Тёмный

WAONGOZA UTALII WATOA TAMKO ARUSHA, WATISHIA KUGOMA WAZIRI ATOA SAA MBILI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@jamesmsalilwa8733
@jamesmsalilwa8733 3 месяца назад
Hoja zenu ni za msingi, na hongera wote mlioongea hapo, asilimia 💯 ni ukweli.Nashanga walioko Serikalini siku zote wanashindwaje kuwaelewa!
@noelbryson7840
@noelbryson7840 3 месяца назад
KILA SIKU MAMBO YANAZIDI KUHARIBIKA.. YANI TUNAHARIBU NCHI YETU KWA MIKONO YETU WENYEWE.. HII NI AIBU SANA 😭😭..
@ThomasMakarius-x9n
@ThomasMakarius-x9n 3 месяца назад
Mimi binafsi waziri wa fedha na w/mipango waangaliwe vizuri nahisi hawapo sawa na Mh.Rais awaondowe ,Kisha aweke wengine pia Kilimo hakuna kitu Kila kukicha wanalalamikiwa wao tu kwani wananini?--Huu ni ushauri wangu na Sina kinyongo nao.
@sk-wj9or
@sk-wj9or 3 месяца назад
Mama amempa Rungu @Mwigulu @SAMIA @MWIGULU ATAKUINGIZA KTK SHIDA KUBWA MNOO UTAJUTA CHUNGULIA WAKATI AROUND YOU. TIMING 💥
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 3 месяца назад
Kuna namna huyo jamaa kwenye 4:41 ameambiwa Wewewe huwezi zungumza bhana 😂😂😂😂😂😂😂,
@mariamlugendo819
@mariamlugendo819 3 месяца назад
4:41 mbona huyo jamaa amezuiliwa namna hiyo 😂
@MasterRegan
@MasterRegan 3 месяца назад
Angechafuwa hali ya hewa huyo 😂😂😂
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 3 месяца назад
Mheshimiwa Rais naomba umpe huyu dadaangu fransisca masika kazi kwenye serikali yako ana IQ kubwa anaongea kama waziri au mbunge
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 3 месяца назад
Madam fransisca masika dah nakumbuka ulivyokua redio tripleA arusha redio ya papa king big up xn nimefurahi xn kukuona wewe ni kichwa unaongea kisomi kama spika tulia akson 🎉🎉🎉🎉
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 3 месяца назад
Huyu dada anajiamini.anafaa sana.
@kikalarashid9003
@kikalarashid9003 3 месяца назад
Safi sana!!
@MasterRegan
@MasterRegan 3 месяца назад
Hivi kwanini rahisi Samia hambadirishi wazili wa fedha shida ni nini mbona hatumuelewi wazi wa fedha
@ombenipenieli1432
@ombenipenieli1432 3 месяца назад
Mko sawa viongozi wetu kwa kweli wahusika waliohusika ni vyema wachukuliwe hatua maana wamefanya hivyo kwa makusudi ili hali wanajua mwongozo wa bank kuu
@kennedyjohn8900
@kennedyjohn8900 3 месяца назад
Hii serikali inawapa watu kazi nitofauti sana naile yamakufuli kwahiyo ukizubaa inakula kwako maana huko serikalini hakuna anayekujali
@saidkisukari56
@saidkisukari56 3 месяца назад
Itoshe kusema serikali yetu ndo inaturudisha nyuma kwa kila namna
@wilfredywilhelm1426
@wilfredywilhelm1426 3 месяца назад
Sasa hii nchi ni wapi hawa viongozi wetu wanapabtia? Yaani kila sekta malalmiko tuu... kwani ninyi viongozi hamjipangi kabla hamjafanya maamuzi mkakaa na hao wadau mkaelewana?
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 3 месяца назад
Mpaka lini mpaka lini jamani mivutano hii inakoma mbona ni swala dogo tu serikali kufanya maamuzi sahihi mara mmoja tu watu wakafanya kazi zao kwa utulivu serikali inapungukiwa na nini wakisikiliza kero na wakatoa mamuzi yanayotakiwa dah inachosha na kuumiza sana sana watu wateseke kutafuta wageni nje kwa gharama zao wanunue magari kwa gharama zao tena kwa kukopa wenyewe bado kuletewa shida kila kukicha
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 3 месяца назад
Tunaharibu Nchi yetu
@SilvanaKananda
@SilvanaKananda 3 месяца назад
Mzungu kashtuka😅😅😅
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 3 месяца назад
SHIDA HATA NINYI PIA MKIZIPATA HIZO DOLA MNAPENDA KUUZA BEI KUBWA MNO,HUKU MNAJIFANYA KUTAKA KUPEWA KIDOGO. TUACHE USANII ILI PESA YETU IPANDE THAMANI. KUNA TATIZO KTK TAASISI ZA SERIKALI NYINGI ZINAJIENDESHA KIBABE NA KUTAMANI KUWAIBIA WAWEKEZAJI,NA WABADILIKE.
@domisianlaurian2687
@domisianlaurian2687 3 месяца назад
Dahh. Mmeguswa kidogo tu.. kelele kibao. Malalamiko kibao. Vipi mnavyowabana ma tour guide wenu????. Mnavolalamika pia jaribuni kuangalia Hao wapambanaji ambao Ni mabalizi WA kujitolea hapa nchini kwetu. Mikitu mna miroho mibaya.
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 3 месяца назад
Andamaneni Ma'Gen z nyie
@crousermollel6303
@crousermollel6303 3 месяца назад
Niwapongeze wote
@josephelias1528
@josephelias1528 3 месяца назад
😢
@HaulSidney
@HaulSidney 3 месяца назад
Gomeni tu,huu uongozi wa sasa ni ufisadi tu,kodi to much, RIP JPM
@sk-wj9or
@sk-wj9or 3 месяца назад
TUMEISHA MSHAURI RAISI SAMIA KWANINI HAMBADILISHI WAZIRISTAN WA FEDHA?? KWANINI KATI YAO?? TUTAJUA TU
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад
Kwenye kutishia kugoma sasa hapo mnakosa busara kabisa, mnahudumia wageni wetu watokao nje ya nchi ulaya america Urabuni tabia za kienyeji enyeji mzitoe kabisa vichwani mwenu yaani ni aibu hata kutanka hilo neno eti tulitaka kupaki magari mbugani? Au mmechoka pesa? Kama kuna miaka mmefaidika na utalii ni miaka hii ambayo majirani zetu Kenya vurugu zinatisha wageni na watalii wote wanasema tunaenda Tanzania kuna uhakika sasa msijichanganye na kulewa sifa na pesa, mtaharibu sasa hivi, mkumbuke mwisho wa yote mtajikomoa wenyewe watalii wakiacha kuja nani anapata hasara? Mtumie busara kubwa kwenye maamuzi yenu hasa kioindi hiki cha neema kilichowadondokea
@OlaisMoses
@OlaisMoses 3 месяца назад
Kwa iyo wafanye kazii hasara Mnakimbilia tu kukoment kitu ambacho hukifanyiii aujui inaendajeee unacoment tuu
@johnmbise8996
@johnmbise8996 3 месяца назад
Unaonaje na ww ukafanye iyo kaz
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 месяца назад
Kafanye hiyo kazi na wewe
@SilvanaKananda
@SilvanaKananda 3 месяца назад
Mzungu kashtuka😅😅
@akbarkisamo8392
@akbarkisamo8392 3 месяца назад
😢
Далее