Тёмный

WATOTO 7 WALIA MBELE YA JENEZA WAKIMUAGA BABA YAO ALIYEUAWA NA MAMA YAO MOSHI. 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 98 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

31 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 361   
@dynachriss5126
@dynachriss5126 Месяц назад
Mungu aendelee kutupa uvumilivu tu kwa kweli kama ingekuwa kila mume au mwanaume anayetuchiti stahili yake ni kuuwawa basi wanaume wangebaki wachache sana na wanawake weng tungekuwa jela na watoto wengi wangeendelea kuwa machokoraa ila kwa hekima na uvumilivu anaozidi kutujalia mungu sisi tunadunda kwa kulea vyema watoto wetu na wanaume wakiendelea kuambulia magonjwa na mwisho umauti usio na nuru machoni pa mungu✍️asee mungu endelea kunijaza hekima na uvumilivu katika maisha haya yanayoumiza ni mengi ila isinifanye nikachukua hatua aliyochukua. Mwanamke mwenzetu📌
@rosebigupandallthebestmosi5135
@rosebigupandallthebestmosi5135 Месяц назад
😢😢😢😳😳😳
@Ericzdeking24
@Ericzdeking24 Месяц назад
Uwiiiii watoto bado wadogo.Shetani ashindwe na alaaniwe.Jamani tumtafute Mungu ndio njia pekee ya kumshinda shetani.Hii kali jamani
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Месяц назад
Omba yasikukute jmn.Sipatii picha jinsi familiya yamwanamke aliefanya tukio wnaumia kiasi Gani.Mama yke nahyu muuaji anaumiaje jmn.Kweli shetani alaaniwe sana.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Месяц назад
Wana wakati mgumu. Alafu watoto baba kauwawa mama anafungwa maisha au miaka 30
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding Месяц назад
Kam walishirik maan unaonekan haufikilii zaid
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Месяц назад
@@itanzaniaAS hilo ndo tatizo linapoanza
@arafamohamed2819
@arafamohamed2819 28 дней назад
Mungu awape amani
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Месяц назад
Poleni Sana watoto wazuri Mungu awape nguvu na subira
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Месяц назад
Unafiki hautaisha dunia hii. Huo wasifu siyo wa kwake. Anaheshimu watu gani kama kashindwa kuheshimu mke na watoto wake? Eti mcha Mungu! Uzinzi ni ucha Mungu? Acheni kutupotosha
@LydiaIsangi
@LydiaIsangi Месяц назад
Alikuwa mkewe,shida yenu ni kufuata wazungu,
@juditholotu7249
@juditholotu7249 Месяц назад
Si ndo hapo Sasa unafki mtupu
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Месяц назад
Mkewe kwa imani ipi, yeye ni mkristo tena mroma kanisa la kiroma hata padre haruhusiwi tu kuoa wala watawa hawaruhusiwi kuolewa ila waumini ukioa au kuolewa haitambuliki ndo myengine, shida ni vile tunaficha maovu ya wanaotangulia mbele za haki au wanaotangulizwa kabla ya mipango ya Mungu, tunapaswa tu kusema ukweli sababu ya marehemu kufa ni alichomwa na kisu na mke wake kwa wivu wa mapenzi hivyo nasi tujifunze kuwa waaminifu kwenye ndoa zetu kuepuka haya yasitokee watu wangekuwa waoga na vifo kama hivi vitapungua sana, hata mtu akifa kwa HIV iwekwe wazi tu kusaidia wengine kuwa wacha Mungu na kuepuka ngono zembe, mtu amekufa kwa ugonjwa wa moyo figo au kisukari zisemwe sababu za kifo chake kuwa chanzo ni unywaji wa pombe na kutofuata ushauri wa kitabibu ​hii itasaidia kuzingatia afya na kupunguza vileo usasa na kufanya mazoezi kuzingatia afya.@@LydiaIsangi
@user-tk5yy6vj3b
@user-tk5yy6vj3b Месяц назад
Me nashangaa hii dunia ipoje
@shoseminja7107
@shoseminja7107 16 дней назад
Usihuku
@user-nq3lf7hs4q
@user-nq3lf7hs4q Месяц назад
Wanawake tuwe werevu kama nyoka siku zote tukishazaa tuangalie watoto wetu na tuwache kuangalia hawa wanaume jmn ona sasa mama huyu ameacha watoto wake wazuri na dhambi za huyu baba alizokua anafanya za kuzini anazibeba huyu mwanamke zote jmn inauma binafsi nimejifunza mengi kwenye jambo hili
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding Месяц назад
Kuma la mama ako unatombw akili mkundu ww
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
Kila mtu atabeba dhambi zake...
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Месяц назад
Pole sana juma raibu kwa kumpoteza rafiki. Poleni sana, nimeumia sana. Jamani mkishindwana ni bora muachane kwa amani kuliko kutoana uhai Mungu hapendi
@RusiTembo
@RusiTembo Месяц назад
Mnaachana vp akati inatakiwa kifo ndy kiwatenganishe 😭😭
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Месяц назад
@@RusiTembo 🥺🥺🥺🥺
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Месяц назад
Tumsamehe huyu mama jamani hakujua kama ataua
@praygodlivingstone
@praygodlivingstone Месяц назад
Inauma sana ila yote tuzidi omba Mungu. @milardayo asante sana kwa taarifa iliyotengeneza mizania ya habari
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 Месяц назад
Kimsingi Kukaa Kwenye Dhehebu Au Kanisani Lakini Huna Chapa Ya Kristo Ni Kujilisha Upepo...YESU ANAOKOA WAPENDWA
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
Unauhakika hukuona msalaba Kwa hii kanisa katoliki??? Wewe unaona kweli!!!!
@neemamwakasape1630
@neemamwakasape1630 Месяц назад
Sahihi kabisa, wokovu binafsi na mahusihano yako Mungu binafsi. Ni muhimu zaidi kuliko kanisa au dhehebu
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 Месяц назад
​@@BarbaraPatience-qt9ccsicho alichomaanisha ndugu kuwepo msalaba kanisani sio ndio kua na YESU moyoni
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb Месяц назад
Msalaba siyo ishara ya kua watu wanaosali hapo wameamua kumpokea Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wao.​@BarbaraPatience-qt9cc
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Месяц назад
@@BarbaraPatience-qt9cc catholic sio sehemu salama katika wokovu kamili wa Yesu Kristo ,naomba nisishambuliwe nimeongea kutoka moyoni
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Месяц назад
Mashaaalah vitoto vzuri, ya rabbi sitri watoto
@christinakomba689
@christinakomba689 Месяц назад
Kama mmetofautiana bora mwachane kuliko kutoa uhai wa mwenzio hata kama angezaa na watu kumi siwezi kuuwa 😢😢😢
@user-zx5wu5ql7h
@user-zx5wu5ql7h Месяц назад
Anae ua siyo wewe nihasila zako Kaa kimyaa yakukute kwanza ndo tutajua
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Месяц назад
@@user-zx5wu5ql7h wew inaonekakana una roho lauuji kama huyu alieua, umekazania et yasikukute kwani huku umejuaje maisha yetu ? Yametukuta Sana Tena Sana, asilimia chache ya wanawake ambao hawajakutwa na haya mambo ya mchepuko, qq😥😥😥mtu unatendwa mpaka unajiuliza hivi nimekosea Nini mpaka iwe hivi lakini hata siku moja huwezi kuwaza kuua hata kidogo.. eti hayajakukuta! Kuna mwanamke ambaye sio muhanga wa kuoneshewa michepuko??
@GraceRoman-xw7xm
@GraceRoman-xw7xm Месяц назад
Nyieee hizo n hasira n shetani anapitia hapo hapo unazani hata yy huyo mwanamke baada ya hapo nahic amejutia na hakutegemea
@christinakomba689
@christinakomba689 Месяц назад
@@user-zx5wu5ql7h yashanikuta dada niliondokaaa,kuepusha hayo,sasa unazani kaweza kufanya hivi?kauwa mume,yy yuko jela watoto wanabaki na nani?
@ambrosiajengo4153
@ambrosiajengo4153 Месяц назад
​@@GraceRoman-xw7xmi
@MonicaSimon-wr2qj
@MonicaSimon-wr2qj Месяц назад
Jamani tuache kupotoshana eti anamcha Mungu jamani
@BossmumGesase
@BossmumGesase Месяц назад
Uwiii nawaza hao watoto tu mama alikosa hekima angalia hao watoto 7uwiii Yesu awatetee
@verombwambo3703
@verombwambo3703 Месяц назад
Dah watoto wadogo sijui wamezoea kuwaona wazazi muda wote Sasa wanaanza maisha ya uyatima 😢😢😢😢😢 uwiiiiiiii Mungu tujalie subra yarab na nyie makahaba mnaongilia nyumba za wanandoa na kujisahau ndio mjifunze hapa hii dhambi haiwaacha salama
@jasmineeomary2041
@jasmineeomary2041 Месяц назад
Kwani huyo alikua kahaba au mke unamwitaje mwanamke mwenzio kahaba wakati katongozwa kama ww ulivyotongozwa?
@a2core-wn2wk
@a2core-wn2wk Месяц назад
Huyo mwanaume na yy ni kahaba kaenda kwa kahaba mwenzake ndo kifo kikamfika na weye unaesema mwenzako kahaba ww pia ni kahaba tafakari kwanza ndo uongee
@user-um9gg8gc5d
@user-um9gg8gc5d Месяц назад
Kwani huyo kahaba ndio kamtuma amuue huyo mume sema nyie watu wamoshi mnajikuta cjuwi mpo nchi gani ya kigaidi hamna shetani ni ujinga alonao angemuacha angepungiwa nini
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n Месяц назад
Eti mchamungu
@Njeriii536
@Njeriii536 Месяц назад
​@@jasmineeomary2041mke walifunga ndoa? Huyo nikahaba kama kahaba wengine
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Месяц назад
Mtu meshafikia utuuzima sio km ni binti wtt sita inamana ndoa unaweza ikawa inamiaka 10 ss chaajabu nikipi kufanya wtt wadhalilike mimi ata angetembea nyumba ya pili mazali niko kwangu pesa yakula anatoa uduma za wtt anawapa naende ata akimaliza mtaa mzima atajijua mwenyewe
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg Месяц назад
Huyu mama ni zaidi ya Rusfeli. Hata hakuweza kufikiria watoto jamani 😭😭😭
@emmyomary9640
@emmyomary9640 Месяц назад
Hakufikilia watoto wake alifikilia mapenzi hivi kweli nina watoto sita naenda kugombania mapenzi niache wanangu waangaike hahahahah wee tembea tu hata na dadaaako wala sishtuki
@LydiaIsangi
@LydiaIsangi Месяц назад
Kwanza haikuwa busara kumfuatilia mume,na pia wanawake kinachowauma sana Wala sio mapenzi ni Mali,
@juditholotu7249
@juditholotu7249 Месяц назад
Kama hayajakukuta unaweza kuongea kirahisi
@HafsaKondo
@HafsaKondo Месяц назад
Poleni sana watoto. Mwenyezi mungu awatie nguvu. Marehemu apumzike kwa amani. Hatujui ulipitia nini kwenye ndoa yako mpaka ukaamua kutafuta mke mwingine. Ndoa zina siri kubwa kuziombea tu
@user-yp5mu3yc9y
@user-yp5mu3yc9y Месяц назад
Jamani huyu mama amejenga picha gani kwa watoto wake,na Jamii na tanzania kwa ujumla 😢😢
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
Msimlaumu huyo mamaa angalieni chanzo...hapo kaacha fundisho mshahara wa dhambi ni mauti...angetulia kwa mkewe na kujenga mqili wa Kristo yasingemkuta yote haya...
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko Месяц назад
Alishindwa tu kustahimili maumivu ya wivu,shetani alimzidi nguvu
@user-fc4vl8zi4r
@user-fc4vl8zi4r Месяц назад
@@ElizabethMkinimhh hata kama huwezi uuwa ikiwa unahofu sisi tunafanyiwa mangapi unauachia mungu na ukishindwa muachane
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
@@user-fc4vl8zi4r Ndiyo maana nikasema mapokeo tofauti hatuko sawa...yeye hapo alipofikia ndo ilikuwa mwisho wake...
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Месяц назад
Hata yeye anajutia saana
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Месяц назад
Daaaha bora ameacha mabinti watawatunza wadogo zao wanaume acheni kucheat jamani na Mungu awasafishe mabinti Hawa wasifuate damu ya mama Yao
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Месяц назад
Hakuna malaika duniani, tukisema kila mwenye mwanamke nje auwawe...nusu ya wanaume kama sio robo tatu watauwawa. Mungu atusaidie sana , atupe mioyo ya subira, na atupe wanawake uvumilivu.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Месяц назад
Wanaume nao.wakubali kubadilika unamzalisha mtu watoto 6 halafu unamuona Mzee unatafuta mwingine. Upuuzi
@suzandonadi1400
@suzandonadi1400 Месяц назад
Mda mwingine anakua ni shetani tu kikubwa ni kumuomba Mungu
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 Месяц назад
Duuuh...poleni sana watoto Mungu pekee atajua namna ya kuwapigania hawezi kuwaacha yy ni baba wa yatima..kweli hasira hasara naamini kabisa Beatrice hukujua kama utamuua mumeo ona sasa unaacha wanao unakwenda kuanza maisha mengine kabisa ambayo hukuwahi kuyaota pole sana
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Месяц назад
Kuna kinaulazima gani mpk utatilie mwanaume wtt wadogo watapata shida kwa wivu wa kijinga mtu nyumba mmejenga nasio km umetolewa akaletwa mchepuko upo ndani kwako shida niyanini anawacha wtt wanakuwa na simanzi hata hawa wtt awatoishi kwa raha na familia ya baba yao watakuwa na msimango sn roho yangu imeniima jamani
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Месяц назад
Huyo Beatrice Kwayu atakuwa ni kutoka Machame. Ogopa sana mwanamke wa kiparestina.
@machakuroger7068
@machakuroger7068 Месяц назад
Kina kwayu sio wa machame
@marysawe9356
@marysawe9356 Месяц назад
Mshenzi kweli wewe ni mmachame yupi uliona kauwa mume au ni stori tu za kipuuz huko mtaan kwenu hyu ni mkibosho piwa uache kudhihaki kabila za watu kenge wewe
@lindaabraham5365
@lindaabraham5365 Месяц назад
Wamachame hawaui kizembe angeumwa tumbo 😂 au kifua. Mnatafuta mali kwa nguvu then mtu anaenda kuzitawanya kwa wanawake wengine. Haya akakipumzishe sasa kwa amani
@OliverKavishe-hy3zg
@OliverKavishe-hy3zg Месяц назад
Muwe waaminifu kuepuka haya,na ukijua mwenzio siyo muaminifu mshtakie Mungu mbona atafanya
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 Месяц назад
Kuna umuhimu wa kutulia wanaume lakin pia wanawake tuwe busy na kuacha Mungu awanyooshe kwa kuamua yeye
@farajasallah2338
@farajasallah2338 Месяц назад
Poleni sana, maisha bila baba Mungu awasaidie
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx Месяц назад
Na bila mama pia
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n Месяц назад
​@@paterinishayo-ef4sxyes maana mama ni jela watoto wanabaki peke yao😢
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Месяц назад
DAMU YA YESU KRISTO IWAFUNIKE watoto hawa
@shamiramsoke1365
@shamiramsoke1365 Месяц назад
AMINA
@susanraphael5894
@susanraphael5894 Месяц назад
Sasa umemuua mwanaume wewe jela maisha watoto hawa wadogo ivi walelewe bila wazazi jamani mama mungu akusameee bure inauma sana😂😂😂
@StellaMwasha
@StellaMwasha Месяц назад
Saa nyingine ni hasira tuu yawezekana Wala hajakusudia Mungu amrehemu Kwa wivu huu
@naomicharles5444
@naomicharles5444 Месяц назад
Na nikuhakikishie kwamba huko aliko ajutiii lolote na ukiona ivo alikua kashafik steji ya mwisho ya Sina cha kupoteza😂😂😂mwanamke akifik hii steji Ata aue nchi nzima atakua Okey kabiss
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Месяц назад
Jmn tuwe makini sana ona watoto.wanavyopitia magumu bado wadogo wengine jmn
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
😭
@siaammo1104
@siaammo1104 Месяц назад
Ndo wanaume wajifunze ubaya wa kuwa namichepuko
@annamussa185
@annamussa185 Месяц назад
Ndo muache ukahaba pesa kidogo tayari unaenda kutafuta Kuma nyingine,haya ngoja akapumzishe bolo lake limemponza
@olivastephano2900
@olivastephano2900 Месяц назад
Wanaume wasipo badilika watakufa wengi
@tatujuma-ny5nm
@tatujuma-ny5nm Месяц назад
Yaani mi mungu aniguse tu dkk zote maana mme wangu mimi anayoyafanya jamani,leo tumeanza kuitwa wa wapangaji wa mtu na tulikua na jumba letu la kifahari chanika huku,yote Kuma tu hizo zimesababisha kuuza nyumba na maisha kuyumba kiasi hiki.
@evelynisaac8767
@evelynisaac8767 Месяц назад
Bora umesema kweli wanaume wengiiiii wanauwa wake zao wangapi huwa wanakuja kutetea familia wanaona ni kawaida Leo mwanamke kauwa anaonekana hana akili wanawake tuache unafiki
@ubongosahihi
@ubongosahihi Месяц назад
Mwenyezi Mungu Awatetee Wanandoa Wote Duniani, Wamama Chonde Kazana na Sala na Maombi ili Moyo Uushinde Katika Hizi Zambi za Uzinzi na Mengi Ya Kutisha Eee Mwenyezi Mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 🧎🏾‍♀️🤲🏾👏🏾🙏🏿
@ChugaKazi
@ChugaKazi Месяц назад
Sio akapumzike tu akifika uko afe tena nyoko mmoja
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Месяц назад
Wanawake tunajua tunapitia magumu sanaa lkn tuombe hekma kwa Mungu kabla ya masmuzi km haya ya kuumiza familia,,,ona wstoto wanavyolia😢😢😢😢😢na nyie wanawake wa nje kuweni ns hruma na ndoa za watu mungu anawaona jmn mkiganda familia za wstu mmeganda dah,naishiwa maneno
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Месяц назад
Kweli kabisa.
@neemamassawe3029
@neemamassawe3029 Месяц назад
Sijui hawa watoto wanawaza nini hapo walipo,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jamani daaah.
@maryjoseph926
@maryjoseph926 Месяц назад
Ooh jmn polen saan watoto wazuri Mungu awalinde na kuwasimamia msilipize kisasi ambacho mama amekifanya kisiwafanye kuwa wakatili
@emmanuelanthony3496
@emmanuelanthony3496 Месяц назад
Baba kafariki Mama kifungo cha Maisha Watoto yatima
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 Месяц назад
Tusipokuwa na maarifa tutateseka sana kunawatu wapo kuaribu maisha ya wengine umechochea ugonvi wanandoa wameuwana wewe unapata mwanaume mwingine mwanao analelewa watoto wamwenzio wanateseka inatia hasira sana
@AminaLibisa
@AminaLibisa Месяц назад
Hasira ni hasara ningejua inakuja mwishoni majuto ni mjukuu mwishowe uja kinyume watoto wanaumia kukosa wazazi wote kabla ya kutenda nyatupasa tufikilie mapenzi ni ya kupita tu kikubwa kuomba Mungu sana ona sasa.watoto wanatuliza ata watu tunao angalia mtandaoni 😢😢😢
@fadhili-n2s
@fadhili-n2s Месяц назад
Daaah hii dunia sijui ata tunaelekea wap
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto 17 дней назад
Wanawake wengine wapumbavu,sasa unauwa mume wako ili iweje sasa watoto wake watalelewa na nani baba kaburini na mama atafungwa. Wanawake wenzangu tuache ukatili na akili mbovu acheni ujinga ona watoto umewavuruga.poleni sana watoto.
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Месяц назад
Ukiwa na hela shida ukikosa shida kwani hii dunia inatakaje?
@DevothaErnest
@DevothaErnest Месяц назад
Daaaah pumzika Kwa amaniiii boss 🥲🥲
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx Месяц назад
Hivi huo wivu wa kiasi hicho unatokea wap mpka kumtoa mumeo uhai bila kujali kitakukuta nn na kwann umfuatilie mwanaume na bodaboda kila kona afu umebeba kitu chenye ncha kali ina maana alidhamiria kumuua kwahiyo bora wakose wote roho mbaya sana hii
@FunnyJumpingSpider-bz9dr
@FunnyJumpingSpider-bz9dr Месяц назад
We wanawake tunakumbana na mazito sana ndani ya ndoa zetu tuyasikie tu Kwa wenzetu lakini tuombe mungu yasitukute.
@emmyomary9640
@emmyomary9640 Месяц назад
@@FunnyJumpingSpider-bz9dr watu wote wanapitia magumu ila wana tulia kwa sababu ya watoto ona hapo mama hayupo baba hayupo mimi mwanangu ni bora sana kuliko mwanaume wewe
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Месяц назад
m,bunge kaelezea ukwel watumishi wa sasa wanaombea kuusu miujiza yakpata pesa wamesahau kuimiza upendo upendo umehamia kwenye pesa na vitu
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Месяц назад
Tufike wakati tujue tu akuna mwaume anerifhika japo sio wt ss unapoishi nae kaa kwaajili ya familia yk umeona umeshindwa basi kajivue kanisani engekuwa nisisi waislamu wamwambia nimeshindwa na km ataki kukuacha pia waenda jivua bakwata yote yanini haya kuwacha wtt wadhalllike wallah nimeumia sn simfikiri bb wala mama nawaonea uruma hawa wtt changamoto watazo kutana nazo Allah awafanyie wepesi
@missp-dv6qd
@missp-dv6qd Месяц назад
Haya ni matokeo ya kuumizana na mtu kukuona mpumbavu na mjinga flani hivi unauliza vitu unajibiwa shombo ila pamoja na yote uamuzi mama aliochukua mgumu ameacha watoto ni kama yatima. Ukiona umepata mchepuko mrembo muache mkeo mtagombana utamuumiza lakini ukweli mapema unakuacha huru. Mwanaume kapenda uzinzi mpaka umemuaa
@user-fz1ph3cn4s
@user-fz1ph3cn4s Месяц назад
Ukiona mumeomkapata mchepuko huwezinjuvumilia nenda mahakamani nuachane lakini dinkumuua. Sasa watoto wamebaki.peke yao.
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
Tatizo umalaya kaka zetu hawa liziki ndo hapo...mshahara wa dhambi ni mauti...na hapo ukute katika kupigana na kujitetea bahati mbaya kikamchoma...unadhani huyo mama alitaka kumuua mumewe?! hapana...
@StanleyMolla
@StanleyMolla Месяц назад
Anyway naomba niwe tofauti tuu..mguu wangu mmoja na nusu upo upande wa mwanamke,iyo nusu naiweka upande wa mwanaume..embu imagine umezalishwa watoto 7 mwili umekushuka shukii na ukute mda unazalishwa na mishono yako mlikuwa bega kwa bega na mwanaume kuchuma mali..leo kazipata ,mwanamke mwili umejaa makovu mara 7 , ndo anaona bora akajilie vinono na wengine ..aloooo iyo ishu hata shetani anakaaga pembeni,,kabla hawajamfunga uyo mama wajaribu pia kumcheki afya ya akili huenda hata hakuwa sawa kiakili
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Месяц назад
Kweli kabisa
@lindaabraham5365
@lindaabraham5365 Месяц назад
Ongeeni na watoto wenu, ndugu, wakileta wanawake wengine wakanyeni sio kufurahia. Haya ndiyo madhara ya zinaa. Umemchoka mke wako mwache nenda kaoe mwingine. Wanaume kama hamwezi kuwa na mwanamke mmoja si muishi peke yenu mfanye ufuska mkiwa free? Pole Beatrice
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Месяц назад
pole kwao jmn mwenyenz mungu awatie nguvu miyoyon mwao
@aishamakala8045
@aishamakala8045 Месяц назад
Mwenyezi mungu awatie nguvv watoto
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Месяц назад
Watoto hapo hawana baba wala mama, ndoa sio kitu cha kuforce kama mtu hakutaki move on na maisha yako
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Месяц назад
Wanawake tunapitia magumu sana hasa wake wa ndoa wanaishi kwa mateso sana hivi uko mstari wa mbele kanisani na shirika la moyo wa yesu alafu hata kutulia hutulii si laana hiyo saa ingine mungu anaruhusu tatinzo kwa tabia zako mbaya dini yake hairuhusu poleni sana nachojua ni shetani tuu iko ck atatoka akalee wtt wake mama ni mama tuu hata angekuwa kichaa mtakujakuniambia
@mesiamatheo2230
@mesiamatheo2230 Месяц назад
Mama alishindwa kuitawala hasira...ona Sasa...pole Kwa familia...
@IreneBwire-ww3zk
@IreneBwire-ww3zk Месяц назад
Poleni wafiwa mungu awape ujasiri , Lakini tuache kutoa hukumu hp duniani ,mkumbuke kwa mungu hakuna SIRI HASA DHAMBI YA KUZINI,utasali sn na majitoleo mengi Lakini mungu akiamua kufunua tabia yk ijulikane ndio hivyo Mtaongea yote na sheria mtumie lakini mtoa kibari cha uhai / pumzi ni mungu mwenyewe anaelewa sitahiki ya kila mwanadamu
@YasintaJacob
@YasintaJacob Месяц назад
Polen jamn Mungu awatie nguvu
@sharewithhope1229
@sharewithhope1229 Месяц назад
Yesu pekee ndiye mfariji wa kweli , Kila mtu anamwitaji Yesu kwenye maisha yake
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 Месяц назад
Wamefanana na baba yao jamaniii. Hii tamaa ya mali zinatupeleka pabaya wanawake
@user-oz1pp1ck2m
@user-oz1pp1ck2m Месяц назад
Sana copy
@aishalobullu76
@aishalobullu76 Месяц назад
sijui ni macho yangu ndio mabovu au sielewi hapo naona watt watano wakiume wa tatu wakike wawili na wosia unasema wakike watano wakiume wawili
@aishahamisi5854
@aishahamisi5854 Месяц назад
Kuna wakat ukiwa na family usimfatilie sana mwanaume ona 😢😢sasa watt wamebak yatma ghafla
@nwntz
@nwntz Месяц назад
Usiendeshwe na hisia nig , mama kabaki na watoto kaua mzizi, kaua mwanzilish wa familia, kaua kichwa, kaua kila ndoto ya familia damn.
@HappysangaHappy
@HappysangaHappy Месяц назад
Wameliza watoto jmn daah niwadogo maisha ya bila baba wala mama nimagumu sana hasira hasara
@user-gc2bk4rq9k
@user-gc2bk4rq9k Месяц назад
Huyu Mama kakosa Hekima ya Tuu .ukishajua ana mke mwingine kuwa busy na watoto wako na kujitoa kanisana utapata maarifa na Hekima...tuu
@janifajani8875
@janifajani8875 Месяц назад
Watt wamefanana na baba yao adi bas
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 Месяц назад
Watoto wamebaki yatima dahhh😢
@AnethWambura
@AnethWambura Месяц назад
Jamani wanawake ss ndo chanzo cha mifarakano katka ndoa nying za waty...unajua kbsa mty ana mume kwann uingilie lakn m namlaani b mdogoo laana imfike maisha yake yoteee yy ndo chanzo cha mwanamke mwenzake kuwa gerezani
@charlottegichogo
@charlottegichogo Месяц назад
Hiii ndo maan halis ya tutagawan majengo ya serikal
@ezrommussamusssa2540
@ezrommussamusssa2540 Месяц назад
Hii ndo 50% to 50% wanayoitaka wanawake
@vero57
@vero57 Месяц назад
Wewe mama ona watoto wako wanavyo onekana!!! Kwanini lakini???
@DativaMbowe
@DativaMbowe Месяц назад
😭😭😭
@enockmaige8936
@enockmaige8936 Месяц назад
Nyie shabikia mnajua maumivu nyiyni ya mapenz mnahangaika kutafuta pesa kwa bidii mkishafanikiwa mwenzako anaenda kutawanya pesa kwa wanawake wengine unazan yeye ana moyo wa chuma japo angetumia busara tu na hyo mwanaume akakipumzishe kwa amani sasa hicho kinanii chake.
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z Месяц назад
Bibilia inasema shahara wa dhambi ni mauti,alicho kifanya Huyo mama mshahara wake ni mauti.Hakuna cha upendo hapo.Upendo husitiri wingi wa dhambi na wivu ni dhambi.
@vero57
@vero57 Месяц назад
Poleni sana watoto wa marehemu,
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Poleni watoto
@user-bx5wz7bo5l
@user-bx5wz7bo5l Месяц назад
Poleni Watoto maana ndoo tumeachiwa mzizi mzito wa dhambi ya kurithi tujitahidi isitokee kwetu. Wazazi wameshindwa kuaminiana basi
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Месяц назад
Unakuwa unajisikiaje watu wanalia na wewe ndo muuaji, ila shetani anamipango ya uchonganishi sana.
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx Месяц назад
Wanawake wa Moshi Mimi nawaogopa sana maana matukiyo kwenu yamekuwa mengi sana mala kuuwa wazazi Kisa Mali mala muuwe wame zenu namengineyo mengi njiee TU duuuu
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko Месяц назад
Nikiwazaga huu ujinga namwambia shetani pita mbali watoto wangu nitamwachia nani
@TimaMohammed-pn9eh
@TimaMohammed-pn9eh Месяц назад
Pole ni sanamipago ya mungu
@busandashanyangi6742
@busandashanyangi6742 Месяц назад
Watoto wameachwa wadogo jamani!?! Ukatili una madhara
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 Месяц назад
Wanawake wanaroho mbayaaaaaaaaaaaaa.....!!!!!
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Месяц назад
Kama yule mke wa muuza madini aliachiwa huru hata huyu ataachiwa tena serekali yetu bado sana marehemu hana haki Mungu awatunze tu 'mpendane😭😭😭🙏
@juditholotu7249
@juditholotu7249 Месяц назад
Wanaume wengi wamesababishia wake zao kupata tatizo la afya ya akili
@Ibrahimkidee
@Ibrahimkidee Месяц назад
Polen saaana Najua ngum lakn Haina jins
@annammary5593
@annammary5593 Месяц назад
Mi natamani hizi taratibu za kanisa kusema hakuna cha kutenganisha ndoa zaidi ya kifo matokeo yake ndo haya... Hawa huenda walishakuwa na migogoro muda mrefu ila kwa sababu ya ndoa ndo matokeo hayo. Watu wameshashindwa ila wanaishi tu kwa sababu ya ndoa. Sheria za ndoa zilegeze mashart
@SophiaMbuya-zt8mw
@SophiaMbuya-zt8mw Месяц назад
Pole sana catherine
@husnasaeed6353
@husnasaeed6353 Месяц назад
Daaah Mungu amlaze mahali pema peponi
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 Месяц назад
Mungu ameruhusu jambo lake tushukuru tuu.Wanadamu tunankeraaaaaaa sio siri
@baddestgames2784
@baddestgames2784 Месяц назад
Kwaiyo watoto watakuwa wanasema mama alimuua baba 😢 Na waombee wapate akili na mwongozo wafanikiwe katka maisha maana kuna lawama zitakua juu ya mama yao
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Месяц назад
Kawaida wanawake w kichaga kua waume zao,akiwa na Hella,hilo halina shaka n kawaida, yao,mlo oa wachaga tujipange,
@annammary5593
@annammary5593 Месяц назад
Si kweli, huyo kaua kwa sababu ya wivu wa mapenzi
@user-ti8ym7bm8p
@user-ti8ym7bm8p Месяц назад
Huruma kwa watoto hawa wadogo kuishi bla wazazi huyo mama najua atafungwa miaka mingi 😭😭😭😭
@GloryMwacha-fw4qb
@GloryMwacha-fw4qb Месяц назад
James pole sana kwa msiba
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Месяц назад
MUNGU awatie nguvu 😭😭 jamani awape utayari wa kupokea jambo hili zito na lenye majonzi
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Месяц назад
Sioni shada la mchepuko. Na mchepuko hauna cha kupoteza maana kaachiwa bonge la nyumba na ma biashara. Aliyepoteza ni huyo mwenye mume wake na watoto😢
@AnethWambura
@AnethWambura Месяц назад
Tutafutien mke mdogo chanzo cha kifo cha huyu baba
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Месяц назад
Hio c mipango ya Mungu una tuharibia siku,umetumwa nn yan mtu aue w useme mipango y Allah,eb huko ww,
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Месяц назад
😢hapo uyo mama kahawaharibia wanae wakati wa kuolewa na kuowa utasikia nani aozeshe mwanae kwenye ukoo wa wauwaji nani aowe watt wa muuwaji nao wakitulia mtto wetu😢😢 Na hivi vitu ni endelevu chunguzeni uyo mama kwenye ukooo wao utakuta walishauwa
@rosemkama6629
@rosemkama6629 Месяц назад
Umeona kaweka doa kwa wtt wake .kuona na kuolewa itakua shida
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv Месяц назад
​@@rosemkama6629Hapana wataolewa vizuri nakuoa vizuri Mawazo ya mwanadamu sio ya Mungu
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
Na huyo baba yao angetulia yasingemkuta....mshahara wa dhambi ni mauti...
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv Месяц назад
@@ElizabethMkini Kabisa dhambi Ni dhambi Mungu hajawahi sema Uongo Wanamtetea mtu dhahir inajulikana katenda dhambi,Tena huyo mwanamke akitubu Mungu anamsamehe kabisa hsijalishi watu wanasema Nini
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv Месяц назад
Natamka kwa Jina kuu la YESU Kristo hai watoto Wataolewa pasipo maswali Wala Nini Wataoa pasipo maswali Wala Nini Nafuta Maneno ya watu kwa Damu ya YESU hayataumbika hata moja Iko Damu ya Mwanakondoo inenayo mema kuliko Maneno ya watu Ufunuo 12: 11 ikawe spesho kwa Hawa Watoto Ameen Kama Mungu wangu aishivyo hata milele
@WiniRasirasi
@WiniRasirasi 26 дней назад
Amina
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Месяц назад
Mama kaitoa mpyaa😢😢
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n Месяц назад
Shetani kitu mbaya sana ona kamshawishi mke kaua mume tafsiri yake mke anaenda jela....watoto wanabaki wapweke😢
@user-bl1bg2eh2c
@user-bl1bg2eh2c Месяц назад
Amakweli siku za mwanadam zakuishi hapa Duniani zina Esabikaa.famly Mungu Awalinde na Akawe juu yenu kwa kila maamuzi utakayo hamuwaili watoto hao wakapate mikono salama ya kuwaleyaah
@AVERINAPINGA
@AVERINAPINGA Месяц назад
Mbunge ameongea point Sana 🙏
@haryanyawu640
@haryanyawu640 Месяц назад
Duh poleni sana wafiwa
@RuthRobert-pz5jb
@RuthRobert-pz5jb Месяц назад
😮
@user-vb9ci1wl5e
@user-vb9ci1wl5e Месяц назад
Watoto hao wanatia huruma, ee mungu tuepushe na haya
@user-lw5we3jy6o
@user-lw5we3jy6o Месяц назад
Mungu awatie nguvuu
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Месяц назад
Baba amekufa mam jel watoto wanabaki yatima 😢😢 jamai hiz ndoa naz sasa ni vifungo
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Месяц назад
Watoto watateseka maana,Mali huwa zinasababisha watoto kunyanyasika
Далее