Тёмный

#TAZAMA 

Daily News Digital
Подписаться 219 тыс.
Просмотров 838
50% 1

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo Cha miaka thelathini Jela Lemendia Lesiria mkazi wa wilaya ya longido mkoani Arusha.
Lemendia ni mshtakiwa wakwanza katika kesi ya jinai namba 23.2022 iliyokuwa ikimkabili yeye na Rafik yake Kurasa Mandei kwa madai ya kufanyia vitendo vya ukatili binti mdogo anayedaiwa kuwa mke wa Lemendia.
Mbali na kifungo cha miaka thelathini jela kwa mshtakiwa namba moja pekee, pia mahakama imetoa adhabu ya kifungo cha miaka Mitano kwa kila mmoja na fidia ya Tsh Mil 2 kama garama za maumivu ya mhanga wa kesi hiyo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

Развлечения

Опубликовано:

 

26 дек 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
What Killed Mercy Mawia , The husband explaining
10:59
Просмотров 1,6 тыс.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
Просмотров 33 млн
ВОТ ЧТО МЫ КУПИЛИ НА ALIEXPRESS
09:35
RAIS SAMIA KUZINDUA SGR DAR-DOM
10:19
Просмотров 276
Мыла наелся
0:21
Просмотров 3,5 млн