Тёмный

USA 🇺🇸 CANADA 🇨🇦 ULAYA NI ZAIDI YA KUPATA PAPERS (PERMANENT RESIDENT STATUS) 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Kama unaishi USA 🇺🇸 unaweza kujaza form hii www.ebmscholars.com/finance

Опубликовано:

 

30 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@Zsdaughter
@Zsdaughter 4 месяца назад
Kaka EbM asante. Pia kutakuwa na watanzania ambao walijipanga na wakafanikiwa na ni mbinu zipi walifanya. Nafkiri kurudi sio lazima ukae maeneo ambayo watu wamekuzoea wakakujaji inabidi kuanzisha au kuwa na eneo jipya hata kama ni kaeneo kadogo mradi roof over our head. Tungependa kusikia maoni ya wale waliotangulia kurudi na changamoto zake. Shukran bro.
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 месяца назад
Kweli leo umetoa elimu nzuri sana sana.Asante
@majaliwabendera8458
@majaliwabendera8458 4 месяца назад
Vizuri sana kaka nakupata nikiwa hapa USA
@TimotheoLukubamichael
@TimotheoLukubamichael 3 месяца назад
Aseee one day yes tu
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 4 месяца назад
Maisha hakuna kuchelewa hasa ukizingatia hatutoishi milele. Maisha ni kila siku kukicha. issue ya kuchelewa ni off point. Kila siku kukichaa NDIYO unaishi , So hamna kuchelewa
@kim_mastori101
@kim_mastori101 4 месяца назад
Mungu akubariki na akutue Nguvu EBM❤❤
@kev_kiarie
@kev_kiarie 4 месяца назад
Watched it twice,good insights.
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 4 месяца назад
Asante sana EBM kwa elimu ❤nzuri
@user-pm4wt3jq9z
@user-pm4wt3jq9z 4 месяца назад
bravo.....
@lovemagunda8583
@lovemagunda8583 4 месяца назад
Asante sana kwa elimu nzuri kaka EBM watu tujifunze sana, nakupata vizuri nikiwa hapa Washington.
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 4 месяца назад
Bonge moja la darasa kaka Mungu akubariki sana
@ponsianopascal4980
@ponsianopascal4980 4 месяца назад
Asante sana Kakà,,nakufuatilia vizuri sana kutoka hapa Braga Portugal.
@abdulrahamansadallah6446
@abdulrahamansadallah6446 4 месяца назад
Asante sana kwa madini mazuri
@alloycemillinga1673
@alloycemillinga1673 4 месяца назад
Pamoja sana kaka EBM
@user-dx6xy5ib4t
@user-dx6xy5ib4t 4 месяца назад
Tusaidie jinsi yakupata kazi nahujasoma jinsi gani yakufika uko kufanya kazi za usafi nazingine
@user-nu3oz2ub9s
@user-nu3oz2ub9s 4 месяца назад
Elimu nzuri Sana mkuu
@saidimbondela9158
@saidimbondela9158 4 месяца назад
Somo zuri kak EBM. SMB hapa from Toronto
@user-ev8dg6yw4q
@user-ev8dg6yw4q 4 месяца назад
Point kubwa sana
@Maishacanada
@Maishacanada 4 месяца назад
True saying Bro
@drsamsonkibona371
@drsamsonkibona371 4 месяца назад
Safi, asante kwa ufunguo mzuri hata kwa sisi tunaojiandaa kuja huko mwaka huu dv results zikitoka tutawatafuta
@manenoyauzimaulimwenguni
@manenoyauzimaulimwenguni 4 месяца назад
Ahsabte bro
@OmarVuru
@OmarVuru 4 месяца назад
Kaka makurilo salama pole na kazi unanisaidiaje kaka
@amourhemed4343
@amourhemed4343 4 месяца назад
Asante kaka nakufatilia nikiwa hapa Zanzibar
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 4 месяца назад
Kila unalo sema ni kweri kaka
@OmarVuru
@OmarVuru 4 месяца назад
Kaka habari yoka Mimi ni ndugu 1,naomba nisaidie nimepambana miaka mitatu nimepata siringi million 4 pesa nimepata kwa nguvu kazi kaka sikuchagua kazi kurima mashamba miti ya mkaa na vinginevyo nisaidie kazi za mshambani kuchunga kazi yoyote nguvu kazi simrizi zako nimefatiria muda miaka 4 utafutaji bongo shida Nisha taperiwa mara Moja laki 300000 niunganishe safari kujitolea au utajua wewe jinsi ya kunisaida mimi Omary vulu nipo pamoja na wewe kaka nisaidie mungu akurinde 🇹🇿🇹🇿🕊️🕊️🇺🇸🇺🇸⭐⭐🇺🇸🌙makurilo🙏🙏🙏🙏🙏
@ibrahimsaguti7470
@ibrahimsaguti7470 4 месяца назад
Kaka kutpeliwa tumesha tapeliwa wengi hata mimi nlitapeliwa 250000 mwaka Jana ulikuwa pesa yangu ya kodi nikalipia safari, chakufanya process zote Fanya wewe ndiyo hiyo pesa itatosha ila ukimpa MTU akufanyie haitotosha, yani ukifuatilia mwenyew hadi nauli ya ticket utapata, wakina dnyota wanataka mil 9 na hawana punguzo hata kdgo na kwaushauri tu sasahv kupata kazi USA ukiwa nje ya nchi huwezi kupata hadi uende mwenyew USA ndo utafute kazi
@SamowB
@SamowB 4 месяца назад
Bro hizi nondo zako hukutakiwa kuzitoa Bure. Ni nzito sana ilifaa watu tuzilipie kbsa,, ila nimekuelewa nakupa maua yako
@advinofficial6570
@advinofficial6570 4 месяца назад
Mr Boniphace Makulilo ahsante kwa mafundisho pia pole kwa haya majukumu. Mim naitwa Deri Mkongwa ningependa kujua green card lottery mwaka huu 2024 tunaanza kuaplly lini na je? Ni vitu gani niviandae kwa ajili ya application yangu? Ahsante naomba kuwakilisha.
@salumsalum8866
@salumsalum8866 4 месяца назад
kaka Nakubali Ndio maana Umepanda Mchicha katika Bustan yako😂
@user-vh9vx3lu9z
@user-vh9vx3lu9z 4 месяца назад
Asante kwa Informations Brother, Tujuze kuusu USA na CANADA, Wapi bora zaidi kuliko pengine?!!!! Fasi gani mtu anaweza ku success haraka?? Na wapi mtu anapaswa elekeya... Please brother, Tuelezeeeeh kuusu iyo Sujet.
@SumaiyaBakari
@SumaiyaBakari 2 месяца назад
Mdogo wangu amepata fursa ya Kuja marekani mwezi ujao na Ana visa ya miezi mitatu ila anataka abakie huko afanyeje naomba msaada Wako kaka
@fideamtenga212
@fideamtenga212 4 месяца назад
Nisaidie kaka
@johnmfuko4426
@johnmfuko4426 4 месяца назад
Mkuu EBM Asante sana Kwa darasa zuri
@McKingSimon88
@McKingSimon88 4 месяца назад
Bado unaendelea kudanganya watu?
@alijumamohamed
@alijumamohamed 4 месяца назад
Tukiacha njia ya green card na njia ya kuowa raia wa nchi Fulani,Kuna njia gani nyengine za kuishi permanent?
@IbrahimMwadini-hz7ib
@IbrahimMwadini-hz7ib 4 месяца назад
Whps no zako kk naomba please
@chiefkwanza495
@chiefkwanza495 4 месяца назад
16015
@kelvinbushis8931
@kelvinbushis8931 4 месяца назад
Kaka msaada wako 😢 please please 🙏
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh 4 месяца назад
Safi sana kaka
@iddynasri8307
@iddynasri8307 4 месяца назад
Hi bro nina swali nataka kuuliza mmi ni photographer naishi uganda ila mmi natokeya burundi.nina mke na mtoto wa mwezi umoja wana ishi yues sasa nini rafiki yangu ambaye anaishi yues ana wedding August Kani tumiye invitation letter niende uko niwe photographer wa wedding yake nimesha jaza ds160 nimesha lipiya na appointement.ila mmi na mkewa wangu tumeshaka jaza i 130 form ina myezi misita kwa sasa bado tunasubiri.sasa Nina swali kuna uwezekano wakunipa iyi B1 B2 nawakati nina already i130 ambayo nasubiri.na je watanipa kweli wakati mke wangu na mtoto wako kule siwatafikiriya nikifika kule sitorudi kwasababu nina mke na mtoto kule?plz naomba ushauri wako
@annamussa185
@annamussa185 4 месяца назад
Shida ya huyu kaka huwa hajibu comment kwahiyo hapo nikama umejisumbua tu kuandika
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 месяца назад
Nimeliona Hilo linaniumiza Sana kichwa Sana 🙄
@marygarlick6607
@marygarlick6607 4 месяца назад
Where is everyone? 😂
@eriiyaan
@eriiyaan 3 месяца назад
Iv jamani naomba kuuliza mimi nilijaribu ku apply kwenye sim ya rafiki yangu na form nilijaza vizuri na picha poa ilikuwa 100% na waka accept ni Subili number watanitumia kwenye ile email ya rafiki yangu kwa sababu nilitumia sim yake ila kila nikimuuliza anasema awajatuma iv naweza mukanipa jibu au ndio ataki mimi niende USA
@erastoelias524
@erastoelias524 19 дней назад
Kama ni kupitia green card, majibu hayatumwi Kwa njia ya email. Tafuta video namna ya kuangalia matokea
@nkonoki7993
@nkonoki7993 4 месяца назад
Sasa what is the solution??
@saidhamad7504
@saidhamad7504 4 месяца назад
Akili kichwani mwako
@user-zi6rx6nb6q
@user-zi6rx6nb6q 4 месяца назад
Asante sana kwa elimu nzuri please nitumie number yako ya wathsapp please
@abdulrahamansadallah6446
@abdulrahamansadallah6446 4 месяца назад
Asante sana kwa madini mazuri
Далее
Kazi za Usiku wa Manane Marekani, Canada na Ulaya
9:59
Mapenzi Ukiwa Nje ya Nchi - USA, Canada, Ulaya
57:54
Просмотров 1,5 тыс.
KUPATA VIZA YA MAREKANI: MASWALI NA MAJIBU
1:59:53
Просмотров 4,4 тыс.
Leo niko area ya wakenya. Huku tume dominate sana!!
24:01