Тёмный

VURUMAI ZITO LAIBUKA BUNGENI, WABUNGE WAMJIA JUU NAPE, SPIKA ASIMAMA, "NI UONGO, ANATUKOSEA HESHIMA" 

Uhondo TV
Подписаться 610 тыс.
Просмотров 81 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 295   
@willibroadwilliam6798
@willibroadwilliam6798 11 месяцев назад
Dada uko vizuri sana asante.
@ramadhanikibana6456
@ramadhanikibana6456 11 месяцев назад
Ridhiwani🎉
@deuspaschal7616
@deuspaschal7616 11 месяцев назад
Speaker umeongoza vzr
@kitosmayunga8722
@kitosmayunga8722 11 месяцев назад
Hovyo
@josephmalangalila9744
@josephmalangalila9744 11 месяцев назад
Menyewe kwa menyewe
@deuspaschal7616
@deuspaschal7616 11 месяцев назад
Mh speaker unaakili !
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 месяцев назад
Duuuh! Thos is Tanzania
@benjaminjackson9824
@benjaminjackson9824 11 месяцев назад
Speaker mm sikuelewi
@msafiriomary893
@msafiriomary893 11 месяцев назад
Wezi watupu
@athanassylas7469
@athanassylas7469 11 месяцев назад
Nape hajielewi
@geofreydamas1697
@geofreydamas1697 11 месяцев назад
Dk Tulia Mungu aendelee kukupa hekima,Mungu akubariki but simamia ukweli
@hamishatibu699
@hamishatibu699 11 месяцев назад
Dr Tulia ametulia xna hana upendeleo yupo sawa xna Dada.
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy 11 месяцев назад
Hafai kuwa kiongozi
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 11 месяцев назад
Mawaziri wengi ni hovyo hovyo hovyo
@samuelayo-ol4ft
@samuelayo-ol4ft 11 месяцев назад
WEZI
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz 4 месяца назад
Akuna kiongozii ninaee mkubalii kama Nape,,
@jamessakaya1890
@jamessakaya1890 11 месяцев назад
Nape anatumia nguvu nyingi snaaaa...kwann??,
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 11 месяцев назад
Mnajikanyaga spika
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 11 месяцев назад
Boss wa EWURA anayeumiza Taifa ni MUME WA SPEAKER. Unategemeaje wizi wa EWURA... kwa uendeshaji wa bunge hili la kutetea wizi.
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 4 месяца назад
Huyu hajawahi kuwa straight forward hata kdg
@josephmalangalila9744
@josephmalangalila9744 11 месяцев назад
Speaker is good
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 11 месяцев назад
Hawa mawaziri Nape,Mwigulu,January Makamba ni wapigaji tu
@markcosta2731
@markcosta2731 11 месяцев назад
Kwa nn mh spika anacheka?
@slimmtani8236
@slimmtani8236 11 месяцев назад
Nape mwizi tuu,siyo mzalendo
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 11 месяцев назад
Yan kam lizuzu yan
@hassankurwa464
@hassankurwa464 11 месяцев назад
Tena Nape ndio ana weza kuligawa hili Taifa. Total Mimi ni Ccm lkn huwa simpendi hasa lugha zake
@salumjoka6286
@salumjoka6286 11 месяцев назад
Nchi inakufa ndio
@feelNice-vi3lo
@feelNice-vi3lo 11 месяцев назад
Nyie ndio mnamuuza mh rais
@jamessilwamba2862
@jamessilwamba2862 11 месяцев назад
Chama chako?
@davidmziray2048
@davidmziray2048 11 месяцев назад
Kiingereza chenyewe kibovu
@YasiniMahomba-mx6ux
@YasiniMahomba-mx6ux 11 месяцев назад
Mijizi iyo ccm
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 11 месяцев назад
CCM. Must Goooooooo
@innocentshayo9341
@innocentshayo9341 11 месяцев назад
Riziwani mbona hachangii kitu😂
@mussamagunguli6937
@mussamagunguli6937 11 месяцев назад
Huyu Spika kweli in Bumunda yaani yeye yupo kulinda serikali
@EdwardSMsiro
@EdwardSMsiro 11 месяцев назад
Hongera sanaa Speaker, Mh. Tulia Ackson
@MaswiMachuche-yu3ue
@MaswiMachuche-yu3ue 11 месяцев назад
Safi sana speaker
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 11 месяцев назад
RAIS NDO ANAUMIZA TAIFA KWA KUTEUA MAJIZI NA KUTOCHUKUA HATUA .
@leonardmakwela5551
@leonardmakwela5551 11 месяцев назад
Aisee ! Spika tunaye, Dah!
@jayson.chanel.9870
@jayson.chanel.9870 11 месяцев назад
NAPE HAFAI
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 11 месяцев назад
Nape hufai umechangia sana kuuwa Taifa hili. Ndiyo maana hata JPM alikuweka pembeni.
@ruwaichijoseph5946
@ruwaichijoseph5946 11 месяцев назад
Hajitambui jizi kubwa
@godfreybitakama9845
@godfreybitakama9845 11 месяцев назад
Hongera sana mbunge annatropia pale ulipo
@ibba8082
@ibba8082 11 месяцев назад
Nape Kigugumizi 😂😂😂😂😂,Makonda Yuko njiani 😂😂
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 11 месяцев назад
NAPE NI JIZI MOJAWAPO ..HATUA ZA WALIOFANYA HIVYO.KAMA HATAKI HATUA ZICHUKULIWE
@evaemil856
@evaemil856 11 месяцев назад
Nape nape acha ushabiki
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 11 месяцев назад
Danielkanso hii speaker anajaribu kufunikafunika na umewapa Pole kw kufunikafuka,nikuvulia kofia boss,zetu dua kw wa Tanganyika, Tozo zinawahusu sana mtajijeijei,
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 11 месяцев назад
NAPE SI WALIUE TU.JIZI TU HATA KWENYE MAWASILIANO...SAMIAH SI UONDOE ZIGO HILO.
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 11 месяцев назад
Yan nape na mwigulu ni nyoka aliekaa ndan ya ndoo
@josephat66
@josephat66 11 месяцев назад
Yan uhondo mnatamaa mlinde mteja na simama habari kwnza sio matangazo yenu ujinga huo.. lina MB za mteja wk
@SaidiMohamedi-n2u
@SaidiMohamedi-n2u 11 месяцев назад
Spika nayo waziri
@KanutiJoseph
@KanutiJoseph 11 месяцев назад
MUNGU ANAANZA KUWAHUKUMU NAPE VS MAKAMBA BUNGENI.
@samuelayo-ol4ft
@samuelayo-ol4ft 11 месяцев назад
WABUNGE.WAFUKUZENI.WEZI.HUKO.BUNGENI.ILI.BUNGE.LIWE.SAFI
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 11 месяцев назад
Kitila mkumbo waziri na profesa wa mchongo. Jambazi kuu hilo jitu
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 5 месяцев назад
Nape unapenda kumuingiza rais pale watu wanangea vitu ambavyo vya Msingi
@francisrogears528
@francisrogears528 11 месяцев назад
bunge la ccm tatizo chama kimoja
@blanikamgaya-hh6ie
@blanikamgaya-hh6ie 11 месяцев назад
Sikuzote ukweli utabaki kuwa ukweli mawaziri muwenanahuruma na asirimali za watanzania
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 10 месяцев назад
Twende mbele turudi nyuma nchi inapigwa kwa Hali ya juu
@kingmzebez7786
@kingmzebez7786 11 месяцев назад
Kwa nn wezi wa selikali sv mna waita waheshimiwa vibaka jamani tuna waona na tuna wasubiri mnaonyweshwa wezi mna wa chekea poa ngoj....
@NixonGerson
@NixonGerson 11 месяцев назад
Wewe wa kuzomewa kabisa Nape ta kataka kabisa...
@LUKASKALEY-y7s
@LUKASKALEY-y7s 10 месяцев назад
Kigezo gani kinatumika kumteua waziri hawa mawaziri hawatufai kabisa
@dostovan5142
@dostovan5142 11 месяцев назад
Contradiction ya hii nchi mbunge ndo waziri huyo huyo,
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 11 месяцев назад
Ehee mungu angamiza kuanzia speaker na watetea wezi wote. Nape usisingizi Samiah na ukweli ni kwamba nchi imekufa.
@AmosMabula-q7i
@AmosMabula-q7i 11 месяцев назад
NAPE NA NG'WIGULU HAWA NI VIONGOZI WANAOTENDA KABLA YA KUFIKIRI
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 11 месяцев назад
Hivi huyu nape kwa nini anajitoa mshipa kuongezea mambo ambayo hayaingii akilini. Hapo hakuna chochote alichoongea ni ulaghai tu. Hata mtoto mdogo atagundua kwamba Nape hakuwa na hoja yoyote hapa. Ni wa kufukuza tu .
@usaskauswege8023
@usaskauswege8023 11 месяцев назад
Nape akiwa waziri anaruhusiwa kuvunja kanuni za bunge, mbona akiambiwa taarifa na hata spika akimkataza yeye hatii. Nimemuona hata Masauni naye hivyo hivyo.
@FikiriRojas
@FikiriRojas 11 месяцев назад
Mueshimiwa spika ongela kwakaziyaki kweli unaweza aupo kwabaatimbaya ujajuaww
@FikiriRojas
@FikiriRojas 11 месяцев назад
Kiukweli ww nispika wadunia unaweza naunawamudu nakupenda sana mueshimiwa unanikoshasana dada
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 11 месяцев назад
Hivi Riziwani Kikwete anafanyaga nini Bungeni..? Maana namuona anagonga Meza tu, lakini mbona kama kuna Makundi na u team..?
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 11 месяцев назад
Spear ur dealing with empty minded
@LUKASKALEY-y7s
@LUKASKALEY-y7s 10 месяцев назад
Hapo spika unakose acha kutetea hawa mawaziri wetu wanatua na sijui kama Tanzania itaendelea kama hamna watu
@jumamakamba2212
@jumamakamba2212 11 месяцев назад
Hongera tulia Kwa kusimamia ukweli
@PrissilaHussein-og3cg
@PrissilaHussein-og3cg 11 месяцев назад
Kwa halii hii Rais anamawaziri wengi wa hovyo sana
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 11 месяцев назад
Shida yy alipokufa maguful aliwatoa wale na akawarejesha haya majizi maana magu aliwatumbua kama munakumbuka
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 11 месяцев назад
Mamaaaaaaa nape hufai hufai hufai umedharirisha Taifa
@rogatianmtenga7265
@rogatianmtenga7265 11 месяцев назад
Kwenye bunge kuna chama kimoja tuu ukiacha huyo mmoja wa chadema. waliomwacha awe ndani
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 11 месяцев назад
Huo ndio mchezo unaoendelea: kuhusu utaratibu, taarifa,muongozo, kanuni, ili kupotezea hoja tu! Nani ni nani kati ya bunge,serikali,na CAG?! Waziri Nape Wabuge wa chama chako ni wengi utashinda tu kwa ndiyooo...
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 11 месяцев назад
Kuna mbwa zinashangilia sijui z8meongwa
@erickseif2874
@erickseif2874 11 месяцев назад
Nape anatetea kwa hofu ya kumwaga unga
@Ambwene
@Ambwene 11 месяцев назад
NAPE WA KUTUMBULIWA HANA MPANGO FISADI MKUBWA WA NCHI HUYOO
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 11 месяцев назад
hizo fedha kumbe zipo hahaha wanatoa siri sasa,alafu msimbazi kuko juu ya maji,mwsh Nape kubali tu hawataki ukweli
@kingmzebez7786
@kingmzebez7786 11 месяцев назад
Anae tetea wezi ni mwizi kitila na nape ndio wezi wa kubwa ndio mana wana tetea wambie spika
@chrismkama4889
@chrismkama4889 11 месяцев назад
Nape huoni aibu kushabikia figisu za mafisadi kuiba fedha za wavuja jasho kaka, unatetea mwenyewe harafu mia mbili wanakukataa
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 11 месяцев назад
Nape haufai hata kuwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi na spika wa bunge acha kutetea maovu
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 10 месяцев назад
Ndo utoe tulia uweke sugu😆😆
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 11 месяцев назад
Nape, jjiulize kwanini Siri zinavuja? Wapo watendaji hawapendi wizi mnaoiba ndio maana wanatupatia sio wanavujisha acheni wizi ninyi au nawewe nape nimmoja wapo wawapigaji mbona unatetea Sana wizi?
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 11 месяцев назад
Hakuna argument hapo
@RhodaKibona
@RhodaKibona 11 месяцев назад
Nape unamatatizo,
@saimonrodgers8262
@saimonrodgers8262 11 месяцев назад
Tazama.wezi walivyokaa pamoja ipo siku Mungu atawashuhurikia
@ballackmasungura6753
@ballackmasungura6753 11 месяцев назад
Mafisadi ndio wanampigia fisadi mwenzao makofi
@ELIMBINGILEMA
@ELIMBINGILEMA 11 месяцев назад
Si kijani tupu wizi una Toka wapi?????
@MgendaAssociatesLimited
@MgendaAssociatesLimited 5 месяцев назад
External Auditor (CAG) hutoa taarifa yake inayohusu uandaaji, uandishi wa taarifa bora kufuata viwango vya kimataifa. Suala la wizi, ubadhirifu, matumizi mabaya ya mali, rasilimaliwatu, rasilimali fedha nk ni jukumu le utawala yaani Mamlaka. Taarifa ya ukaguzi inaweza kuwa safi ilihali kuna ubadhirifu au wizi.
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 11 месяцев назад
Riziwani na Umi mwalimu mnapiga meza za nini hapo wakati nape anatete wizi
@DanielMbilinyi
@DanielMbilinyi 11 месяцев назад
Huyu nape anajiona sana kama mzalendo wakati ni jizi nalo
@projep7239
@projep7239 11 месяцев назад
iiiserikali yamama tunaanza kuierewa kama wabunge mmeamua kutenda aki
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 11 месяцев назад
Nape.makamba wote walitakiwa jela majizi nkonkodi
@leonardkigere
@leonardkigere 11 месяцев назад
hatimaye tulia kaamua kwa akili la kusema uongo mbunge hajatumwa aseme uongo
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 11 месяцев назад
Tulia Ackson Leo Umetu tendea haki Mawaziri Wame ungana Kutu Ibia na lazima Watete Wizi wao
@flavianmashimi6327
@flavianmashimi6327 11 месяцев назад
Miradi inaendeleaje wakati sgr haijalipa fidia watu mwezi wa sita sasa umefika
@azizakiswili9063
@azizakiswili9063 11 месяцев назад
Umaposema wabunge wa chama chako koo wao ndio wakubaliane na unafik wako😏😏
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 11 месяцев назад
Ndio ajaongea vzr bwana spika unamtete usimtetee bwana anasemaje kuwa hasa wa ccm hapo nikuwagawa
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 11 месяцев назад
You are broad minded woman (Dr. Tulia)
@charlesgasper-wo9hc
@charlesgasper-wo9hc 11 месяцев назад
waziri mzigomwenye kujitanutanua ja ajabu yuko kwenye wizara nyeti ambayo inalalamikiwa kuwaibiawateja wake kwenye mabando. yasimu.
Далее
Мечты, которые сбылись♥️
00:17
Просмотров 557 тыс.
Handsoms😍💕
00:15
Просмотров 2,6 млн