Тёмный

WADUDU MAARUFU NANE ARUSHA WABURUTWA MAHAKAMANI, WADAIWA KUCHEZA KAMARI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 72 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 274   
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 месяца назад
Hawa tuwachukulie kama waathirika wa madawa ya kulevya...wapelekwe sobber house au milembe...tutawaokoa watapona. Bangi haijawai mwacha mtu salama..maneno Bangi, mavazi Bangi, mwondoko Bangi....majina Bangi....tuwaombee sana. Serikali kamatwa wote peleka milembe...tutawaponya watoto wetu hawa
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 3 месяца назад
Sasa harmonize s angetembea kama ivo?!
@florencemseja530
@florencemseja530 3 месяца назад
Naishi arusha ila sipo proud kabisa na hii mambo nikizazi gani hiki cha baadae tunategemea niliona wakiwa wamekamatwa lakini nilijua nisawa tu
@MassangaMaulidi
@MassangaMaulidi 3 месяца назад
Hawatunawaona wako Sawa Lakin hichokizazi baada ya miaka 3 kutakuja tokea kizazi hatar sana kwakweli
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Yatazuka makundi Kila wilaya km haya ndio serikali ishutuke wapeleke mahali wapewe mashamba walime
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 3 месяца назад
Wazazi fungueni macho huu sio ujanja ni jambo baya sana linazaliwa hapo kama hatujui. Hizi sio sifa ni jambo la kuogopeka
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 3 месяца назад
Mungu tunaomba ulirehemu Taifa letu uzao wetu hata hizi lugha zinazotumika hapa jamani kweli hiki kizazi kinaenda wapi sasa
@bensonmongi996
@bensonmongi996 3 месяца назад
Wako sawa jeshi la polisi lazima lifuate sheria katika ukamataji, hayo ni maisha yao walio chagua na wanapata riziki. Nyie mnao sema wakalime watu wote hawazi kulima. Haki ya mtu ni ya mtu
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 месяца назад
ila ganja mnavuta Nahizo kamali mnacheza acheni uongo Yani police wawasingizie nyinyi ili wapate Nini
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 3 месяца назад
Hawa tunawachekea lakini ni kikundi cha hatari kuna siku tutavuna majuto. Mnakumbuka kile kikundi hatari kule Kenya "MUNGIKI" kilivyo fanya mambo ya ugaidi.
@willsonmsuya9261
@willsonmsuya9261 3 месяца назад
Hujui kitu kuhusu mongiki
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 3 месяца назад
​@@willsonmsuya9261tueleweshe wewe unaejua sasa
@rosemtwaki
@rosemtwaki 3 месяца назад
Mimi nawapendaa saanaa saanaa nyie mnaosema vbya je nyie niwasaf
@DeruDeru-p4t
@DeruDeru-p4t 3 месяца назад
Itabidi Makonda au serikali idhibiti mapema maana hawa wanaonekana mateja kabisa vuta bangi Makonda dhibiti hawa watu itareta hatali badae
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 3 месяца назад
Usitishwe na ongea yao watu wa arusha ndo wanavoongea
@ChristinaKisarika-ju8rt
@ChristinaKisarika-ju8rt 3 месяца назад
Mbona watu mnawasema sana,tjis people are really cool minding their own business,Am from Arusha this people are really good and peace Stop cursing them .its life they have ,let them live .
@Lilmbunah
@Lilmbunah 3 месяца назад
Haya ni magenge ya wa huni vijana wa hovyo kabisa kizazi hiki hakina feature yoyote nonsense
@AloyseMafuru-z6b
@AloyseMafuru-z6b 3 месяца назад
Big up Santa dada umesema point
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 3 месяца назад
Angalieni kwa makini haya makundi ya ajabu ajabu😊
@mariasafari1004
@mariasafari1004 3 месяца назад
😢😢Yaani wote bangi sijui kwann arusha jamn😢😢
@WaziriKibado
@WaziriKibado 11 дней назад
Nakubali kwa sababu wadudu wa chuga ni wastaarabu sana pia hawana baya wako peace sana mbn🎉🎉🎉🎉
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 месяца назад
Ukiangalia sura zao tu utawajua kama watu hatari wachunguzeni vizur
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Bange nyingi
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 3 месяца назад
Jamani hawa watoto mmh m mungu awaondoshee huo mitihani wallah hawajielewi kama wendawazimu mungu awatuwe huo mzigo mlioubebe😭😭
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 3 месяца назад
Kweli kabisa ni masikitiko😮
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 3 месяца назад
usemaji waotu,wanaonyesha kuwa ni wala madawa ya kulevya😮mimi ni laiya 🇲🇿
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 3 месяца назад
Hawa watoto wanasha inaleta aiba acheni makundi 😢mbona vichwa vyao kama vinafanana utafikiri wazalwa mama mmoja😢 watanyishwe wakafanye kazi
@WaziriOmari-f3h
@WaziriOmari-f3h 3 месяца назад
Huyu chalii alievaa kofia nyeus ameongea point sana tunampenda anaetupenda ila hawa machalii hawana shida bana wazoee tu uhalisia wao
@laizakimalokileli8560
@laizakimalokileli8560 3 месяца назад
Yaani binadamu mwenye akili unaenda kujiita mdudu 😱
@EstherKayanda
@EstherKayanda 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@OmaryZuberi-o3b
@OmaryZuberi-o3b 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@georgekimario228
@georgekimario228 3 месяца назад
Bangi So sifa
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 3 месяца назад
Hiyo lafudhi ni hatari sn, ila Hawa jamaa wanakula mmea, wanapiga gambe Kali , Kuna mdudu anaitwa smoker
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 3 месяца назад
Uku mpaka mtu mzima anaongea ivyo tu...
@muzneali4747
@muzneali4747 3 месяца назад
Mbona HAWA kama walevi JAMANI au macho yangu
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 3 месяца назад
Sio walevi tu machiz kbs
@DeruDeru-p4t
@DeruDeru-p4t 3 месяца назад
Sio wewe tu hata mm naona bangi tupu hapo
@faithstephen3690
@faithstephen3690 3 месяца назад
Hawa bangi nyingi
@ataamansi8941
@ataamansi8941 3 месяца назад
Kweli kabisa wataharibu vizazi vijavyo wakifumbiwa macho, hawa wavuta ugoro bangi,wawekwe gerezani walime bustani, wakitoka huko watakuwa wamepata ujuzi, wezi hawa hawana maadili kabisa hata heshma hamna, Mie sipendi ujinga ,kunguni hawa
@hawaa341
@hawaa341 3 месяца назад
Hicho Kiswahili tu kama sio watanzani
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 3 месяца назад
Hawa ni wasanii kama wasanii wengine sema na ongea yao ndo lafudhi ya kiarusha
@rahema1992
@rahema1992 3 месяца назад
Yan tunapata tabu sana huku mikoani kwa ajili ya hii lafudhi kama mm najitahidi kubadilisha lkn cwez hata kidogo mana nimezaliwa Arusha nimekulia Arusha
@bakarikisuda4948
@bakarikisuda4948 3 месяца назад
Bangi avute konde wakivuta wadudu bangimbaya,,, mijitumingine,bahna!
@sbkide8624
@sbkide8624 2 месяца назад
Hadi mwenye komwe ana machuri kinyama
@BilhaLaizer
@BilhaLaizer 3 месяца назад
Mungu awasaidie vijana hawa wapo vizuri sana na hatujawahi kusikia wamegombana na mtu yeyote au kuchukua cha mtu,hawa wadudu wasiozuri ni hakika hawana baya lolote,hivyo kupitia kilio chao cha kudhalilishwa tunaomba mahakama itoe hukumu kwa haki,mimi ni jirani yao na nikiongozi Moivo nasema tena wadudu hawana baya,pia naomba nijue ni mahakama gani ili tuende SK ya trh 3
@edsonipaulo
@edsonipaulo 3 месяца назад
MUONEKANO WA NNJE UNAWEZA KUKUFANYA UWE MTUMWA ningumu kuwaelewa lazma waumie😢
@EwaldAntony
@EwaldAntony 3 месяца назад
Machaliii wame onewa
@zitongwang6278
@zitongwang6278 3 месяца назад
Wanavoongea Tu na hayo majina wanayojipa mara vandisel , mara nin huu NI uhuni utupu afu NI machalii Tu , they need to change for real
@Allybinamour
@Allybinamour 3 месяца назад
Naheshimu hili jina la ayo tv ila wapuuzi hawa hawafai hata kuwaskiliza
@eddechriss2664
@eddechriss2664 3 месяца назад
😂😂😂 Ayo kula 5 yani umewatembezea Mike wote ili tu mtuvunje mbavu
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 3 месяца назад
mnatengeneza utawala ambao baadae watawaendwsha nyie sio kuwaendesha watuu wanafanya vituu vyaa ajabu mnawasapoti wakienda kuzika wanateka bara bara kama vile serekali hamnaa wanapiga makelele watuu wanashangaa wanvunja sheria wanabebana watatu watatu yani shida sana
@hanifa9153
@hanifa9153 3 месяца назад
Vijana wa hovyo sana mungu atusaidie vizazi vyetu😢😢
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 месяца назад
Ni kweli itafika point watashindwa kuwacontrol kumbuka Kuna watoto wataiga ni hatari sana hatuwezi usapoti uhuni ,
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 месяца назад
Kuna katrend kakuanza kubariki uhuni ndo Yale wanakamatwa machangudoa wanatoka watu kuwatetea kunakautrend ka ujinga flani hivi
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale 3 месяца назад
Haiwezi tokea😂😂​@@FahadAbubakari
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 3 месяца назад
Dakika za mwisho wametoa kibwagizo jinsi walivyo gala gazwa😂😂
@DeruDeru-p4t
@DeruDeru-p4t 3 месяца назад
Kumbe umeona nimecheka jaman dunia inamambo hii hatali
@beatricekatunzi3721
@beatricekatunzi3721 3 месяца назад
Igizo igizoni..Mchezo mchezoni..Kumbe Wana na Manager wao😂😂😂😂..ILa Arachuga jamani Nimecheka sana aisee
@ukweli255
@ukweli255 3 месяца назад
wadudu wanatukanwa na kukashifiwa sana na watu wa DAR...wakati Dar ndio kuna makundi mengi ya ovyoooo Mungu awalinde vijana,hata Wabunge wetu wamekaaaa Kiduduuu
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 3 месяца назад
😂😂😂
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Sasa Hawa wanatoa ujumbe gani kwa vijana mbona maadili amna
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 3 месяца назад
Kwan wametembea uchi au ni iyo lugha
@jumarajab5316
@jumarajab5316 3 месяца назад
bangi tupu hao peleka jela
@EmanuelAllan
@EmanuelAllan 3 месяца назад
Watoto wanavuta sana Bangii hao
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 месяца назад
Nendeni ivyo ivyo mahakamani na maneno yenu ya kihuni muone kama mtatoka 😂😂
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 месяца назад
Kujiita wadudu ni sifa,au ni ujinga.
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 3 месяца назад
😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 месяца назад
NI UJINGA MKUBWA
@Mzalendo14
@Mzalendo14 3 месяца назад
WATOTO WA MAMA SAMIA 😂😂😂😂😂 WANA MACHULE NKINYAMA BABLAH😂😂😂😂😂
@gilbertasenga9352
@gilbertasenga9352 3 месяца назад
MACHULE ni MACHUNGU(Maumivu+Hasira) 😂😂 Kwa ambao hamjui
@nasriprogrammingsite7026
@nasriprogrammingsite7026 3 месяца назад
Machule ni bahati huyo ni muhuni mpya
@AloyseMafuru-z6b
@AloyseMafuru-z6b 3 месяца назад
SAWA Asante Kwa sisi wakurya wa mara
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 3 месяца назад
Unaweza kuta police waliwamaindi2 cjui maana mimi pia police siwaaminigi kabisaa.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 3 месяца назад
Badiliikeni acheni bangi na mirungi hata kuongea tu inaonyesha mna matatizo makubwa
@DerickSiara-dy7xo
@DerickSiara-dy7xo 3 месяца назад
Mijitu mizima mnajiita wadudu😵
@brucardkomba616
@brucardkomba616 3 месяца назад
Hawa ni marafiki wa RC AU sio
@DotoOmary-i9q
@DotoOmary-i9q 2 месяца назад
Wapenii ajiraa hao vijana mtaanii kugumu jamniii 😢😢
@JosephM.meiliari
@JosephM.meiliari 3 месяца назад
Bado naona vyombo vya habari havijapata kazi ya kufanya.nini hiyo sasa mmeenda kurekodi kurusha mtandaoni
@RosemaryShilla-dr6kp
@RosemaryShilla-dr6kp 2 месяца назад
Akuna bange jamani niajira yao wamejitengenezea. Kwaiyo mnataka wavunje miji yawatu? Ebu waacheni wadudu
@WaziriOmari-f3h
@WaziriOmari-f3h 3 месяца назад
Mpaka mahali walikoficha ligari lao nimecheka 😂😂
@TheChapakazi
@TheChapakazi 3 месяца назад
Huyu mwenye kofia nyeusi namfahamu nilimwacha shule alikuwa mpole sana ,akitoka unamwona n direct home aongeagi na watu ,sa hizi ndio uyu
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 3 месяца назад
Wadudu mbwa nyie 😂 mnatishwaje na wanadam😅
@machakuroger7068
@machakuroger7068 3 месяца назад
Hivi hawa wadudu wa Arusha sio sawa na watoto wa ibarisi wa Tanga au Panyaroad wa dar, wanaweka kuwapa sio wazuri usiku kafanya uhalifu
@OmaryZuberi-o3b
@OmaryZuberi-o3b 3 месяца назад
Bangi ukiitumia lazima uibe yaani inakutum ujaribu jaribu vitu
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 3 месяца назад
Haaaaaaaa ety iyo winter...alafu malaika alikuwa mmeru
@simonmelita-sy2cl
@simonmelita-sy2cl 2 месяца назад
Poleni dana wadudu waungu
@bongo39
@bongo39 3 месяца назад
Makonda hao wadudu unawapa uhuru mkubwa wa kufanya watakacho tumeona ktk boda walivyopewa uhuru sasa hawakamatiki wala hawaambiliki wamekua kundi ambalo kila kukicha wanatia vilema watanzania na wauwaji wakubwa wa wananchi na wamekuwa wahalifu wakubwa uelewe kuwa unatengeneza bomu kwa wananchi na mkuu mwengine atakae kuja hapo arusha utakapo chaguliwa kiti au mkoa mwengine ni ushauri
@samwa9496
@samwa9496 3 месяца назад
HIYO RAFUDHI NA UONGEAJI NDIO LUGHA YA ARUSHA SIO HAO HATA AMBAO HAWAVUTI NDIO LUGHA ZAO
@remytory8001
@remytory8001 3 месяца назад
Na nyie nao mmezidi kuwapa airtime sana hawa wapuuzi
@laizakimalokileli8560
@laizakimalokileli8560 3 месяца назад
Hata sura zao wenyewe wamekaa kama vibaka watanzania ni wakati sasa kuelimike tujue namna ya kufanya kazi masuala ya kuzurura mitaani sio fresh ata kidogo kila mtu afanye kazi
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 3 месяца назад
Kivipi
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 3 месяца назад
Mmepapaswa tu nyie,bado hamjasema mamae
@juniorsonofgod5675
@juniorsonofgod5675 3 месяца назад
Sema watu wachuga mi nawakubali sana wallah😂😂😂. Wanaongea slow motion hadi raha😂😂
@RoseKimath
@RoseKimath 3 месяца назад
Hawa wamezidi sasa tatizo wanalewa sifaa dawa yako wafungwe ata mwaka mmoja kila siku wawe wanachapwa bakora kumi kumi asubui mchana na jioni tuoke kama hawatabadilikaa mapuuzi haooo
@charlesgafau778
@charlesgafau778 3 месяца назад
Kwa kosa gani
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 3 месяца назад
Hivi hawa viumbe ndo waliokaa na Rc na kula nao kiapo na kuwapa nafasi ya kuwa sehemu ya walinzi wa jiji la Arusha. Aah mbona nahisi kizunguzungu jamani nchi yangu.
@BakariMakame-j5f
@BakariMakame-j5f 3 месяца назад
Huku Zanzibar bangi kawaida izo lugha ndo tatizo kifaransa itali kiarabu kama hao hawaeleweki
@jacksonmacha.8613
@jacksonmacha.8613 3 месяца назад
Ilaaa we jamaaa...
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 3 месяца назад
Huu ni uduazi hamna Cha kipaji hapo
@Mindadykk-f9r
@Mindadykk-f9r 2 месяца назад
Pole wadudu
@jamaljumanne2000
@jamaljumanne2000 3 месяца назад
Hahaaaaaa mm nawakubali sana
@geofreyj.1986
@geofreyj.1986 3 месяца назад
Hivi hizi n habari??
@JosephM.meiliari
@JosephM.meiliari 3 месяца назад
Hii milard ayo imeacha mambo ya msingi Sasa imehamia kutuletea habari za kipuuzi
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 3 месяца назад
Hawa hatari hiki kizazi mkikiacha hatari
@PatrinusSanga
@PatrinusSanga 3 месяца назад
Kweli kizazi hiki ni hatari
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 3 месяца назад
Upuuzi huu utaisha kweli?
@RosemaryShilla-dr6kp
@RosemaryShilla-dr6kp 2 месяца назад
Yani kweli nyie hamjui kula na vipofu mheshimiwa Makonda ndio jembe anaeweza kuishi ata na vichaa. Ivi hamjui mkiwatumia vizuri hao mtajua mengi yavichochoroni msioyajua leo mnawanyanyasa.
@omarybacary3303
@omarybacary3303 3 месяца назад
Afu mwandishi ukikosa habari ya kuripoti tulia tumeshawachoka hao wavuta bangi
@ataamansi8941
@ataamansi8941 3 месяца назад
Mwandishi koma acha kabisa kutuletea upuuzi, mambo ni mengi yamaendeleo leta hayo, achana na hizo kunguni bangi ugoro
@EliaElibariki-pu9lu
@EliaElibariki-pu9lu 3 месяца назад
Wanakula sana bangi sanaaaa kula haaaaaa
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 3 месяца назад
Kwanini msibadilishe muonekano nauomgeaji kama vibaka wakutshia amani
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 3 месяца назад
Haya si mambo ya kuwashangilia , tunatengeneza kizazi gani
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 3 месяца назад
Wewe kiswahili hicho mahakamani watakunyoosha.
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 3 месяца назад
Wewe wanaigiza upuuzi tu mahakamani wanaongea kiswahili fasaha
@emanuelwakawenga4023
@emanuelwakawenga4023 3 месяца назад
Malaika alikuwa mmeru kaachia baridi 😂😂😂😂
@janemushi850
@janemushi850 3 месяца назад
Ee Mungu jmn vizazi vyetu hivi serikali msilifumbue macho hili ndo baadae linakuwa kundi kubwa
@sammychansa1797
@sammychansa1797 3 месяца назад
Hapo hamna mwizi ata moja km hujawahi kaa arusha huwez elewa
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 3 месяца назад
Mnatisha😢
@robertphilip385
@robertphilip385 3 месяца назад
Kamata hawa niwezi tu hawajamaa
@stanleygeorge-lg8et
@stanleygeorge-lg8et 3 месяца назад
Ata mimi enyewe nina machule kintama
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 3 месяца назад
Kenya inasumbuliwa na vijana kama hawa maana hata hawa wanaiga kutoka huko.
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 3 месяца назад
Wazazi amkeni! Kizazi kinaangamia hiki! Na nahisi hawa wapuuzi wakija kushika Nchi Kamusi zitabadilishwa.. Eti Machule,,,!!
@wisemaliva5376
@wisemaliva5376 3 месяца назад
Mshojiano ya Nini Kila wakati mnawapa jeuri wanafanya makosa kwa kujiamini Kama wamekutwa wanatenda kosa kwa Nini wasiadhibiwe. Au basi
@immaknight4414
@immaknight4414 3 месяца назад
WADUDU FULL OF COMEDY ATA WAWE SIRIAC😅😅😅😅😅😅
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas 3 месяца назад
Wanaipenda serikali ya mama
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 3 месяца назад
Pastor goralian hawaaapa
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 3 месяца назад
Naomba ni fikishie salamu kwa pastor golani
@simasima8084
@simasima8084 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@SuzanaMonary-fn6fm
@SuzanaMonary-fn6fm 3 месяца назад
Bado hamjasema mpaka msene
@eddechriss2664
@eddechriss2664 3 месяца назад
😂😂😂 Yani unahitaji sayansi ya darasa la IV tu kutambua kuwa wadudu ni wadudu kweli
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 3 месяца назад
Serekali iko wp? Isifanye mzaha na hich kinachojiita wadudu iangalie mbele maana baadae majuto
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j 3 месяца назад
Wadudu jsmani yaani hvi kweli tunafugs watu kama hawa hawaeleweki wakalime mashamba
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 3 месяца назад
Wana lugha yao kwani huko Arusha 😊
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 3 месяца назад
Yaaaani ni mpaka wanafunzi wanaongea ivyo wakuja ndio wamenyooka
@abdullahwaziri5499
@abdullahwaziri5499 3 месяца назад
​@@yasintajoseph7495si sisi ni wazawa wa Arusha nimesoma meru primary secondary Bondeni na home kaloleni hakuna lafudhi ya aina hiyo hawa sijui wanatoa wapi hayo mamisemo wanatakiwa wabadilike
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 месяца назад
Hiki ni kiswahili cha nchi gani ?
@faithstephen3690
@faithstephen3690 3 месяца назад
Wanajarinu kuiga makundi haramu ya Kenya
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 месяца назад
@@faithstephen3690 duh yaani nimeshangaa, jjnsi wanavyoongea kama walevi, hata hawaeleweki hicho kiswahili mhh kweli dunia hii, watoto wetu wanaelekea wapi, mambo ya kuiga.
@samwa9496
@samwa9496 3 месяца назад
​@kizazi hapo hawana tena hata umpe mke hawezi kitu maana mwili upo baridi kwa kula madawafaithstephen3690
@francisgituti2494
@francisgituti2494 3 месяца назад
Mwandishi jaribu kuangalia mtu wa kumhoji make hata huyo dogo yupo ndwiii anachokuongea hakieleweki
@jameschaulema8222
@jameschaulema8222 3 месяца назад
Somba wote wakufilie jela hamna kazi hapo zaidi ya kuhalibu vijana wengine😂
@bensonmotesha3416
@bensonmotesha3416 3 месяца назад
Oya Kama hupendi wadudu unaona Ni bangi ..pita na Mia dingii ..ujalazimishwa kuwapenda Babu ...tunao ishi nao Ni moko
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 месяца назад
NA WEWE NI MDUDU USILAZIMISHE KUPENDWA.
@peterlove4g869
@peterlove4g869 3 месяца назад
Hua nasikia watu wanasema waha ndo watu pekee wasiejua kiswahili jee hawa chuga hiki ni kilugha gani?
Далее
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56