazozi magum saana kuliko teknik wanavutamagali kwakiuno badala yakuhesabu ngumi chache au nyingi za pwent kidunda umli tuh ila bonge wa bondia bongo na mwakinyo
@husrisanchez9781
@husrisanchez9781 11 месяцев назад
Fact 😢😢
@salehabood7140
@salehabood7140 11 месяцев назад
Kiduku anapigana Kwa style Moja tu bado sanaaa anatakiwa afanye mazoezi msimfananishe na mwakinyo
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 11 месяцев назад
Hongera mdogo wangu, japo umepoteza ila umepambana. Kupigana na mtu usiyejua anapigana VP ni issue
@VeronicaTimoth-pw5jt
@VeronicaTimoth-pw5jt 11 месяцев назад
Twaha yupo vizur sana ila huyo msouth urefu unamsaidia big up bro
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 11 месяцев назад
Inatakiwa asikae nae mbili
@sangaomar8944
@sangaomar8944 11 месяцев назад
Leo nimejua tofauti ya mwakinyo na kiduku ...
@aloycesimon1371
@aloycesimon1371 11 месяцев назад
Aliyepanga Kidunda ni namba 3 Tanzania Mungu anamuona huyu kwa Kidunda hata round ya 6 asingefika
@user-tc6hl5ko1r
@user-tc6hl5ko1r 11 месяцев назад
Jaman siyo kila sku jumapili♥️♥️
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 11 месяцев назад
Walimu muwafundishe mabondia wetu TECHNIC sio kwenda kupiga tu'.....Twaha Hana Technic, ..kama hivi kakutana na bondia mzuri kakosa njia MBADALA ya kushinda pambano..!
@moudys
@moudys 11 месяцев назад
Nafikiri sasa atafunga mdomo wake kwa mwakinyo
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kashafunga
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 11 месяцев назад
Kabisa😂😂😂😂
@abyolafadhili5734
@abyolafadhili5734 11 месяцев назад
Wakiambiwa washinde mapambano yao hawataki wanataka warogane tu hapa bongo, Nadhani kwasasa watamuelewa Mwakinyo
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj 11 месяцев назад
Upo correct
@salamaswahibu5
@salamaswahibu5 5 месяцев назад
Mwakinyo akipgana mnaona anabebwa haya angalieni bondia wenu anavyoingia kama kifaru hana hata skills nzur
@afrahamohamedi6301
@afrahamohamedi6301 3 месяца назад
😂😂😂😂 yaani nimecheka kama nyati
@stupendous1
@stupendous1 11 месяцев назад
Huko nyumbani, una body advantage, weight advantage, una Tittle nyingi, then you loss the fight just like that ? You can't be serious. Huyu guy from South Africa is very well trained and professional
@jaybee3429
@jaybee3429 11 месяцев назад
hii orhordox ya ASEMAHLE ni hatarii anapiga triple jebu alafu anazunguka anaaweka angle anapiga triple jebu...uyu jamaaa ni classic boxer ...amedeserve kuwa bingwa wa WBF
@Tzn255
@Tzn255 11 месяцев назад
Kabisa
@user-im9nf4cy1g
@user-im9nf4cy1g 11 месяцев назад
Blo kwel unafatlia ngumi
@frankomary3888
@frankomary3888 11 месяцев назад
Twaha is the best,kwani kuna bondia gani mkubwa duniani hajawai kupigwa.
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 11 месяцев назад
Terrence craffod, flod myweither .
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 11 месяцев назад
Terrence craffod mapambano 40 hajapoteza hata moja na jana kashinda kwa tko ubingwa wa dunia .
@abdallahamiri8527
@abdallahamiri8527 11 месяцев назад
Kazi ya kuvuta magari2 ngumi hajui
@daudimagendero4694
@daudimagendero4694 11 месяцев назад
Ushauri wang waalim msifundishe kwa uzoefu .fundishen kwa kubadlisha mifumo..twaha anavamia syo kupgana tusiwe waongo mchezo wa twaha unasomeka mapema ...maana ni stlyle 1tu
@Nyanda506
@Nyanda506 11 месяцев назад
Nilikuwa nakazalau haka kasauzi kumbe si mi nyama boxer
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 11 месяцев назад
Nimefurahi Tanzania wametenda haki maana mara kwa mara wamekua wakipewa ushindi wasistahili kisa waTz sasa nimefurahi wametenda haki🙏
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 11 месяцев назад
Wangepindishaje kwa hali ilivyokuwa? Wangeweza kufanya figisu lakini hii ingekuwa wazi mno
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 11 месяцев назад
@@duncankipendaroho8833 kwa kweli yani kiduku alizidiwa sana
@festopaul7549
@festopaul7549 11 месяцев назад
Twaha Bado ni bondia Bora kupoteza mchezo ni kawaida
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 11 месяцев назад
Sana uyu sio twa ni Tyson wa bongo
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 11 месяцев назад
Wabongo mmenuna
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 5 месяцев назад
Unajua Tuache Ushabiki Jammany Mwakinyo Kwenda Kupigana Njee Ya Nchii Imemuongezea Kitu Kikubwa Sana Shughuli Ipo Kwa Hawa Ndugu Wa Ndani Kuletewa Mabondia Ukiwaambia Wabishii
@ayoubomary9336
@ayoubomary9336 11 месяцев назад
watangazaji kuweni na ukweli sio ana target nzuri kazidiwa kila kitu jamaa akili nyingi sana
@hamidaabdillah5190
@hamidaabdillah5190 11 месяцев назад
Hakuna bondia wa kupambana na mwakinyo apa...
@user-rc3lg7ko4x
@user-rc3lg7ko4x 11 месяцев назад
amjalibu kidunda aone moto
@emnanuelimtui1805
@emnanuelimtui1805 11 месяцев назад
Angekuwa mwanaume asinge chagua wakupigana nae
@jkifutu7936
@jkifutu7936 11 месяцев назад
Akili na nguvu vitu viwili tofauti sana,msouth anatumia sana akili Twaha nguvu nyingi sana
@mussambyana1035
@mussambyana1035 11 месяцев назад
halafu dogo kacheza amacha muda mrefu saana
@jkifutu7936
@jkifutu7936 11 месяцев назад
@@mussambyana1035 umeonaee
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 месяцев назад
Well done. Brother. Usmalle. For. Doeng. Well
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 11 месяцев назад
Kajamaa kanapiga kama kamemuoa na kakamlipia mahali 😂😂😂😂😂😂 jaman mi ni timu MWAKINYO.
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj 11 месяцев назад
Jana mzulu ametufungia mdomo 🤣🤣🤣
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 11 месяцев назад
@@JeremiahMyrosse-qb1yj 😂😂😂😂😂
@dabaamina2230
@dabaamina2230 11 месяцев назад
​@@JeremiahMyrosse-qb1yjtanga moja hiyo😂😂😂
@balljmushi9599
@balljmushi9599 4 месяца назад
Hahahahaaaaaa,,,wee nomaa & hyo msg ykooo
@hilarynatai
@hilarynatai 11 месяцев назад
Saivi asivute Tena IST avute scania yenye Tani 30😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@trillionthamani
@trillionthamani 11 месяцев назад
Mashabiki wakitz ni waajabu sana.Twaha kafanya kazi ya kikubwa coz huyo bondia hakumsoma
@gervasbeno5589
@gervasbeno5589 11 месяцев назад
😂😂twaa hana akili ata moja 😅😅 na hajui ngumi tangu zamani tu😅😅😅
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj 11 месяцев назад
@@gervasbeno5589 Bora we umesema mkuu
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 11 месяцев назад
Sasa unataka kila mtu akubaliane na wazo lako?🤣🤣🤣🤣
@mdungimdungikhamis7779
@mdungimdungikhamis7779 11 месяцев назад
Mwakinyo Bado atakua champion tu
@suedahmadi9091
@suedahmadi9091 11 месяцев назад
Acheze na huyu kwanza
@omaryrupia2631
@omaryrupia2631 11 месяцев назад
Nimefurai sana jana mabondia wanawake wote jana wamepigwa alafu mwamtaka mdigo atawapakuwa
@YuuuHhhho-zu6ym
@YuuuHhhho-zu6ym 11 месяцев назад
Oy acha zalau unamuitaje boy mwezio mwana mke
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 11 месяцев назад
Watamkumbuka mwakinyo
@digalo373silentkiller7
@digalo373silentkiller7 11 месяцев назад
Ebu huyu msouth africa agewe selemani kidunda tuone inakuaje naamini selemani kidunda anaweza kumkalisha huyu jamaa msouth, harafu game itakua ni nzuri sana
@messaabbas739
@messaabbas739 11 месяцев назад
😂😂😂😂ety twaha anaongea lugha gani?🙊wee mtangazaji bhana 🤣🤣🤣any way twaha big up broo you did a good job,, love from 🇰🇪❤️❤️❤️ but congrats to you wellem
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 11 месяцев назад
Jamaa yuko vizurii sanaa.....msauth Africa 😂😂
@fredgonga
@fredgonga 11 месяцев назад
Duh! Speed ya huyu amapiano ni hatari.. twaha apunguze kula
@testarguy8609
@testarguy8609 11 месяцев назад
Dogo kaupiga mwingi kitaalam,Twaha badilisha style ya kucheza hio ya polepole wamekusoma alaf jifunze na kutanguliza mguu wa kulia
@halfanhaji2907
@halfanhaji2907 11 месяцев назад
Hakuna kama mwakinyo Africa
@jomwenomkal
@jomwenomkal 11 месяцев назад
Twaha kiduku wewe Bado ni mwamba tu ,,kaza mdogo wangu Wala ucjali mana hata Mike Tyson,,amepoteza sana mapambano tena Kwa knoucort nyingi lakn hajawai kusikiliza maneno ya wapinzani ,,,,mako dinda,mako stamina 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@cleartzboy
@cleartzboy 11 месяцев назад
Ww mpe moyo uyu ngis au gimbi
@abdimakame7929
@abdimakame7929 11 месяцев назад
Leo nimeamini Maneno ya Champez Mwakinyo awa kwali ni wanawake😃😃 Mnapigwaje nyote Tena ndani ya Nchi yenu mnashindwa kuieshimisha Bendera yetu ya🇹🇿🥲🥲🥲 Bondia kama awa ni Bora wafukunze kabisa na kamisheni ya ngumi%
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 месяцев назад
Leo. Kiduku. Umepatikana. Huna. Chakufanya. Kipigo. Kinakuhusu. Tu
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 11 месяцев назад
Twaha nakukubali sana ulichozidiwa ni tecnick tu ila ajakupiga tunakuamini sana you is number one fighter tz
@magigeruanda6032
@magigeruanda6032 11 месяцев назад
Mi namuomba mungu kidunda amuite Hy mbwa mwitu Ili apigane nae HP Sasa atarudi kwao akiwa kwenye machela mbwa sana Hy hawezi kuja huku na kumpiga ndg yetu hivyo
@jimmymbella997
@jimmymbella997 11 месяцев назад
@@magigeruanda6032 kwa seleman kidunda mjeshi hatoboi huyu hata kwa ngumi hizo, mmmhhh!!! atadundwa balaa kidunda anasipiid na mbinu nyingi sana,
@robinisack8092
@robinisack8092 11 месяцев назад
Ndio bondia namba moja wako sio Watanzania#Kinyoboy
@mashakamahunda8834
@mashakamahunda8834 11 месяцев назад
Uyo ndo anamtaka mwakinyo mh tuandae machela
@petrofabian4523
@petrofabian4523 11 месяцев назад
Duuuuh,kiduku leo amezipata za kutosha
@zackmioso
@zackmioso 11 месяцев назад
Shida kubwa nimeona ya kiduku nikufunguka Sana anampa mwenzake ruksa ya kumpata uso. Cha pili anakawia Sana akisubiri target ivyo mwenzake anatumia nafasi hio kumpa pigo rika yake
@user-si5ey4kd8r
@user-si5ey4kd8r 11 месяцев назад
Wamtafutiege twaha mizoga mabondia kweli watamuua
@abedisalimu772
@abedisalimu772 11 месяцев назад
Kiduku wew bado San kw mwakiny😂
@fadhilisabihi5943
@fadhilisabihi5943 11 месяцев назад
Kwa fight hii ndio umtake mwKinyo utauwawa hassani ni no1
@hassaniibrahimu-zo4si
@hassaniibrahimu-zo4si 11 месяцев назад
😅😅ajali kazini
@Akili6heri
@Akili6heri 11 месяцев назад
Twaha kiduku ungekuwa unarusha ngumi kama huyo dogo ungekuwa mzuri sana kwasababu nguvu unazo tayari.. sasa wew unaendelea kunyanyua vyuma baada ya kujifunza kurusha ngumi na sio hayo makota kota
@latipharamadhani7576
@latipharamadhani7576 11 месяцев назад
Twaha kiduku hajui ngumi, ngumi sio kuzuia uso ni kutumia Technics za ngumi, sio kuvamia tu ndio Mana mwakinyo kawambia ukweli hamjui ngumi mnabisha, kwa ngumi hi uwezi pigana na boxer yeyote uingereza na marekani wa uzito wako.
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 11 месяцев назад
Ushaanza kikatisha watu tamaa
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj 11 месяцев назад
@@rogerabdallah439 jamaa kaongea fact sio utan kwa mwili wa twaha akutane na bondia toka uingereza aaah mzee ni mazishi
@erichemily4890
@erichemily4890 11 месяцев назад
Fact
@jroissmusic1499
@jroissmusic1499 11 месяцев назад
Me nawambiaga maranyingi wasiridhike nawalipo wafanye mazoezi wao kazi kutombanatu nakuvutabangi pumzi utaitoa wap ona sasa🙊
@cleartzboy
@cleartzboy 11 месяцев назад
Kwa ngumi hiz umtake mwaknyoooo ngis umepigwa kiboya
@user-gf2yj1vw2i
@user-gf2yj1vw2i 11 месяцев назад
Bondia n mmoja tu Champeeez Harseeeen Mwakinyoooolll
@bakarisaid2023
@bakarisaid2023 11 месяцев назад
Sijasikia vp bado anamtaka mwakinyo na mandonga nae anamtaka mwakinyo😊😊 pambaneni kwanza na hali zenu
@Tzn255
@Tzn255 11 месяцев назад
Ili umfananishe mwakinyo na Twaha. Ni pale mmojawapo atacheza ktk uzito wa mwenzake. Hapo muongelee kidunda na Dulla mbabe na akina misumali ndo Super middle weight. Ukimuona mfaume kacheza ovyo ndo umuongelee Mwakinyo maana mfaume ndo anacheza ktk super welter na Middle weight
@rubeneustarch
@rubeneustarch 11 месяцев назад
jmaaa anajuwa yani anapumuzi halafu ngumi zake nihatr
@universitylink
@universitylink 11 месяцев назад
Round 12 kapigwa ngumi moja na twaha si nzito sana na jamaa alikuwa anakimbia sana
@edwintouches
@edwintouches 11 месяцев назад
15:54 Hapa Twaha alikua anajaribu kufanya nini? Kanikumbusha mala yakwanza nagida Bia, vile nilivyokua natafuta mlango wa kuingia chumbani kwangu kulala. Mlango unakuja unakataa unakuja unakataa!!!
@stanslausmajalla8896
@stanslausmajalla8896 10 месяцев назад
🤣
@aminizegega
@aminizegega 11 месяцев назад
Hapo twaha ajipange Bado Sana sijaona ngumi yure wa Tanga wewe anajua sana
@Tzn255
@Tzn255 11 месяцев назад
Ili umfananishe mwakinyo na Twaha. Ni pale mmojawapo atacheza ktk uzito wa mwenzake. Hapo muongelee kidunda na Dulla mbabe na akina misumali ndo Super middle weight. Ukimuona mfaume kacheza ovyo ndo umuongelee Mwakinyo maana mfaume ndo anacheza ktk super welter na Middle weight
@user-fs6kw5wv6w
@user-fs6kw5wv6w 11 месяцев назад
Hao ndo mabondia ambao tunataka waje sio mnatuletea ubwabwa
@Ommylayzah_tz
@Ommylayzah_tz 11 месяцев назад
Leo zimekutana ngoma mbili Za chino na Costa Mungu ibariki
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@Wahidabdul-xb2pq
@Wahidabdul-xb2pq 11 месяцев назад
ilo ni kwel koch wk han tecnik
@otitokinyaha2292
@otitokinyaha2292 11 месяцев назад
Twaha anakinundu kwenye jicho, SA guy win
@StanleyGeorge-be8rd
@StanleyGeorge-be8rd 11 месяцев назад
Kiduku ubadilishe kocha hauna technical
@gervasbeno5589
@gervasbeno5589 11 месяцев назад
Miguvu mingi mbinu hana ndo maana likawa linachezeshwa kama begi😅😅😅
@coolruler6820
@coolruler6820 11 месяцев назад
Nikiangalia mabondia wetu wengi naona kuna shida katika walimu wa ngumi,,,,hawajapatikana walimu wenye viwango vya kimataifa kuwanoa hawa vijana,,,,upiganaji wa mabondia wetu karibu wote inafanana,,,unamuona bondia yupo sehemu sahihi ya kupiga ngumi ila anatupa ngumi moja na kwenda kukumbatia ingali alikuwa na nafasi ya kutupa ngumi zaidi,,,vile vile sioni ule mpangilio wa kutupa ngumi za kumaliza pambano,,,kuna namna bondia anatakiwa kujua anatupaje ngumi za kumaliza pambano,,, hilo sijaona kwa mabondia wengi,,,,natamani kuona ngumi kama zile za Mbwana Matumla na Rashidi Matumla enzi zao
@saidchombo5952
@saidchombo5952 11 месяцев назад
Wewe unajua ngumi, umeongea sahihi kabisa. Unaona Kuna muda wa kutupa ngumi wao nakimbilia kukumbatia, daaah, ni waoga sana kna muda inatakiwa kutojali kumsogelea adui ili upate nafasi ya kumaliza pambano.
@hassanabdimidohilal7665
@hassanabdimidohilal7665 11 месяцев назад
Ni aibu sana nikiangalia mapambano ya wazungu na mabondia wetu unaweza kufa,
@hassanabdimidohilal7665
@hassanabdimidohilal7665 11 месяцев назад
Nikimuangalia mtu kama Amir Khan, Lopez au maidana etc na hawa wa wakwetu dah aibu sana
@coolruler6820
@coolruler6820 11 месяцев назад
Wanekosa mafunzo sahihi,,, Hakuna makocha wa ngumi wa uwezo wa kimataifa zaidi ya kupiga kelele tu hapa bongo,,,twaha alikosa kabisa ujanja wa kumiliki hata round moja,,ndiyo maana hata Mwakinyo hataki pambano la ndani maana halina changamoto,,,,Mwakinyo kdogo anajielewa ila naye tatizo ni like lile, bongo hakuna kocha wa uhakika wa kumuweka bondia tayari kimataifa
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 11 месяцев назад
Vizuri sana mimi pia nilikuwaga unaumia sana nikiona hivyo ila niligundua naangalia mabondia wa nnje wale ambao kiukweli niwakubwa saana
@JosephBruno-gl2pe
@JosephBruno-gl2pe 11 месяцев назад
Kweli mwakinyo chpn tz.
@hassanbaoma8798
@hassanbaoma8798 11 месяцев назад
Kiduku leo kapigika kihalali sana
@pascalgasper403
@pascalgasper403 11 месяцев назад
Sasa Huyu Jamaa Ndio Amateur,, Alafu Mwakinyo Ni Professional Tuacheni Dharau Jamani
@jastinmkandala5620
@jastinmkandala5620 11 месяцев назад
Jamaa anajua Kama mwakinyo,akili nyingi Sana ,
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 11 месяцев назад
Msouth urefu wake anautumia vzri sana
@mkanash3144
@mkanash3144 11 месяцев назад
Sijui aongeze kasi, sojui awe anatumia akili, sijui awe mwepesi, ata sijui nimshauri vipi naona anapigana kama KONDOO MZEE😫🚶‍♂️🚶‍♂️
@ngwalirajabu8489
@ngwalirajabu8489 11 месяцев назад
Kiufup twaha kiduku hawezi kupigana Kwa ku stand face to face sabbu anategemea angle Sasa iyo ndio tofaut kubwa na mwakinyo, mwakinyo yye anaweza kutumia njia zote mbili kama mwakumbuka tinampey alikuwa kama uyu jamaa but mwakinyo alikuwa anamsumbua Sana tinampey na alikuwa ampi upenyoo wa angle alikuwa mwakinyo anampiga kutafuta point za muhimu. Ila twaha kiduku hawezi ku stand yye aina yake ni Moja tuuu ya upigaji ni kutafuta angle Sasa Kwa uyu mjamaa hawezi kutoboa Mana jamaa anatumia akil then mwepesi
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 месяцев назад
Ndio. Nimeipenda. Iyoo. Kupigwa. Kwa. Kiduku. Sio. Kilasiku. Ushinde. Wewe. Tu
@user-gi9fq9pe8p
@user-gi9fq9pe8p 11 месяцев назад
Mmenyooxhwa hao
@livinuclucac2344
@livinuclucac2344 11 месяцев назад
Mwakinyo ataenderea kuwasema Kila siku awa mapafu yapaka
@ChejoBuchejo-mm8bb
@ChejoBuchejo-mm8bb 9 месяцев назад
Kwa ngumi hizi kiduku hatoboi round 4 kwa mwakinyo
@suedahmadi9091
@suedahmadi9091 5 месяцев назад
Mpime mwakinyo na huyu jamaa ndo urudi uongee kauli yako
@S.A_media1
@S.A_media1 10 месяцев назад
Mwakinyo alindwe 😂
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 11 месяцев назад
Nilimzarau sana huyu jamaa walivyo pima uzito lakini kweli wembamba siugonjwa
@silvanusmahinda-ts3dx
@silvanusmahinda-ts3dx 11 месяцев назад
Mie na laumu watu wanaomsimamia kiduku baada yakuona uyu bondia kafuta mapambano yake RU-vid ivo kiduku ajaweza kumsoma ht pambano 1,ivo kumsoma wkt mechi inakua ngum yn wangeitajika waende south kuakikisha wanapata baadhi ya mchezo wake kwani walikosea
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 11 месяцев назад
Urefu cyo sababu pekee twaha kupigwa,msisahau twaha kiduku aliwahi kumpiga yule mmisri najamaa amekata hewa kuliko hata huyu msouth
@user-jk6zk5lo9r
@user-jk6zk5lo9r 11 месяцев назад
😢😮😂😅apo ndo mnapokoseaga kuimba wimbo wa taifa mkianza na verse ya uzalendo eti Mungu ibariki Afrika, no kosa kubwa, apo inatakiwa verse yetu tu Mungu ibariki Tanzania baaasi!?
@cleartzboy
@cleartzboy 11 месяцев назад
Mwakinyooo nmeamin aliposema twah kiduku mwanamke tu yan ngisi mabondia magimbi kama hawa
@user-rk4yz1ox1w
@user-rk4yz1ox1w 11 месяцев назад
Huyu jamaa kwa namna anavyocheza alipaswa kupambana na Ibrahim Classic hope tungeshuhudia fight nzuri sana.
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 11 месяцев назад
Uzito wa ibra ni wa chini
@jimmymbella997
@jimmymbella997 11 месяцев назад
Kabisaaaaaaa IBRA class mawee..
@jimmymbella997
@jimmymbella997 11 месяцев назад
@@emmanuelbonaventura4258 yaap
@mwikaloabubakar6423
@mwikaloabubakar6423 11 месяцев назад
Twaha kiduku kuna vitu hana kwenye boksing yake anatakiwa apate mafunzo mengi sana ya kiprofessional ili awe bora zaidi
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 месяцев назад
Well. Done. To. You. Men. From. South. Aftica
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 11 месяцев назад
Et uyoga huu nao unamtamani mwakinyo acha kabisa ww mwakinyo ashamaliza Africa yote ndo maana anataka watu wa american na Europe mjipange Sana
Далее
FULL FIGHT! Ben Whittaker vs Ezra Arenyeka
37:45
Просмотров 1,2 млн
Penalty: Portugali - Slloveni
02:03
Просмотров 1,3 млн
▼ЧЁРНАЯ МАГИЯ 🔮
31:15
Просмотров 502 тыс.
Claressa Shields vs Christina Hammer FULL FIGHT
35:10
Просмотров 703 тыс.