Тёмный

TOP 8: TAZAMA HALAFU NIAMBIE IPI NI STENDI KALI TANZANIA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 1,5 млн
50% 1

Mimekuwekea baadhi ya Stendi zilizopo Tanzania tazama halafu unipe comment yako kipi ni kituo kikali kati ya hivi, Ofiisi ya Rais TAMISEMI wametuonyesha tujichagulie KIPI NI KITUO NAMBA KWA UZURI

Опубликовано:

 

14 авг 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4,3 тыс.   
@mariettakalasa9903
@mariettakalasa9903 4 года назад
Wamejaliwa warembo na bonge la stand SINGIDA 🔥 🔥.
@emmanuelsanga590
@emmanuelsanga590 3 года назад
Sanaaa
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
😂😂😂😂moro kwanza
@issamande6167
@issamande6167 2 года назад
Singinda
@Lllllllmmn
@Lllllllmmn 2 года назад
Singida
@simonfredy2324
@simonfredy2324 6 лет назад
Kwani Kuna kituo cha kupambana na cha Morogoro labda Kwa mpango niliosikia wa kujenga kituo kizur Dar..... Maana kwa Dar makonda hawez kukubali awe chini!!
@isacksamweli9822
@isacksamweli9822 5 лет назад
singida zaidi
@jonasanipetel288
@jonasanipetel288 5 лет назад
mro ndoo fun ga kaz
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
@@isacksamweli9822 Singida hamna kityu😂😂
@zuwenamshosho7303
@zuwenamshosho7303 3 года назад
Dodoma ukikiona Ni hatarii
@ndihokubwayojeanthierry6945
@ndihokubwayojeanthierry6945 4 года назад
Mimi si Mtanzania lakini tayari nimesha tembea Tanzania. Kituo kikuubwa tena kizuli zaidi ambayo nimewahi kutembelea ni kituo cha Morogoro. Kinayo maeneo ya kukaa. Kinaonekana kama stand ya uwanja wa ndege.
@fatimaabubakar719
@fatimaabubakar719 4 года назад
Tanzania muko juu.. Mungu azidi kuwabariki. Na azidi kuwatia nguvu viongozi wenu.. nasisi Mungu atuokowe. Maana tunamalizwa na ufisadi.... love u TZ . Big love from +254
@shercoolshukuru7893
@shercoolshukuru7893 3 года назад
Pole ni sana
@marwabisaka3742
@marwabisaka3742 6 лет назад
kituo cha mwisho ni moshi na kituo cha kwanza morogoro,pwani na mpanda wametisha sana.Mtangazaji unapaswa kujua kuwa kubwa wa eneo si hoja katika stend yoyote ile,hoja ni miundo mbinu mfano jengo la abilia au mahali akupumzikia abilia.Arama sahihi yaani in or AUT.Chumba cha matangazo,wahudumu wanaotambuluka yaani wenye sare maalumu.Ili kurahisisha kwa abiria kujua huyu ni mtoa Huduma sahihi pi usarama ni mhimu kuliko chochote.Ayo TV Asanteni kwa ustadi wenu katika kutuhabalisha lakini pia nimejifunza kuwa mwanza bado tuko nyuma sana katika stendi zetu za mabus c nyegezi wara c buzuruga.
@hajiratyramadhan4943
@hajiratyramadhan4943 6 лет назад
Marwa Bisaka
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 лет назад
mwanza bado bado!
@ods_zauakikskipenga4476
@ods_zauakikskipenga4476 6 лет назад
Marwa Bisaka wewe jamaa umeongea point sana
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 лет назад
kiukwl morogoro inapaswa kuwa mfano kwani ndo vituo vya RAIA vinavyopaswa kuwa.,wengi wamejikuta wakisema singida ila ukitazama aingida kimekaa kama kibaha/pwani/korogwe/iringa ni kwamba vipo katika muundo mdogo kuliko kile cha singida. Moro ni bora tena sana saana zaidi ya vyote maana kunapaswa kuwa na pahala pa watu kuzungukia na maduka kuwa kwa ndani ambamo abiria yumo na si kwa nje kama hivi vingine vilivyo na uhakika hivyo vingine tofauti na MORO wasipovitunza vitaja onekana kama ubungo/moshi maana ni vtuo vya mabasi co vya RAIA., Mtazamo wangu binafsi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 лет назад
mada wizo basi sie twaongelea kituo cha mabasi ya raia. Ingawa majengo gani wazungumzia mwenzngu, maana doo hata kama mpanda sijawahi fika ingawa natafuta ziara nije salimia kipande hiko, em nithibitishie nifahamu.
@davidbacor9815
@davidbacor9815 5 лет назад
Mimi sio mtanzania ila nitakuwa mkweli morogoro ni number one
@bakarimohamed1358
@bakarimohamed1358 5 лет назад
Duuh!! mwangu korogwe wametisha bonge la xtendy
@philimonthomas9653
@philimonthomas9653 4 года назад
david niyokwizera kwel
@jumakulunge3814
@jumakulunge3814 4 года назад
Mimi nipo Tabora ila bila kupepesa macho msamvu bus terminal morogoro ni noma sana, wametisha
@emanuelirobson8227
@emanuelirobson8227 4 года назад
Morogoro number one
@abdunewton6376
@abdunewton6376 4 года назад
De
@simongitting6562
@simongitting6562 3 года назад
Namba moja ni kituo cha mabasi Morogoro (msanvu)
@jojogabriel7713
@jojogabriel7713 3 года назад
Moro moja iyo
@saidismail5043
@saidismail5043 3 года назад
TUKIACHA MAPENZI YA MIKOA YETU, VITUO BORA NA VINAVUTIA KWA HII TOP 8 NI, SINGIDA & KOROGWE. Top
@cleonomollonyochol4206
@cleonomollonyochol4206 3 года назад
Ubungo
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 6 лет назад
Tanzania everything is new , new president ,new Tz minds,new sgr,new flights,new roads,new economy ,new bus stations ,new look ...new,new,new,new....
@ezekialameck4150
@ezekialameck4150 6 лет назад
Ernest sinje why are you answer questions that he didn't asked u?, u were supposed to tell him which is the best bust stop.
@Msemakwelly
@Msemakwelly 6 лет назад
Ezekia Lameck Ni comment section ww , tulia kama hujui maana ya comments eehh.....
@saidkinyogoli4702
@saidkinyogoli4702 6 лет назад
ur welcome tz
@brightonhussein864
@brightonhussein864 5 лет назад
Moshi ipo juu
@yakwetutv8525
@yakwetutv8525 5 лет назад
Moro it's number 1
@gabrielmalecela3701
@gabrielmalecela3701 6 лет назад
Singa singA- we are good a hundred! Gonga like wanangu wa singidAn kwa bibi...... Sisi kama woteee vileee👊
@paulbayyo8536
@paulbayyo8536 6 лет назад
moro iz de best one
@twalibmwabanda2892
@twalibmwabanda2892 5 лет назад
Iringa noma san
@hemedally6426
@hemedally6426 4 года назад
Gabriel Malecela nakubalii
@mariettakalasa9903
@mariettakalasa9903 4 года назад
@Sabah AL-Habsi hata suraaaa😁😁😁
@zainabuomar7342
@zainabuomar7342 3 года назад
jengo tu utalii tosha kama ship inaenda Zanzibar kumbe jengo limesimama aweee msamvu ni 🔥🔥🔥
@cornellmallya4455
@cornellmallya4455 3 года назад
Dah! Moshi nimegundua wafanyabiashara ni wengi kuliko Wateja. Hahahaha!
@aishaally2598
@aishaally2598 3 года назад
🤣🤣🤣
@elizabethzacharia2683
@elizabethzacharia2683 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂una dhambi tena 😆😆😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@bboyhassan9105
@bboyhassan9105 5 лет назад
1.iringa 2.singida 3.moroo 4.mpanda ka umeikubali hii list gonga like tuwe sawaaa😊
@aminarashid1798
@aminarashid1798 4 года назад
Moro singina iringa tisha
@henrympinge7627
@henrympinge7627 4 года назад
Iringa baba lao
@innocentyusuph7762
@innocentyusuph7762 4 года назад
Iringa, Singidan
@elishaelias2172
@elishaelias2172 3 года назад
Singida yenye no 1
@kashililikapaulo
@kashililikapaulo 3 года назад
Iringa singida morogoro mpanda korogwe wametisha san
@fridaharry9543
@fridaharry9543 4 года назад
Siku ukipost kituo cha Dodoma nistue nije nikwambie kwanini Dom ni makao makuu.. ahsante naomba kuwasilisha👏
@juliananyagawa3795
@juliananyagawa3795 3 года назад
JAMANI STAND YA MWISHO MAKAMBAKO ILA IFANYIWE MCHAKATO STANDI YA MAKAMBAKO KWASABABU KA MJI KALIOPO KATIKATI YA MIJI NA MAGARI YTE YANAKUYANA HAPO
@emanuelkija7522
@emanuelkija7522 3 года назад
Walio wengi watasema stendi Fulani Iko vzr kwa sababu ni kwaoo
@SalumMadimba
@SalumMadimba Месяц назад
Asante umegundua hilo😅😅
@abdulmillanzi7355
@abdulmillanzi7355 5 лет назад
Iringa imetulia Naipa No 1, Moro 2, Korogwe 3
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 5 лет назад
1:Morogoro 2:Korogwe 3:Iringa 4:Singida
@shomarisangari6357
@shomarisangari6357 4 года назад
(1)Morogoro( 2)Iringa( 3)singida (4)Dar 5)moshi (7)korogwe (8kibaha
@neyneyfrenkfrenk1268
@neyneyfrenkfrenk1268 4 года назад
Morogoro number wan
@Lllllllmmn
@Lllllllmmn 2 года назад
Singida woyooo
@edwardziwa7780
@edwardziwa7780 3 года назад
Pwani na singinda ikiwemo iringa👍
@francistillyas331
@francistillyas331 4 года назад
1 msamvu 2 Mpanda 3 Singida 4korogwe 5Moshi 6Iringa 7Ubungo nk
@devotawaitara2333
@devotawaitara2333 4 года назад
Viko poa Ila Dodoma ndo leading for now
@damianmakala2913
@damianmakala2913 6 лет назад
Kituo namba moja kwa uzuri kuacha unazi wa mikoa ni morogoro , cha pili singida , cha tatu korogwe , nne iringa na tano mpanda cha mwisho ni ubungo jijin dar ! ILA KWA SASA STAND YA DODOMA NDIO NAMBARI MOJA KWA UZURI TANZANIA ..…... Stand ya magufuli jijini dar kwa TANZANIA ndio nzuri kuliko zote !
@abdulsamilla925
@abdulsamilla925 6 лет назад
Damian Makala nakubl
@khamisrutunga3882
@khamisrutunga3882 6 лет назад
Damian Makala Huo ndo ukwel brew
@rashidimpabuka7525
@rashidimpabuka7525 6 лет назад
Mwisho Moshi
@bonifacemwilu6930
@bonifacemwilu6930 6 лет назад
umejitahd lakin singida is the BEST kama umewah kuyafikia maeneo yote hayo. hiyo ni haki, hao wengine watafuatia tu.
@damianmakala2913
@damianmakala2913 6 лет назад
BONIFACE MWILU mi natoka singida na singida ni nyumbani na nyimbani ni maeneo ya misuna nyuma ya mwenge secondary , nimebahatika kutembelea kituo mkoa wa moro , iringa na tanga , kituo cha singida ni kizuri na ni kikubwa lakini hakina jengo kuu la utawala au ofisi kama ilivyo morogoro na mpanda
@dulla7664
@dulla7664 6 лет назад
1.morogoro 2.iringa 3.singida 4.korogwe 5.mpanda 6.kibaha 7.moshi 8.ubungo. kwa list uloeka ila vipo vikali zaidi ya moshi na ubungo kama kange Tanga ningekipa no 6 kwa hio list.
@veronicalyimo5647
@veronicalyimo5647 5 лет назад
1.Singida 2.Morogoro 3.Iringa 4.Korogwe 5.Mpanda 6.Kibaha 7.Moshi 8.Ubungo..I think wajitahidi kurenovate ,kama Dodoma, it's a capital city but the bus terminal, I have no words for it....jitihada kwa maeneo ya stand mapya hapo juu,ni makubwa,I hope na mikoa mingine improvement will be made..
@magrethlawrence1523
@magrethlawrence1523 5 лет назад
Abdallah Salum etii,,,singida,,,hahaaaaa,,,,acha wehuuu
@heshimakibali1431
@heshimakibali1431 5 лет назад
Moshi haipo kabisa hata kwenye namba 10 bora acha kuisifia Moshi, haina stend kabisaa!
@ruthjmkombozi5990
@ruthjmkombozi5990 4 года назад
Moshi hakuna stand ya ma bus pale tuseme nisehemu ya maegesho ya ma bus, hata kigoma imewashinda kuna stand nzuri sana
@atwityemkolla2971
@atwityemkolla2971 4 года назад
Kabisa,kange Tanga kimesahaurika,hata mbeya pia
@patrickrichard4690
@patrickrichard4690 3 года назад
Wanangu wa morogoro like tujuwane🔥
@azammapikipiki9739
@azammapikipiki9739 3 года назад
Iringa pako poa sanaa
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 3 года назад
Watanga tujuaneee
@wainews3255
@wainews3255 4 года назад
Moro imedamshi kuliko zote.ipe like
@ashoramwanja3131
@ashoramwanja3131 4 года назад
Wasingida like zenu tafadhali
@emmanuelsanga590
@emmanuelsanga590 3 года назад
Stendi iko vizuur
@mbarakakarisa7902
@mbarakakarisa7902 3 года назад
Iringaa Kwanzaa alafu ya mwishow moshii Kilimanjaro.
@enocemwinuka1119
@enocemwinuka1119 3 года назад
Dodoma ndio yenye kituo Cha mabasi chenye muonekano mzur kuliko vyote tz
@shakeeldatoo2685
@shakeeldatoo2685 4 года назад
MOROGORO IMETISHA KULIKO ZOTE NICE ONE
@imanimichael9044
@imanimichael9044 4 года назад
Nambamoja iringa
@aggreyswai5169
@aggreyswai5169 4 года назад
Morogoro kalisana
@haleedkasa2569
@haleedkasa2569 4 года назад
Mhhh
@michaeldeusi5682
@michaeldeusi5682 5 лет назад
Tuache upendeleo jaman, Moro ndo namba moja, Iringa kinafuata na 3. Singida vingne vitajijua uko. Lakini Moro Serikali wamejitahidi kwakwel. Jaman tusiangalie kwa kukaa magari tu, Abiria nao wanakaa kwa raga sana tena kwa nafasi kubwa sana.
@jamesnziku9005
@jamesnziku9005 5 лет назад
Michael Deusi msamvu morogoro
@michaelmollel9898
@michaelmollel9898 5 лет назад
Morogoro. Namb 1
@danieliurio3580
@danieliurio3580 5 лет назад
Ebana singida nimepaelewa
@JosephsevelinJose
@JosephsevelinJose 3 года назад
Moro atali sana wana moro piga keleleeeeee
@jojogabriel7713
@jojogabriel7713 3 года назад
Woyoooooooo
@augustinaleo1362
@augustinaleo1362 3 года назад
hapo Moro Kuna mtu kashawahi kukatshwa tiketi ya meli.. kisa huo mjengo af ktuo cha Singapore ni Kama stendi ya daladala ya mikese Moro.. Haina maajabu
@omanoman-uy9hx
@omanoman-uy9hx 5 лет назад
moroooo oyoooo km unakubalii like
@ramosmlela2011
@ramosmlela2011 5 лет назад
Nipo Zanzibar ilaaa morogoroo nimeikubali haswa Hall ya mandhar yaake ni nzurii
@mugbilmerey3959
@mugbilmerey3959 5 лет назад
Morogoro ooh mjini kwetu kweli yapendeza,msamvu stand ni pekee rudi nyumbani kumenoga.....😅🤣😁😁
@aishakibeda5537
@aishakibeda5537 5 лет назад
Moro ndo mpango mzima hapana chezea Mji kasoro bahar napamis hatar
@jumaamrimasoud2795
@jumaamrimasoud2795 5 лет назад
morooo oyoooo
@yahyamawawa944
@yahyamawawa944 5 лет назад
Moroo
@swahiliforex
@swahiliforex 6 лет назад
1.Singida 2.Iringa 3.Morogoro 4.Katavi Mwisho Moshi
@shemehanjuma5163
@shemehanjuma5163 5 лет назад
moro
@adelamasanja693
@adelamasanja693 5 лет назад
Iringa namba moja
@fatmarashid9941
@fatmarashid9941 5 лет назад
1. iringa 2.mpanda 3.moro 4.singida 5.kibaha 6.korigwe 7.ubungo 8.moshi
@bulikidittu3361
@bulikidittu3361 5 лет назад
fatma rashid99 hii nimeikubali
@rogersrodriguez2061
@rogersrodriguez2061 5 лет назад
Exactly
@ansgartv8580
@ansgartv8580 3 года назад
Iringa, Singida na Moro ndo wametisha... Salute.
@jumaamagerow7120
@jumaamagerow7120 3 года назад
Kituo cha kwanza kizuri kati ya hivyo ni Msamvu,Katavi,Iringa na Korogwe.Vyote havifui dafu kwa cha Dodoma.
@tripple_jonline5741
@tripple_jonline5741 4 года назад
Mnayumbaaa MSAMVU mkandalasi alojenga aliaga kwaooo MSAMVU is better than Stendi zotee TZ kama unaielewaa msamvuu Gonga like zakutoshaaa
@jamesmpiga5935
@jamesmpiga5935 4 года назад
Bado stend mpya dodoma imeuwa mzee
@saidijuma3478
@saidijuma3478 4 года назад
Msamvu
@angelzawad4971
@angelzawad4971 5 лет назад
Kwa sisi tunao tembelea mikowani Mara kwa Mara tofauti na kuona video zako KATAVI 3 IRINGA 2 MORRO1
@gracemakunzo5197
@gracemakunzo5197 4 года назад
Mpanda na singida
@marianagregory6640
@marianagregory6640 4 года назад
Dodoma, Singida Morogoro
@pp-rn8uv
@pp-rn8uv 3 года назад
Morogoro imetisha sana 1 io
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Moro🔥🔥🔥🔥
@malmavoice8989
@malmavoice8989 3 года назад
Namba moja Iringa,Moro,singida ila mwisho Dsm
@theophilsalamba1747
@theophilsalamba1747 5 лет назад
Kwa watu wangu wanguku kutoka kwa mzee pinda nap pande za kigoma swax mbya moro mboka unyamwezini gonga like
@azizikapalila6760
@azizikapalila6760 5 лет назад
Moro stendap
@danielezekiel1718
@danielezekiel1718 4 года назад
Moro Singida home Iringa Korogwe
@hamicjames6809
@hamicjames6809 4 года назад
Katavi no 1
@ijazahmed719
@ijazahmed719 4 года назад
Na Iringa hapo bado ijaisha
@monistella6301
@monistella6301 4 года назад
Morogoro ni Yale majengo tuu lkn stand ya kawaida sana.
@msajohn2035
@msajohn2035 3 года назад
Moroooo town congrats sanaaaa
@babawawiltegamaso4367
@babawawiltegamaso4367 2 года назад
mimi niseme tu stend nzr 1 moro na ya pili iringa nimefika nawapa hongela sana
@rodrickcholobi4331
@rodrickcholobi4331 6 лет назад
cha iringa nimekipenda. Japo ni kwetu lakini kumewekwa sawa sana...
@wazirisaid3486
@wazirisaid3486 5 лет назад
cha moro safi na iringa
@kayfx2594
@kayfx2594 5 лет назад
iringa ist ze best. like kam tupo otee
@pauloawe7338
@pauloawe7338 5 лет назад
Iringa
@abdulramanhemed3749
@abdulramanhemed3749 3 года назад
Wasema kweli siku zote wako nje ya uwanja ...natokea +254 nikisema kweli morogoro
@mchechemakenji2355
@mchechemakenji2355 2 года назад
Dar es salaam mbez Louis kwa magufuri ndo kituo bora kabisa Cha mabasi nchini Tanzania
@chalietz7969
@chalietz7969 6 лет назад
Tanzania tunapiga hatua me mzawa wa Singida bt morogoro 1 Singida 2
@jumasumbi3194
@jumasumbi3194 5 лет назад
Upo sahihi
@zachariasuleman8788
@zachariasuleman8788 5 лет назад
Singinda namba moja
@mariettakalasa9903
@mariettakalasa9903 4 года назад
@@zachariasuleman8788 singida number moja wee
@innocentmeya5718
@innocentmeya5718 4 года назад
singida ndo inaongoza kwa stend bomba
@sntergg9569
@sntergg9569 3 года назад
😍😍🤣🤣
@yusuphfahad6916
@yusuphfahad6916 3 года назад
Kituo Bora nanikizuri ni msamvu morogoro
@melchiorymaffikirimacha4625
@melchiorymaffikirimacha4625 3 года назад
Moshi ni kizuri. Ila kinahitaji kuongezea ukubwa
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 4 года назад
Moro1, iringa 2,katavi3,singida4,kgm5,njombe6,korogwe7,tang8,kibaha9,ubungo10
@ismailihaji3212
@ismailihaji3212 4 года назад
Moro iko juu, Abood saf sana kazi yako inaonekana saf sana.
@saunakapurwa5720
@saunakapurwa5720 3 года назад
Ubungo namba 1 na ya mwisho moshi
@ansgartv8580
@ansgartv8580 3 года назад
Ubungo na moshi ni stand mbaya hakuna mfano... 😂😂😂😂 utadhani mnadani bana...
@neemamrisho4748
@neemamrisho4748 3 года назад
Naarusha pia
@henryjosefu8938
@henryjosefu8938 5 лет назад
Moro taon imetisha, vidole viwili juu kma ukae kosi kumwe🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘 yaaah ivyo yaaan
@kitwanakinyogoli4584
@kitwanakinyogoli4584 5 лет назад
Kituo bora no cha Morogoro kwa vigezo vingi tu.
@abasitulangondo4403
@abasitulangondo4403 4 года назад
Henry Josefu yp
@bernardmgori4353
@bernardmgori4353 4 года назад
Morogoro baba lao
@privatestudiotz
@privatestudiotz 4 года назад
1. Morogoro, 2.Singida
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 года назад
Tanga mjin pia Kuna stend nzur kuliko moshi na singida na mpanda
@privatestudiotz
@privatestudiotz 4 года назад
@@abuuramadhan8093 Haiwezi fikia ya morogoro na singida
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 4 года назад
@@privatestudiotz kabisa singida iko vizuri sana
@jovinpaul3188
@jovinpaul3188 3 года назад
Morogoro imetisha kuliko
@sirchiefkhalidi6123
@sirchiefkhalidi6123 4 года назад
Stand ya Morogoro ndio kali tz nzima🔥
@sirchiefkhalidi6123
@sirchiefkhalidi6123 4 года назад
Ila kwasasa kali kuliko zote n Stand ya Dodoma ni 🔥
@lailahizubery8799
@lailahizubery8799 4 года назад
Ni kwel n kabsa sem saiv Dodom n hatare Tz nzima hakun km Dodoma na Morogoro na iringaa
@khamisbakari3629
@khamisbakari3629 4 года назад
Moro mikono juu!
@filimonabeli7654
@filimonabeli7654 3 года назад
Morogoro noma
@ahmedyndevu3221
@ahmedyndevu3221 3 года назад
Sana
@javanwatson6675
@javanwatson6675 5 лет назад
Cha singida kizuri ila kimekaa sana kama cha daladala zaidi.. So 1.moro 2.iringa 3.Mpanda 4.singida 5. Korogwe 6. Kibaha 7. Moshi 8. Ubungo
@jacobmoringe234
@jacobmoringe234 5 лет назад
Hapo umejaribu kuonesha uhalisia wa ipi ni ip na 7bu ya kwanza ikiwa ni mwonekano au uzuri wa sted yenyewe na huduma zingine muhimu za jamii zinapatikana vp,Ahsante mawazo yangu ndio majibu yako
@allyhango1146
@allyhango1146 5 лет назад
Singida ndo Kali yao nyie mnae sema msanvu kisa majengo mume feli
@josephinehuzi7964
@josephinehuzi7964 5 лет назад
Ally Hango singida iko juu
@bitarawanjara2781
@bitarawanjara2781 3 года назад
Vituo vyote ni vizuri ila kizuri zaidi kati ya hivyo ni Cha MIZENGO PINDA kilichopo Mpanda -Katavi
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 года назад
Mashaallah congratulation TANZANIA🇹🇿
@karimuissa6229
@karimuissa6229 5 лет назад
kiukwel kituo bora kuliko vyote ni morogoro kwa africa mashariki nzima
@alliemmili6070
@alliemmili6070 5 лет назад
Karimu Issa msavyu
@kelvinjanuary3605
@kelvinjanuary3605 4 года назад
Iringa mzee
@philimonthomas9653
@philimonthomas9653 4 года назад
Karimu Issa kwel kaka msamvu ni stand nzur na bora afrika mashark
@awenanassor3169
@awenanassor3169 4 года назад
Umeamua kupitiliza
@tinukamlowe2134
@tinukamlowe2134 4 года назад
NJOMBE Niyakwanza AFRIKA mashariki
@yasintasanga4398
@yasintasanga4398 6 лет назад
Iringa na morogoro zinaongoza kwa uzuri
@mariettakalasa9903
@mariettakalasa9903 4 года назад
Hujatembea mshamba wee singida n kiboko
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
@@mariettakalasa9903 me nimeiona singida kw macho yangu haiwez kuifikia moro mxamvu🔥🔥🔥
@bennyjumah4214
@bennyjumah4214 2 года назад
Iringaa nomaaa
@khalidkhamis1825
@khalidkhamis1825 3 года назад
Kwa uzuri na ukubwa ktk hivi ulivyotuonyesha nafkiri Singida kinastahili kua namba Moja
@moseskasomi2684
@moseskasomi2684 3 года назад
Daah stendi SINGIDA ndo nambari one
@abedystevensteven677
@abedystevensteven677 4 года назад
Singida kizur zaid!!!
@jariarajab2215
@jariarajab2215 3 года назад
Dodoma mnaiwek wap
@emmanuelsanga590
@emmanuelsanga590 3 года назад
N kweli
@omaryregga5315
@omaryregga5315 6 лет назад
singida kituo namba 1
@Manfilly
@Manfilly 5 лет назад
Chunga usipitilize stand suka acha watu msamvu
@esterjema2484
@esterjema2484 3 года назад
Korogwe iko vizuri sana
@priscasaidi6605
@priscasaidi6605 2 года назад
Kituo cha kwanza kwa ubora zaidi n morogoro ,naitw prisca saidi napatikana Nairobi embakasi
@kinyutatonha8831
@kinyutatonha8831 6 лет назад
singida 1 moro 3 dar mwisho iringa 2
@godfreyvicent603
@godfreyvicent603 5 лет назад
morogoro kali
@ulimwenguwafasihi468
@ulimwenguwafasihi468 6 лет назад
Kutokana na ubora wa kitaalamu.......morogoro ndio namba moja kwa Tanzania pengine pia kikawa kwenye Top 5 kwa afrika mashariki tatizo ni moja tu, WANA KILOMETA ZA MRABA NDOGO.
@mwinyikherikhalfanmzee6296
@mwinyikherikhalfanmzee6296 5 лет назад
Sure morogoro de best
@hosenkitogota9644
@hosenkitogota9644 5 лет назад
Moro namba 1 kaka
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 лет назад
Tembea uone usigande sehemu moja, Iringa zaidi
@oledokoratelombashi9871
@oledokoratelombashi9871 Год назад
Wewe Morogoro imetisha ❤️ au wewe unaonaje ?
@mosesnthangu8662
@mosesnthangu8662 3 года назад
Number 2 katavi number 3 singida number.4 iringa number 5 korogwe number 6 Kisha number 7 dar es salaam 8 Moshi.
@ramamparestina7074
@ramamparestina7074 5 лет назад
Moro 1 iringa 2 singida 3 tanga korogwe 5
@Mosses8
@Mosses8 4 года назад
Moshi
@johnlukuba7251
@johnlukuba7251 4 года назад
1.moro,2.iringa, 3singida, 4 korogwe, 5 mizengo pinda
@iddothmani3273
@iddothmani3273 4 года назад
Tupo pamoja Moro na Korogwe
@bakarijabiri7526
@bakarijabiri7526 4 года назад
Mbagara cijaiyona katka rist
@bakarijabiri7526
@bakarijabiri7526 4 года назад
Au mbagara rang 3 ni stand ya tren. Cio bas?
@annaisaac279
@annaisaac279 4 года назад
Iringa??!? Be serious
@dominickmgweno5656
@dominickmgweno5656 4 года назад
Morogoro inaongoza kwa kuwa na Stendi Bora na nzuri. Mkoa wa mwisho kuwa na Stendi isiyoridhisha ni Dar es salaaam
@henryjonas5378
@henryjonas5378 4 года назад
Moro ni 🔥
@kilongolanasibu3998
@kilongolanasibu3998 5 лет назад
Oya Kaka milad eee Moro namba moja, Mji kasoro maji ya blue Napakubali sana, hiyo sehemu Pamoja wadau wanguuuuuu
@nakshmusa5394
@nakshmusa5394 4 года назад
iringa Moro mpanda dar ya mwisho
@majashokinyau9551
@majashokinyau9551 3 года назад
Songea iko stend mpya kal inawez kushik no moj au mbil
@fahadsaid9616
@fahadsaid9616 4 года назад
Mimi ni driver wa bus hivo vituo vingi nimeingia msikisahau kituo cha mfano wa kuigwa kilipendekezwa na mh Jakaya M Kikwete,kiwe cha kuigwa na mikoa mingine,kituo cha Kigoma
@josephgagala2588
@josephgagala2588 4 года назад
Kwa upande wa stand 1 singida 2moro na zingine zinafata uzuri stand nyingi nimeziona live na kwenye mitandao kama hivi.
@barikikagine8977
@barikikagine8977 6 лет назад
Iringa nikizul IRA kimepungukiwa majengo yahuduma
@hemedykarim2278
@hemedykarim2278 5 лет назад
bariki kagine iringa
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 2 года назад
Kituo siyo Kiswahili fasaha kwa maana iliyokususudiwa hapa. Waandishi wa Habari ni vyema mkatumia lugha sahihi ili jamii ndogo, wageni na jamii ijayo iwezekutumia vielelezo hivi "rasmi" kama sehemu ya kujifunzia. Angalau kwa maoni yangu.
@esterwilhelmm6657
@esterwilhelmm6657 3 года назад
Korongwe kali nafasi kubwa manzari ya kuvutia
@yohanasarya448
@yohanasarya448 5 лет назад
Iringa namba moja ya mwisho Moshi
@akleidesideri7996
@akleidesideri7996 5 лет назад
Moro ndo habari ya Tz
@rehemarachi41
@rehemarachi41 5 лет назад
Singida
@binbaya923
@binbaya923 4 года назад
Duh! Tanga ndio home ila karogwe hiki ndio kipya cha zamani kilikua vp🤷🏿‍♂️ Kituo bora ni Moro 💯
@michaelsubugo9563
@michaelsubugo9563 3 года назад
C kwel
@exavery1455
@exavery1455 3 года назад
Tafuta kukiona kituo cha Mabasi Songea mkoa wa Ruvuma ni noma
@salomemahuvi7667
@salomemahuvi7667 3 года назад
Mafinga ndio kituo kikari Cha basi
@pepelaalkithir4445
@pepelaalkithir4445 6 лет назад
Stand ya Iringa balaa!utafikiri uwanja wa Air Force!?
@hislahamisi3985
@hislahamisi3985 5 лет назад
Oongeeni ukweli sio ushabik hakuna kama moro tunasubiri kua jiji tu
@philimonthomas9653
@philimonthomas9653 4 года назад
Hisla Hamisi kwel kaka
@khairuhamic8350
@khairuhamic8350 4 года назад
Nakubalian naw
@jacksonchacha2796
@jacksonchacha2796 4 года назад
Moro iko vzr
@godfreymalinga1476
@godfreymalinga1476 4 года назад
Jiji mtasikia kwenye njozi 😀 sema usitukane tu watu wa moro tutawayengenezea bahari watani zangu msitoe povu ila ukweli stand yenu iko poa kuliko zote
@goldtv4376
@goldtv4376 4 года назад
Hahaha moro ni ghorofa tu mie nimetembea mikoa 8 singida ninamba moja
@husseinponda
@husseinponda 3 года назад
1 Morogoro bus stand 2 Mpanda 3 SINGIDA 8 KIBAHA
@zainabumbwando3153
@zainabumbwando3153 3 года назад
Moro kwakeli ninzuri sana
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 года назад
Iringa ndiyo bomba kizuri sana kilicho shika nafasi ya mwisho ni icho cha Kilimanjaro kibaya tu
@deusirichard3442
@deusirichard3442 3 года назад
Kahama stend number moja
@emmanueljoseph-ki1hz
@emmanueljoseph-ki1hz 4 года назад
Moshi na DSM ndo vituo vya mabasi ila HV vingine cjui n vya nn manake hata daladala sijaziona/ nimeona sehemu za kukaa watu peke ake hata watu hamna
@chrispintano2938
@chrispintano2938 4 года назад
Morogoro/Mpanda
@ibraakyoo215
@ibraakyoo215 4 года назад
@@chrispintano2938 mhhhhhh
@salmahanai
@salmahanai 29 дней назад
Mimi sio wa singida lkn stand yao No 1
@rafikiwaibraah7318
@rafikiwaibraah7318 4 года назад
Singida namba moja
@ludovickjohn2829
@ludovickjohn2829 5 лет назад
morogoro nomber 1 kinacho fuata iringa tisha zaid
@aronemwilawa573
@aronemwilawa573 4 года назад
Hapo dodoma japo bado hakijaisha ila ni mfuniko
@jimukinyago6870
@jimukinyago6870 4 года назад
Mm mboni kwetu pwani kisarawe hamkuja muoneshe njee ago vipi
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 6 лет назад
Iringa wametisha ispokua kituo chao ni kidogo Moshi ndio wa mwisho Kati ya vituo ulivyoshindanisha
@mkimbilagemma5271
@mkimbilagemma5271 5 лет назад
RAMA MABINDA Njombe
Далее
skibidi toilet 76 (part 2)
04:28
Просмотров 14 млн
Каха бизнес-класс
00:48
Просмотров 1,5 млн
MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA DART AWAMU YA TATU
5:49
SIMBA vs YANGA NGAO YA JAMII TAZAMA PENATI ZOTE
6:40
skibidi toilet 76 (part 2)
04:28
Просмотров 14 млн