Тёмный

#TAZAMA 

Daily News Digital
Подписаться 225 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Julai 17, 2021 amewatembelea na kuwasalimu wakazi wa Kijiji cha Kasumo kilichopo wilaya ya Buhigwe - Kigoma Mahali alipozaliwa.
Akiwa kijijini hapo Makamu wa Rais amewahakikishia wananchi wa eneo hilo kwamba serikali ya Awamu ya Sita itatekeleza mambo yote yaliopo katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020 ilioahidi katika Wilaya ya Buhigwe na Mkoa wa Kiigoma kwa Ujumla.
Makamu wa Rais amewashukuru wananchi wa Kijiji hicho kwa hapo awali kumchagua kuwa mbunge wa Jimbo la Buhigwe na baadae kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@adriansabudema4898
@adriansabudema4898 Год назад
Sanaa
@petershedrack4668
@petershedrack4668 3 года назад
Safiiii sana
@LucasEzekiel
@LucasEzekiel Год назад
Kamanda wachu imana ikulinde tulakukunda chane
@nobertfanuel2299
@nobertfanuel2299 3 года назад
Msalimie Babu eehe nguwo alaje
@KasimuIbrahimu
@KasimuIbrahimu Год назад
Wamuhilaaa
Далее
HII HAPA HISTORIA YA DKT. PHILIP MPANGO
12:50
Просмотров 10 тыс.