Mbunge wa Kilwa Kusini Seleman Bungara maarufu kama Bwege amewavunja mbavu wanahabari na wahudhuriaji wa mkutano wake wa kueleza miaka mitano yake ya ubunge kwa kuwachekesha, Anaaripoti Faki Sosi ...(endelea)
Huyu mbunge anafahamu kweli yeye ni superstar kenya ame trend Number 1 wiki mbili sasa😂😂😂😂hapo anasema ulisikia wapi 1:48? Ime trend kama moto Kenya yote
Bwege you have done more to the meme community in 2020. After this pandemic we shall knight you and give you a constituency in Kenya to lead. Uko sawa sana kiongozi😂😂😂
I don't understand what the heck he is talkin' about but the dude is funny as hell. Lakini nitampigia kura hata kama mimi si wa kutoka TZ, kura yangu anayo juu ananipandisia mbaya. "Olisikia waapi!" 🤣🤣🤣
Aaah huyu sio chiziii angekuwa chizi bungeni aenge ingilia mlango wa kutokea huyu ni bwegeee mnooo kama jina lilivyo ona ulivyo waudhi watu kumuita chizi bwege wao?