Тёмный

VIDEO: WAZIRI SILAA NA WANANCHI WAWAKA DODOMA, JAMAA AUZA VIWANJA VYA NDUGU BILA URITHI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 56 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@susananyasani6526
@susananyasani6526 5 месяцев назад
Super Hotuba ya Wananchi imenifurahisha sana wamesungumza haki na ukweli mbele ya Waziru Silaa asanteni
@madelinazawadi120
@madelinazawadi120 6 месяцев назад
Tunaomba na waziri wa Sheria na katiba awe anatembelea mahakamani aone uonevu unaoendelea huko
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 6 месяцев назад
Kabsa
@IddyKubo
@IddyKubo 8 месяцев назад
Dogo unapambana. Mungu akupe maisha marefu
@shamimukanju8402
@shamimukanju8402 7 месяцев назад
Kazi iendelee mh.Jerry nakupongeza upewe maua yako Mwenyeezi Mungu aendelee kukuongoza
@LeonardjosephMhinda
@LeonardjosephMhinda 8 месяцев назад
Hongera sana waziri kwa kazi nzuri
@mohamedshabani7906
@mohamedshabani7906 7 месяцев назад
Mzee magufuli ametengeneza njia mungu amuweke pazur uyu Mzee jaman
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 8 месяцев назад
Wizara kaiweza
@mmarycalvin6395
@mmarycalvin6395 7 месяцев назад
Good job , Minister Jerry
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 7 месяцев назад
Huyu kiongozi wa mfano wa kuigwa Mungu amuongoze atende haki kwenye uongozi wake
@WilisonBagumya
@WilisonBagumya 8 месяцев назад
Hongera saana waziri
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 4 месяца назад
Slaa Mungu akutunze
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 7 месяцев назад
Mungu AKUBALIKI waziri ❤
@JlmwinukaOnlineTv
@JlmwinukaOnlineTv 7 месяцев назад
Kaziiendelee mh.jerry
@gastimario7571
@gastimario7571 7 месяцев назад
Huyu wazili anapambana sana hadi 2030 tutakuwa mbali
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 8 месяцев назад
Jamani Mali zimkuwa chanzo cha migogolo na chuki kwenye familia mungu atusaidie 🙏
@NeemaDaniel-fb4to
@NeemaDaniel-fb4to 6 месяцев назад
Kila ninapoangalia video zako nalia kama mtoto,Leo napata tabu Kwa sababu tu ndugu waliingia na kuuza viwanja,mashamba,bustani,na nyumba baada ya Baba yangu kufariki.Tena mbaya zaidi waliuza mama yangu akiwa hai wakaenda kumpangia chumba kimoja,mwisho Mama akafariki Kwa pressure.Natamani sana mheshimiwa ungenisaidia Kwa hili maana sijawahi kuambulia hata sent.
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 7 месяцев назад
Ukipingwa na kijiji yote we KWISHA🤣🇰🇪
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 8 месяцев назад
❤😂 the wewe unafanya kazi nzuri tz nzima tunakuhitsji ila hatuwezi kukufikia wateule wengine wakusaidie huku wilayan tunaumia saana
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 8 месяцев назад
Rais wangu mama Samia suruhu hasani nakuomba sana ktk migogoro ya ardhi ikikupendeza huyu kijana silaa ana juhudi kubwa sana anatenda hali sana kama itakupendeza tunakuomba umpatie msaidizi ambaye awe naibu wake ndugu wiliamu lukuvi maana Kuna mahali alifikia pazuri sana hawa wakiwa pamoja watawasaidia sana wanaodhurumiwa na mapapa tunashukuru sana pia kutuletea Paulo makonda mungu akubariki sana mama
@badmanno.1650
@badmanno.1650 6 месяцев назад
Mzee Yona anaonekana mkorofi😅
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 7 месяцев назад
Sasa huyu mzee anadhurumu ili aendenayo wapi jamani
@KkhamisKha
@KkhamisKha 8 месяцев назад
Wanataka mali isiyowahusu hata kidogo watoto tunapata shida wenyewe wametulia tu
@jtheophil5499
@jtheophil5499 8 месяцев назад
Safi sana waziri uko makini sana
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 5 месяцев назад
We mzee utaumbuliwa. Unaona dodoma kumekucha ndio unajileta
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 8 месяцев назад
Tz aliimba mali ya baba inanitoa roho bora niinusuru roho yangu
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 8 месяцев назад
Kiukweli kunabaadhi yandugu hawana upendo wanaangalia maali kuliko undugu
@kaidrisa2711
@kaidrisa2711 6 месяцев назад
Naomba nimpe uwenye kiti hyo dada anae chonga hapo 😂😂
@bongo39
@bongo39 8 месяцев назад
Salute slaa
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo 6 месяцев назад
Kiswahili ni mirathi ya mila au kikabila sio kigogo.
@RehemaMustafa-x6o
@RehemaMustafa-x6o 4 месяца назад
Haki ya mungu bora mtu utafute chako tu hiyo kazi ya kumbea mali za marehemu siwez
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 8 месяцев назад
Slaa hivi kweli nchi nzima utafanya hivyo utaweza? Kwa nini usiimarishe mfumo wa taasisi nzima!
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 8 месяцев назад
Naamin anaimarisha na ndo mana wanataka kuja mambo mapya
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 7 месяцев назад
Kashatangaza nchi nzima hii ni ile migogoro sugu mfano huu ni wa mwaka 1985 bila hekima ya waziri utaua familia kwa kupigana.
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 8 месяцев назад
😂😂😂 huo mtanange sio mchezo ila wachuchu wanajua kujieleza😊😊
@EdnaMuro-tx8os
@EdnaMuro-tx8os 4 месяца назад
Wazir kasimama
@leylamohamed9939
@leylamohamed9939 7 месяцев назад
WATAFUTE VYAO HAO WANA NDUGU UMASIKINI MBAYA SANA, WATOTO WA MAREHEMU SI NDIO WANA HAKI
@drdd774
@drdd774 8 месяцев назад
Mzee kawekwa mtu kati😅
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 8 месяцев назад
Waziri tumelipia Hati huu ni mwaka wa nne hatujapata Hati tusaidie Tafadhari nipo Ilemela Mwanza tulilipia 500,000/=
@ukweli255
@ukweli255 5 месяцев назад
NENDA OFISI ZA ARIDHI...Waoneshe Clib ya Waziri ile ameenda OFISI za ARIDHI DODOMA ASUBUHI ...kesi yako inafanana na yule Mama aliekuwa anasikilizwa Kila la kheri
@HaulSidney
@HaulSidney 8 месяцев назад
Ni ufisadi mtuputu, RIP JPM
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 8 месяцев назад
Huyo Mzeee ni Tapeli Tu
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 6 месяцев назад
NA SHERIA ANAZIJUA 😅😅😅😅😅
@KkhamisKha
@KkhamisKha 8 месяцев назад
Nasisi tunae baba yetu mdigo ametudhulum
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 7 месяцев назад
Waziri akija kwenu nenda ukaseme
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 8 месяцев назад
Huyu anafaa sana
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 7 месяцев назад
FIDA HUSSEIN NI TAPELI MKUBWA WA KUWADHULUMU ARDHI NA NYUMBA ZA WANYONGE
@namsamson3443
@namsamson3443 5 месяцев назад
Hivi walio chini ya waziri wanafanya nini mbona huyu anafanya kazi sana nawakati kuna walio chini yake wanapokea tu kodi zetu? Rais angalia hili wa
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 8 месяцев назад
Dah dhuruma tupu jamani
@KkhamisKha
@KkhamisKha 8 месяцев назад
Muheshimiwa wapi weng kama hai wanadhulummmali za marw
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 8 месяцев назад
Aliye itafuta hiyo mali ameziacha wasiyotafuta wanapapurana
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 8 месяцев назад
Point
@JudithAdonis
@JudithAdonis 6 месяцев назад
Ni changamoto aisee
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 7 месяцев назад
Jerry Jembe🫡
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 8 месяцев назад
Waziri hapo huyoamaa umemuonea hao wamejipanga kufanya vulugu
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 6 месяцев назад
Hawa wazee wakizeeka wanakuwa wajinga sana
@iambaizo
@iambaizo 7 месяцев назад
Mwamba anataka kuwapiga
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 8 месяцев назад
😅😅
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 948 тыс.