Тёмный

USIKU HUU HARMONIZE NA MKURUGENZI KADOGOSA WAKITOKA MOROGORO KWA TRENI YA UMEME WAFUNGUKA ILIVYOKUWA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@afraeliazaelayo
@afraeliazaelayo 3 дня назад
Ahsante kwa wote wanaosema ukweli kuhusu Nchi yetu na Miradi ya Maendeleo, na ni ukweli ni mipango ambayo hupangwa na kutekelezwa na Serikali,kwa vipaumbele vya Kiongozi Mkuu wa Nchi. Asante Rais wetu na Wote walioko chini yako. Mungu Ibariki Tanzania.
@sund2553
@sund2553 3 дня назад
Pazuri kama airport safi tunaendelea jamani watz tusipachafue sasa kwa uchafu 😅
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 дня назад
Ila harmonize😊😊😊😊😊😊😊
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 дня назад
Kauli niliyoipenda " uthubutu" kwa hakika tunaweza, bado msalato iko mbioni, dar Moro Barabara maalum za kulipia, ujenzi wa miundo mbinu Nchi nzima, pia niwapongeze wakandarasi wa huo mradi hao jamaa wasiachwe wapewe miradi mingine
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 4 дня назад
Aliyethubututu hayupo hizo ruti mpya mnazowaza mtaota tu.
@starjay3052
@starjay3052 4 дня назад
magufuri kazi kaifanya noma alafu acheni kufanya kama mme saau magu ndio tanzania 🇹🇿 one kwa upande wangu
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 3 дня назад
Magu . samia ni wajibu wao tusipowataj tukapowataj Hain umuhimu.Magu hajatoa mia ya mfukoni mwake Wal samia na kwann usisem hatujamtaja mkwawa acheni siasa aliyemalizia ndio atakaekul sifa magu alianzisha hakumalizia hem tulieni Kwan taifa alianz kuljeng magu nyiny hamumpend samia.
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 3 дня назад
💯🙌
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 3 дня назад
Sisi timu Magu hawa tutendei haki, maneno yao ya unafiki eti awamu ya sita, kwahiyo Jembe lililo tifua udongo mpaka tunaona kustwi mmea wamesahau
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 3 дня назад
@@DeogratiusAndrew-zi7zv Kwan maendeleo yalianza kw magu alijitahidi kiasi chake
@user-en1uq1eg6h
@user-en1uq1eg6h 3 дня назад
Rest in peace Magufuli 🙏🙏🇹🇿
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 4 дня назад
Mbowe na tundi nawana chadema tunawaalika SGR, please you guys, we need you😅😅
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 дня назад
Hahahahahaha 😂😂🤣😂 hawajawahi hata kuizungumzia nahis wanasubiri ipate ajali hahahhaha
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 4 дня назад
@@ndukulusudikucho_ 🤣🤣
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 4 дня назад
😮😮😮 Siasa humu marufuku
@salimsuweid1499
@salimsuweid1499 4 дня назад
Congratulations
@michaelmisago3671
@michaelmisago3671 4 дня назад
Mkurugenzi wa shirika anaakili sana
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 4 дня назад
Hongera sana uongoz wa awamu ya sita ❤
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 3 дня назад
Awamu ya tano haikufanya kitu?
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 3 дня назад
@@DeogratiusAndrew-zi7zv nilikua sijazaliwa
@denissanchawa7689
@denissanchawa7689 2 дня назад
Ni vema kupongeza Jitihada za Viongozi wote walioshiriki katika hatua mbalimbali. Na sio kupongeza kiongozi mmoja.
@suleimanikirassahassan9711
@suleimanikirassahassan9711 4 дня назад
Sema reli sio leri
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 4 дня назад
Hizo ni akili na nguvu za magufuri,tena angekuepo ingeshaisha kitambo sana,R.I.P magufuri wetu
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 3 дня назад
Aliyemalizia ndio anaekula sifa Kwan bill ya juhudi za wapigania Uhuru ingejengwa hiyo magu ni kama Nyerere
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 3 дня назад
@@AmanaAmos-hv3yz kwakuwa anaviwanda
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 3 дня назад
@@AmourAmour-ux3nm asiejua maana usimwambie maana🧠,but ukiumia sema💉
@mikidadymohammedy7603
@mikidadymohammedy7603 2 дня назад
Ni kwel ndugu yangu naungana na ww ingekuwa kitambo
@hadija846
@hadija846 3 дня назад
YAOYAO JESHII❤
@ColethaKomba
@ColethaKomba 4 дня назад
🔥🔥
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 3 дня назад
HONGERA MUHESHIMIWA KADOGOSA. UMEPAMBANA SANAA
@timothypengejoshua8692
@timothypengejoshua8692 3 дня назад
Kweli alie kufa ndiye mjinga...Kazi ya magufuli mnayo malizia nasiyo ya samia rip magu
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 3 дня назад
Wewe unazo akili nyingi lakini kuna mmoja anasema hongera serikali ya awamu ya sita kwani ya awamu ya tano haija fanya kitu ?
@allysanya8346
@allysanya8346 3 дня назад
@@DeogratiusAndrew-zi7zv yulee mpumbavu tu anamsifia mvisiwani mwenzie
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 3 дня назад
@@allysanya8346 aahahaha
@shivobs4485
@shivobs4485 4 дня назад
Harmonize wakupongezwa ni rais marehemu sio samia
@user-nb5fk2qh9c
@user-nb5fk2qh9c 4 дня назад
Kama asingemalizia ingeisha
@shivobs4485
@shivobs4485 4 дня назад
@@user-nb5fk2qh9c tumpongeze kwa kusimamia
@timothypengejoshua8692
@timothypengejoshua8692 3 дня назад
Ukweli kabisa watanzania wote wamesahau sana kama Ile ni Mradi wa magufuli
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 3 дня назад
​@@timothypengejoshua8692angesema simalizii hay huo ungekuwa ni mradi ni uthubut wa raisi samia magu ni kama Nyerere hem tulieni mrad wa magu kakwambia nani hiyo ni ilani alitakiwa lazim sio hiyar yake aliyemalizia ndio atakaekul pongezi
@shivobs4485
@shivobs4485 3 дня назад
@@AmourAmour-ux3nm tutulie kwani tunaruka ruka sio ilani ni kodi zetu
@akidakombo259
@akidakombo259 День назад
R I p John Joseph pombe magufur milele regace umeiacha mwamba
@shigetemteremko7551
@shigetemteremko7551 День назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@DioufMuze
@DioufMuze 3 дня назад
Kazi ya magufuli hiyo 3:13
@TresorMajibu-t7w
@TresorMajibu-t7w День назад
Ongera konde boy konde jeshi
@DioufMuze
@DioufMuze 3 дня назад
Kazi ya magufuli hiyo
@richkaja3317
@richkaja3317 3 дня назад
Waeleze watanzania kwa uyakinifu acha kingereza
@nicodemusfidelis3772
@nicodemusfidelis3772 3 дня назад
Magufuli hoyeeee
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c 4 дня назад
Kirandage
@DioufMuze
@DioufMuze 3 дня назад
Kazi ya magufuli hiyo 3:13
@DioufMuze
@DioufMuze 3 дня назад
Kazi ya magufuli hiyo
@DioufMuze
@DioufMuze 3 дня назад
Kazi ya magufuli hiyo 3:13
@DioufMuze
@DioufMuze 3 дня назад
Kazi ya magufuli hiyo 3:13
Далее
🤯 #funny
00:20
Просмотров 870 тыс.
NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA
18:43