Тёмный

MAPYA YAIBUKA NYUMBANI MUME ALIYEUAWA NA MKE MOSHI "ALIMJENGEA MKE MDOGO FAMILIA HATUJUI" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 146 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 520   
@annarosegodfreymuro1194
@annarosegodfreymuro1194 Месяц назад
Mwanamke mwenzangu ukiona ndoa yako haina amani mwachie Mungu, chagua wanao, hakikisha wanapata elimu na malezi bora, jipende, jithamini, jipe raha, naamini utakuwa na amani sana ktk haya maisha. Mwanaume akikengeuka ni Mungu tu peke yake anaweza akambadirisha, hata upige kelele unajiumiza, hakikisha unapambana na kulea wanao mengine mwachie Mungu. Inasikitisha kuwaacha watoto yatima na kupoteza mwelekeo hasa ktk dunia hii ya sasa, Mungu tusaidie wanawake
@FaridaMahami-zw1mv
@FaridaMahami-zw1mv Месяц назад
Umenena yaliyo kweliiii
@user-gg5db8ux4u
@user-gg5db8ux4u Месяц назад
Aamin
@nesielias9493
@nesielias9493 Месяц назад
Unazaa na mwanaume watoto 6 unamuuwa kwajiri ya bi mdogo watoto wanakuwa yatima kwajiri hasira za kipumbavu😭
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Месяц назад
Na bado unaenda jela duh hapana akiamua ahamie huko kabisa
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 Месяц назад
Sahiv anajuta,, hasira hasara
@csato9415
@csato9415 Месяц назад
​@@betyjoseph6812 Ndio hivyo ukiwa na hasira usifanye MAAMUZI na ukiwa na furaha USIAHIDI.
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Месяц назад
Ningewaza watoto wote 6 hapana aise Afu watoto wanavyomweka busy mwanamke, Aende tu, wengi tu tumeumizwa na mapenzi na tumeanza a , kwa kusema unazaliwa Uchi na utakufa Uchi Kisasi kikizidi moyo wa mwanadamu lazima alipize! Tujitaidi kusoma neno na kuomba, dunia ina maumivu mengi sana
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Месяц назад
Mpumbavu Sana huyu mama!watoto sita bado una wivu wakijinga hivyo!nyoko zake huyu dada
@rosetemba7235
@rosetemba7235 Месяц назад
Haya miungu ya duniani najua uyu mwanamke hakupanga kumuuwa mume wake jumbo povu tu limemuangukia ila maumivu ya kusalitiwa anayajua Mungu mama wa watu na kwenda jehanamu ndogo leba mara sita bado kiumbe cha Mungu kikatafuta mwingine na tisa kumi kamjengea kimada yamkinii mwanamke uyo alilala njaa alipokuwa anatafuta na uyo mwanaume leo kimtu kinakuja kumenya tu kwa kuondoa ukakasi eti mke mdogo toka lini wakristo wakaoa wake wawili binadamu tuache unafiki hao mashemeji,mawifi na wanaona mke kakosea sana ingefika kwao wangefanya ukatili mara tano ya hivyo
@DM.2200
@DM.2200 Месяц назад
Upo sawa kabsa yani iweje mtu eti aje kula kirahisi na mwenzake anapigwa jua lautosi kwenye biashara zake kila siku ata wasimlaumu huyo mke mkubwa stress kamletea mume wake na zimemmaliza yy
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Месяц назад
So alivyoua imempa nn zaidi ya kutesa uzao wake? Hiyo ni hukumu ya kibinadanu
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 Месяц назад
Roho mbaya na wivu, hata kama alilala njaa ndo uende kuua? Kwani upo nyumbani tena mjengo mkubwa hivyo huli? Hulali? Shida ni nini mpk ukaue kisa eti umemkuta kwa mke mdogo? Hapo angekua mwanaume ndo kaua sidhani kama haya maneno ungeyaongea. Angeua mwanaume hapo ungesema kama umemchoka mwache wala hilo neno maumivu ya kusalitiwa usingeliweka, all in all haijalishi nini kimekutokea kwenye maisha kwanza kaa chini umshirikishe Mungu
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 Месяц назад
@rosetemba una nyota ya mauwaji dada yangu, ikemee
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Месяц назад
Umeonae
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 Месяц назад
Trust me mtu Wakulaumiwa ni aliyeingilia ndoa ya watu 😢😢sababu angetulia na amuache mume wa watu yote haya yasingetokea.Ndoa na iheshimiwe na watu wote
@GloryMariki-ng6gf
@GloryMariki-ng6gf Месяц назад
Wakulaumiwa ni huyo mwanaume mwenyewe... kwanini hakutunza agano la ndoa aliloliweka kwa mkewe?? Asingemtongoza huyo mchepuko wangeingiaje kwenye mahusiano
@gracegeorge4848
@gracegeorge4848 Месяц назад
Kakojoe ulale hakunaga mume wa mtuuuu.ndo maana mwanaume ndo anaetoa mahari na si mwanamke
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 Месяц назад
Soo kusema wanawake wa kichaga.Watu wangapi wameuwawa bila hatia na wake zao au waume zao?WW umeona ni wachaga tuu.Acheni Zenu Shetani yupo kazini na hofu ya Mungu ikikutoka lolote waweza fanya. 2. Mambo ya ndani kwa wanandoa ni siri kubwa sana hakuna wa kumlaumu wala kuhukumiwa.
@PeninaJonh
@PeninaJonh Месяц назад
Hakika umenena vyema
@sarahfuraha875
@sarahfuraha875 Месяц назад
​@@gracegeorge4848Kwan huyo unayesema hakuna mume wa mtu anapokuwa anaapa kanisani ulisikia anasema atakuwa mume wa wake wengi? Nyie michepuko ndo mnasemaga hakuna mume wa mtu. Jitengeneze ufae kuitwa mke wa mtu dada..
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Месяц назад
Kwa wakristo hakuna mke mdogo ni hawara au mchepuko na Kuna Siri kubwa hapo hiyo ndo shida ya kutotulia na mke wa ndoa inauma mume unamzalia watoto 6 na Bado anachepuka u Malaya siyo mnzuri
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Месяц назад
nazani si vizuri kuukumu kwa sababu maisha ya ndoa wanajua waliomo, wanawake mna mambo mengi tena ya mauzi sana wanaume uwa wanaamua kuwa kimya na kuendelea na maisha mengine..,
@EmmettOnike
@EmmettOnike Месяц назад
Mmh watu mnapenda kuhukumu Sasa akichepuka unamuua.una watoto wako sita unaua mtu Sasa unaenda jela wanao wanalelewa na nan?kabla ya kutenda fikiria kwanza
@NuruJara
@NuruJara Месяц назад
Jamani mm leo michepuko wa mume wangu amenipigia akanieleza kila kitu hata audio zipo amemkodishia sijui nifanyeje naumwa na moyo nko na miaka kumi sija wai kumcheat natetemeka sijui nifanyeje nk Kenya naomba msaada wenu yy hataki kukubali makosa
@Allybinamour
@Allybinamour Месяц назад
mume kakuzalia watoto 6 anachepuka hio ndo inauma lakini mwanamke kumuua mumewe hio haiumi sio?
@anunalamin6472
@anunalamin6472 Месяц назад
​@@NuruJarakimya usimuulize la heri wala shari ukimya ni jibu Tosha
@hawaa341
@hawaa341 Месяц назад
Hata mkificha lakini kidini Yule sio bi mdogo mchepuko tu mke mmoja tu
@user-ln8fy8yj5x
@user-ln8fy8yj5x Месяц назад
Kidini kuua ni sawa? Mbona kama una Judge upande mmoja
@g_forcemusician4242
@g_forcemusician4242 Месяц назад
Kwahiyo amefaidi nini
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Месяц назад
Mmmmmmh😊
@user-ln8fy8yj5x
@user-ln8fy8yj5x Месяц назад
@@g_forcemusician4242 Swali zuri sana. Mume kafa, yeye anaenda jela kifungo cha maisha. Watoto wanakosa vyote.
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
​Hajafaidi chochote...kaka zetu muache umalaya...chanzo hapo ni mume angetulia na mke wake yangetoka wapi yote haya?!inasikitisha watoto wanakuwa kwa wakati mgumu.kila mtu anauwezo tofauti wa ku control hasira...so mtulia period.​@@g_forcemusician4242
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft Месяц назад
Mtuhumiwa Ali mpenda sana mumewe jmn, ukiona mwanamke kakuzalia watoto wote hao ni kweli alikupenda kwa dhati na ndio mana ilimuuma sana kuona mwanaume kama ni watoto nimekupa lkn bado hawakutoshi unaenda kuongeza wengine unahamisha mapenzi kwa wanao wakubwa unapeleka kwa mchepuko hii inaumiza sana kwa ambae hajawah penda na akatendewa hivi anaweza ona ni mwanamke mkatili lkn hii ipo na inatokea sana tu mungu atuepushe kwa kweli
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 Месяц назад
Hapana mtuhumiwa anaipendasana pesa hataki mtu mwengine hao ndio wanaoamini kuongeza mke ni kuzini wakati hilojambo lilianza tangia enzi za manabii
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 Месяц назад
Hapana mtuhumiwa anaipendasana pesa hataki mtu mwengine hao ndio wanaoamini kuongeza mke ni kuzini wakati hilojambo lilianza tangia enzi za manabii
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft Месяц назад
Nakupinga asilimia zote kwa mana manabii hakufanya sifa kama mnavyofanya nyie kwa sasa, kwanza mke hadi kufika kupatwa hasira kiasi hiko ni wazi mume hakukushirikisha kama anaoa imagine amemjengea hata familia yake haijui afu umfwatilie ukute mambo kama hayo jazba lazima ikukute tuu,, kama unge mwambia mkeo ukweli sizan kama angefanya hayo mwanamke anapenda kubembelezwa tu japo ukweli unauma lkn ingefika mda akazoea wangap tunawaona wapo mitara na wala hawajal mnakerekwa nyinyi majiran lkn wao wala hawastuki ni swala la mwanaume kua na busara tu lkn nyinyi mnafanya sifa sifa na kumkomoa mwanamke hapo ndo mnakosea, ww ukitaka kujua huyo alifanya hasira tu utaona ni kwann kakamatwa kama alipanga kumuua tu kwaajili ya mali si angeanza kupanga mipango yake mapema angehamisha watoto hata nje ya nchi na yeye akafanya tukio then akatoweka nani angempata ? Lkn ye kabak hapo hapo ni hasira tu na huwezi elewa hadi yakukute ko tuliopitia tunaelewa 👍​@@mustafamsati9599
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 Месяц назад
Kwa ujinga huu czai tenaaa! Unamzalia mwanaume watoto lukuki then fadhila zake kwako ni usaliti😢😢😢 nimesema czai Tena akichepuka na achepuke tu😏😏
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft Месяц назад
@@nasramohamedi4095 😂 na mm hivyo hivyo nimesema sizai tena namuangalia tuu wala sjamwambia 😏
@ubongosahihi
@ubongosahihi Месяц назад
Siyo lazima mtu ajue kama alimjengea au la Wanawake wengi tu wanajengewa hata pasipo kumzalia mradi alimpenda. Na pia inategemea mwanaume anapitia changamoto zipi huko kwa mke wa ndoa au huwa tu ni tabia za wanaume Fulani tuwaombee Wanaume wote Pumzika kwa Amani Baba wa Familia 👏🏾
@ShomaryShomary-j9d
@ShomaryShomary-j9d 23 дня назад
hiyo mama nayey ajiuwe tyuu mana sioni sababu ya kuishi
@GetrudyGt
@GetrudyGt Месяц назад
Mwanaume anakuwekea mazingira mazuri Ivo bado unamuuwa si umuache Aende Mimi hata akiamia ili mradi watoto wanasoma ,awalali njaa na maisha yanaenda ohiiiii aende tu na njululu yake ohiiiii
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Месяц назад
Yaaan mtu akisha kjengeaa, uhakika wakula upo kwa dniaaaaa hiiii muacheeeee tu aeende akitakaaa kwenda
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Месяц назад
Shida sasa atakuletea magonjwa,wengi huwa wanaogopa hivyo,maana mbali na huyo bibi mdogo,kesho ataenda kwa mwingine,sasa mtu unakuta ndo Ana watoto 6,halafu anapatia magonjwa ukubwani,ndo Inawauma.
@maprotv1
@maprotv1 Месяц назад
@@israelkisaila8401 unaogopa magonjwa kwa kumuua mtu?
@neemamtangi4818
@neemamtangi4818 Месяц назад
Yaan dada angu nikama upo moyoni mwangu me umenijengea nyumba nzur hivyo hata watoto weletu me nitalea jmn kuna watu hawana bahati😢
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Месяц назад
Rahisi tu kusema hivyo labda uwe hujampenda umefata pesa itakuwa rahisi. Mume anauma weee! Acha ya sikukute unaweza kufanya kama hivyo au zaidi wao wanatuuw kila siku! Kwa hisia tu sikwambii umeona mazingira! Kafia kwa mchepuko aibu saana kakuzalia wtt 6 bado hajaridhika
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo Месяц назад
Mashemeji nyinyi.unasema humfahamu alafu unasema uliongea na shemeji.alafu Malehemu ana watoto saba na kwa b mdogo mmoja.ndugu wa mume pepo mtalisikia tu.
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 Месяц назад
Yaan ndugu wa mume ni nyokoo
@unknownbutterfly6310
@unknownbutterfly6310 Месяц назад
Kuna yule aliimba wimbo kua mashemeji wote wapigwe mawe.... Yaani, ni wanafiki kinoma😂😂
@ahz6907
@ahz6907 Месяц назад
Nadhani Alisema hakuwa akimfahamu.itakuwa baada ya tukio ndio kamfahamu.
@eve762
@eve762 Месяц назад
Wanamjua wanazimuga tu,maneno yake kwa mtu aliesoma Cuba anamuelewa vzr tu
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo Месяц назад
@@eve762 kweri kabisa
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 Месяц назад
Mjengo upo vzr
@Njeriii536
@Njeriii536 Месяц назад
Sana alafu kusafi sana
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b Месяц назад
Wakiristu mnajidanganya mke moja mungu arivyotoa mandiko howeni wake zaid ya moja arijua wanaume hamridhiki na mke moja na amuwezi tamaha mnazo nyingi na nguvu,,,na pya mke uriehaza nae maisha hacheni zarau ukiowa mke mdgo
@AnneHarold
@AnneHarold Месяц назад
arivyotoa howeni arijua amuwezi tamaha pya uriehaza hacheni zarau ukiowa 🤐🙄😎
@shamilashabani4288
@shamilashabani4288 Месяц назад
​@@AnneHarold😂😂😂😂😂
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 Месяц назад
Kuandika kwenyewe hujui pyeee
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 Месяц назад
Kama aliweza kubeba kisu mpaka eneo la tukio, kaona kabisa huyu ni mume wangu, na bado kamchoma kimoja tu kikamtoa roho,alidhamiria hakika na alitenda kwa ujasiri na nguvu zote. Hii ni dhahiri kuwa hata huko ndani hakua mtu mzuri, alipenda kumtawala mume, Na si ajabu mume kavumilia mengi kashindwa ndipo akajiongeza. Hebu imagen mke ana drive prado mume rav4, Kweli alikua ampendi? Mke mwema ni yule anaeona changamoto kwenye ndoa yake zinazidi anaamua kukimbilia kwa Mungu na Mungu huwa hamuachi mke wa namna hii. Nimewaona wengi na Mungu huwatetea. Sijawahi olewa lakn mmmmmh...hii.
@cosmaskulaya5297
@cosmaskulaya5297 Месяц назад
Hawa wake za matajiri hapa moshi hawajafundwa wala kufuzwa, wana mavikoba yao wanachaguana eti wake za mabosi kwenye mavikao yao wanakunywa mapombe na kufundishana upuuzi usiofaa mbele ya jamii yeyote. Vitambi vyao huwezi kuvibeba
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 Месяц назад
Hahahah tuacheeee watoto wa moshi
@roynessmanji6292
@roynessmanji6292 Месяц назад
Km hapewi Pesa zinaishia kwa michepuko kwann asijiongeze na vikoba
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Месяц назад
Mmmmmmmmmmmmmmh
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b Месяц назад
Hili ndio jibu wamempambisha mwenzao kwa kumjaza roho ya wivu na ushetani Asimame mke mmoja tu atoe ushuhuda mumewake Ana mwanamke mmoja tu Ujinga roho mbaya maana marehemu amezaa naye pia huo mpango wa kando ndo maana pia amejengea kwa ajili ya mtoto wake Lkn maneno ya mashosti yakumjaza shoga yao haya kikowapi sasa
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija Месяц назад
Hasira hasara tujaribu kudhibiti hasira zetu maana huu ni mtihani
@angelchuwa3668
@angelchuwa3668 Месяц назад
Hasira hasara kwakweli.. na utajiri wote huo bado unahangaika hivyo mpk kuua jmn
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Месяц назад
Huyu mwanamkehajamuua mme wake kwa bahati mbaya, bali alikusudia na kudhamiria kutenda uovu. Umbali na muda aliyotumia kumfuata huku akiwa na silaha ungemtosha kutafakari upya uovu aliyodhamiria kuutenda na kughairi kwa kuishinda hasira. Kwa vyovyote haya ni mauaji ya kudhamiria (murder case) na si mauaji bila kukusudia yaani (man slaughter).
@mgesizablon790
@mgesizablon790 Месяц назад
Nikweli inauma sana kusalitiwa lakini vyema tujitahidi kuzuia hasira zetu ona sasa watoto wanakosa malezi ya baba kwa sababu ya hasira ya mama.
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 Месяц назад
Dah Adui yupo kazini.
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 Месяц назад
Duuuh😢😢😢 shetani shindwa kabisa mjumba wote huo unaumiliki,biashara gari vyote hivyo unavyo ungemuacha hata ahamie hukox2 duuu..😢 pole sana
@upendombise8113
@upendombise8113 Месяц назад
Unajua sisi wanawake tuko hivi tukiwa atuna haya maisha tunasema tunaona ni raisi lakini kweli ni kwamba tukipata nyumba nzuri gari nzuri watoto wakasoma shule nzuri hela ipo tunaitaji upendo Sasa unatamani mume awe wako tu muwe sawa ndo matokeo yake hayo
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Месяц назад
Kama alikuwa na uwezo wa kumiliki wake wawili kulikuwa na shida gani?mbona wenzetu wanaoa wake 4 na heshima inakuwepo tu?
@MWANAIDIRULIMBIYE
@MWANAIDIRULIMBIYE Месяц назад
Yaan acha tu maana mwanaume hata uwe pekee yako lazima tu awe na mwanamke wa nje wanaume huwa hawaridhiki jamani wanawake wenzangu afu mkumbuke ki ukweli wanawake tupo wengi wanaume wachache afu kwani akienda huko kwa mwanamke wake wakitombana anaiacha huko c anarudi nayo na wewe unaitumiaa wee haikondi haipungui haiishi ladha ya nini kuacha watoto mahatima lakini mweee😢😢😢😢
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤❤ Sofia congretchulation mama total them,
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤❤ Sofia congretchulation mama total them,
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Месяц назад
Wakristo hatujidanganyi ni agizo mme mmoja mke mmoja. Mungu amempa mwanadamu free will aamue atakavyo ingawa Mungu keshatoa mwongozo. Hata wenye wake wengi nao wanachangamoto zao.
@MaryamAlli-is1jg
@MaryamAlli-is1jg Месяц назад
Ilivyotangazwa mwanzo ni hawara na sio mke wa ndoa wanaficha ukweli tu
@user-ln8fy8yj5x
@user-ln8fy8yj5x Месяц назад
Nikwambie ukweli? Mama anaenda jela kifungo cha maisha. Mume amekufa Watoto wanakosa baba na Mama. Biashara zao zipo hatiani kufa pia, maisha yanaweza kuwa magumu sana kwa watoto. Huo ndio UKWELI. Hilo la mke ama hawara ni IMANI tu.
@AnnaAnthony-is9wj
@AnnaAnthony-is9wj Месяц назад
P
@user-eb4nq5du2q
@user-eb4nq5du2q Месяц назад
​@@user-ln8fy8yj5xkabisa lazima life ibadilikeee
@ahz6907
@ahz6907 Месяц назад
Kiserikali huyo ni mke kabisa na ana haki zake hata kurithi mali za marehemu.😂
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o Месяц назад
Alhamdulilah kwa kuniruzuku kuwa mwislam haki sisi wanawake wa ki.islam hatuna mbaya mume anaoa na maisha yanaendelea binafsi mimi nipo kwenye ndoa ya wake wa 3 na bado nafasi 1 jimbo lipo wazi na tuna Amani hakuna kuchoma visu
@svt3
@svt3 Месяц назад
Ila hapo hampendani, unafiki, wivu, kuangaliana kijicho, kusemana vibaya🤔🤔🤫🤫 maisha gani hayo ni umadkini na akili za kimaskini ndio zina wafanya muvumilie hata waislam matajiri kama Dangoote, Mo de...... wanawake mmoja mmoja ila hawa waislam makapuku ndio wanakimbilia kuweka wanawake zaidi ya mmoja
@VumiDavid-lo1cl
@VumiDavid-lo1cl Месяц назад
Kuzaa na mwanamke mwingine ndo kuamua kumuua mkaka wa watu baba wa watoto wako jamani samehe saba mala sabini.
@RittaBryson-co4vp
@RittaBryson-co4vp Месяц назад
Unajuaje kama ni kuzaa TU...hakuna na heshima huyo
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
R.I.P poleni sana wafiwa. Sasa mmeachia watoto mateso na ndugu ndio watajinufaisha na mlivyoviacha hasira hasara. Msiseme Mke wa pili nyinyi ndugu maana Mkristo ataoje Mke ndani ya ndoa. Semeni hawara yake huyo. Pia inaonyesha nyinyi ndugu hamumpendi Mke wa kwanza kwa matamshi yenu
@rizikisam6481
@rizikisam6481 Месяц назад
Baba amekufa mama yupo jela watoto wamekosa wazazi wote na hao watoto sijui kama kuna kitu utawambia wamsamehe mama yao
@user-wc3hn4kt1x
@user-wc3hn4kt1x Месяц назад
Hilo li Mwanamke litakuwa liMACHAME. Hakuna Mwanamke wa Kichaga anayeua zaidi ya MMACHAME. Wanaume tukae mbalii na Wamachame..
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Месяц назад
Pole mke maumivu ni makubwa pole sana kusalitiwa kusikie tu
@AsteriaValerian
@AsteriaValerian Месяц назад
Kisu haki yake 2mechoka kusalitiwa
@victorsolomon-ze8uw
@victorsolomon-ze8uw Месяц назад
Moyo wa mtu ni kichaka, unaweza kufikiri amemuua mumewe kwa wivu kumbe mtu alishapiga mahesabu ya kumiliki hiyo mijengo na biashara na kimada ametumika kama kigezo tu cha kumuangamiza mwenzake,siamini kama kweli hakumjua huyo kimada siku zote hizo.Anajua atafungwa lkn atatoka mapema tu.Na wanawake wa kaskazini ndio zao hizo,mapovu ruksa.
@user-km1do5lq7c
@user-km1do5lq7c Месяц назад
Ukweli kabisa kaka.mimi ninavyo jua serikali ya Tanzania Sheria ni ya munyonge.kwanza hiyo kesi itatupiliwa mbali.huyo mwanamke muwaji atawachiliwa pesa itatumika.hakuna Shahid atandikisha report kwa police ya Tanzania kua aliona tukio likifanyika.watakao muzaidia huyo muwaji mwanamke ni mashemeji lakini inauma kweli poleni
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x Месяц назад
Yani ningemuacha aende tu kwa mazingira ya nyumba hii halooo atajiju mm napambana na watoto na kuremba nyumba na biashara
@RittaBryson-co4vp
@RittaBryson-co4vp Месяц назад
Hivi wewe....umetafuta nae from zero saivi mna vingi Ivo uache TU akagawe jasho lako kwa mchepuko!! Hufikirii sawa na wala sijasema kuua ni sawa.
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 Месяц назад
Kaacha nyumba nzuri anaenda jela dah na watoto😢 hiv watakua na maumivu kiasi gani
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c Месяц назад
We acha hizo huyo atatoka tu mbona ngoja msiba wishes.kwn yule kijana aliemuuwa mm ake mfanya biashala wa madini na kumtumbukiza kwny Chamba ya choo hapo kwny mjengo wake mbona katoka na kesi imeisha!
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c Месяц назад
Na yule bilinear msuya naye mke si alimmaliza tena na wifi akauwa mbona katoka kainekana hana hatia,kwa huyu atatoka mn ukichunguza zaidi huyo mume ana makosa sn,
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Месяц назад
Unahisi ana makosa kustahili hii hukumu?​@@user-xd4lu1xl6c
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 28 дней назад
​@@user-xd4lu1xl6cana makosa gani mume asihudumie mtt wake?? Yy mbona ana maisha mazuri wanaume kuchepuka kawaida km tukisema tuwauwe tutabaki wanawake watupu ni upungufu wa fikra tuu
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 Месяц назад
This what we call power of love
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 Месяц назад
Wake wadogo/michepuko,Wanakuwaga na wivu mnooooo,kwa waume ambao wamewakuta tayari wana miji yao na ni roho mbaya komeshaaaaa.Wanaume wajifunze kutulia na mke mmoja hata kama ni kisirani badirisha chumba.
@privasara3971
@privasara3971 Месяц назад
Naona wanawake wengi wanacomment eti wangewekwa kwenye nyumba kama hiyo wangetulia,hayo ni mawazo ya kimasikini sana,mnajuake kama mwanamke ndo alkuwa na kipato kikubwa zaidi ya mume?na sio rahis kuaacha vitu kirahisi hvyo esply kama kuna pesa tayari,watu hawalali kuzitafuta hizo pesa so akikumbuka hekaheka alizopitia ndo matokeo yake yanakuwa hayo,sisuport kuua mtu ila mnahukumu sana
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Месяц назад
Na mdogo naye kajengewa na mkubwa... huyu anajiweza bhana
@japhetpeter4095
@japhetpeter4095 Месяц назад
usihukumu ucje ukahukumiwa aliekudanganya Kuna mwanaume mwenye make Mmoja ni nani
@JacklineMnganya
@JacklineMnganya Месяц назад
Kama unaona kero mumeo kawa na nyumba ndogo Cha kumuuwa mtoto wawatu Nini? Chepuka na wewe au kama unajiina mpambanaji huwezi kupokea kaa pemben. Mimi kama tunapata mahitaji nikumwombea afya njema apambane wote tupate haki sawa. Wanawake tupendane tuaeche wivu usio na maslai ona Sasa anakosa vyote
@mwasitigervas2624
@mwasitigervas2624 Месяц назад
Nyumba nzuri hivyo nahangaika na mke mwenzangu natulia nakula tu hata maua ,,maamuzi magumu ,,pumzika kwa amani marehemu🙏
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 Месяц назад
😂😂😂😂😂unakula mpak maua jmn mm nasom comment na kuangalia mazingira ya nyumba😂😂 kila mtu atakuf na kifo chak
@Mbarukuhawa
@Mbarukuhawa Месяц назад
Mke anaolewa na mtu sio nyumba.
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio Месяц назад
Una akili km yangu!
@neemamwakasape1630
@neemamwakasape1630 Месяц назад
Mungu tunaomba mwisho mwema
@victoriadenis1694
@victoriadenis1694 Месяц назад
Mume anauma hapa huwez judge mwanamke peke yake huwez jua huyo mwanaume tofauti na hyo kumcheat labda alkua anampa manyanyaso mengine yakuathiri psychology yake jaman manyanyaso sio lazima upgwe watu wana mahela ila wanaishi maisha ya taabu sana.
@kelvinmmassy348
@kelvinmmassy348 Месяц назад
Mume anauma lakini ndo ifikie hatua ya kutoa uhai wake
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Месяц назад
Mbona wetu wamechukuliwa mazima na michepuko hata hatujui wako wapi tena, bora huyo alikua anarudi home kwake! So tukiua inatupa suluhu kweli? Andiko linasema: mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote.....sasa tunapoupa moyo kazi ya kumpenda mwanadamu kuliko Mungu, ni tatizo! Lazima utaumia sana, swala la kumove on ni ligumu lkn ni la muda tuuu, Hatujazaliwa na kitu, tukubali kupoteza vitu/ watu ikiwa ni gharama ya kuanza upya
@ElizabethKiria
@ElizabethKiria Месяц назад
Nasikia hawara alikuwa anamtusi mke mkubwa ,
@summanelson5523
@summanelson5523 Месяц назад
Tatio kubwa hapa ni kuua! Tumeambiwa " usiue". Hakuna sababu yeyote inayohalallisha kutoa roho ya mwenzio! Sasa atafungwa pengine maisha. Amepata nini? Dhambi ya mtu inakufanya na wewe utende dhambi!!! Llah hasha!
@fetyalmas698
@fetyalmas698 Месяц назад
Kweli kbs
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 Месяц назад
hasira hasara ona sasa umepata faida gani, hata kama inaumiza lakini umepata nini kutoa uhai wa mwenzako? yaani uliangalia wivu wako tuu hata hukuwaangalia watoto kumkosa baba yao kweli na vipi kuhusu ndugu zake ambao walikuwa wakimtegemea. MUNGU AKUSAMEHE.
@fadhilajamal217
@fadhilajamal217 Месяц назад
😢😢😢mjengo wa maana kabisa maisha mazuri sasa unamuuwa nn
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Месяц назад
Haya mwenyewe niliwaza hivyo,yani watoto TU jamani😢
@faithlutainulwa3832
@faithlutainulwa3832 Месяц назад
Looh! Mungu wape watu roho ya uvumilivu. R.I.P Baba.
@luluzegema5782
@luluzegema5782 Месяц назад
Yan mimi atembee ata na chizi atajua mwenyewe simfanyi chochote Kwanza nimemkuta ukubwan tu anayemjua ni mama yake Mimi nitawapenda wanangu yatosha🙏😭😭
@neemajerome7981
@neemajerome7981 Месяц назад
Labda uwe huna mapenzi nae unajua moyo ni kitu cha ajabu sanaa and utaruhusu hayo yatokee mwisho wa siku unakuletea maradhi wewe umekaa zako tu nyumban umetulia
@fatumaissa2624
@fatumaissa2624 Месяц назад
Mwenyezi mungu amulaze mahari pema pepono
@michaelkamunyu567
@michaelkamunyu567 Месяц назад
Wanawake wakichaga ndo walivo ni masingle maza weng wanasbria tu mzee andae kila kitu baada ya hapo wanamkwida shenz kabsa
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c Месяц назад
Kwn hao wanaume wote wanaowauwa wanawake na kuwanjicha ni wachaga?kila siku mauwaji saizi wanawake tuna asila sn
@DM.2200
@DM.2200 Месяц назад
Una uhakika uyo mam ni mchaga au unaongea tu ujinga pia wanawake wamechoshwa saiv mpaka mt anakuzalia watoto sit bado thaman huioni we si utakua balaa😢😢
@user-db2hi8jn3e
@user-db2hi8jn3e Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@judyngowi391
@judyngowi391 Месяц назад
Koma kabisa nyau wewe
@AminaLibisa
@AminaLibisa Месяц назад
Afadhali kamuua mumewe ingependeza na yeye anyongwe wakapendane ukouko milele
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Месяц назад
Wanawake wengine wapuziii sana unaua Cha moto atakiona hapa Dunia alikuwa halali njaa ni kiherehere chake mwanamke Moja hudumaza akili watoto wanajuwa wanasikia uliuwa baba yaoo laana kajitengezeaa
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Месяц назад
True. BBL is rampant in Nigeria. Here in TZ it is not heard frequently. And those who do it must be very rich coz she has to travel abroad for the surgery. I also think most Tanzanian girls are well shaped so no need of bbl.
@user-ow7pl6tz2c
@user-ow7pl6tz2c Месяц назад
Yani apo ndugu mnaficha uyo sio mke mdogo ni kimada cha uyo baba
@MaryamAlli-is1jg
@MaryamAlli-is1jg Месяц назад
Ilivyotangazwa mwanzo ni hawara na sio mke wa ndoa
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 Месяц назад
Kwani Wakristo tuna wake wawili? Zaidi ya mmoja ni kimada siyo mke Kikristo
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Wanaonyesha hawampendi mke wa ndugu yao ndio maana wanabariki uzinzi
@tanzaniaafrica7019
@tanzaniaafrica7019 Месяц назад
Sasa apo ata kama ungekua wew ndugu yako amesha uwawa na uyo mwanamke uraonyesha upendo vimada walikuwepo toka enzi za mababu na wataendelea kuwepo sasa kapata faida gani unaacha watoto wako wateseke kwa sababu ya hasira zosizo na faida ​@@leokamil6284
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Месяц назад
Ladies ladies let me tell you, in this world aman can't sit, with one wife, forgot about Christian, religion,,
@user-bl4sy5ei1k
@user-bl4sy5ei1k Месяц назад
Haya ndio madhara ya kupata mpaka kuvimbiwa kuna watu hawatakiwi kuwa matajiri kabisa. Yaanu mtu hela inampelekesha mpaka mke anamuua. Hapo mke anaenda jela na yeye kashaondoka mali wanachukua ndugu kiulaini.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Месяц назад
Yaani mabibi wadogo wanapenda penye hela
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 Месяц назад
Ndo ya kikristo haina mke mdogo.... huyo mwingine ni hawara, tumieni kiswahili vizuri
@heriethsamwel7190
@heriethsamwel7190 Месяц назад
Hata kam alikuwa anamfahamu awezi sema 😮
@vibetz9991
@vibetz9991 Месяц назад
Nyumba nzuri sana
@chrismkama4889
@chrismkama4889 Месяц назад
Brother God naomba namba zako kuna ishu nataka tuongee muhimu tafadhali
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 Месяц назад
Mapenz yanauma omba usisalitiwe🤐
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Месяц назад
Kwani amekuwa wakwanza kusalitiwa duniani? Ujinga tu unaua mume kisa wivu.
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Месяц назад
Kwa shemeji .kwa mke mdogo😢😢😢😢 ndugu wamume jamani😢😢😢😢 pole kaka kwa kuawawa pole mama kwakumuua mpenzi wako wa ujanani na kuacha watoto peke yao😢😢😢😢
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Ndugu wa huyo Marehemu wabaya sana watamuitaje hawana wa ndugu yao ati mke mdogo?.Marehemu kaoa Kanisa Kidini ndoa ya mke mmoja, hajamuacha iweje waseme mke mdogo hawajitambui. Inaonyesha wazi pamoja na mke mkubwa kuwazalia watoto 6 lakini hawapendi .wanabariki mchepuko mfuata mali za ndugu yao .
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Месяц назад
She is really wife because she's have a baby with husband, in this world not have a man who can stay with one wife, I am sorry ladies,😂😂😂😂😂😂, man can take a for ladies, ladies,
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
@@aminakasim1198 Kuwa na mtoto sio kusema ndio mke wake. Huyo ni hawara tu mchepuko kwa jina lingine. Angetaka kuhalalisha awe mke angevunja ndoa ya kanisani ya mke mmoja, kisha akaoa mke huyo anaemtaka .Lakini kwa uoga wa kujua akivunja ndoa watagawana mali akaona aendelee kuchepuka huku akimuudhi labda na kumnyanyasa mke wake kisaikolojia. Mungu ampumzishe kwa Amani poleni wafiwa na watoto.
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
​@@aminakasim1198 A big fat nooooo!I disagree with you...out there they are plenty of good hubbies...so don't generalized...Don't give these cheaters "air time" ...They have to respect matrimonial vows and the notion of the sanctity of the marriage at the first place...that concubine is not a wife😮
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Месяц назад
@@ElizabethMkini kabisaa kua ni dhambi kubwa .lakini uzinzi pia ni dhambi kubwa sana. So kwa kilichofanyika wote wa talipia ubaya walio fanyiana . Japo kumtoa mtu uhai ni hukumu mbaya sana na ni jambo baya sana. Ila kusikia mume wako ulie zaanae anakimada na amekijengea na amezaa nae kabisaa ni jambo ambalo bila nguvu ya mungu kuvumilia ni ngumu sana jambo lakwanza linalo kuja nikuua katika usariti masikini. So huyo dada mimi namuonea huruma sana sana natamani atoke gerezani aweze kulea watato wake nikama ameua bila kukusudia jamani . Tuliona kesi ya lulu na kanumba lulu aliua ila aliua bila kukusudia so ata dhamana huyu dada anaweza kupata tuu na kesi aka hukumiwa miaka miwili akarudi kulea watoto wake
@salcle9702
@salcle9702 Месяц назад
Mama prado baba R4 kweli kina mama wa kichaga kiboko😢
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 Месяц назад
Sasa Prado lazima adrive mume 😅
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Месяц назад
Halafu bdo u naua hivi kwel huyu mama mbona katil na huo mjumba na mazingira sasa me hata nisingejali nazingatia maokoto mahusiano ya sasa kusalitiwa kawaida huyu bdo mshamba watt watateseka hao maana hawajui shida sasa cjui apata faida gan
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn Месяц назад
Marehemu kafa akifanya umalaya😅😅😅😅 afe tuuu umalaya tuuu
@consomatogaudence136
@consomatogaudence136 Месяц назад
Kuna siri kubwa nyuma ya pazia huenda huyu mama amtumika kama chanzo ila huenda cy yeye maana kwa harakaharaka cy akili zake
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Месяц назад
Wanawake wa Kichaga .... hata bure sitaki.
@user-hw7kz8rv2c
@user-hw7kz8rv2c Месяц назад
Poleni wanafamilia
@AnethWambura
@AnethWambura Месяц назад
Wanaume wote waone ujumbe huuu.....mwingne kosa la kuchepuka mwingne la mauaji kwann lakn
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx Месяц назад
Wanawake wa Moshi Mimi nawaogopa sana maana matukiyo kwenu yamekuwa mengi sana mala kuuwa wazazi Kisa Mali mala muuwe wame zenu namengineyo mengi njiee TU duuuu
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 13 дней назад
Hyo ni sadaka imetolewa hamjui tu hiz mali tzamen tu hyo ni sababu tu huyu mungu achezew
@summanelson5523
@summanelson5523 Месяц назад
Loh masikini! Sasa mke kafanya nini? Na yeye kajiua kabisa. Hana Maisha tena!
@mymuhnabdallahshaban7763
@mymuhnabdallahshaban7763 Месяц назад
Ten mwanamme kajeng nyumb nzur t mke mkubw alikuwa na Maisha mazur jumba la kifahari na gari juu umenunuliwa na kutembelea bs angefikiria watoto wake kwanza kabla ya kufany tukio saiv watoto wataish mazingira magumu San sababu baba kafa mama ndo atahukumiwa jela maisha ina maan mali za marehem watashikilia ndug watoto hawatapata kufaid mali za baba yao maan ndug pia Hapo hizo mali na biashara wanazitolea macho 😢😢😢😢😢😢😢😢
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
Jamani hajafata nyumba...kikubwa usi mjudge hujui alikuwa anapitia nini...
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Месяц назад
​@@ElizabethMkinisasa apata faida gan kaendeshwa na hasira za kijinga hajafikiria kuna njia nyingi za kufanya mume atulie kusalitiwa kawaida kwa mahusiano ya sasa sasa hao wtt watateseka kwa ujinga
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Месяц назад
@@estherkimario7940 Faida hapati kaa ukijua kila mtu anapokea jambo tofauti...ni kumuombea tu hata huko alipo analia na kuomboleza...yote ni kazi ya shetani na mume angetulia yasingetokea haya yote...
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Месяц назад
Dah
@neemajerome7981
@neemajerome7981 Месяц назад
Wanawake sisi tunapitia Mengi sanaa wanaume huwa hawaridhiki hata ufanye nin
@hellenmollel6679
@hellenmollel6679 Месяц назад
Mungu atusaidie jamani, kweli unaishia jela unaacha watoto wako kwa sababu ya mtoto wa Mama Mkwe? hapana kwa kweli mimi nina kwangu na watoto wanasoma ningekula niendelee kunenepeana kama nguruwe niwakuze wanangu, sasa unaua mwanaume watoto wateseke wenyewe kweli?
@user-ih9ou6bx2n
@user-ih9ou6bx2n Месяц назад
Mwanamke umejengewa nyumba nzuri bado unamuua mwanaume du
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Месяц назад
Mapenzi ni mapenzi na nyumba ni nyumba
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c Месяц назад
Unajuaje km mwanaume amejenga mwanamme peke ake?huenda mwanamke alitoka mbali mpka hapo walipofikia leo hii mtu anazaa nje ya ndoa ht familia haijui km ana mchepuko ht mimi nauwa
@SuzanRowland
@SuzanRowland Месяц назад
Kwao hawana nyumba?watoto sita alfu pimbi analeta stress ndani
@DM.2200
@DM.2200 Месяц назад
​@@user-xd4lu1xl6c Haswaaa asilimia kubwa hapo wametoka mbali em fikiria watoto sita na pia sio kwamba mama alikua hafanyi kaz walikua wanatafta wote af mwingin anakuja kula kirais tu aweeee patachimbika labda ka una moyo wa chuma
@judyngowi391
@judyngowi391 Месяц назад
Hata kama angezaa watoto 10 hakutakiwa kuua mwezie
@user-lz5it9yn4q
@user-lz5it9yn4q Месяц назад
Una watoto6, una gari na nyumba nzuri t haf unajipeleka jera kipuuz hivyo!!!! Mwehu kwel
@queenmollel6739
@queenmollel6739 Месяц назад
Poleni sanaaa tena sanaaa
@LesingoBaraka
@LesingoBaraka Месяц назад
Wachagaa tena mambo ya kawaida
@joycefrances4516
@joycefrances4516 Месяц назад
wanaume tulieni na wake zen u,mnaleta shida kwenye familia,utakuta wameanza kwa kulala chini,analeta uhuni,dah, aisee,mhhhh inauma,
@OsiGaddy
@OsiGaddy Месяц назад
Mungu atusaidie 2
@ChugaKazi
@ChugaKazi Месяц назад
Acha tu afe tena Kama Kuna uwezekano wa kufa mara mbili na afe tenaaa kudadekiii mshahara wa zambi ni mauti sasa michepuko si zambi sasa mnaumia Nini mtu kupokea mshahara wake
@chimamilion
@chimamilion Месяц назад
Yn mimi niwekwe kwenye mjengo huo bdo tu nifanye ujinga aiweee mi ningemwacha aende loh sema shetani nae apunguze usenge ss ni nn iki jmn
@glorysangei5387
@glorysangei5387 Месяц назад
Halafu unakuta ulimkuta huyo mwanaume hana chochote...halafu sasahv akale na vimada wewe uteseke na watoto wake...wanaume wengine ni mashetan tu
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 Месяц назад
Mama Prado,baba Rav 4,bado unauwa,pombe mbaya sana,akina mama mnafeli wapi nyie?mpendwe vipi? duniani hakuna cha peke yako,jiandae kwa lolote
@neemahezron486
@neemahezron486 27 дней назад
Watoto wanapitia mengi baba amekufa mama jera
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Месяц назад
Usilotaka kufanyiwa usimfanyie mwenzio.mume anamsaliti atelier kwa sababu ya nyumba?alikuja kwa mume kwa vile kwao hakuna nyumba?huo ni ushamba.ndoa ni tofauti na mali,likikufika wewe ndo utajua.
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Месяц назад
Wenye hela hawana amani jamani.wakati mwingine bora ukiwa huna mambo mengi yanapungua
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Месяц назад
Kabisaa aisee Amani hakuna
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u Месяц назад
Weeee ndo yaleyale tu wanaume weng hawatabirik
@happynesssamwel2917
@happynesssamwel2917 Месяц назад
Ata mwanaume asie na pesa Bado anachepuka hivo hivo
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Месяц назад
Atachepuka lakini hakuna wa kumfuatilia kihivyooooo!utapoteza mda uchukue mpaka kisu unapigania nn hapo?huyu alikuwa analinda utajiri wa mumewe.
@reginaogutu2129
@reginaogutu2129 Месяц назад
Hasira ni hasara, usifanye maamuzi ukiwa na hasira.
@BobLuck-fv5ef
@BobLuck-fv5ef Месяц назад
Mimi nimwachwa na mume akaoa mke mwingine ,na aliondoka na kila kitu nikaachiwa watoto,nimelaani sana huyu mama muuaji kujichanganya
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 28 дней назад
Km angekua hajamuwezesha kwa lolote mke mkubwa hapo sawa lakini waendesha hadi prado mmh
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Месяц назад
Hii nikukosa hofu ya Mungu.
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs Месяц назад
Jmn dini ya kikristo haina mke mdg,,,,hivi nyie mnajua kusalitiwa kunavyo Uma,,,hlf kutwa mke mdg,kafumaniwa huku mnasema knsn knsn,,, ubatil mtup,,ndoa naiheshime na watu wote😂😂😂
@user-np2tk1jy1t
@user-np2tk1jy1t Месяц назад
Dada anaacha mji mzuri ivo anaenda kukaa jela shetani ananguvu sana😭😭
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 Месяц назад
Hatujui alikuwa anamtreat vp mke wake mkubwa hadi kapata hasira hiyo
@user-mv1gv2pp4n
@user-mv1gv2pp4n Месяц назад
Mh hivi tunaishi na wanaume kwa savabu ya pesa au mali hapana tusidanganyane
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 Месяц назад
Ila jamani siwezi kumuuwa mme wangu siande tu kwani utafanya nini sasa kama mwanaume kaamuwa?ifikie hatuwa wanawke tusijipe presha wanaume hatukuzaliwa nao
@user-nz8hl2rh6k
@user-nz8hl2rh6k Месяц назад
Yaan me kwa nyumba hiyo nicngemfatilia mume wangu kama anajal familia naish nyumba nzur nishindwe kujiifurahisha na wanangu
@user-vp1zu3fb5w
@user-vp1zu3fb5w Месяц назад
DU!WANAWAKE WAMEPEWA VICHWA TUTA MALIZWA NA WANAWAKE WAMEKUA WABABE!😂,
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b Месяц назад
Kwan tz imekubwa na nn kila leo mauwaji kam mapezi yameisha si muachane tu tatizo renu wakirisitu mnajifanya hamuachani mbaka kifo ndio shida hii mtu anamua amue ili hawe huru aisee toeni divosi kwa uraisi izi ndoa ni tishio
@anunalamin6472
@anunalamin6472 Месяц назад
Bora uislam walieka sheria wanne hakuna mambo na kujificha kuliko mambo ya ndoa moja michepuko kibao wanaume ni wale wale tu
@roseMkonyi-bz1rk
@roseMkonyi-bz1rk Месяц назад
Hizi ni hasira
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Месяц назад
Mimi mchaga sio ukitaka maisha ya amani oa kabila lengine nasio wachaga wana wake wakichaga wanekua wapuuz wamwisho zamani walikua na akili ila sasa wamekua wapuuz wamwisho kabisa oa wachaga uuliwa hawashindwi kukuua hata na chakula hawa
@DM.2200
@DM.2200 Месяц назад
Huyo mama sio mchaga mume ndo mchaga so correct your point
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 Месяц назад
Nkwel
@judyngowi391
@judyngowi391 Месяц назад
Kanye chooni, tutaolewa tu kwanza nani aolewe na wewe kapuku
@HellenMally
@HellenMally Месяц назад
Acha kutukana toa hoja
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Месяц назад
Amma kweli hasira hasara mhuuu
@AnameryGadius
@AnameryGadius Месяц назад
🎉
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Месяц назад
Chepuko jipange,utafukuxwa kwa nyumba km jambaxi sugu,hao hao wakijichanganya eti mke mdogo,mchepuko una nux kutembea na m2 then afe.
@faithlutainulwa3832
@faithlutainulwa3832 Месяц назад
Toba Kwa ajili ya hiyo laana ya kumwaga damu, ni muhimu.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Месяц назад
Shida sheria ya kanisa kuharamisha ruhusa ya wanaume kuoa mke wa pili!!mbona kwenye BIBLIA hakuna sheria hiyo!!tunaona manabii wengi walikuwa na wake zaidi ya mmoja!!hizo tabia za mke mmoja ni za wazungu!maana wazungu ni wavivu kwa wanawake!!
Далее
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 333 тыс.
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 211 тыс.
HOUSE GIRL EP 52 || love story💞💕
24:13
Просмотров 21 тыс.
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00