Тёмный
No video :(

UFARANSA: Hatuondoki NIGER! Tutabaki kwa muda mrefu na njia yoyote - Na Dj Sma 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 286   
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Год назад
Kumbe wanaelewa Afrika haiwategemei wao ila wao wanaitegemea Afrika 😢😢😢 tuamke Waafrika bado uhuru wa kweli hatujawahi kuupata na bado tunapigana sisi kwa sisi
@saidmatola8015
@saidmatola8015 Год назад
Uko right lakini kwa hapa bongo utakuta na weweulikua unampiga vita Magufuli...😂😂😂
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 Год назад
KABBISA LAKINI SISI WA AFRICA SIJUI TUMELOGWA NA NAANI AISEE?
@rashidiiddi2433
@rashidiiddi2433 2 месяца назад
Viongozi wenyewe ndo vibaraka wamarekani na wamaghalibi
@IrineJulius
@IrineJulius Год назад
Mungu atusaidie Africa, Dj sma uko vizurii sanaa na unajua endelea kutufafanulia tuelewe Wa Africa
@laprincevonkingpin2538
@laprincevonkingpin2538 Год назад
Nchi yoyote africa yenye mfaransa hakuna maendeleo... ni wanyonyaji,, kukomeasha unyonyaji ni lazima tukubali africa iwe moja kwa maslah ya maendeleo yate chanya ya africa na sababu za kiusalama. Kwa kifupi mimi siwaamini watu weupe.. Britain,ASIANS,AMERICANS< siyo watu wanaoipenda africa maana wao sio waafrica wao wana maslahi yao tu. tusione haya kuitwa UNITED STATES OF AFRICA, UNITED AFRICA ..n.k.
@zitongwang6278
@zitongwang6278 Год назад
WAZUNGU NI MBWA ...., MARAISI WA AFRICA NI VIBARAKA ...., we are so divided since colonial era, we divided in different ways like language, zones and monetary wise, ....., I DONT REAL KNOW HOW CAN WE STAND TOGETHER MY AFRICAN PEOPLE ...😪😪😪😪😪 SO SAD OUR BROTHER IN NIGER ARE IN HARD TIMES ..., dear lord we need peace in our continent 😧😧😧😧😧
@patriciatumain172
@patriciatumain172 Год назад
Viongoz wa Africa sijui tunafeli wapi tumekuwa vibaraka wawazungu jamani Africa tushtuke mrusi ashawaonyesha njia tusikubali kuwa vibaraka wahawa wazungu so chamsingi tuungane kama waafrica tuwe kitukimojaa ndio maana wanatuulia viongozi wetu kama #gaddaff na wengine wengi siwez wataja wote nadhani nyote tunawatambua wengi wamewauwa
@robertmwita4327
@robertmwita4327 Год назад
KAKA MIMI NIMEISHI MIAKA 20 SWEDEN,HAWA WAZUNGU NIZAIDI YA MAGAIDI,NIBORA KUISHI NA AL-QAIDA KULIKO WAZUNGU,WAKO TAYARI KUUA MAMILIONI YA WAAFRICA ILI RAIA WAO WAISHI VIZURI
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Hawaoni atali kupukutisha Africa kwa magonjwa sasa ni vita nasubili upande wa2 gadfaf Saddam hosen na wangine wakasema madaidi Leo ni muda wa kuamka Africa vijana kwanzia kubongoni Hadi maeneo
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Год назад
Yote haya sababu ya mamikataba ya kijinga
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Hatukomi kwa kumizana
@ramagwama
@ramagwama Год назад
Uzur ndo uo una 20yrs umeshaishi na wazungu,Wambie wale ambao wasema hatuezi ishi bila wazungu wanaona wao ndio muimu Zaid kwnye maisha ya waafrika
@madalanasri2226
@madalanasri2226 Год назад
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b Год назад
Allah blessing you bro. Dj smaa .
@hamzambasha6647
@hamzambasha6647 Год назад
Viongozi wetu Matakataka sana
@raphaelchuche6281
@raphaelchuche6281 Год назад
bora ww umeona shida n viongozi wetu wa Africa
@chingaboy1149
@chingaboy1149 Год назад
Takataka majibwa yaliokosa wachungaji
@patriciatumain172
@patriciatumain172 Год назад
Dj smaa mungu azidi kuku bless uwe na umri mrefu maana unatulisha madini mengi Sana tna ya maana vizazi na vizazi vinaelimika God bless you dj smaa
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 месяца назад
Na unalishwa madini bure ushavimbiwa hapo kuchangia hutaki 😅😅
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Год назад
Yeah ukweli kabisa bro ❤❤ Viva Putin viva African ❤❤ 🔥🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪💪💪💯
@georgebataze6625
@georgebataze6625 Год назад
Dj Sma kazi nzuri. Natamani viongozi wetu wajifunze kupitia haya na zaidi wakubali kuumia wajenge mifumo mizuri kwa ajili ya nchi yetu maana tumezungukwa na majizi wa magharibi
@Ismailhassan-xw7eo
@Ismailhassan-xw7eo Год назад
Kikubwa kua na umoja
@user-he6rd7cw2c
@user-he6rd7cw2c Год назад
I'm following very closely Keep the good work DJ SMA #tanzania #africa #riseup
@martingeorgenzali5614
@martingeorgenzali5614 Год назад
DJ Sma Ipocku Tanzania Itakua Ivo Waipambania Iwe
@athumanimsangi7092
@athumanimsangi7092 Год назад
Assallaam Allaykum kaka.Naomba nkushauri kwamba utoe hilo jina Dj usilitumie mana haiendani na IQ yako kabisa.Uko vizuri sana Masha Allah.
@alphangeff2933
@alphangeff2933 Год назад
I'm following very closely ... Keep the good work DJ SMA
@mussamuna900
@mussamuna900 Год назад
kweli bro nimeamini africa tunajiumiza wenyewe
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Год назад
Good dj sma unaweza bro iladakika nindogosan mzebaba ongeza dakika tunakupenda san from 🇧🇮👊🖤
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 Год назад
Uhuru wa na kuua wa africa also ndio uhuru wao yani tumewacoka awo watu asua wenye inci zenye wakoloni wenye kuongea kifaransa hakuna maendeleo kaka asant love from south Africa 🇿🇦
@USDisdoomed
@USDisdoomed Год назад
Wasubiri mapigo wataondoka tu by force....Africa wameamka.....
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 Год назад
I gal u mr dj very nice 🇹🇿🇿🇦
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu Год назад
Walaikum Salaam
@user-hp6eh6oi2o
@user-hp6eh6oi2o Год назад
From PEMBA upembani nawakilisha
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 Год назад
Africa ni tajiri ila wananchi Sisi masikini sasa Afrika ya sasa imejitoa muhanga kwa lolote r.i.p jpm.
@yousupjabri7304
@yousupjabri7304 Год назад
Umeona in reality wao. Ndio masikin ..rasilimali zipo kwetu hawawez kuish bila sis kisha wanajifanya wawekezaji
@raphaelchuche6281
@raphaelchuche6281 Год назад
viongozi wetu nao wanashndwa kuungana
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo Год назад
BG UP sana Dj Sma 👍
@oscarkallinga8343
@oscarkallinga8343 Год назад
Magufuli Alishawahi Kusema bila Africa,ulaya haipo.Alikuwa sahihi Sana.
@MugishaJordy
@MugishaJordy Год назад
Kila mtu mwenye akili anajua dhahiri hakuna upendo wa waulaya kwa sisi weusi
@oscarmario466
@oscarmario466 Год назад
Dj smaa uko vizuri ila hii makala ya Leo inawasha moto ndani kifua Cha kila mwafrika halisi wazungu na Hasa Hawa wafaransa ingekua sms za kwenye simu yangu ningefuta zote nisizione ila Mungu aingilie kati maana wazungu ndio yule shetani mshtaki wetu Kwa Mungu na nadhani hata maandiko yalitahdharisha kua shetani kashuka duniani na hayo mashetani ni wazungu
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Год назад
Mimi nimesikiliza mpaka nimetetemeka
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Год назад
Asante kaka dj smart tunakutegemea
@mshairikivuli573
@mshairikivuli573 Год назад
Brother mungu akupatie nguvu Ili uenderee kutupa darasa zuri 🎉
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Kwa hizo maana ulizo zitaja nimekulushia hela ya bando uwandae shukurani kwa kazi nzuri
@djsma255
@djsma255 Год назад
asante sana 🙏
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 Год назад
Hii mimbwa ya kizungu iende kwao wakaendeleze mapenzi ya jinsia moja maaluni Hawa.
@KIDORBOYS
@KIDORBOYS 11 месяцев назад
Africa hatuogopi kufa Wala mini kama vita ije siwezi kuishi kwenye utumwa da yaaan natamani hii bara lite wangenipa mm ningepiga binge la game sema bado tunapambania kombe one day yes
@user-wo6rk4vf2s
@user-wo6rk4vf2s 29 дней назад
Tutashinda kwa uweza wa mwenyezi mungu 🫡 🌍🇹🇿
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Год назад
Mabeberu Ufaransa na Nchi za Magharibi wameamua ni bora tukose wote Urusi na China wakose na Mataifa ya Magharibi yakose pia. Kama unakumbuka Ufaransa alihusika kumuondoa Gadaffi kupitia Rais Sarkoz wakati Gadafii alimpa Hela za Kampeni Sarkozi ila Sarkoz ndiyo alituma Ndege za NATO kuharibu Msafara wa Gadaffi na kuwapa Silaha nzito Waasi wa Libya.🇹🇿🇹🇿
@ramadhan-id9mz
@ramadhan-id9mz Год назад
Yani najikuta moyo wangu unaitaji kabisa kupigana bira uwoga kiipigania Africa msatali wa mbele
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 Год назад
Africa tukitaka tusitawaliwe na wazungu waugozi wa Africa wache tamaa watumikiye ichi zao kwa moyo moja ju ya ichi zao
@surusuru1994
@surusuru1994 Год назад
Kumbu tuhu tuamuke Africa 🌍💪💪
@zakariaissa7574
@zakariaissa7574 Год назад
Dhuluma haidumu Na ikidumu inaangamiza mungu anaona
@juliusmagunila6308
@juliusmagunila6308 Год назад
Hawa mbwa sio shida tatizo viongozi wetu
@yoabumoris9668
@yoabumoris9668 Год назад
Bro nakuelewa
@yusufally5168
@yusufally5168 Год назад
Hawa wafaransa washenzi Sana. Wapingwe bomu tu waende zao roho zao mbaya Sana. Wanazinyonya nchi za Africa Sana.
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Год назад
Waa Afrika wapo wengi Kule unadhani watalipwa nn wasipo Kuja kuchukua nchin mwetu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
​@@goodluckmsoka3660kwa nini Sasa watubanie kutupa visa?
@mvullamanase
@mvullamanase Год назад
@@goodluckmsoka3660 kwani lazima waishi huko Ufaransa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Tatzo sio hawa wazungu tatzo tamaa za viongz wa Africa
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Hapo DJ Sma nimeona wazi Ufaransa hana jipya zaidi ya kung'ang'ania kuwepo Afrika kwasababu hawana jipya zaidi ya kuinyonya Afrika tu
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 Год назад
Dj sma naomba uende RU-vid mtafute mchumi mmoja anaitwa Jeffery Sachs anachambua vizuri unyonywaji wa afrika.
@djsma255
@djsma255 Год назад
namjuwa sana na namfatilia sana... n ajuziu aliongea kwenye UN
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 Год назад
Nipo wa 2 leo kaka nipo kabisa asanteni sana kua kutujuza
@jirehpatrick5960
@jirehpatrick5960 Год назад
Brother nimekuelewa sana
@surusuru1994
@surusuru1994 Год назад
Tunabidi africa tusatiane ili kuwafukuza mabeberu wallah
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Год назад
Tatizo linasababishwa na viongozi wetu wa akiafrika kujari masilahi Yao na marafiki zao wachache tu. Ukija nje unakuta jamii kubwa inajikuta inaumasikini mkubwa wa kutupa. Lakini wakifuata mfumo wa wengi hutoona vurugu zikitokea
@kahmardintebe9266
@kahmardintebe9266 Год назад
Tatizo ni sisi wenyewe wa africa tunajipendekeza sana kwa wazungu jpm aliwahi kuyasema haya hatuna wajomba watakao tusaidia akafika mbali akasema hakuna vya Bure na akasema wanaiba Mali zetu halafu wanatupa misaada tunashangilia kumbe ni Mali zetu sasa utabiri wa jpm umetimia haya kazi kwenu mnao wategemea wajomba
@clyvanboss
@clyvanboss Год назад
Kwani brother haya makaa ya mawe ambayo yanatoka kule songea wanapakia kwenye meli zinaenda wapiii??
@abednegopaul2705
@abednegopaul2705 Год назад
Kuna MAKAA ya mawe huko yanasafirishwa??
@amehassanrehanirehani6176
@amehassanrehanirehani6176 Год назад
daaah africa yangu hapa ndo nazidi kuthibitisha kwamba africa ni colon ya mataifa ya magharibi wanaifanya africa ni shamba la bibi waafrica tunaumia wao wanaenjoy maisha oh my god bless africa
@omarisombi9284
@omarisombi9284 Год назад
Ukweli hivi ni vita kubwa Kati ya waafrika na wakoloni wa Dunia
@inamahorosauda5983
@inamahorosauda5983 Год назад
Sasa sierewi siwabaki kwawo???wanaogopanini?? Wanafrika washikamane wawafukuze
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Год назад
Kwa sababu tu ya kuwa na baadhi ya maraisi wapumbavu hawa mbwa wanarudi kututawala tena.Mungu tusaidie.
@rodgersmuyechi5102
@rodgersmuyechi5102 Год назад
Russia itaziodoa France na America Africa,China and Russia combination is stronger to kick them out
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Год назад
🤔 Yani viongozi wa afrika waungane kuukimbia hii minyang'au ila viongozi wa afrika ni vibaraka wao mbona tutatawaliwa mpaka dunia iyayuke 😢😢
@yussufoptic
@yussufoptic Год назад
Sasa Africa ni kwao mbona wanakazania kwenye hawa wataki. Hapo mataifa yote ya Africa tutajiunga tuwapiganishe
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Год назад
Hatari na nusu
@yahyafakikhamis8536
@yahyafakikhamis8536 Год назад
Thanks for presenting issues DJ SMA BUT WHO WILL SENT THIS CLIP TO NIGERIA PRESIDENT
@user-lu7ly6ts3f
@user-lu7ly6ts3f Год назад
Mkuu wa majeshi ya Nirgeria uko wapi? Huu ndiyo wakati mwafaka wa kupindua serkali ya Nigeria ili huyo mzee awekwe ndani pamoja na ma boss wake wafaransa na marekani.
@Hamad-gy2og
@Hamad-gy2og Год назад
From wete pemba nakubali sana uchambuzi wako
@muhitiraamissy7198
@muhitiraamissy7198 Год назад
Aduwiii yaa mtuu mweusii ni muzunguu
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 Год назад
Yenyewe ukweli mtupu
@cizaamissiamissi6182
@cizaamissiamissi6182 Год назад
Dj sma❤❤❤❤
@uwimana6533
@uwimana6533 Год назад
Walikula mpaka wakajisahaau wamekuja kumshtuka kumepambazuka 😂😂😂 achanawangine wajaribu muda wao umekwisha
@ercayo9106
@ercayo9106 Год назад
Saf mzee weka misumari
@Mutubure
@Mutubure Год назад
Dj 🇺🇸
@medyproductionTz
@medyproductionTz Год назад
Dah Roho inaniuma sana😢
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Год назад
Nipe kuanzia mfalme Jemshid siasa zilivyoanza mapinduzi yalivyo fanywa na akina nani walipopiduwa walipewa na nani msaada wakipinduwa na waliopinduwa akina nani nanani kama ivyo nipe kaka historia ya zanziba asante
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Год назад
DEMOCRASIA AFRICA NI KUKANDAMIZWA NAKUNYONYWA SISI KWAJINAZURI KWAMASLAH YA WAMAGHARIBI. UDIKTETA AFRICA NIJINA BAYA LAKIN NISEREKALI ZINAZOWAJALI WANANCHI MASKIMI. From MOZAMBIKI ni mimi sharaf .ukovizuri kaka.
@Ali-te8tb
@Ali-te8tb 11 месяцев назад
Ewe bwana Mungu mfaume wa Adhuli na bingu🌍 mtobowe hili dhalimu la ufaransa 🇨🇵👹 🤲 Tulichoka nalo , nawewe Unaona . Kwanza anza visiwa vya KOMORO 🇰🇲🤲 Ewe Mwenyezimungu . viva AFRIKA viva URUSSI 🤝
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 28 дней назад
Aa mimi namini utawala wa kislam ndio sahihi kwa mwana Adam, Dj smaa naomba ufanye uchambuzi wa aina zote zilizo tawala dunia. Dah nkumbe shasema utachimba kwa izo tawala. Ila mimi nakushauri kuhs utawala wa kislam chimba kuanzia kwa Khalifa wa 4 na 5. Inshaallah, kuna jambo zito apo.
@samwelchisunga4462
@samwelchisunga4462 Год назад
Brother haiwezi kuwa na mlusi anajiandaa kuwa giant economically after destruction in Africa kwamba anaweza kukugarantee everything Kama vifaa na pesa ili kushindana na mataifa ya ulaya kwasababu Hawa wazungu hawataki kutoka by power by force
@NdikumuremyiRichard-rw6ud
@NdikumuremyiRichard-rw6ud Год назад
Pumba ❌❌❌❌❌🚫🚫🚫vu atawanipemuzungukwanguvu siowitena😭🥳🤣🤣
@francismichael1258
@francismichael1258 Год назад
Ambaye haelewi huyo hatokuja kuelewaa tena m walimu wake walipata tabu sana. Tatizo wanapora malizetu kinguvu ni shida.
@yousupjabri7304
@yousupjabri7304 Год назад
Jaman mie sielewe hebu nieleweshen kwan hawa si ndio wanoa tuita sis masikin wakati huohuo wanafos kubaki katika nchi zetu kama watawala...kwann?
@user-dt7tc9tg5y
@user-dt7tc9tg5y Год назад
Hawa tu hata maraisi wetu wanatuminisha kua sisi Tanzania ni masikini Sasa wanatofauti gani na wafaransa...?
@remybuyenzi1856
@remybuyenzi1856 Год назад
Hawa wa faransa Mbwa hawa. Marehem Nkurunziza angekua hai mgemtambua
@uwimana6533
@uwimana6533 Год назад
Yy angekua kama nani 😂😂 nimuono wako
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 Год назад
Wagozi wa Africa mpaka siku gani watakubali kunyonyewa na wa zungu
@issaabdi9129
@issaabdi9129 Год назад
Wafrica tulidanganywa waraabu waliwafanya wafrica watumwa sasa mbona wa magharibi je?
@FahmiNassor
@FahmiNassor Месяц назад
Hatuwataki mbwaa nyinyi Africa hatuwataki mashoga wanyonyaji wakubwa wa mataifa ya Africa maisha yenu yanategemea mali ya africa ili muishi
@dingiiman8654
@dingiiman8654 Год назад
Siku waafrika tukia amka na kujitambua wazungu watabaki masikini
@sharifuahmed8340
@sharifuahmed8340 Год назад
Daaah Africa yet yaan Bado tupo kweny ukolon yaan wazung Bado wanatufanya kama matahaila yaan daaah tungefanya km urusi tu yaan km Kuna mtu msalit aondoke alafu tubaki wazalend na watu wapiganie Africa Yao ila Daaaaaah hawa wazung mung anawaona
@bonifacesembuche2295
@bonifacesembuche2295 Год назад
Mwakani America uchaguzi,atashinda Trump, vita atamaliza, Tuwaone France kama wao wataendelea na vita Africa😂😂😂
@babalad983
@babalad983 Год назад
😢
@akajoza4043
@akajoza4043 Год назад
❤❤❤
@paulmsele3696
@paulmsele3696 26 дней назад
Tatizo ni viongozi walamba matako wakiongwa vijisent wanatuuza yaan nasikia hasira sana
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 Год назад
ya dubai hunaaaaaa??????
@husseinsadick7785
@husseinsadick7785 Год назад
Kama yule wa Nigeria ndio sifuri kbsa
@inamahorosauda5983
@inamahorosauda5983 Год назад
Wanamazarawu nawanawekwa namariyetu washenzi wanataka tubaki wacakara wawo
@paulmsele3696
@paulmsele3696 26 дней назад
Washenz sana sasa viongozi wa Afrika wasikie hiyoo waache kulala tunahitaji mtu kama magufuli 😢
@danielikonyeeki254
@danielikonyeeki254 Год назад
It's ironical,France don't want to be seen naive(washamba) by leaving Afrika for Africans but Afrikan presidents are ready to display the naivety of Africans by attacking their own
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Hawa ni watu wabaya sana waafrica tunapaswa kuwa wamoja ili kushinda dhulma hii
@user-tn6yd6cb5r
@user-tn6yd6cb5r Год назад
Bro nafikili create Telegram channel kwaajili ya Wana fuse
@BigwaKiii
@BigwaKiii Год назад
Wazungu ni uzao wa shetan
@atomicexposior6012
@atomicexposior6012 Год назад
Awa waafrica wabishi kuerewa kama mboo imedinda
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Год назад
Mwisho wao umewadia
@muhammedjuma8966
@muhammedjuma8966 11 месяцев назад
Tatizo letu viongiozi wa Africa hawana huruma na watu wao na vibaraka hawa magharibi na marekani wao na huu mguu utatuwa mpaka dunia itamalizika sisi wanafiki sana wa Africa
@Peaceman-S
@Peaceman-S Год назад
Kaka fuse Viongozi wetu wa Africa wapo bize na movie za mkojani na kicheche haya mambo tunayaangalia sisi ambao bando zetu ni za buku wenzetu wapo bize na kugoogle sehemu za starehe na aina ya magari na wanagoogle sana jinsi ya kuiba serikalini bila kukatwa🙆🙆🙆🙆🙆
@kilima_njaro
@kilima_njaro Год назад
Hao ndo waliwangamiza viongozi wetu. Its a new beginning. Tushtumu huo ukolini mamboleo
@cadzabibu9871
@cadzabibu9871 Год назад
Nihatari kumbe watakwisha
Далее